dar

Darkənd (also, Dər, Dar, and Der) is a village and municipality in the Ordubad District of Nakhchivan, Azerbaijan. It is located in the south of the Ordubad-Nakhchivan highway, 15 km in the south-west from the district center, on the right bank of the Gilanchay River. Its population is busy with gardening, vegetable-growing, animal husbandry. There are secondary school and a medical center in the village. It has a population of 500. The ruins of the historical and architectural monuments is in the territory of the village. The tomb, the mosque's minaret, etc. is attracting attention.

View More On Wikipedia.org
  1. Wakazi wa Dar es Salaam, ni wakati muafaka kuitokomeza CCM katika uchaguzi wa serikali ya mitaa kutokana na kero ya maji.

    Kutokana na hujuma inayofanywa na DAWASA katika suala zima la kupatikana kwa maji, ni vyema kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa ni vyema kuikataa CCM kusimamia utawala wa mitaa yetu.
  2. Leo Mji wa Dar; Gesti, Hotel na Lodge nyingi zimejaa

    Inasikitisha sana kwa hali ya hewa ya leo kuna mtu anaenda kuambukizwa virusi vya Ukimwi, leo hii kuna mtu anaenda kubambwa na mke wa Mtu, Leo hii kuna mtu atapata mimba isivyotarajiwa na safari ya usingle mother inaanza kwake rasmi, Leo hii kuna mtu atafuma meseji za usaliti na violence...
  3. N

    TBL, wadau wajadili usalama wa maji kwa Dar

    Waziri wa Maji, Jumaa Aweso (wa pili kulia) na Mkurugenzi wa Usambazaji Maji wa Wizara ya Maji, Joyce Msiru (katikati) wakipokea ripoti ya Maji inayolenga kukabiliana na changamoto za usalama wa maji jijini Dar es Salaam kutoka kwa Michelle Kilpin, Mkurugenzi Mtendaji wa Tanzania Breweries...
  4. Maeneo gani mazuri kumtembeza mgeni jijini Dar?

    Ni kabinamu changu ila undugu wa mbali kidogo wa ma bibi na mabibi huko alafu ni kapeace kishenzi kametoka Katavi huko hakajawahi kufika Dar hata siku moja ila kamewahi kwenda Arusha sasa juzi tumekutanishwa home na kwa hizi siku tatu kangependa kakate kiu ya kulifurahia jiji hili la raha na...
  5. Ushirikiano wa Tanzania na Japan Kuwezesha Ujenzi wa Flyover Morocco - Dar

    USHIRIKIANO WA TANZANIA NA JAPANI KUWEZESHA UJENZI WA FLYOVER MOROCCO – DAR. Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa Serikali ya Tanzania inaendelea kuimarisha ushirikiano na Japani hususan katika Sekta ya miundombinu ambapo Tanzania inaendelea na mazungumzo na nchi hiyo ya...
  6. House4Sale Mtoni Kijichi: 4 Bedrooms House For Sale - Dar

    • Direction: Kijichi • Facilities: Main house (4 bedrooms, 3 washrooms); 2 servants quarter • Plot Area: 3,800 sqm • Document: Title deed • Price: TSH 450 million • Viewing charge: TSH 30,000 . ✓ vyumba master 2 na kawaida 2; ✓ sebule, dining, jiko, stoo, choo cha public, chumba cha kufulia...
  7. Ukosefu wa maji mkoa wa Dar es Salaam,je mtaani kwako kuna maji?

    Sisi wakazi wa mbezi Louis hatuna maji wiki ya pili sasa kwa taarifa za uhakika ni mkoa mzima unatatizo la ukosefu wa maji na huenda waziri Aweso akawa waziri wa tatu kutoka tanga kutimuliwa baada ya Ummy Mwalimu na Januari makamba! Je, mtaani kwako kuna maji? Unateseka na kadhia hii ukiwa...
  8. Changamoto bandari ya Dar es Salaam

    Jamani ndugu zangu kunakitu hakipo sawa ndani ya bandari ya dar es salaam Kuna uchekeweshwaji mkubwa wa kutoa mizigo kwenye bandari ya dar es salaam iko hivii meli zinashusha mizigo lakini mizigo bandarini haitoki sijui tatizo nini Mfano mimi nina mizigo ya wateja tv zimeshuka tangu mwezi wa...
  9. RC Chalamila avunja ukimya Matukio ya Utekaji, Mauaji ya Watu na Maandamano Dar es Salaam

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila, akizungumza katika ziara yake Temeke ya kukagua utekelezaji wa miradi ya maendeleo na kuzungumza na wananchi hapo jana Oktoba 1, amevunja ukimya kuhusu matukio ya utekwaji wa watu na maandamano yaliyofanyika na CHADEMA Septemba 23 katika jiji hilo...
  10. M

    Nataka kuku waliomaliza kutaga 1000+(ex layers)

    Nataka kuku layers waliomaliza kutaga bei ya jumla 11,000 nipo dar es salaam, mawasiliano 0621 863 980,nataka kuanzia 1000+ na zaidi
  11. Kwa Dar es salaam. Ni wapi naweza kwenda kusoma kozi ya Store keeping japo Nipatie Certificate tu.

    Nitashukuru zaidi kama utaniambia na Bei ya hiyo kozi na muda wake hadi kozi kuisha. Natanguliza shukrani
  12. Tatizo la Maji Dar es Salaam na Pwani

    Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA), inahitajika kufanya innovation katika idara ya manager watu hatuwezi kuwa na viongozi ambao hawajitambui katika wajibu wao uliowafanya wawe hapo! You can imagine maji hayatoki takribani siku 4 sasa na this later imetolewa...
  13. Nani supplier mkubwa wa mayai ya kisasa dar

    Nahitaji kufanya biashara ya mayai, nani supplier au mzalishaji mkubwa. Niko dar
  14. House4Sale Upanga: 9th and 10th Floors 2 Bdrm Apartments For Sale - Dar

    • Direction: Mindu • Facilities: (2 bedrooms, 2 washrooms) x 2 • Floor Area: 81 sqm • Document: Sub Title • Price: Each USD 75,000 (payment in TSH accepted) • Viewing charge: TSH 30,000 . ✓ zipo apartment 2. Moja ghorofa ya 9 na nyingine ya 10 ✓ zote zinajitosheleza. Kila moja chumba master 1 na...
  15. Kwanini Waislamu wengi wanaonekana mafukara kuliko Wakristo?

    binafsi nimefanya tafiti katika makanisa na misikiti, haswa katika utoaji sadaka unakuta ukienda makanisani wakati wa sadaka,wanakuwa na bonge la kapu hilo kapu hela zitakozajaa mule haujahesabu unasema pale si chini ya milion 1, njoo huku kwa waislamu unakuta sheikh anachangisha sadaka kwenye...
  16. House4Sale Temeke Mtoni: 2 Apartments and 5 Frames For Sale - Dar

    • Direction: Kijichi Neluka • Facilities: (2 bdrm, 2 washrooms) x 2; 5 Frames • Plot Area: 400 sqm • Document: Title deed • Price: TSH 150 million • Viewing charge: TSH 30,000 . ✓ apartments zinajitosheleza. Kila moja chumba master 1 na kawaida 1 ✓ kuna fremu za maduka 5 ✓ kwa mwezi apartment...
  17. House4Sale Mbagala: 3 Bdrm House and 2 Frames For Sale - Dar

    • Direction: Zakhem Dar Alive • Facilities: 3 bedrooms, 2 washrooms, 7 backyard bedrooms, 2 Frames • Plot Area: 700 sqm • Document: Title deed • Price: TSH 70 million • Viewing charge: TSH 30,000 . ✓ inajitosheleza. Vyumba master 1 na kawaida 2 ✓ banda la uwani lina vyumba 7 na mbele kuna fremu...
  18. House4Sale Mbagala: 3 Bdrm House For Sale - Dar

    • Direction: Zakhem • Facilities: 3 bedrooms, 2 washrooms • Plot Area: 1,000 sqm • Document: Title deed • Price: TSH 75 million • Viewing charge: TSH 30,000 . ✓ vyumba master 1 na kawaida 2 ✓ ina malumalu, gypsum na madirisha ya vioo ✓ ina uzio, paving na parking ✓ pana maji ya bomba na tenki la...
  19. Jumamosi ya kesho asubuhi safari ya baiskeli ya Dar kwenda Butiama itaanza

    Hii ni kumbukizi ya Mwalimu Nyerere,safari ya kila mwaka. Itaanzia hapa Msasani Residence saa tatu asubuhi. Sometimes anaalikwa kiongozi wa Serikali to flag them off. Last time waliagwa na DC Gondwe. Wanaokwenda na baiskeli,huwa wanapita hii njia ya Bunju kuelekea Msata halafu kula mbele...
  20. Wapi naweza kupata eneo zuri la kujenga jijini Dar Es Salaam?

    Habari za mda huu natafuta Kiwanja Dar maeneo mazuri yaliyotulia kwa ambae anacho naomba tuwasiliane bajeti yangu 10M hili jambo lipo serious na tunaweza kufanya biashara Hata leo hii nawakaribisha maoni yenu ni wapi pazuri kujenga Kwa Dar es Salaam hata kwa Kibaha itakuwa poa naomba mnitajie...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…