dar

Darkənd (also, Dər, Dar, and Der) is a village and municipality in the Ordubad District of Nakhchivan, Azerbaijan. It is located in the south of the Ordubad-Nakhchivan highway, 15 km in the south-west from the district center, on the right bank of the Gilanchay River. Its population is busy with gardening, vegetable-growing, animal husbandry. There are secondary school and a medical center in the village. It has a population of 500. The ruins of the historical and architectural monuments is in the territory of the village. The tomb, the mosque's minaret, etc. is attracting attention.

View More On Wikipedia.org
  1. Uduvi ndio kitu gani huko nyie watu wa Dar es Salaam?

    Watu wa Daslamu mna mambo mengi sana. Huu uduvi anaoubeza MKuu wa Mkoa ni kitu gani? Kuna mwanaJF humu anauza uduvi?
  2. A

    KERO Lack of professionalism among the Ferry Officers

    Mimi ni tourist from Kenya. I recently visited Dar es Salaam. Na nilivyokuwa Dar nilipanda ferry kuelekea Kigamboni.. and back.. On my way back to the other side a certain askari hapo tu ferry akaniita ati nimwonyeshe simu yangu my gallery eti nimepiga picha ilhali sijapiga picha kabisa...
  3. Natafuta location nzuri ya kuweka stationery hapa Dar es Salaam. Naomba ushauri wako

    Wakuu naomba ushauri ni sehemu gani hapa Dar es Salaam naweza kuweka stationery ya kawaida tu sio kubwa na nikapata mzunguko mzuri wa pesa. Ukinishauri nitaenda kutembelea eneo na kupima kutazama najua wataalam wa fursa mpo unaweza ukawa umeona sehemu inayofaa nitashukuru ukinipa ushauri. Kuna...
  4. B

    Maandamano ya Jubilee Kuu 2025 jijini Dar es Salaam

    29 December 2024 Dar es Salaam Maandamano ya Jubilei Jimbo Kuu jijini Dar es Salaam 2025 https://m.youtube.com/watch?v=hDK2Hmt-zN8 yaliyoanzia kanisa la St Peters lililopo Oysterbay Mbuyuni hadi kanisa kuu la St Joseph eneo la Posta katika ya jiji la Dar es Salaam eneo la Posta. Huko Tabora...
  5. Ni aibu Kijana unaishi ndani ya Jiji kama Dar es Salaam halafu unateswa na mahusiano

    Kabla ya yote, Maisha ni Mahusiano Dar es Salaam kama yalivyo majiji mengi kuna idadi kubwa ya watu. Na sehemu kubwa ya hao watu ni vijana. Kila mwaka kuna idadi kubwa ya vijana wa kike na kiume wanaingia jijini, iwe kutafuta elimu, kutafuta kazi, na hata kutembelea ndugu. Na wengi hapo...
  6. Wauza uduvi jijini Dar hatarini kuolewa!

    Wauza uduvi wote Dar wapewa tahadhari ya kujiongeza vinginevyo WATAOLEWA! **Mwenye mahari anakaribishwa https://youtu.be/LIjez6dA9jw?si=-v8WNpI7o76jClr2
  7. Hivi wizara ya ardhi inapoteua Mahakimu wa mahakama zao huwa inawapa hadhi ya uchifu? Nimekuta wawili hapa Dar wana miaka 10

    Nimeenda nimerudi, hawa jamaa wapo, hawahamishwi, tofauti na mahakama za kawaida. Sijui kama Wizara wana utaalamu na mila za kuendesha mahakama kwamba hawa watu wa maamuzi hawatakiwi kuwa miaka 10 au 15 kituo kimoja
  8. Hii mbegu ya bamia inafaa Kwa soko la dar?

    Nataka kupanda hii mbegu Vipi sokoni inafanya vizuri? Au Kuna species nyingine Haswa Kwa soko la dar
  9. M

    Vijana wa Dar acheni kulia lia njaa wakati kuna bahari

    Inakuwaje wanajamvi. Vijana wa Dar acheni kulia lia njaa wakati wote wakati kuna bahari karibu yenu. Nendeni mkajishughulishe na shughuli za uvuvi kuliko kushinda vibarazani mkipiga umbea na porojo. Kilimo tu mnakwepa halafu mnaendekeza anasa na kupenda kula kula na kufakamia msosi wakati mkoa...
  10. Dar es Salaam: Taarifa kwa Umma kutoka TRA

  11. Kwanini Mbowe aliahirisha ghafla safari ya kwenda Dar na siku hiyohiyo Lissu akapigwa risasi?

    Wakuu kwema? Nini kiitokea kikafanya Mbowe aahirishe ghafla safari aliyokuwa ameipanga? Hamuoni kwamba ana machale? Nashauri tumpitishe kwa kishindo ili machale yake yaendelee kukibeba chama. Makamada piiipooooz.
  12. E

    Makachu divers wahamia Dar baada ya kutimuliwa Zanziber

    Hawa jamaa Makachu divers wamejizolea sifa nyingi zanziber lakini ghafla serikali ya zanziber imesitisha huu mchezo. Ila nasikia wamehamia coco beach. Kabla ya kuruhusu huu mchezo ni bora kuangalia yaliyosababisha ukafungiwa zanziber yasijejitokeza na huku. Pili huu mchezo ni kama hatarishi...
  13. Kwa mara ya kwanza ndani ya miaka 25 Mbowe asherekea Xmas Dar badala ya K'njaro, kweli Lissu sio mtu wa mchezo mchezo

    Huku Mbowe akiona uenyekiti ukipita katikati ya vidole vyake na kumpokonya. Kwa mara ya kwanza ndani ya miaka 25, ( kutoka kwa watu wa karibu wa Mbowe), mheshimiwa anasherekea sikukuu za mwisho wa mwaka ndani ya Dar es Salaam badala ya Kilimanjaro. Mbowe na timu yake wameamua kutumia muda huu...
  14. Kuagiza chakula online Hapa Dar

    Kuna wajasiriamali Wengi Sana siku online wanatangaza kupika vyakula mbali mbali na kutangaza unaweza agiza chakula online ...kinakufikia... Nna watu wengi waliowahi agiza vyakula kutoka restaurants mbalimbali wanakutana na changamoto nyingi Sana... Kwanza ..kinachotangazwa na kinachofika...
  15. Ikikupendeza Rais Samia, tunaomba SGR Dar es Salaam - Arusha

    Miji ya Tanga, Kilimanjaro na Arusha ni kanda muhimu sana kiuchumi na kwa pamoja inachangia kiasi kikubwa cha pato la taifa kutokana na kilimo, biashara hasa ya madini, na utalii. Ukizingatia Mlima Kilimanjaro, Oldonyo Lengai, Mlima Meru, Mbuga ya Wanyama Pori ya Saadani, Mbuga ya Wanyama Pori...
  16. Dar es Salaam patengenezwe sehemu ya kupiga mbizi

    Nimeona wale vijana wa makachu wamekuja Coco beach. Wazo langu naishauri wilaya ya ilala pale pangeboreshwa pakawekwa ngazi na retaining wall na pakasafishwa . Pakiwa promoted ufalme wa Zanzibar utahamia Dar pale patakua kama Forodhani. Afisa utalii changamkia fursa hii
  17. Dar - Joburg -Dar (ATC 523 USD Vs Malawian 323 USD)?

    Destination Ile Ile (3-4hours) ila tofauti ya nauli inazidi 200USD anyway kupanga ni kuchagua!! Nionavyo ni kama tunamfanyia Promo Malawian airlines bila kujua Hope ndege yetu inajaa!
  18. S

    DOKEZO Responded Baadhi ya wanafunzi waliopata Samia scholarship UDSM wakumbana hali ngumu kufuatia kutopata fedha za kujikimu na ada ya masomo

    Changamoto za Wanafunzi Walionufaika na Samia Scholarship – Ombi la Msaada Tunapenda kuwasilisha changamoto zinazowakumba baadhi ya wanafunzi walionufaika na Samia Scholarship katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Wanafunzi hawa wanakumbana na hali ngumu kufuatia kutopata fedha za kujikimu wala...
  19. Naulizia machinjio ya kitimoto Jijini Dar es Salaam

    Naulizia machiinjio ya kitimoto jamani katika Jiji hili la Dar es Salamaa
  20. Soko la kuku wa kienyeji Dar

    Habari wakuu . Nakuja mbele yenu wadau na wapenda maendeleo kuomba muongozo juu ya soko la kuku wa kienyeji Kwa Dar na majiji mengine mimi ni mfugaji ikiwezakan nipate connections ya maeneo ambapo nawez kuuza.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…