dalili

Dalili is a Persian surname. Notable people with the surname include:

Raz Dalili (born 1959), peace educator in Afghanistan
Raz Mohammed Dalili (born 1959), Governor of Paktia Province in Afghanistan

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kama Unaona Dalili hizi 7 katika Mahusiano yako anza Kufikiria Kuondoka

    Kama mahusiano yako yanakufanya ujisikie kuchoka na hauna raha,basi si wakati muafaka kwako kuendelea nayo Kama unajikuta kila unachofanya ni kwa ajili ya kuhakikisha mahusiano yako yanaendelea basi jua unapoteza namna ya kufanya mambo yako mengine,kwa maana nyingine umepoteza uhuru wa kufanya...
  2. JamiiForums Tanzania Kuna dalili yoyote tajiri namba moja akapewa wizara huko Marekani?

    Kutokana na tajiri namba moja duniani kuwa kwenye timu ya kampeni, na hatimaye kushinda; Je kuna dalili yoyote ya yeye kupewa wizara? Na kama atapewa, itakuwa ni wizara gani? Ingawa wapo wanao hisi kwamba, kutokana na yeye kushiriki kwenye siasa inawezekana anapalilia njia ya kuwania nafasi ya...
  3. JamiiForums Tanzania Dalili saba zinazoonyesha kwamba wewe ni mtu wa maana au mwenye thamani

    Mosi,unajua unaweza usikubaliane na watu baadhi ya mambo bila kuvunjiana heshima,na unaweza usikubaliane nao bila kupandisha sauti yako. Naam pamoja na kutokubaliana na watu katika baadhi ya mambo lakini haikupi sababu ya kuwavunjia watu heshima yao. Pili,unaweza kuhudhuria sehemu kwa muda...
  4. JamiiForums Tanzania LGE2024 Demokrasia imekomaa sana nchini, kata yangu ina wagombea uongozi wa kijiji wa CCM pekee

    Asante sana vijiji vyote vitano kwa namna mnavyokiamini na kukikubali Chama Cha Mapinduzi. Shukran sana kwa kuamua kuongozwa na vongozi makini na waaminifu wa CCM. Ni kitongoji kimoja pekee ndio kina mgombea dhaifu sana kutoka upinzani, hata hivyo nampongeza kwa ujasiri aliokuanao licha ya...
  5. S

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Tundu Lissu mbinafsi, hajajiandikisha kupiga kura awapigie wengine lakini 2025 atataka watu wampigie kura

    Tundu Lissu mbinafsi hajajiandikisha kupiga kura uchaguzi wa serikali za mitaa awapigie wengine waliogombea lakini 2025 atataka watu wampigie kura Hii sio sawa. Ukitaka kupigiwa kura pia wapigie kura wengine. Kura yake muhimu yaweza badili matokeo Sababa kagoma 2025 na yeye anyimwe kura ndio...
  6. JamiiForums Tanzania Taja dalili za kuwa banned hapa JF, Ladies and Gentlemen

    utajuaje kwamba uko banned 🚫 🐒
  7. JamiiForums Tanzania Hotuba ya Waziri wa Ulinzi wa Israel Yoav Gallant. Dalili za kwanza za kukubali kushindwa vita

    Wanaukumbi. Mambo yamekuwa magumu kwa Israel, sasa wanataka makubaliano hamna tena habari za malengo ya Netanyahu. Nguvu sio kiini cha kila kitu Kutambua wajibu wetu wa kimaadili na kimaadili kuwaleta mateka wetu nyumbani itabidi kufanya makubaliano yenye uchungu "Sio malengo yote inaweza...
  8. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tetesi: Kuna kila dalili Gachagua kushinda kesi na ku-renew Madarakani

    Kesi ya kupinga Kuondolewa Madarakani kwa aliyekua Naibu Rais Gachagua inaelekea pazuri na punde mahakama inamrejesha kwenye mamlaka yake ya awali. Asante Katiba.
  9. JamiiForums Tanzania Suala la utekaji kwa watoto wadogo ndani ya Tanzania ni dalili ya uwepo wa biashara haramu ya binadamu kwenye taifa letu

    Masuala ya utekaji yametokea kwa watu tofauti tofauti, ikiwemo wanasiasa wa upinzani na watoto zetu wadogo, bila shaka kwa uwepo wa hali hii kwenye taifa ni dalili tosha kwamba ndani ya taifa kwa sasa kuna biashara haramu ya binadamu kwa watoto. Kwanini mambo kama haya hayaja kuwepo katika...
  10. JamiiForums Tanzania Je, kutofanikiwa kimaisha ni dalili ya Laana? Watu wa fungu la kumi wanasemaje katika hili?

    Huenda mwenzangu hapo ulipo unapitia misoto, yani dili zako hazitiki kwa wakati na hata zikatiki zinakutana na changamoto lukuki kias kwamba hata pesa uliyoipata inafikia madeni, magonjwa, ajali nk. Wenywe vipawa vya masuala ya imani yaani rohoni waje hapa kutufumbua macho. Asanteni.
  11. JamiiForums Tanzania Ukweli ni kwamba Maandamano ya CHADEMA yamefanikiwa kwa 100%

    Lengo Kuu la Maandamano haya lilikuwa ni kuijulisha Dunia yote na Taasisi zote za Kimataifa kwamba Serikali ya Tanzania ndio inayoteka na kuua Wakosoaji wake kwa kutumia vyombo vya Dola, Hili limethibitika Rasmi, kwa Ushahidi Mwanana, Kauli ya Rais ya Juzi na mnachokiona mitaani ni uthibitisho...
  12. JamiiForums Tanzania Tuambiane Dalili zinazonekana kwa mwanamke ambae ametumika sana kwenye uzinzi au uashetati

    Hi, Kwa uzoefu wangu wakati na wajuu, nimeona na kushuhudia papuchi mbovu mbovu, ambazo ni kinyume na muonekano wa nje wa mwanamke kwenye maeneo kama mavazi,, urembo, sura, shepu,, samosa zimetumika hovyo. Wanaume tujitafakari hawa wadudu wanashinda sana saloon ila chini moto chini kwa hovyo...
  13. G

    JamiiForums Tanzania Zinaa kutangazwa hadharani, ni moja kati ya dalili 4 za nyakati za mwisho, kwa mujibu wa Quran

    Dalili hizo ni pamoja na:- 1. Riba kuongezeka sana. Hivi sasa mikopo ya kausha damu iko kila mahala, mpk mitandaoni. 2. Wanaume kuoana wenyewe kwa wenyewe. Mashoga yapo kila mahala duniani kote, na ndoa zishaanza kufungiwa. 3. Wanawake kuunganisha nywele zao na zile za bandia, ili zionekane...
  14. JamiiForums Tanzania Muda umefika kukaa ukumbini kuangalia televisheni ni dalili za umasikini

    Historia ya upashanaji habari ni ndefu sana. Sitaki nianzie mbali sana. Kutokana na kasi ya maendeleo ya kielimu na ukuaji wa teknolojia tumeshuhudia kupungua kasi ya usomaji magazeti mpaka magazeti makubwa duniani ikabidi yapotee au kujibadili kuwa ya kielektonik. Miaka si mingi sana na redio...
  15. B

    JamiiForums Tanzania OC - CID Mafwele ni nani? Kwanini haguswi na uhamisho wa Polisi nchini?

    HIVI OC-CID MAFWELE NI NANI? WENYE DATA ZIMWAGENI HAPA Kwa mtu ambaye ni mkazi wa jiji la Arusha na viunga vyake nadhani atakuwa anamjua vizuri mkuu wa upelelezi wilaya ya Arusha,OC-CID Faustine Mafwele. Kiongozi huyu wa jeshi la polisi amekuwa akilalamikiwa kwa kiasi kikubwa kwa kukandamiza...
  16. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Haya maandamano yanayoanza kushamiri ni dalili njema kwa afya ya nchi

    Polisi walitumia nguvu kubwa mpaka ya akiba kuzuia kongamano la vijana wa CHADEMA kule Mbeya kwa kuwatenda unyama na kuwatweza vibaya viongozi wa kitaifa wa CHADEMA. Kabla hakujapoa, Ngorongoro ikainuka, wamasai wakajaa barabarani kudai haki yao ya kutambuliwa kama raia huru wa nchi hii ambapo...
  17. JamiiForums Tanzania Kuna kila dalili ya CCM kumburuza mahakamani Tundu Lissu, labda kudai fidia ya mabilioni

    Wakati wa mahojiano na mwandishi Chief Odemba katika kipindi cha Medani za Siasa, bila kupepesa macho Lissu alisema maneno yafuatayo " mimi siwezi kuwa CCM, CCM ni majizi, CCM ni madalali ya maliasili zetu ,yameuza bandari yetu, yameuza mbuga zetu kwa waarabu, mama Abdul ameuza kila kitu cha...
  18. JamiiForums Tanzania Ukraine ndani ya Urusi, inataka kumwondoa Putin Madarakani? Je hii ni dalili ya World War III?

    Hii hali inamsikitisha sana Putin. Ni suala ambalo he never expected kabisa. Hii vita ilipaswa kuwa operation ya siku 2 tatu ikizidi week. Sasa ni mwaka wa pili. Na hawa Ukraine wameanza kuingia ndani ya Russia. Wanasonga mbele. Nini tatizo? Putin kweli wa kusaidiwa na vinchi vidogo vidogo...
  19. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kuna kila dalili uchaguzi mkuu 2025 Upinzani ukikazana unachukua, je Mwenyekiti Mbowe ataruhusu hili?

    2025 , kuna dalili nyingi sana ambazo zinaonesha kuna uwezekano wa Upinzani kuchukua dola . Kuna dalili 2025 kuna wana CCM kindaki ndaki wataihujumu CCM Kuna dalili 2025 vyombo vya dola vikawa upande wa wananchi Kuna dalili Asilimia kubwa ya wapiga kura wakawa vijana Lakini sio siri CHADEMA...
  20. JamiiForums Tanzania Maumivu kwenye tumbo au mbavu (wengi huita vichomi)

    VICHOMI ni lugha ilio zoeleka kwa wanao sema kua kuna vitu vinachoma juu ya tumbo au mbavu, maumivu makali na ya mda mfupi kama mwiba umechoma eneo kilo. LAKINI KIUHALISIA TUKISEMA TUNAVICHOMI TUNA FICHA MAGONJWA MENGI KWENYE SHIDA INAYOWEZA PUUZWA NA WENGI KWAMBA "...:confused:.ma'''''ke iki...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…