dawa za kulevya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Yoda

    Kwa nini biashara ya dawa za kulevya haramu Tanzania na Kenya imejikita Pwani ?

    Ni kwa sababu ya uchumi mzuri ? Wateja/watumiaji wengi ? Ni rahisi kufikika ? Ni rahisi kuificha biashara yenyewe na wanaoifanya maeneo hayo ? Hapa sizungumzii bangi na mirungi.
  2. C

    Watanzania 2, Mganda 1 wakamatwa na shehena ya dawa za kulevya za mabilioni katika operesheni Kenya

    Saleh Khamis Baseleman, maarufu Mbwiga, anayedaiwa kuwa kinara wa mtandao wa kimataifa wa usafirishaji wa dawa za kulevya, amekamatwa nchini Kenya katika operesheni ya pamoja ya Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) ya Tanzania na mamlaka za nchi hiyo. Baseleman, raia wa...
  3. O

    Watanzania Wawili na Mganda Mmoja Wakamatwa na Dawa za Kulevya za KSh3.6 Bilioni Kwale

    Polisi nchini Kenya wamewakamata raia watatu wa kigeni, Watanzania wawili na Mganda mmoja, kufuatia operesheni iliyofanikisha kupatikana kwa kilo 454 za dawa za kulevya zinazoshukiwa kuwa methamphetamine katika Kaunti ya Kwale. Dawa hizo zinakadiriwa kuwa na thamani ya KSh3.6 bilioni katika soko...
  4. Ndagullachrles

    Shirima wa Rombo jela miaka 30 kwa dawa za kulevya

    Na Mwandishi Wetu, Kilimanjaro Mahakama ya wilaya ,wilayani Rombo mkoani Kilimanjaro ,imemhukumu kwenda jela miaka 30 Festo Richard Shirima baada ya kupatikana na hatia katika shitaka la kupatikana na dawa za kulevya aina ya mirungi zenye uzito wa kilogramu 17 Mshitakiwa huyo alikamatwa Mei...
  5. Ndagullachrles

    Jela maisha kwa kumlawiti mtoto wa kike miaka mitano huko Moshi na wengine watano wakila miaka 30 jela akiwamo wa dawa za kulevya

    Jeshi la polisi mkoani Kilimanjaro limeendelea kutekeleza majukumu yake ya kikatiba katika jukumu zima la kuimarisha ulinzi na usalama wa Mali na maisha ya watanzania Katika kipindi cha Septemba 2026 hadi Oktoba 14, 2026,jeshi hilo la polisi mkoani kilimanjaro liliwakamata na kuwafikisha...
  6. Ex Spy

    Gazeti la Uingereza ladai kuwepo Mtandao Mkubwa wa Silaha na Dawa za Kulevya Afrika: Marais Kadhaa Watajwa. Uchunguzi (investigation) unaendelea

    Gazeti la nchini Uingereza la The National Voice limechapisha ripoti maalum ya kiuchunguzi inayoeleza kufichuliwa kwa mtandao mkubwa wa kikanda wa usafirishaji haramu wa silaha, dawa za kulevya, na fedha haramu unaohusisha viongozi na nchi kadhaa za Afrika. Ripoti hiyo iliyopewa kichwa cha...
  7. O

    Mhalifu afichua mbinu ya kuwalewesha Watu kwa Dawa za Kulevya na kuwaibia

    Video inayosambaa mitandaoni inamuonesha mshukiwa aliyekamatwa akieleza kwa maafisa wa DCI jinsi yeye na wenzake wanavyowalaghai wananchi wasio na habari kuhusu dawa za kulevya na kisha kuwaibia. Katika video hiyo, mshukiwa anaonekana akiwa amefungwa pingu huku akionyesha kifurushi kinachodaiwa...
  8. 1995El

    Biashara ya Madawa ya Kulevya: Kwa nini biashara hii inaendelea kukua kati ya vijana?

    Kuna jambo moja ambalo jamii nyingi tunapenda kulizungumzia kwa kificho: dawa za kulevya. Ukimtazama kijana fulani leo ana simu nzuri, gari, anavaa vizuri na pesa ipo mfukoni, watu wengi huuliza, “Huyu anafanya kazi gani?” Lakini wakati mwingine hakuna anayethubutu kuuliza pesa hiyo imetoka...
  9. Jannatul Firdaus

    Libya yakamata dawa za kulevya zenye umbo la Gadafi

    Mamlaka nchini Libya zimekamata shehena ya maelfu ya vidonge vya dawa za kulevya aina ya ecstasy, vilivyokuwa vimeundwa kwa umbo la kichwa na mabega ya kiongozi wa zamani wa nchi hiyo, Muammar Gaddafi. Kwa mujibu wa maafisa wa usalama, dawa hizo ziliingizwa nchini humo kwa njia ya magendo...
  10. W

    Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya Tanzania kuwasaka "Mapapa" waliokimbilia nchi za Eswatini, Afrika Kusini, Msumbiji na Zambia

    Mamlaka ya Kudhibiti na Kup ambana na Dawa za Kulevya (DCEA) kwa kushirikiana na mamlaka husika za nchi za Eswatini, Afrika Kusini, Msumbiji na Zambia itaendelea kufanya operesheni za pamoja za kimkakati kwa lengo la kuwabaini, kuwakamata na kuwafikisha wahusika mbele ya vyombo vya sheria. Kwa...
  11. Roving Journalist

    DC Ludigija: Atoa wito Wananchi kushirikiana na Serikali kupambana na Dawa za kulevya Nchini

    Mkuu wa Wilaya ya Kwimba, Mwilabuzu Ludigija amewataka Wananchi kushirikiana na Serikali kwenye Mpango wa kuzuia na kupambana na Dawa za kulevya Nchini kwani jukumu hilo sio la Serikali pekee. Maneno hayo ameyazungumza leo 26/06/2026 Wilaya ya Magu alipomuwakilisha Mkuu wa Mkoa Wa Mwanza, Said...
  12. B

    Binti wa miaka 15 mwenye uraibu wa dawa za kulevya

    Familia ya PPM wa Mwanza, inawashukuru wote waliosaidia kusambaza taarifa za binti yao mwenye miaka 15 ambaye alitoroka kituo cha kusaidia kupambana na uraibu (Rehabilitation center) kiitwacho Vision of Hope Initiative kilichopo Njiro-Arusha. Binti alipelekwa kituoni hapo ili kusaidiwa...
  13. Mkalukungone Mwamba

    Wahukumiwa jela maisha kwa biashara ya dawa za kulevya

    Mahakama Kuu ya Tanzania, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, imewahukumu kifungo cha maisha jela Suleiman Thabit Ngulangwa na Farid Hamis Said baada ya kutiwa hatiani kwa kosa la biashara haramu ya dawa za kulevya aina ya heroin yenye uzito wa kilo 15.19. Katika hukumu iliyotolewa...
  14. R

    Lori lililobeba Dawa za Kulevya kutoka Malawi lakamatwa ikiingia Afrika Kusini

    Polisi wa doria ya mipakani nchini Afrika Kusini wamekamata lori lililokuwa likitokea nchini Malawi likiingia nchini humo likiwa limesheheni dawa za kulevya zenye thamani ya karibu randi bilioni moja (sawa na dola milioni 61). Katika msako huo, vikosi vya usalama viligundua zaidi ya kilo 700...
  15. R

    Viongozi wanaswa kwenye msako wa Dawa za kulevya

    Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imefanikiwa kukamata kilo 1,983.31 za dawa za kulevya na kuteketeza ekari 55.5 za mashamba ya bangi katika operesheni kabambe ya mwezi Machi 2026. Katika msako huo uliofanyika nchi nzima, watuhumiwa 77 walitiwa mbaroni huku vyombo vya...
  16. R

    Maduro azuiliwa kutumia fedha za serikali ya Venezuela kugharamikia utetezi wa kesi ya dawa za kulevya inayomkabili Marekani

    Waendesha mashtaka wa Marekani wamesema kuwa rais aliyeondolewa madarakani wa Venezuela, Nicolás Maduro, hapaswi kuruhusiwa kutumia fedha za serikali ya Venezuela kugharamia utetezi wake katika kesi ya biashara ya dawa za kulevya inayomkabili nchini humo. Waendesha mashtaka walisema serikali ya...
  17. R

    Mamlaka za Zanzibar (DCEA) imekamata dawa za kulevya zilizofichwa kwenye pipi, chocolate, korosho na shisha

    Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya Zanzibar (DCEA), kwa kushirikiana na Kikosi Kazi cha Uhalifu wa Kupangwa Zanzibar (ZTOCTF), imebaini mbinu mpya zinazotumiwa kusafirisha dawa za kulevya kwa kuzificha ndani ya bidhaa za kawaida zinazotumiwa na wananchi kila siku. Katika...
  18. PAYE

    Zanzibar yafuta usajili wa Meli ya EAGLE baada ya kukamatwa El Salvador kwa tuhuma za Dawa za Kulevya

    Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imetangaza kuifuta usajili wake mara moja meli ya EAGLE (IMO No. 8203074) kufuatia taarifa za kukamatwa kwa chombo hicho nchini El Salvador kwa tuhuma za kusafirisha dawa za kulevya. Kulingana na taarifa iliyotolewa Februari 27, 2026 na Mamlaka ya...
  19. BIG BROTHER ALEX

    Dawa za kulevya na Zanzibar, huyu member alisema, wakongwe mnakumbuka?

    Sikumbuki yule member alikua anaitwa nani? Iko hivi HUYU member ni WA shinyanga alienda zenji KUTAFUTA MAISHA, miaka hiyo ZAMANI SANA, alikua anafanya KAZI KWA wahindi. SIKU MOJA alifuatwa na MMOJA WA wahindi akamwambia ANATAKA afanye NAYE KAZI, AMPE MAISHA Yani HUYO member awe anafuata SAA...
  20. Carlos The Jackal

    Tangu 2021 kumekua na Ongezeko kubwa sana la Meli zinazopeperusha Bendera ya Tanzania na ambazo Zina Usajili wa Tanzania kukamatwa

    Kwa Sasa Mbwa kichaa ni lazima apewe majina yote mabaya mabaya ili Tumuue. Tangu 2021 kumekua na Ongezeko kubwa sana la Meli zinazopeperusha Bendera ya Tanzania na ambazo Zina Usajili wa Tanzania kukamatwa ama 👉Zinasafirisha Mafuta ya Magendo ya Wa Iran yalowekewa vikwazo ili yaingie katika...
Back
Top Bottom