dar

Darkənd (also, Dər, Dar, and Der) is a village and municipality in the Ordubad District of Nakhchivan, Azerbaijan. It is located in the south of the Ordubad-Nakhchivan highway, 15 km in the south-west from the district center, on the right bank of the Gilanchay River. Its population is busy with gardening, vegetable-growing, animal husbandry. There are secondary school and a medical center in the village. It has a population of 500. The ruins of the historical and architectural monuments is in the territory of the village. The tomb, the mosque's minaret, etc. is attracting attention.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Wakusanya ushuru wa maegesho Dar es Salaam wagoma

    Makusanyo ya maegesho ya magari jijini Dar es Salaam yanayokadiriwa kufikia Sh 25 milioni kwa siku huenda yakatoweka kutokana na mgomo wa wakusanya ushuru huo kutoka kampuni ya Excel Parking Service (EPS). Wakusanya ushuru hao wamegoma wakidai kutolipwa mishahara yao miezi miwili. Tofauti na...
  2. JamiiForums Tanzania RPC wa Dar es Salaam Muliro una Taarifa kuwa Mauwaji ya Kikatili kwa Madereva Bodaboda yamerejea tena?

    Ndani ya Wiki Moja nimetoka Kuhudhuria Misiba ya Madereva Bodaboda Wawili ( tena Vijana kabisa Masikini ya Mungu ) na Wote wameuwa Kikatili ( Kishalubela ) na Watu wanaowapora Pikipiki zao huku Wakiwatoboa na Kuwanyofoa Macho yao. Muda huu huu kuna Mwana ( Rafiki ) nae ananiambia atachelewa...
  3. JamiiForums Tanzania Msaada: Ratiba za minada ya wiki mkoani Dar es Salaam

    Mwenye kufahamu ratiba ya midana mkoa Dar es Salaam naomba anisaidie. Si lazima ujue ratiba ya minada yote ndio ushare, hata huo mmoja unaoufahamu ukichangia itasaidia sana. Asante
  4. JamiiForums Tanzania Jengo la kitega uchumi Dar es Salaam

    Jengo hili ambalo miaka ya 80/90 ndio lilikuwa refu kuliko yote Dar es Salaam; lilijengwa miaka ya 60 na Dr Krizant Mzindakaya. Ndiye aliyesimamia ujenzi wake kwa gharama ya 40000/=tsh, ndio elfu arobaini tu!
  5. T

    JamiiForums Tanzania Kuna siri gani tumehamishiwa wakuu wote wa wilaya za Dar?

    Nimeshtushwa sana baada ya kuona wakuu wote wa wilaya za Dar wakihamiswa kwa mpigo sijajua nini maana yake. Yaweza kuwa ni taa ya kijani kwa mkuu wa mkoa pia?
  6. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO University of Dar es Salaam Business School (UDBS), kuvuja kwa mtihani (test) ya Information Management Systems (IM 305), uliofanyika tarehe 18/01/022

    Wakuu, Kama kichwa cha thread kinavyosema. Siku ya tarehe 18/02/2022 Saa saba Kamili ulifanyika mtihani wa INFORMATION MANAGEMENT SYSTEMS (IM 305). Baada ya kutoka kwenye mtihani huo, wanafunzi baadhi walionekana kuwa na huo mtihani kwenye simu zao, ukionekana kupigwa picha mapema kabla ya...
  7. JamiiForums Tanzania Ukienda Mjini kutafuta Maisha hakikisha unafanya haya

    UKIENDA MJINI KUTAFUTA MAISHA HAKIKISHA UNAFANYA HAYA Anaandika, Robert Heriel Leo sina mengi ya kusema, najua Maisha hayana Formula Ila zipo Formula katika Maisha. Ukitaka chukua usipotaka Acha. Ooh! Mimi ni kijana, nina miaka 25, sina hili wala lile. Sijui nikatafutie wapi Maisha. Mimi...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kusafirisha mazao kutoka Karagwe mpaka Dar es Salaam

    Habari wakuu, Naomba mwenye usafiri au mwenye kujua bei za kusafisha mazao kutoka Karagwe kwenda Dar anijuze ni shilingi ngapi kwa gunia la kilo 100. Asanteni
  9. JamiiForums Tanzania DAWASA kwanini mmekata Maji bila Taarifa Kawe huku mkijua kuwa ndiyo Dar es Salaam na Tanzania?

    Kwanza kwanini mkate Maji eneo la Kawe? Hivi hamjui kabisa kuwa Kawe wanakaa akina nani? Mnataka Kazi au hamtaki? Watendaji wa DAWASA kwa sasa naumalizia Usingizi wangu ila nikiamka Saa 2 Kamili naomba nikute Mabomba yote ya Kawe yanatiririsha Maji vinginevyo nitakuja hapo Ofisini Kwenu na...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Hospitali gani ya binafsi kwa Dar inafanya vipimo vya uwezo wa kusikia?

    Nataka nifanyiwe vipimo vya kiwango Cha uwezo wa kusikia(Hearing capacity). Kutoka mkoa mmoja mpaka mwingine kwa hospital za serikali hasa ukiwa mtumishi wa umma Huwa Ina mlolongo mrefu sana. Naomba kujua ni hospital ipi naweza kwenda na nkapata huduma hii kwa haraka Ili niendelee na mambo...
  11. E

    JamiiForums Tanzania Big November Crusade ilibadili Dar

    Niwe mkweli mikutano hii ya injili ilibadili maisha ya wengi tena baadhi waliacha uovu na kumrudia Mungu. Leo hii viongozi wetu wa DINI hawana hii mikutano mikubwa ya INJILI ya kuwaleta watu wamjue Mungu. Kwa nini? NB: Tulijaa kwa maelfu pale uwanja wa JANGWANI miaka ya 1991-1994.** RIP...
  12. JamiiForums Tanzania Ripoti: Zaidi ya Nusu ya Wanawake wa Dar es Salaam wana uzito uliopitiliza

    Licha ya jitihada zinazofanywa na wanawake waishio mjini ikiwamo jijini Dar es Salaam, ripoti ya Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) inaonyesha idadi ya wanaoelemewa na uzito inaongezeka. Ripoti hiyo ya utafiti wa Ufuatiliaji wa Kaya (NPS) ya mwaka 2020/21 inaonyesha asilimia 47 ya wanawake wenye...
  13. JamiiForums Tanzania FT: Yanga 1(OG)-0 Dar City, goli la kujifunga

    Utopolo ikiwa na kikosi kamili imeshindwa kufurukuta kabisa dhidi ya Dar City katika mechi ya kirafiki. Hii ilikuwa mechi ya kirafiki iliyochezwa jioni ya leo. Mbali na maelekezo ushindi wa Yanga unategemea neema za Mungu tu.
  14. JamiiForums Tanzania Nimepanda basi toka Dar kwenda Mwanza kukiwasha japo kwa shingo upande

    Naelekea Mwanza kwenda kukiwasha. CCM ni janga la taifa. Limezidi kuwakandamiza watanzania kwa kuendeleza umasikini. Tozo haramu, ufisadi na ubwanyenye. Nitakiwasha jukwaani uwanja wa furahisha mpaka kieleweke.
  15. JamiiForums Tanzania Uber yarejea kutoa huduma za usafiri Dar

    Kampuni ya huduma za usafiri kwa njia ya mtandao ya Uber Limited, imetangaza kuresha huduma zake rasmi baada ya kuisimamisha huduma hiyo tangu Aprili 2021. Kampuni hiyo hiyo iliyositisha huduma zake Aprili 2022, ikipinga kanuni mpya za usafiri wa teksi mtandaoni zilizotangazwa na Mamlaka ya...
  16. JamiiForums Tanzania Msiofahamu maeneo ya Dar es Salaam kwenye mahusiano tambueni hili

    Tuliozaliwa Dar ndio tunajua eneo fulani ukipenda huko kubari matokeo yake au majibu yake. Watu wengi wanakuja dar na kujikuta wameingia kwenye mahusiano na wenyeji au wakuja waliozoea. leo tunabaki kusema mikoa na makabila ila tuje Dar na wananchi wake: Kinondoni Hapa mapenzi kila mtu mjuaji...
  17. JamiiForums Tanzania Balance ya maendeleo ikikosekana Dar itakuwa kimbilio la kila mtu mpaka wasio na ajira

    Kama umebahatika kuingia mikoani na vitongoji ndani ndani unaona kabisa watu wanaishi tu basi ila tu sababu wapo kutafuta mkate na ukiangalia kila familia iliyopo mkoani kazi ya ndugu 1-9 wote wapo Dar. Sababu zinazopelekea Dar kila mtu kuwepo ni kutobalance huduma na maendeleo vyuo vizuri vipo...
  18. JamiiForums Tanzania Nauli mpya za Mwendo Kasi Dar zimeanza kutumika leo 16.1.2023

    Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) imetoa bei mpya za nauli kwa watu wazima wanaosafiri katika njia kuu na mlishi zinatakazoanza kutumika leo ambazo zimeidhinishwa na Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA). Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Meneja Uhusiano wa Dart, William Gatambi...
  19. JamiiForums Tanzania Tunamshukuru sana Mungu Dar es Salaam haipo Kanda ya Kaskazini au kanda ya ziwa

    Tunamshukuru sana mungu mzizima haipo kanda ya kaskazini au kanda ya ziwa kwa hakika kama ingekuwa katika kanda hizo bila shaka wananchi wa mikoa mingine wasingeweza hata kukaribia au kunusa tu ila mungu kwa ufundi na busara hatimaye Dare Ssalaam ipo hapo ilipo. Wenyeji wa mzizima kwa hakika si...
  20. JamiiForums Tanzania Huduma ya Train Dar - Arusha ni fedhea

    Habari wana Jf Kuna changamoto kadhaa kwenye tren zetu za Dar to Arusha/ Arusha to Dar la kuhusu huduma kwa ujumla hususani kwa watalii ambao wanatumia huu usafiri ni la kulifanyia kazi haswa ukizingatia Kwa sasa wazungu /watalii wengi wanapanda hizi tren kama sehemu ya utalii au budget...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…