diamond

  1. Roving Journalist

    Yaliyojiri kutoka Diamond Jubilee Dar: Mkutano Mkuu wa Chama cha NCCR Mageuzi, Yeremia Kulwa Maganja ateuliwa kuwania Urais Tanzania

    Heshima kwenu Wakuu, Leo nccrmageuzihq Wanafanya MKutano Mkuu ambao unafanyikia katika Ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar Es Salaam. Mwaka huu NCCR wamejipanga kushiriki Uchaguzi mkuu wa mwezi Oktoba kikamilifu. Dira na Madhumuni ya NCCR ni Kuwa chama chenye nguvu kinachofuata itikadi ya...
  2. chiembe

    Wasafi ya Diamond imfukuze Makonda katika nafasi yake ya "Mlezi wa Kundi" hana manufaa tena, ni raia tu kama mimi na yule

    Nashauri kundi la Diamond Platnumz-Wasafi wamuondolee nyazfa zote ndugu Paul Makonda. Hana msaada wowote na anaweza kuanza kuomba posho maana sasa ni jobless anakaa vijiweni tu Nashauri nafasi za Makonda apewe Mkuu wa Mkoa wa sasa bwana Kunenge,wasipofanya hivyo, itaonekana wanmpinga ndugu...
  3. Mkogoti

    Diamond Platnumz amsifia Kusaga

    Kupitia wewe nimejifunza na naendelea kujifunza vingi. Asante kwa kuendelea kusupport Vijana. Asante kwa njia ya Sanaa uliyoichonga, Sasa inakomboa Vijana wengi mtaani.. @Josephkusaga
  4. Mkogoti

    Diamond Platnumz: Nimemalizana na Universal, ninapoona msanii ana-sign namsikitikia

    Diamond Platnumz Ameweka wazi kuwa amemalizana na lebo ya Universal Music ambayo alimwanga wino kusambaza kazi zake za Music, Diamond amesema kuwa amejifunza mengi kupitia mikataba yao, kiasi kuwa akiona Msanii ana sign anamsikitikia, " Nimefanya kazi na Universal takribani miaka miwili na...
  5. Mkogoti

    New Video: Rayvanny ft Diamond Platnumz- Amaboko

    Nyimbo ya Amaboko imeshawekwa YouTube na Views Wanazidi kupanda tu, Nami najiandaa hapa nikanunue Shuka la kimasai nivae Kama Laizer vile,😂
  6. M

    Amaboko ya Diamond & Rayvanny yabuma

    Wakuu sikutegemea wakongwe hawa wawili wenye medali za kimataifa kutoa song halafu isiwe hitsong. Naomba niwape pole sana WCB pamoja na fans wao, ni wakati sasa wa kujitafakari hasa ndugu yangu Rayvanny na wenzako hii sio hatua nzuri ni mbaya maana mtapanik na mwishowe mtafeli mazima
  7. Mkogoti

    Jamaa yangu na life style kama Diamond Platnumz

    Wakuu Habari za saa hizi! Wakuu mimi nina Rafiki yangu mmoja hivi sio kivilee sana hapana ila ni kukutana kitaa tunapeana tano basi life linaendelea. Kitu kimoja kinachonishinda kwa huyu jamaa yangu ni kwamba anamkubali kinyama sana Diamond sio nyimbo, mavazi, mpaka kuwa na watoto, just...
  8. A

    Kwa alichokiongea Vanessa Mdee, inawezekana Diamond Platnumz naye anafeki maisha?

    Vanessa alisema sababu ya yeye kuacha mziki ni kuwa haukuwa unampa hela, halafu alikuwa akilazimika kuishi maisha ya juu ili kuwafurahisha mashabiki, wakati kiuhalisia hana uwezo huo Inawezekana zile V8 zilizopo kwenye parking ya Diamond Platnumz, sio zake, na ile nyumba yake ya ghorofa...
  9. Kendrick Rama

    Diamond vs IPP or Diamond vs EATV

    Kabla ya kuitwa channel 5 (EATV) ilifahamika kama ITV2, mnamo mwaka wa 2004 ndipo ilibadilishwa jina na kuitwa EATV au channel 5. Inafahamika ITV na EATV zote ni Mali za mtu mmoja na kampuni ni moja (ipp) media, sasa kitu kinachonipa maswali kivipi Diamond platinumz nyimbo zake zinachezwa ITV...
  10. Jackal

    Hivi Carry Mastory huwa ana bifu na Diamond?

  11. U

    NEW Video: Rosa Ree - Kupoa {Official Video}

    Rapper wa Kike Tanzania Rosa Ree Ameachia Video ya nyimbo mpya inayoitwa - Kupoa Nimekuwekea hapa chini uitazame mtu wangu.
  12. sky soldier

    Ni msanii yupi unadhani atamrithi ustaa Diamond kwa hivi vigezo nilivyotaja?

    kuwa staa ni mtaji mkubwa sana kwa msanii, unaweza kufanya kitu cha kawaida tu ila kikapewa sapoti mno na kuonekana kikubwa, mbali na kazi za sanaa kuwa staa ni kuwa na sifa kama za huyu kijana wetu mtanzania anaetuwakikisha vilivyo nje ya mipaka: *Fashion, namna anavyovaa. *Mwonekano...
  13. Mkogoti

    Homa ya TV E: Lini Diamond platnumz atatumbuiza Jukwaani

    Habari za Usiku huu Wakuu Poleni kwa mihangaiko ya kutwa nzima, Now nimeshaona show za Wasanii mbalimbali Kupitia Show ya Homa kupitia channel ya TV E!, Katika kuona kwangu sijamuona Diamond je? Zamu yake haijafika au ndo vile kuna kabifu hapo katikati ama vipi? Wakuu mkimwona siku mnitag...
  14. Jamii Opportunities

    Underground Diamond Driller at Geita Gold Mine

    Position: Underground Diamond Driller- Geita Gold Mine, Geita African Underground Mining Services (AUMS) Job Summary To ensure the safe and efficient operation of drill rigs in the day to day operations, through the provision of manual tasks inclusive of monitoring & adherence to safety...
  15. B

    JEJE na Diamond

    Kuna mistari inasema "Nimwage Wese,Unesenese Kwenye Rungu la komredi kipepepe" Wazee hapa jamaa alilenga maudhui gani? Nyimbo za siku izi bwana!
  16. A

    Nahisi Diamond Platnumz sio Mtanzania, body language presence anayoonesha kwenye video zake, sio style za kitanzania ni style za ki-west Africa hivi

    Diamond anajua sana aisee, kwamfano kwenye ile official video ya nyimbo ya gere (tanasha x platnumz) kuanzia ile dakika ya 1:57 mpaka dakika ya 2:15 jamaa kaonesha body language presence ya hali ya juu sana, pale anapoanza kuimba "Eeh mama kasema mwali mwana, umepata ntuliee simba, ntuliee...
  17. Sele Mkonje

    Hongera Diamond kwa kuwa msanii wa Kwanza Afrika mashariki Kufikisha 1Bilion Views on Youtube

    Leo wakati nataka kuchek Quarantine ya Diamond nikajikuta nashuhudia maajabu na rekodi mpya ambayo Diamond Platnumz ameivunja. Tukio lake la kuweka rekodi hiyo limetokea dakika chache zilizopita. Diamond anafuatiwa na Millard ayo ambaye kwa sasa ana viewers M933 na huku King wa bongo Fuleva ana...
  18. Expensive life

    Kwako Diamond Platnumz...

    Sisi wananchi wa hali ya chini tulifarijika sana na maneno yako pale ulipotangaza kuwa, upo tayari kutusaidia japo kulipia pango la nyumba kwa miezi mitatu kwa wananchi wa hali ya chini 500. Tunaona siku zinazidi kukatika na hatujapata mrejesho wowote kama msaada huo upo au laa.
  19. Program Manager

    Diamond Platnumz ang'ara kwenye jarida la Billboard kwa kufanya vizuri Youtube

    Mtandao maarufu wa kupanga charts za muziki duniani wa Billboard umeachia makala wakielezea namna ya kupata mafanikio kimataifa kwa kutumia mtandao wa Youtube huku wakimtolea mfano star wa muziki wa Tanzania @Diamondplatnumz Makala hiyo imeandikwa "Wanamuziki wa Marekani wanatafuta njia za...
  20. Breaking bad

    Mbosso, Diamond washinda tuzo za Hipipo Uganda

    Tuzo kubwa za muziki nchini Uganda , Hipipo Music Awards (Hall of Fame) , zimefanyika siku ya Jana huko Kampala na Kushuhudia wasanii tokea Lebo ya WCB , Diamond Platnumz pamoja na Mbosso wakiiwakilisha vyema Tanzania kwa Kuondoka na jumla ya tuzo tatu (3) Katika tuzo hizo ambazo mwaka huu...
Back
Top Bottom