Waliouwawa kipindi cha uchaguzi wa 2025, ni Watanzania wenye itikadi mbalimbali, Wana CCM, Chadema na wasio na vyama
Kufanya maridhiano kupitia majukwaa ya kisasa na kuhusishwa vyama pekee, haitatosha, Watanzania waliopoteza watu wao hawatatendewa haki
Kwa MAONI YANGU,
Juhudi zilizoelekezwa...
Nakumbuka miaka michache nyuma kuna msanii maarufu alinunua Rolls Royce. Kwa kweli mitandao ilichafuka kwa kebehi,kashfa na maneno mengi yenye mlengo hasi. Mara used, mara bei kaongeza sifurimara sio lake,mara matairi vipara basi tu ili mradi watu waliojaa sumu mwilini wazitoe na wamshushe...
Nigeria: Mwalimu wa Baraza la Izala (JIBWIS), Baraza rasmi kubwa la Kiislamu Nigeria na ukanda wa Afrika Magharibi, amerekodiwa video akiwaongoza watoto wanaopatiwa mafunzo maalum ya kuchukia dini nyingine hususan Wakristo. Katika video hiyo mwalimu huyo anawafundisha watoto kuimba nyimbo...
Ukisoma nini mawazo ya watanzania juu ya ccm na kesi ya lissu ni kwamba chuki imeongezeka mara dufu. Kwa wenye AKILI hili ndio lilikuwa dirisha la SSH kujisafisha Tanganyika na kuondoka salama 2030 kinyume chake SSH amejiwekea rekodi nyingine ya hovyo mño ambayo it's backfire kama rungu la...
Kisa Cha Mbwa Mwitu na Mwanakondoo,siku Moja Mbwa Mwitu alitembelea mtoni baada ya mawindo ya muda mrefu ya msako wa kitoweo,ghafla akiwa mtoni alimuona Mwanakondoo akinywa maji,akamtamani kumgeuza asusa lakini chanzo Cha kumtia hatiani hakuwa nacho zaidi alitaka kumtafutia sababu.
Akamwambia...
Katika harakati za kutafuta maisha kuna mambo mengi ya uchungu na kukatisha tamaa.
Uonevu ni sehemu ya riziki,
Chuki nazo zimejaa toka enzi na enzi,
Nilishuhudia pahala Boss anarogwa mchana kweupe, ili tu... amchukie jamaa ambaye ni jembe kwelikweli.
Haya mambo nilidhani ni kwetu uswahilini...
Hivi kuna chama kimepoteza wanachama kama CHADEMA?walio waua ni akina nani?leo hio lema unawambia CHADEMA watumie njia gani ili watibiwe? Umemsaau mke wa alifonsi mawazo? Mwanae unadhania wanaweza wapenda wana ccm?
Mke wa Lissu na wanawe wanaweza kupenda ccm realy? Wewe umechangia njia ya kigese...
"Njia ya mbele hii ni ngumu kuliko hii ya sasa ila wananchi wanaweza kuzuia hiyo njia isiwaumize viongozi wao, wananchi wako tayari?
Sasa nikizungumza hivyo kwenye mikutano wanaanza ooh Lema umeanza kuwa muoga, sio kuwa kuoga pengine nimeanza kuwa na hekima, nimegundua kuwa njia ya chuki...
Please Please,
My friends, ladies and gentlemen,
tusikae kimya, kutazama tu bila kukemea taasisi za kidini na vyama vya siasa vikiendelea kuhamasisha na kuchochea chuki, uhasama na migawanyiko, ambayo ni wazi inalenga kuamsha hasira na ghadhabu miongoni mwa jamii za waTanzania na pengine kuleta...
Wakuu NIko kwa Mjomba huku ndani ndani 😂, Kuna mtoto wake anasoma darasa la sita (6).
Sasa huyu mpwa kaniletea swali wamepewa homework darasani, nadhani ni somo la Historia au Hostoria ya Tanzania nimsaidie majibu ya homework.
Swali lenyewe linasema hivi " Taja watu walioshirikiana na Mwl...
Hahaha, hii ndiyo Tanzania bana kubabeki, raha tupu! Tumempokea Jihan, tumeshangilia ushindi wake na kusema huyu ni wetu, Tanzania imetisha Wale wasiopenda unity watajaza nafasi zilizo wazi wenyewe sisi tumepitisha, na tunampenda mwenzetu pamoja na nchi yetu.
Sisi tunaitangaza Tanzania kwa...
Binafsi namkubali sana Mr T Touch but jamaa amekuwa wa kiwaki sana siku hizi, muda wote anajaribu kuonesha ukubwa wake kwa lazima and sometimes kwa kutumia mbinu ya kumshusha mwengine aonékane si lolote, hii haipo sawa. Jamaa anahitaji cancelling
Sijui Palestinians walimkosea nini Mungu hadi aruhusu wakutwe na wapatwe na yanayopitia.
Sauli aliambiwa awauwe Wapalestina wote na mali zao zote na vitu vyao vizuri vyote, Sauli akabakiza wanyama wanono na wanawake wazuri. Mungu akakasirika sana akamfuta kazi Sauli na kumpa ufalme Daudi.
Je...
Maana sote ni mashahidi wa namna viongozi wa serikali sikivu ya CCM wanavyochapa kazi kwa weledi na bidii usiku na mchana, ili hatimae wananchi na waTanzania wote wanufaike kijamii, kisiasa na kiuchumi.
Hata hivyo,
licha ya kazi hizo kubwa na nzuri sana zinazofanywa na viongozi katika ngazi...
Kuna uongo ambao tumelishwa kwa miaka mingi kwamba dini zinaleta amani na upendo tu. Ukweli wa kihistoria na wa kimaandiko uko wazi: Dini nyingi zimejengwa juu ya mfumo wa kubagua watu, kueneza chuki, na kuvunja hata mahusiano ya familia
Ukiacha maneno matamu jukwaani apa na ukaenda kwenye...
Ni mpumbavu pekee atakayeamini kuwa jirani yake muislamu au mkristo ndio adui yake. Ukifuatilia kiundani rafiki yako au jirani yako Mkristo/Muislamu sio adui yako kabisa, na hata yeye anachukia uhalifu kama wewe unavyochukia, rafiki yako Muislamu anachukia ubakaji kama wewe unavyochukia. Rafiki...
Ahsante kwa wote waliotukimbia wakati tulipohitaji uwepo wao. Ahsante kwa waliotuona hatuna cha kuwashauri wala kuwasaidia; walitupa sababu ya kuwa bora zaidi.
Ahsante kwa waliotuacha walipopata watu waliowaona bora kuliko sisi. Walitufundisha kuwa hata kivuli hupotea mwanga unapotoweka.
Na...
Nimefuatilia mjadala wa chief odemba na wale ambao waita waandishi wa habari nzuri,nakili baadhi yao ni nguli kweli kweli, ila wengine ni mamluki wa tabaka tawala.
Balile aliulizwa kuna waandishi wa habari na wahariri wapo news room lakini wakati wa uchaguzi walionekana live kuvalia nguo za...
Uislam ni Dini iloanzishwa na Ukatoliki !!.
TUNAJUA , Mpumbavu alipata MADARAKA, Jambo la kwanza ni kúanzisha vita na wenye Akili ili kuwadhoofisha.
Hatua nyingine ,Huwa ni Kuwaita Wapumbavu wenzie na kuwaleta karibu.
Mambo hayo mawili , huleta Anguko la TAASISI/NCHI.
Endeleeni kumtuma...
Kwa kweli comments za watanzania wengi juu ya kifo cha mume wa rais Samia Suluhu Hassan nyingi zimejaa chuki kubwa mno! Nilitegemea watu watoe pole kwa rais katika siku hii ngumu sana kwake kwa kufiwa na mumewe lakini niliyoyaona mtandaoni yameniacha na maswali mengi sana kuhusu hali ya kisiasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.