diamond

  1. Ushauri kwa Diamond: Usitoe ngoma nyingine mpaka Juni 2021

    Hii ngoma yako " WAAH " ni ngoma kubwa sana. Subiri mpaka ifikishe views 1b ndo ufanye ngoma nyingine. Am sure as hell by the time inafika june WAAH itakuwa na viewers bilioni moja. " Papa Mobimba yooo, papa mobimba yooo x 2 " " darisalama ngwasuma"
  2. Diamond naona anatuwakilisha vyema sana

  3. U

    Show ya Diamond Platnumz yajaza watu 100,000 Sudan

    Hakika huyu kiumbe kashindikana. Hii ni zaidi ya ile ya kigoma
  4. B

    Kama Diamond anashindwa kumsitiri baba yake kwenye ukata utajiri wake una faida gani?

    Mimi Kama mzazi naumizwa kuona watu wamejaaliwa Mali lakini hizo fedha haziwezi kusaidia familia yake. Kama uwezi kusaidia familia yako unaondikaje kusaidia familia za wengine? Naomba niwakumbushe vijana; sote tuna dhambi na hakuna namna tutakwepa ilo. Wanaume wengi wametelekeza watoto na...
  5. Wasafi TV inabidi mkajifunze kwa Clouds TV namna ya kurusha vipindi mubashara

    Hii media imekuja kwa kasi sana, kweli mmeweza kukamata pakubwa kwenye tasnia ya habari mawasiliano na burudani. Lakini bado mnasafari ndefu sana kufikia media zilizotangulia, msijione mnaweza kufika 10 kabla ya kuanza 1, ni vema kujifua zaidi kupata maujuzi kabla ya kuanza kufanya mambo ambayo...
  6. Kwa hali hii ya colabo za TZ na Congo naona Diamond anaenda tena kuvunja rekodi yake ya views milioni 10 kwa siku 8

    Wiki hii Tanzania imeng'ara baada ya msanii wake Diamond kuweka rekodi ya kupata views milioni 10 siku ya 8 baada ya kutoa hit song aliyomshirikisha papaa mobimba KOFI OLOMIDE. Ngoma hiyo inayoenda kwa jina la WAAH ilitoka siku ya tarehe 30 Novemba muda wa saa 6 mchana na ikapata views milioni...
  7. Wimbo wa Diamond Platnumz - WAAH ndio nyimbo namba moja duniani kwa sasa!

    Yaani katika dunia hii ya watu karibu takriban bilioni 8, nyimbo ya kijana wetu, mTanzania mwenzetu, Diamond Platnumz - WAAH ndio nyimbo namba moja duniani kwa sasa. Wizara ya maliasili na utalii itumie fursa hii adhimu kuiambia dunia kwamba Tanzania ina nini cha kuwapa watalii, maana kila mtu...
  8. Hesabu hazidanganyi: Ni kwanini Diamond kadanganya kafikisha views milioni 10 ndani ya siku saba?

    Hata nikikaa kimya kwajili ya utaifa au kuwa shabiki wa diamond, ukweli inabidi unyooke, nyeupe iwe nyeupe na nyeusi iwe nyeusi, hakuna kupindisha, nisipo sema nani atasema?? ukiingia mtandao >> huu << , utaweza kujua muda ilipopandishwa video, tunaona ya kwamba video iliwekwa tarehe 30...
  9. The 100 Most Influential Africans of 2020, Ni Hawa!, Kama JPM, Mo, Diamond, Samatta Hawapo, Then It Must Be Fake List!,ila Kuna Mtanzania 1, Gues Who?

    Wanabodi The much anticipated annual listing of the 100 Most Influential Africans of 2020 published by the continent’s premier pan-African publication, London-based New African magazine imetangazwa leo. List hiyo iliyogawanywa katika mafungu manne, four categories of Leaders; Pathfinders...
  10. Hongera sana Diamond lakini kwa hili hapana...

    Diamond haina haja ya kufanya mambo mengi kwa wakati mmoja na yote yakakosa ubora na ubunifu. Hiyo ni kutengeneza vitu vitakavyo ishi muda mfupi sana. Na ukweli unaujua kuwa watu wanapenda na ku support hivyo vitu vingi unavyovitengeza na kuvianzisha hata kama havina ubora. Si kwa sababu...
  11. Mnaokosoa kolabo ya Diamond & Koffi msome HAPA

    Natumaini mko wazima. Kwanza nimshukuru Mungu kwa neema zake. Pia nitoe pole kwa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo kwa kuingia mgogoro na wanachama wake nguli waliokipigania kwa muda mrefu. Siwezi kuongelea hilo hapa ila tambueni msimamo wangu ni kama wa Mh Ndugai na Mh Polepole. Leo nitaongelea...
  12. Kwa Kibao hiki cha 'WAAH' chake Mwana Simba Mwenzangu Diamond akimshirikisha Koffi nasema 'Shikamoo' mno tu Kwake

    Huu Wimbo wa 'WAAH' ukiwa unapigwa au hata unausikiliza tu popote pale halafu huamki ama Kucheza tu au Kutikisika basi utakuwa na matatizo Kichwani au utakuwa ni mwana Yanga SC mwenye Roho Mbaya au utakuwa kati ya Team Kiba au Yule aliyetaka Kufa kwa Kuanguka kutoka katika Paa la Uwanja wa Mkapa...
  13. Dunia Duara: Kofi kudhaminiwa na Diamond?

    Hakika dunia duara leo hii Mopao analetwa nchini na kupewa dili na mwanae? Tuheshimiane tu ndugu zangu dunia SI yetu
  14. AFRIMMA AWARDS 2020: Hongereni wasanii wetu Diamond, Zuchu na Nandi kwa kutuwakilisha vilivyo watanzania

    Napenda kuanza kwa kuwapa hongera wasanii wetu kwa kazi nzuri inayoonekana . Hakika juhudi inalipa. Katika utoaji wa tuzo hizo za AFRIMMA jana usiku wasanii Diamond, Nandi na Zuchu wamechukua tuzo za -: Best east Afrika awards ya (Female & Male - DIAMOND PLATNUMZ & NANDI). Huku tuzo ya -...
  15. Tuwe wakweli Nillan anafanana na Ivan sio Diamond

  16. Waliokwenda kumuona Diamond tu wanyooshe mikono

  17. Sijawahi kuweka nyimbo za Diamond na kundi lake WCB kwenye cd,simu,pc wala flash..

    Labda mtu azikopi mwenyewe Au nizikute kwenye hiyo disk Au nizikilize radion Au zitumwe kwenye .agroup..... Yaani inshort ..sizielewagi tu... Katika nyimbo zake 1000+ nilizozisikiliza ni 3 tu ndio nilizielewa Lala salama Ukimuona Nataka kulewa Kamuharibu mpaka harmonize Wa aiyola,kidonda...
  18. Simon Msuva na mawazo ya ki- diamond juu ya mabondia

    Leo Simon Msuva alipokuwa JKNIA amesema anatamani na atawasaidia mabondia wa Tanzania. Mytake Ni kama vile diamond alivyotuaminisha anahela ya kununua timu ya vpl ,halafu ikatokea mbao inauzwa million 300 tu, hakujitokeza hata kuomba negotiations. Tahadhari Msuva asiwe kanjanja.
  19. Diamond Platnumz Talks Growing Up In Tanzania & Breaking Into American Popular Music

    Diamond Platnumz Talks Growing Up In Tanzania & Breaking Into American Popular Music Facebook Twitter Email The recording artist, entrepreneur and media mogul discusses Tanzania’s musical landscape, success, expanding his empire and more CHRISTOPHER A. DANIEL GRAMMYS OCT 6, 2020 - 1:36 PM When...
  20. Ushauri: Diamond na Wasafi FM zingatieni haya

    Salam wakuu Nimepata nafasi ya kusikiliza Wasafi FM kwa siku kama mbili sasa baada ya kuwashwa kwenye mkoa niliopo, na nimeweza kusikiliza vipindi vya asubuhi kabisa(goodmorning) na cha jioni(mgahawa). Kwasababu natamani mfanye vizuri zaidi, binafsi nimeona dosari Kadhaa zinazotakiwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…