dar

Darkənd (also, Dər, Dar, and Der) is a village and municipality in the Ordubad District of Nakhchivan, Azerbaijan. It is located in the south of the Ordubad-Nakhchivan highway, 15 km in the south-west from the district center, on the right bank of the Gilanchay River. Its population is busy with gardening, vegetable-growing, animal husbandry. There are secondary school and a medical center in the village. It has a population of 500. The ruins of the historical and architectural monuments is in the territory of the village. The tomb, the mosque's minaret, etc. is attracting attention.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania LGE2024 Godbless Lema: Dar Ghorofa limeanguka limeua watu 20, wale watu wameuawa na Serikali. Vibali vimetolewa kihuni watu wamekufa

    Akiwa kwenye kampeni leo mjini Arusha, Godbless Lema "Juzi mmeona Dar es Salaam, na hili jambo huwa nalisema kila siku yeyote anayekataa kupigania zana ya Utawala bora atakutwa na mauti ya kudharau zana ya utawala bora. Dar es Salaam ghorofa limeanguka limeua watu karibu 20, ile ni kukosekana...
  2. JamiiForums Tanzania Huu ujenzi unaoendelea hapa Dar es Salaam unamaanisha uchumi umefunguka?

    Hapa DSM kila sehemu panajengwa , maghorofa yaliyokwama wakati wa magufuli sasa yanajengwa . Ukiwa haufanyi baishara au haupo Latina circle ya waliojipata hauwezi kuelewa namna hela inavyopatikana Kwa sasa
  3. JamiiForums Tanzania Posta posta city centre

    SONEL - POSTA. Chorus.. Posta posta city centre Posta posta city centre Posta posta Dar hii bwana kila mtu ukimuuliza anakwenda posta / Say.. Verse.1.. hi ndio posta Dar town city centre / vijana kwa wazee bila kazi wanapeta/ posta barabara kabeti mighorofo ilivyo jiseti/ utadhani ulaya...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa laki tatu Dar

    Wakubwa mtu akipata deal la laki 3 Dar es salaam, ni kama mpya hajawahi fika na hana sehemu yeyote ya kufikia. Kwa mshahara wa laki 3 anaweza Toboa Dar?
  5. J

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Uovu WA CBE kampasi ya Dar mwaka 2024

    Katika mwaka 2024, Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) kampasi ya Dar es Salaam kimekumbwa na changamoto kadhaa ambazo zimeleta malalamiko kutoka kwa wanafunzi na wadau mbalimbali. Makosa haya yameathiri kwa kiasi kikubwa uzoefu wa wanafunzi na ubora wa elimu inayotolewa. tuanze na 1. Uchaguzi...
  6. JamiiForums Tanzania Nitakuwa Dar kuanzia Desemba 1

    Nitakuwa jijini dar kwa wiki 2 ,kuanzia disemba 1, kwa safari ya kibinafsi,ambae ni mwanachama wa jf na angependa tukutane ntafurahi sana. Wasalaam Fimboyaukwaju
  7. E

    JamiiForums Tanzania Kampuni ipi bora inayouza viwanja dar es salaam

    Salaam Mwenye uzoefu na kampuni inayouza viwanja, anisaidie Yapo ninayoyajua ila ujanja mwingi Karibuni
  8. P

    JamiiForums Tanzania DP World kapewa bandari zote au ni Dar peke yake?

    Habari za jioni wakuu, naomba kuuliza, DP world amepewa aendeshe Bandari ya Dar Pekee au zimo na za mikoani pamoja na Tanga na Mtwara? Pia kampuni ya MRC pale bandarini inajihusisha na Nini?
  9. JamiiForums Tanzania Natafuta Peanut butter Mashine ya Kukodisha Kwa Dar

    Salaam Wadau.Kama Una Mashine ya kusaga Karanga kuwa rojorojo upo Dar, njoo tuzungumze biashara. Tunaweza kukupa mzigo kisha tukapatana utupe finished product au kila kitu kwako Sisi tunachukua rojorojo.Mashine iweze Kuchakata angalau Kilo 200 kwa Siku.
  10. JamiiForums Tanzania Bashungwa: Kuanzia Januari 2025, Vivuko vitakuwa vinasubiria abiria, Sea Tax kuongezwa Dar

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa Serikali kupitia Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) kwa kushirikiana Kampuni ya Azam Marine zinaendelea kuboresha utoaji wa huduma za usafiri wa vivuko katika eneo la Magogoni – Kigamboni jijini Dar es Salaam ambapo kufikia mwezi Januari 2025...
  11. H

    JamiiForums Tanzania Joto la Dar kizuizi cha ongezeko la watu

    Idadi ya watu kuongezeka inapelekea kukutana na kashikashi zitokanazo na Joto la Dar kwa sababu linapunguza NGUVU za KIUME kwa maana ya kukosesha hamu ya kufanya mapenzi na hivyo kupelekea tendo la ndoa kuwa lenye kukosa Radha na hivyo kutishia uwajibikaji wa kufanya Hilo tendo lenye malengo...
  12. JamiiForums Tanzania Polisi wamsafirisha Niffer hadi Dar kutokea Dodoma baada ya kujisalimisha kufuatia agizo la Waziri Mkuu la kukamatwa

    Jeshi la Polisi limemsafirisha kwenda jijini Dar es Salaam mfanyabiashara wa mtandaoni, Jenifer Jovin maarufu Niffer baada ya kujisalimisha polisi jana. Mfanyabiashara huyo alijisalimisha kwa Jeshi la Polisi jana baada ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kuagiza Jeshi hilo kumhoji kwa kosa la...
  13. JamiiForums Tanzania Dar: Waziri mkuu aongoza Wananchi kuaga miili ya waliofariki kwa ajali ya kuporomoka kwa jengo la ghorofa kariakoo

    WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameongoza maelfu ya wananchi wa Dar es Salaam kuaga miili ya waliofariki kutokana na ajali ya kuporomoka kwa jengo la Ghorofa eneo la mtaa wa Congo na Mchikichi kata ya Agrey Wilaya ya Ilala Jijini Dar es Salaam lililoanguka tarehe 16 Novemba, 2023. Tukio la ibada...
  14. JamiiForums Tanzania DOKEZO Hali ya ghorofa la "Hall Two", Chuo Kikuu cha Dar es Salaam ikoje? Mara ya mwisho kulikuwa na habari kwamba limeinamia upande mmoja

    Wakati nikibukua pale jalalani, ilitokea sintofahamu kwamba jengo la ghorofa la Hall Two, linainama/linatitia kwa kuelekea upande wa nyuma kwa taratibu sana. Unaweza kusoma UDSM hall 2 na 5 zenye ghorofa 11 hazina muda mrefu zitadondoka Woga ulipita, na nadhani hata kwenye media iliwahi...
  15. JamiiForums Tanzania Plot4Sale Magomeni: 350 Sqm Plot For Commercial and Residential For Sale - Dar

    • Direction: Magomeni Makanya • Facilities: Old house and 6 frames • Plot Area: 350 sqm • Document: Title deed • Price: TZS 250 million • Site Visiting: TZS 30,000 . ✓ ni kiwanja cha kona ✓ kipo mtaa mzuri ✓ kinafaa kwa ujenzi wa makazi na biashara . #InRealEstateWeConnect ☎💬 +255767157788...
  16. JamiiForums Tanzania Plot4Sale Boko: 2,200 Sqm Fenced Plot For Sale - Dar

    • Direction: Basihaya, the road to Ununio, 400 meters off Bagamoyo Road • Facilities: wall fence, servant quarter • Plot Area: 2,200 sqm • Document: Title deed • Forced Value: TSH 300 million • Site visiting: TSH 30,000 . ✓ kimezungushiwa ukuta na kina nyumba ya mtumishi ✓ miundo mbinu yote ipo...
  17. JamiiForums Tanzania Vipi likitokea tetemeko la Ufa au Tsunami Dar? Ghorofa za mji zitahimili?

    Majanga ya asili duniani yapo na yanaweza kutokea muda wowote. Kuna maeneo mfano Asia nchi kama za Japan, China, Indonesia, Uturuki, Iran n.k wao matetemeko ya ardhi ni sehemu ya maisha, nchi kama Marekani wao vimbunga ni sehemu ya maisha. Hizi nchi wanajipanga sana kupunguza madhara ya haya...
  18. N

    JamiiForums Tanzania Hivi Serikali ilipohamia Dodoma ilikuwa ni Majengo na Ofisi lakini Watawala walibaki DAR?

    Leo nimeona WATAWALA wana wahi kwenye eneo la MAJANGA kariakoo, ni kwamba wanaishi hapa hapa DAR es Salaam au waliletwa kutokea Dodoma? Kama bado wapo Dar es Salaam, nani alienda Dodoma? na Kwanini wao bado wanaishi Dar es Salaam badala ya kuwa Dodoma? PIA SOMA - LIVE - Live Updates Kuporomoka...
  19. JamiiForums Tanzania Emergency response team ya Dar es Salaam imekua kulinganisha na zamani

    Ukweli usemwe. Hakika naiona coordination ya hali ya juu namna Team ya kukabiliana na Majanga Dar es Salaam inavyoweza kupambana na majanga ya kipekee na ya aina tofauti tofauti. Tuendelee kutambua mapungufu ili wayaboreshe siku hadi siku. Mungu awape nguvu frontliners wote na wananchi kwa...
  20. P

    JamiiForums Tanzania Kuwe na mkakati maalumu wa kupunguza idadi ya Wakazi katika mkoa wa Dar es Salaam

    Serikali kupitia mamlaka husika hasa mipango miji, ingepunguza au kuweka idadi kamili ya wakazi katika mkoa wa Dar es Salaam. Dar es Salaam watu wamerundikana sehemu moja kuanzia makazi hadi vyombo vya usafiri. Sasa kwa nia njema kwanini kusiwe na mpango wa ku zuwia ongezeko la idadi ya watu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…