chuo

  1. Napenda kukifahamu chuo cha Afya Kange

    Habari za asubuhi wadau Nisaidieni mwenye kukifahamu vizuri naombeni MSAADA maana naona matangazo mengi sana huko kwenye mitandao mingine
  2. Napenda kukifahamu chuo cha Afya Kange

    Habari za asubuhi wadau Nahitaji MSAADA wa kupata chuo huko kwenye mitandao mingine naona matangazo mengi kuhusu hiki chuo vipi wakuu kinafaa au ndoa kizuri chajiuza.......
  3. Chuo Direct: Msaada Kamili Waombaji Vyuo

    KARIBU CHUO DIRECT* Hiki ni Kikundi Rasmi cha Msaada kwa Waombaji wote wa Vyuo Vikuu na Vyuo vya Kati Tanzania. Huduma Tunazotoa: 1. Mikopo ya HESLB- Maombi kamili, marekebisho ufuatiliaji 2. Uhakiki wa Vyeti - Vyeti vya kuzaliwa. 3. Namba za AVN & Loss Reports - Tunakusaidia kuipata kwa...
  4. Wenzetu mliotumia pesa za kujikimu (BOOM) la chuo mkatoboa mmefanyaje huenda wadogo zenu wakasaidika

    Kwangu mimi niliweza ku-save lakini sio kiasi kikubwa sana hadi namaliza chuo ni kama naanza upya Sasa nimekutana na mdada katika story mbili tatu ananiambia pesa ya Boom ndio iliyomfikisha hapo, kiukweli na biashara anayofanya na zile pesa za kila baada ya miezi miwili ni mbingu na ardhi...
  5. A

    KERO Kutopewa Matokeo ya Chuo kwa muda stahiki hata baada ya kufanya ufuatiliaji wa muda mrefu

    Habari, najua hii ni personal lakini nimemaliza chuo cha CBE Dar es salaam tangu mwaka 2021, nimekuwa nafuatilia matokeo yangu mpaka leo sijapata. Nashindwa ku apply masters na ni vigumu kupanda cheo au mshahara sababu ya kukosa hayo matokeo ya bachelor. Huwa nawaza kama hawa viongozi au...
  6. A

    KERO Changamoto Somo la Pharmacognosy KIUT Dar, Mwalimu Atajwa...!

    Kutoka Chuo cha KIUT Dar es Salaam, wanafunzi wa corse ya Bachelor of Pharmacy mwaka wa 4 na 3 tunakumbana na changamoto ya mwalimu mmoja ambae somo lake (pharmacognosy)mpaka uzunguke mbuyu ndio ufaulu hata mitihani yake sio standard kabisa.
  7. Kuna Chuo wanajamiiana kuzidi IFM?

    Wadada wa IFM wanachakatwa aisee, serikali ya awamu ya 6 iingilie kati. Wasomi gani hawa? Naomba mama yetu kipenzi toka kizimkazi aokoe hawa wake za watu watarajiwa.
  8. H

    Dkt. Mwigulu: Chuo cha Sokoine Katavi kuwa cha mfano Tanzania

    DKT. MWIGULU: CHUO CHA SOKOINE KATAVI KUWA CHA MFANO TANZANIA Ujenzi wa Jengo la Taaluma la chuo cha SUA Kampasi ya Mizengo Pinda Katavi wafikia zaidi ya Asilimia 90 Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba alifanya ziara ya kikazi Mkoani Katavi ambapo alifanikiwa...
  9. Binti wa Chuo anataka nimuoe na nimvumilie amalize masomo, najiuliza itakuwaje badae?

    Wapendwa katika Kristo, BWANA YESU asifiwe sana,, Asalaam Aleykum kwa Waislam wote ,Twende kwa maada wapendwa,kuna binti yupo kidato cha sita na atamaliza mwaka huu baadae ataenda chuo kama miaka mitatu japo sijajua atasomea nini,huyu Binti tupo nae mtaa mmoja japo kuna umbali kiasi na tunasali...
  10. Natafuta chuo Cha kufundisha part time tutorial assistant?

    Wajuzi wa hizo kazi naomba msaada wenu kwa mwenye kufahamu au kuwa na taarifa. Baada ya kumaliza kazi zangu za Kila siku huwa nakuwa na muda kidogo ambayo naona kama unapotea. Sasa nahisi kama ninaweza kuutumia muda huo kujiongezea kipato kwa kuutumia ujuz na maarifa niliyojaaliwa na mungu...
  11. E

    Natafuta mwekezaji mwenza wa Chuo cha Kati

    Ndugu zangu nawasalimu Kwa Jina la JMT. Mimi ni mtumishi wa Umma. Pia ni mpambanaji sana wa Biashara hasa kwenye uwekezaji, Kwa sababu Sina muda wa kusimamia Biashara. Naomba kuwasilisha UZI huu:- Ninatafuta Mwekezaji wa Kufanya nae Biashara ya kuendesha Chuo cha Kati. Nina Kampuni ambayo...
  12. A

    KERO Wahitimu wa Chuo cha Uuguzi na Ukunga Newala (Septemba 2025) hawajapewa vyeti mpaka leo na wahusika hawatoi maelezo ya kutosha

    Ikumbukwe wahitimu wa vyuo vya afya diploma vyeti vyao huwa vinatoka NACTEVET nakupelekwa vyuoni. Ila cha kushangaza wanafunzi wa vyuo vingine wameishapokea vyeti vyao toka mwezi wa pili mwaka huu ila chuo chetu peekee ndo atuchajpewa kila tukofatilia kwa mkuu wachuo anatwambia vyeti havipo...
  13. A

    KERO Changamoto ya upungufu wa Wakufunzi na miundombinu duni katika Chuo cha Ufundi Arusha

    Mimi ni mwanafunzi wa Arusha Technical College (ATC), na napenda kuwasilisha changamoto kubwa inayolikabili chuo chetu kwa sasa, hususan katika suala la upatikanaji wa wakufunzi na rasilimali za kujifunzia. Kwa muda sasa, chuo kinakabiliwa na upungufu mkubwa wa wakufunzi, hali ambayo imeathiri...
  14. L

    KERO Wanafunzi tuliohitimu clinical medicine chuo cha Kilimanjaro College of Health and allied sciences mwaka 2025 mpaka leo hatujapata vyeti vyetu

    Habarini za kazi , Wahitimu wa diploma ya Clinical medicine wa chuo cha Kilimanjaro college of health and allied Sciences (KICOHAS)tulihitimu mwaka 2025 mwezi wa nane mpaka leo hatujapata vyeti Soma Pia: Wahitimu wa Chuo cha Uhasibu Arusha wa Mwaka 2025 hatujapatiwa vyeti vyetu, wanatupiga...
  15. D

    Ni chuo gani hapa Tanzania naweza kusoma course ya National Examination Board in Occupational Safety and Health (NEBOSH)?

    Wadau natafuta taasisi ambayo inatoa course ya National Examination Board in Occupational Safety and Health (NEBOSH) kwa hapa Tanzania. Ningependelea zaidi kusoma darasani sio online. Ila ikishindikana nitafanya hata online.
  16. A

    KERO Changamoto tunazopitia wanafunzi wa Kozi za Afya katika Chuo cha Kolandoto College of Health Science [KCHS]

    Mimi ni mwanafunzi wa chuo cha Kolandoto Colage of Health Science kilichopo Shinyanga Kolandoto, tunapitia changamoto zakutosha sana wanafunzi nitaje baadhi; 1. Wanafunzi tumekuwa tukifelishwa na waalimu makusudi kisa bifu, au mahusiano ya kimapenzi baina ya waalimu na wanafunzi na utoaji wa...
  17. N

    Naomba anaejua Chuo cha Mitambo (Skaveta, Greda na Rola)

    Ndugu zangu naomba kujua vyuo tajwa hapo juu vinapatikana wapi ? Elimu yangu ni form 4 . Nilipata dv 3 natamani kusoma mitambo hio .kuopperate. Naomba muongozo
  18. Kero ya Ada Chuo cha Maji (Water Institute): Unyanyasaji wa kuzuia wanafunzi kufanya Test 1 na 2 kisa salio dogo la ada unakiuka maagizo ya Serikali

    WanaJF salamu, Ninaleta mada hii mbele yenu nikiwa na majonzi na masikitiko makubwa kutokana na hali halisi inayojiri katika Chuo cha Maji (Water Institute) kwenye Muhula huu wa Pili (Semester II). Kumekuwa na mfumo wa uendeshaji unaoonekana kulenga faida au biashara zaidi badala ya kutoa huduma...
  19. A

    KERO Chuo cha Ustawi wa Jamii wananyanyasa wanafunzi waliopungukiwa ada

    Mimi mwanafunzi wa degree institute of social Work campus ya dar es salaam. Nimeathirika kisaikolojia baada ya kuzuiwa kufanya mtihani wa continuous assessment (CA) kwasababu sijalipa ada kwenye installment ya 3. Kumbuka ni mitihani ya CA sio hata mtihani wa mwisho wa semester. Sasa, mimi...
  20. Historia ya Professor wa chuo cha Udsm aliyeuawa kwa bomu

    Miaka ya 1970 katika chuo cha kikuu cha Dar-es-salaam (UDSM) kulikuwa kuna Professor mmoja maarufu aliefahamika kwa jina la Walter Rodney alikuwa ni raia wa Guyana nchi inayopatikana bara la Amerika kusini Rodney alikuwa ana PHD ya Historia ya Afrika aliyoipata katika chuo kikuu cha London...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…