dhidi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Dkt. Mwigulu: TSh. Bilioni 17.42 zakusanywa kwenye betting Tanzania

    Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba amesema hadi kufikia Aprili 2025, Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania imekusanya jumla ya Tsh. bilioni 17.42, sawa na asilimia 70 ya lengo la mwaka na imefanya programu tatu za kuelimisha jamii juu ya michezo ya kubahatisha, faida na hasara pamoja na...
  2. PreGE2025 CCM Dodoma: Mkingeni Rais Samia dhidi ya mashambulizi mitandaoni

    Katibu wa Siasa na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dodoma, Jawadu Mohamed amewataka Watanzania na WanaCCM kumkingia kifua Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan dhidi ya mashambulizi yoyote anayoyapata kupitia mitandao ya kijamii Jawadu ameyasema hayo Jumanne Juni 3, 2025 Jijini Dodoma...
  3. Uamuzi wa Rais Kufungia Makanisa ni Tusi kwa Katiba, Unajisi kwa Demokrasia na Vita Dhidi ya Mungu Mwenyewe

    Ni jambo la kutisha na la kuumiza kuona Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kwa kutumia mamlaka ya ofisi ya juu kabisa ya utawala, akiamua kufungia nyumba za ibada kana kwamba ni maeneo ya kihalifu. Huu ni ushahidi wa wazi wa kuporomoka kwa heshima ya mamlaka ya dola, na zaidi ni dalili ya...
  4. Tuweke maombi yetu wana JF dhidi ya utekaji, mauaji na ukandamizaji mpaka wahusika wateketezwe

    Silaha zote zitumike, wanaoongea waziwazi, keyboard warriors na wenye imani mbalimbali tuendeleze mapambano. Hapa tuweke maombi yetu ya kiimani dhidi ya utekaji, mauaji na ukandamizaji. Wahusika waharibiwe.
  5. ML. MJEMA omba Mungu dhidi ya Familia Yako na uzao wako Mungu Ameshuka amesema ujiuzulu

    Omba Toba Sali Omba toba mkono wako wa kiume ulitumika kumtia mkeo mimba zote Omba msamaha kwa Ajili yake Tafadhali Bado unapendwa tuliza akili hacha siqeaa baba hata ulisema unitafte unitese haitosaidia fanya nilivyosema
  6. D

    Kufungia Makanisa na Kushambulia Viongozi wa Kikristo ni Mashambulizi Dhidi ya Imani ya Kikristo, Hatutakubali

    Kama Injili inakuchoma moto hadi unakosa usingizi si urudi kwenu ukachome ubani na kupungia maruhani? Maana ndo mambo unayaweza. Kuwatawala watu wa Bara haiwi kazi rahisi kihivyo, kwa taarifa yako unashindana na watu mil.60+ kulinganisha na ndugu zako mnaojaa tu kwenye kiganja cha mkono; 60...
  7. Hukumu ya Kesi ya Mbatia dhidi ya NCCR imeonesha tuna Msajili wa Vyama vya Siasa ambaye ni Jaji wa ovyo kuwahi kutokea!

    Nguvu nyingi zimeamishiwa kwa CHAUMA na CHADEMA, matokeo yake Project-Pindua 'Mama Tanzania' ikasahaulika. Na JAJI naye (sijui kwakuwa aliona Mama Tanzania hana athari kwa sasa, Sijui hawakumpa Presha, Sijui kafanya kwa kuzingatia Misingi ya Taaluma yake), kampa Mshindi MBATIA. Sasa hapa ni...
  8. Kelvin Nashon Naftal mzawa pekee aliyeanza kwenye kikosi cha Singida BS dhidi ya Simba SC

    Kiungo Kelvin Nashon Naftal wa timu ya Singida Black Stars ndiye mchezaji pekee mzawa aliyeanza leo kwenye kikosi cha Singida BS kinachocheza dhidi ya Simba Sports Club. Kikosi cha Singida Black Stars dhidi ya Simba SC, Ligi Kuu ya NBC. 1. Amas Obasogie 2. ⁠Andre Cirille 3. ⁠Imoro 4. ⁠Anthony...
  9. Yanga yalaani vikali vitendo dhidi ya Mashabiki wake kupigwa na mashabiki wa Simba kwenye Fainali ya CAF Zanzibar

    Uongozi wa Klabu ya Young Africans umetoa taarifa ya kulaani vikali vitendo vya kupigwa, kuchaniwa jezi na kufukuzwa uwanjani kwa baadhi ya mashabiki wake katika mchezo wa fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika uliofanyika Mei 25, 2025 katika Uwanja wa Amaan, Zanzibar. Kupitia taarifa hiyo...
  10. N

    Je , singida kupangasa kikosi dhaifu leo dhidi ya Simba kama walivyofanya dhidi ya Yanga?

    Hapa Sasa ndio tutajua matawi halisi ya nyuma mwiko.... Natarajia leo singida wapange kikosi kama walivyocheza na timu inayoitwa "wenye akili ni wawili tuu".
  11. Q

    PreGE2025 Mbunge wa CCM unawaita Wananchi KENGE? Anaishauri DOLA iendeleze Utekaji na Uuaji dhidi ya Kenge (Watanzania)?

    This is too much, hata kama ni ulevi wa madaraka hii imepita kiasi. Mzanzibari akipata madaraka huwa wana dharau sana hata Samia aliwahi kuwaita Watanzania mbwa wapumbavu. "Tuwaambie vyombo vya ulinzi na usalama kuna kenge wa ndani halafu kuna kenge wa nje. Shughulikeni na kenge wa ndani...
  12. H

    Tunaomba Dunia iongeze nguvu kuwasaidia Watanzania kupambana dhidi ya dhuluma ya Haki za msingi za binadamu

    Suala ya udhulumaji haki kwa wananchi wa Tanzania linalofanywa na watawala, lina uhalali na haki ya kupata msaada mkubwa kutoka jumuia ya kimataifa. Ni mwendawazimu pekee ndiye anaweza kutamka kuwa eti udhulumaji wa haki, ikiwa ni pamoja na utekaji na mauaji ya wakosoaji, ni suala la ndani ya...
  13. Uchaguzi wa mwaka huu ni Mungu dhidi ya CCM, mpinzani mkuu wa CCM mwaka huu ni Mungu mwenyewe

    Huu si mwaka wa kushindana kwa namna ilivyozoeleka ,watu hawataki kushindana kwa hoja wala kukosolewa kama ilivyokuwa zamani ! Mamlaka ziko tayari kwa ajili ya kuilinda mamlaka ,ukiwa mgombea unatafsiriwa kama gaidi au mhaini ,wanataka ukiwa mpinzani wao wakufundishe na jinsi ya kuongea, nini...
  14. PreGE2025 Lissu dhidi ya Ukraine, Gaza, DRC na Sudan, ana bahati mbaya

    Dunia inalinganisha hoja za akina Lissu na Martha na kile kinachotokea kwenye mataifa ya Ukraine, Gaza ,DRC, na Sudan na kuona kama vile Lissu na Martha karua wamevimbiwa na amani na utulivu Tanzania. Vipaumbele vya dunia haviko kwa akina Lissu, poor timing and planning. Yaani washindwe kutatua...
  15. FARDC yatakiwa kujiandaa vita dhidi ya M23

    Lt Gen Masunzu, amelitaka jeshi la serikali ya Congo, kujiandaa vita vipya, kuhakikisha M23 inapoteza maeneo iliyo nayo kwa sasa, mashariki mwa DRC. M23 na yenyewe haiko tayari kuachia. Huku ikisemekana inapata msaada toka Rwanda, upande wa serikali ya DRC, msaada wao wanapata kutoka Burundi na...
  16. Marekani Yasikitishwa Na Ukandamizaji Wa Tanzania Dhidi Ya Wanaharakati Wa Kimataifa, Yazitaka Nchi Zote Za Ukanda Kuchukua Hatua Dhidi Ya Tanzania

    Marekani kupitia ukurasa wake wa Mahusiano ya mahusiano ya Nchi za Afrika pale kwenye mtandao wa X ameripoti kusikitishwa na matendo ya Tanzania ya kutowatendea vyema wanaharakati wawili wa Kiafrika kutoka Uganda na Kenya. Na wameitisha Nchi za Ukanda huu wa Afrika Mashariki kuchukua hatua zaidi...
  17. Kuna waswahili wana matumizi potofu na hovyo sana ya neno "dhidi"

    Huwa nikawasikia wanasiasa wakizungumza kwa ujasiri sana serikali inapambana "dhidi" ya maendeleo ya raia wake, wananchi wana imani "dhidi" ya vyombo vya dola, raia wana ushirikiano mzuri "dhidi" ya serikali n.k Juzi nimemsikia gavana wa Arusha anasema wananchi wana imani "dhidi" ya jeshi lao...
  18. Je , hii ni indirect Insult kutoka kwa wakenya dhidi ya democracy ya Tanzania?

    Ukimsikiliza vema mtaalam hapo chini, utagundua anasema Kenya is far better kwenye Democracy kuliko Tanzania ambayo ipo kwenye dictatorship. Ki international Diplomacy ….hii haijakaa sawa…. He is literally insulting and questioning democracy ya Serikali ya Tanzania. Kama Taifa, kuna mahali...
  19. Kwanini tunatumia nguvu nyingi dhidi ya Lissu na hatufanikiwi?

    Mbona tunatumia nguvu nyingi dhidi ya Tundu Lissu? Kuna swali najiuliza ni kwa nini tunatumia nguvu nyingi dhidi ya Mh Tundu Lissu? Halafu mwisho wa siku hatufanikiwi. Nina mifano michache ya kutoa: Mfano wa kwanza, kipindi Tundu Lissu anagombea urais wa Chama cha Mawakili Tanzania, nguvu...
  20. PreGE2025 Nani kamsikia Makalla akisemea dhidi ya ufisadi ulooneshwa na CAG, utekaji na, mauaji holela ya raia huko majukwaani zaidi ya kuitaja CHADEMA?

    Wadau hamjamboni? Nimekuwa nikifuatilia kwa ukaribu ziara za mwenezi wa CCM. Zaidi ya kumsikia akitaja mara mbili mbili tatu CHADEMA, Lissu sijamsikia hata mara moja akitaja mengine ambayo nitatizo kwa nchi. Mfano, sijamsikia hata mara moja akitaja ufisadi na mafisadi hasa ufisadi wa wazi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…