Ujue hili jina linatisha sana, hata namna ya kununua inakuwa ngumu kidogo, kwanini isingeitwa hata Anti Virus halafu hizi Anti Virus tunazotumia kwenye vifaa vyetu vya kielektroniki ndiyo zingeitwa Condom.
Nasema hivyo kwasababu niliwahi kwenda kwenye duka moja la dawa muhimu nikakuta mrembo...