dawa

Da‘wah (Arabic: دعوة‎, [ˈdæʕwæh] "invitation", also spelt daawa, dawah, daawah or dakwah😉 is the act of inviting or calling people to embrace Islam. For certain groups within Islam like the Salafis and Jamaat-e-Islami, Dawah is also considered as a political activity. For these groups, the aim of Dawah outreach is also to engineer a reversal of what they perceive as the decline of Islam in the modern era, through the systematic propagation of Islamist ideology and ultimately enable the establishment of an Islamic state.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    DOKEZO Kuna tabia ya udokozi wa dawa kwa Wagonjwa waliolazwa Hospitali ya Mawenzi. Uongozi udhibiti tabia hiyo

    Kuna kero nimekutana nayo hapa Hospitali ya Mawenzi, kuna wizi wa dawa sana, unaandikiwa ukanunue dawa ukiweka kwenye kabati ya mgonjwa ukirudi mchana unakuta hazipo. Mfano unanunua mabomba ya dawa dozi ya siku lakini mgonjwa atachomwa mara moja kisha wanakwambia zimeisha, hii ni mbaya sana...
  2. A

    DOKEZO Nimenunua machungwa gengeni Chanika, nahisi yamewekewa dawa yaonekane yameiva

    Sijui kama mimi ndiyo nimechelewa kugundua hili ila kumekuwa na tabia ya Wafanyabiashara au Wakulima wa matunda kuweka dawa ili tunda lionekane limeiva vizuri na kuvutia. Leo nikiwa Chanika Nguvukazi (Dar es Salaam) nimenunua machungwa gengeni kwenye meza iliyojaa machungwa ambayo yote ni ya...
  3. Yoda

    Kwa nini biashara ya dawa za kulevya haramu Tanzania na Kenya imejikita Pwani ?

    Ni kwa sababu ya uchumi mzuri ? Wateja/watumiaji wengi ? Ni rahisi kufikika ? Ni rahisi kuificha biashara yenyewe na wanaoifanya maeneo hayo ? Hapa sizungumzii bangi na mirungi.
  4. sonofobia

    Nawahi kama jogoo, ndani sekunde kadhaa namaliza. Je naweza kupata dawa?

    Mimi napokkuwa napiga show bao langu la kwanza linawai sana na la pili linachelewa pia sana. Nilikuwa naona ni kawaida mpk wanawake tofauti wamekuwa wakisema mbona nawai sana na hawajapata raha yoyote hapo sasa mpaka kuanza lingine. Je bao la kwanza ili nichelewe nahitaji tiba gani? Kuna...
  5. O

    Watanzania Wawili na Mganda Mmoja Wakamatwa na Dawa za Kulevya za KSh3.6 Bilioni Kwale

    Polisi nchini Kenya wamewakamata raia watatu wa kigeni, Watanzania wawili na Mganda mmoja, kufuatia operesheni iliyofanikisha kupatikana kwa kilo 454 za dawa za kulevya zinazoshukiwa kuwa methamphetamine katika Kaunti ya Kwale. Dawa hizo zinakadiriwa kuwa na thamani ya KSh3.6 bilioni katika soko...
  6. O

    “Cetirizine Inabana Uke?” Wizara ya Afya Yaonya Wakenya Dhidi ya Matumizi Hatari ya Dawa Hiyo

    Wizara ya Afya nchini Kenya imewaonya wananchi dhidi ya kutumia dawa ya cetirizine kwa lengo la kuboresha tendo la ndoa, kufuatia madai yanayosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuwa dawa hiyo inaweza kupunguza unyevunyevu na kufanya uke kuwa mbana zaidi. Akizungumza Jumatano, Novemba 4, 2026...
  7. U

    Je ni kweli kuwa dawa za cetrizine sasa zinatumika na baadhi ya wanawake kwa kuwekwa sehemu zao siri za kwa lengo la kuleta tightness

    Ni madai naomba mwenye uthibitisho
  8. A

    KERO Malalamiko ya kukosekana kwa Dawa za Saratani (Chemotherapy) kwa bima ya NHIF, Muhimbili Mloganzila

    Mgonjwa wangu anasumbuliwa na tatizo la Saratani na kwa sasa yupo kwenye mzunguko wa matibabu ya Kemotherapy (Chemotherapy), Hospitali ya Taifa MUHIMBILI (MLOGANZILA). Hivi karibuni tumeelezwa na wataalamu kuwa Dawa za Chemotherapy anazotakiwa kupata mgonjwa wangu hazipo/zimeisha hospitalini...
  9. D

    PostGE2025 Wito kwa Samia: Kama unaweza Mama nakushauri tembelea page ya Mange X halafu tafuta faragha fanya Ibada

    Mama nimetazama tena zile video za “Kazi Yako” ya Tarh 29/10/2025 nikasema hadharani unaonekana upo Imara lakini nadhani ukibaki peke yako katika faragha zako bila shaka unailaani siku waliyokupa Urais. Nimetazama zile video na nikashuhudiwa wazi wazi moyoni kwamba pengine EL NINO inayotangazwa...
  10. Ndagullachrles

    Shirima wa Rombo jela miaka 30 kwa dawa za kulevya

    Na Mwandishi Wetu, Kilimanjaro Mahakama ya wilaya ,wilayani Rombo mkoani Kilimanjaro ,imemhukumu kwenda jela miaka 30 Festo Richard Shirima baada ya kupatikana na hatia katika shitaka la kupatikana na dawa za kulevya aina ya mirungi zenye uzito wa kilogramu 17 Mshitakiwa huyo alikamatwa Mei...
  11. F

    Swali je kuna mganga wa kienyeji mkali ambaye dawa na mizimu yake inaweza kumfanya aweze kufungua password ama pattern ya simu ya mtu mwingine ?

    nimekutana na hii post sehemu, nikajiuliza nami , je kuna mganga wa kienyeji mwenye huo uwezo?
  12. Ndagullachrles

    Jela maisha kwa kumlawiti mtoto wa kike miaka mitano huko Moshi na wengine watano wakila miaka 30 jela akiwamo wa dawa za kulevya

    Jeshi la polisi mkoani Kilimanjaro limeendelea kutekeleza majukumu yake ya kikatiba katika jukumu zima la kuimarisha ulinzi na usalama wa Mali na maisha ya watanzania Katika kipindi cha Septemba 2026 hadi Oktoba 14, 2026,jeshi hilo la polisi mkoani kilimanjaro liliwakamata na kuwafikisha...
  13. AXIOM APEX VERBOSE

    Hivi ni dawa gani inayoweza kumuwezesha mtu kua Mnene?

    Habarini za asubuhi wakuu, wajomba na mashangazi, wapwa na binamu zangu. Ngoja nipitilize moja kwa moja kwenye mada, ningependa kufahamu kutoka kwa anaefahamu. Nifahamishe dawa sio ya tiba au ya matibabu maana mtumiaji sio mgonjwa wala hana maradhi ya aina yoyote ila dawa ya kumuwezesha mtu...
  14. A

    KERO Baadhi ya watumishi wa Kituo cha Afya Mbandе, Kongwa, Dodoma, wanatembea na dawa kwenye mabegi na kulazimisha wagonjwa kununua

    Kuna malalamiko kuhusu baadhi ya watumishi wa Kituo cha Afya Mbandе, kilichopo Wilaya ya Kongwa, Dodoma, kutembea na dawa kwenye mabegi na kuwalazimisha wagonjwa kuzinunua. Aidha, watumishi hao wanawajibu wagonjwa kwa lugha isiyo ya staha wanapouliza kuhusu upatikanaji wa dawa, wakiwaeleza kuwa...
  15. O

    Mhalifu afichua mbinu ya kuwalewesha Watu kwa Dawa za Kulevya na kuwaibia

    Video inayosambaa mitandaoni inamuonesha mshukiwa aliyekamatwa akieleza kwa maafisa wa DCI jinsi yeye na wenzake wanavyowalaghai wananchi wasio na habari kuhusu dawa za kulevya na kisha kuwaibia. Katika video hiyo, mshukiwa anaonekana akiwa amefungwa pingu huku akionyesha kifurushi kinachodaiwa...
  16. OMKEIT 93

    MWENYE DAWA YA JINO

    Habari zenu wakuu heshima kwenu Kama kuna yeyote anaefahamu dawa ya jino anifahamishe tafadhari Jana usiku sijalala kwa maumivu makali ya jino
  17. Isenye

    Nimekunywa dawa za mafua aina ya cetrizeni leo saa 2 asubuhi, saa 5 asubuhi nikanywa konyagi,je kuna madhara yoyote?

    Salamu Nimeamka na mafua,nimepiga dawa aina ya cetrizeni ilikua saa 2 asubuhi, ilipofika saa 5 asubuhi shetani akanipitia nikapiga toti ya konyagi,nimeenda saa 7 nimepiga konyagi ndogo nzima na soda ya tonic. Je kuna madhara yoyote?
  18. Hance Mtanashati

    Biashara ya duka la dawa muhimu (DLDM) ni biashara kichaa, kwenda jela nje , nje, kufilisiwa nje nje.

    Biashara ya duka la dawa muhimu , asilimia kubwa wanaoifanya wanaifanya kinyume na sheria. Yani hii biashara wengi wanaiendesha kinyume na matakwa yanayotakiwa hivyo wengi wanaiendesha kiujanja ujanja kwa kutegemea kuwahonga wakaguzi wakifika. Dawa zinazoruhusiwa kuuzwa kwenye hizi dldm...
  19. Roving Journalist

    RESOLVED Daraja la Kimara Mwisho lawekewa kingo

    Julai 10, 2026, Mdau aliandika kupitia JamiiForums.com kuwa ni vema ujenzi wa daraja lililopo Kimara Mwisho ukamaliziwa kwa kuwa ni hatarishi kwa watumiaji kutokana na kukosa kingo za pembeni. Pia soma ~ Serikali naomba mlimalizie Daraja la Kimara mnahatarisha usalama wa wananchi Daraja hilo...
  20. R

    Kampuni za Eli Lilly na Novo Nordisk zinazozalisha dawa za GLP-1 zafunguliwa kesi Mahakamani zikidaiwa kuchangia kupoteza uwezo wa kuona

    Kesi kadhaa za kisheria zinaendelea kuongezeka dhidi ya kampuni kubwa za dawa, Eli Lilly na Novo Nordisk, huku baadhi ya wagonjwa wakizishutumu kampuni hizo kwa kushindwa kutoa tahadhari kuhusu uwezekano wa uhusiano kati ya dawa maarufu za GLP-1 na kupoteza uwezo wa kuona ghafla, kwa mujibu wa...
Back
Top Bottom