china

  1. M

    China Shocks The World with its building skills

    Building is skill combined with creativity. Everybody wants to build a unique house,company or anything else that will attract and suprise many. China has proved to have it all, it's buildings are so weird but at the same time very unique and beautiful.As we know China is a power house in terms...
  2. China - Tanzania Security wameshindwa kuilinda miundombinu ya UDART (Mwendokasi)

    CT Security ndiyo waliopewa jukumu la kulinda miundombinu ya Mradi wa mabasi ya mwendokasi: Kimara hadi Kivukoni, Morocco hadi Gerezani, Depot yao pale Jangwani na feeder stops kama zile za Shekilango, Kinondoni. Katika feeder posts sasa hivi kumeshaanza kufunguliwa bolt na nuts zake...
  3. Kwa mara ya kwanza idadi ya makampuni ya China kwenye orodha ya Fortune ya makampuni 500 yenye nguvu duniani yaizidi ya Marekani

    Jarida la Fortune ambalo limekuwa likitoa orodha ya kampuni yenye nguvu zaidi duniani, limetoa orodha ya mwaka huu ya makampuni 500 yanayoongoza duniani. Kwa mara ya kwanza kwenye orodha hiyo idadi ya makampuni ya China, ikiwa ni yale ya China Bara na Hong Kong imefikia 124, ikiwa imezidi idadi...
  4. China yajibu mapigo yaipiga Sanction Marekani

    China said it will sanction 11 Americans in retaliation for similar measures imposed by the U.S. on Friday, but the list doesn’t include any members of the Trump administration. Those sanctioned include Senators Marco Rubio, Ted Cruz, Tom Cotton and Pat Toomey; Congressman Chris Smith; Human...
  5. China and the US: foes that would rather have an economic intergration!

    Folks , I have seen this serious talk in a forrum, and its quite interesting to hear the argument for and against the fact that, China and the US are too intertwined to have an all out war! Fact remains, China is developing economically at a faster rate that the US! Hear this out!
  6. T

    iPhone yapoteza nafasi ya kuwa simu namba 1 China. Watu wengi wanahamia Huawei

    China kulikua na Iphone nyingi kuliko nchi yoyote Duniani ila sasa Iphone inapoteza nafasi ya kua simu namba moja China. Watumiaji wengi wa Iphone wanahamia Huawei, Iphone inakabiliwa na ushindani mkubwa kutoka kwa makampuni ya China kama Huawei, One Plus, Oppo, Honor, TCL, ZTE na kadhalika...
  7. T

    Hakuna Rais atakayetatua tatizo sugu la ajira ila sisi wenyewe kama China

    Hakuna Rais atakaye tatua tatizo sugu la ajira ila sisi wenyewe kama watu wa China walivyo jielimisha, hata kama CCM ikiondoka madarakani. Kwa sababu tatizo la ajira linatokana na ukosefu wa uzalishaji mali barani Afrika, ukosefu wa wataalamu wa viwanda ingawaje tuna wasomi wengi. Rais wa...
  8. T

    China: Tunapinga vikali hatua ya Marekani kulenga kuyadhoofisha Makampuni ya Kichina

    Serikali ya China imesema inapinga vikali hatua ya Marekani kulenga kuyadhoofisha ama kuyaua makampuni ya kimtandao ya kichina. China imeitaka Marekani kuendelea kuweka mizania sawa ya kibiashara badala ya kutaka kuyawekea vikwazo vya kibiashara makampuni ya kichina. Juzi jumapili Waziri wa...
  9. Rais Trump anapanga kuipiga marufuku App ya Tik Tok kutoka China ifikapo Septemba 15

    Rais Donald Trump ametangaza kuwa ndani ya siku 45 zijazo atazuia mitandao ya kijamii ya TikTok na WeChat inayomilikiwa na wachina kama isipouzwa kwa wamarekani ndani ya siku 45 zijazo Trump alipanga kuzuia mitandao hiyo Septemba 15, ikiwa mitandao hiyo haitauzwa. Aidha mitadao hiyo ilikuwa...
  10. App ya TikTok yaingizwa kwenye mtego wa majaribu ya Marekani dhidi ya China

    Hivi karibuni serikali ya Marekani imetishia kuipiga marufuku app ya TikTok ya China, hatua ambayo imezua wasiwasi mkubwa hasa kwa wadau na watumiaji wa app hii duniani. Inaonekana kuwa Marekani hivi sasa inafanya kila njia ili kuitia majaribuni China na kuipima itahimili vipi vishindo vyake...
  11. Ufafanuzi wa Balozi Kairuki kuhusu Wanafunzi wa Kitanzania kuchukuliwa na Ndege ya ATCL

    Nimeona ujumbe wa upotoshaji unaozungushwa kwenye mitandao ya kijamii ulioandikwa na Godsen Malisa kuhusu suala la ndege ya ATCL kuja China kuwachukua wanafunzi. Nimeona nitoe ufafanuzi ili umma uwezi kufahamu ukweli na kuachana na upotoshwaji unaofanywa kwa agenda anazozijua mwandishi mwenyewe...
  12. Zaidi ya wanafunzi 200 waliokuwa China waanza safari ya kurejea nchini kwa usafiri wa ATCL

    Kutokana na kupanda kwa nauli za ndege kulikotokana na janga la Corona, ubalozi wa Tanzania nchini China kwa kushirikiana na Shirikisho la Watanzania waishio nchini humo (TASAFIC) wamefanikiwa kuandaa usafiri kwa wanafunzi na Watanzania wengine waliokuwa China kupitia Shirika la Ndege la...
  13. China imefunga Ubalozi mdogo wa Marekani

    Wizara ya Mambo ya nje ya China imeiagiza serikali ya Amerika kufunga ofisi ya wanadiplomasia huko Chengdu, hatua ya Beijing iliona majibu ya barua-mbili kwa kufukuzwa kwa Washington kwa wafanyikazi wa ubalozi wa China kutoka kituo huko Texas. Beijing orders US to close its consulate in Chengdu...
  14. L

    Kwanini Marekani imeamua kufunga Konseli Kuu ya China mjini Houston, Marekani?

    Wiki hii Serikali ya Rais Donald Trump imeishangaza ulimwengu kwa kuendelea na sera yake ya kuiandama China kwa kutoa muda wa saa 72 kufungua konseli kuu ya China mjini Houston, kwa kisingizio cha “kulinda taarifa binafsi za wamarekani na kulinda haki za ubinufu za wamarekani”. Wanaofuatilia kwa...
  15. H

    Aliyetumia Silent Ocean - naomba msaada wa ufafanuzi

    Wapendwa kwa unyenyekevu natanguliza salamu kwenu nyote. Nimeamua kuanza kununua bidhaa kama mikoba na pochi za wanawake moja kwa moja kutoka China kupitia Alibaba na Aliexpress na kuzileta hapa nikauza, sasa nimeout source baadhi ya supplier kwenye hiyo mitandao na kuona bei zao ni rafiki...
  16. Ubalozi wa China uliopo Houston kufungwa kufikia Ijumaa

    Wizara ya mambo ya nje ya Marekani imesema kuwa uamuzi huo unalenga "kulinda akilimiliki ya Wamarekani ". Lakini msemaji wa wizara ya mambo ya nchi za nje ya Uchina Wang Wenbin amesema kuwa uamuzi huo "ni wa kushitua na usio na sababu ". Taarifa hii imekuja baada ya watu wasiojulikana...
  17. Kwa kasi hii ya maambukizi ni dhahiri China walidanganya, kama sivyo waruhusu uchunguzi huru

    Kwa hii kasi ya maambukizi naanza kuamini kabisa kuwa china walidanganya. inawezekanaje ugonjwa uanzie kwao wadhani ni ugonjwa wa kawaida watu wajichanganye mitaani kwa miezi miwili ndipo mgundue ni pandemic kwa taifa la watu 1.6b halafu muwe na wagonjwa 80,000 tu. Kama hawakudanganya kwenye...
  18. T

    Mgogoro wa China na India, Airtel kuachana na Huawei

    Baada ya India kuingia kwenye mgogoro wa China, kampuni ya mawasiliano ya Airtel inatarajia kuachana na kampuni ya Huawei. Airtel imeikaribisha kampuni ya Errickson kutoka Sweden kupata vifaa vya mawasiliano ya 4G na 5G. Je Huawei itaweza kuishi ama kupambana na vikwazo vya kimarekani...
  19. T

    Japan kulipa $536 Million kwa makampuni yake 56 yahame kutoka China, yarudi nyumbani au nchi nyingine za Asia

    Toka mwaka jana 2019 Japan imekua ikiyashawishi na kuahidi kuyapa ruzuku ya serikali makampuni yake yote yaliyoko China kuhama nchi hiyo yarudi nyumbani au yatafte nchi nyingine ya Asia nje ya China. Hadi sasa makampuni 56 yamekubaliana na serikali kuhamisha shughuli zake kutoka China na...
  20. Playing games on China won't save Trumps' presidency, he is gone, finished!

    You can repeat a lie over and over again but it doesn't make what you say true, and US President Trump has been lying through his teeth his entire career as a real estate mogul, reality TV star, presidential candidate, and President of the USA. His lies are so prolific it's hard to catalog them...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…