china

  1. X

    Wakati Tanzania tukisubiri Mvua, China wao wanajenga mito mikubwa kubadilisha Uchumi

    Dunia yabaki midomo wazi! Hii si mito ni mfereji ya China! Maajabu yanayowashangaza wahandisi wengi Duniani. Mifereji yao ni mikubwa kuliko mito mingi ya asili Afrika. Ukiona utadhani ni bahari zinazopita katikati ya nchi. China mpaka sasa imetumia zaidi ya dola bilioni 10 kujenga mfereji...
  2. Naona vyuma vya China tutaanza kuvizoea sio muda. Ona ili Zeekr 9X SUV!

    Kuna hii plugin-hybrid (engine + kuchaji) full sized SUV Zeekr 9X kitu cha 2025. Engine yake ni 2.0L turbo i4, battery la 55 kWh au 70 kWh, kwa pamoja (full tank + full charge) unaenda kilometa 1,200+ Ni full SUV, kwahiyo kubwa karibia urefu wa mita 5.2, seat arrangement 2:2:2 so ni nzuri kwa...
  3. Mahakama ya Kijeshi China yahukumu mawaziri wawili wa zamani wa ulinzi adhabu ya kifo

    Mahakama ya kijeshi nchini China imewapa adhabu ya kifo yenye kusimamishwa kwa miaka miwili mawaziri wawili wa zamani wa ulinzi, Wei Fenghe na Li Shangfu, kutokana na makosa ya rushwa, kwa mujibu wa vyombo vya habari vya serikali. Taarifa za Xinhua News Agency zinasema kuwa hukumu hiyo...
  4. Hatimaye Tru.mp aibembeleza china imshauri Iran afungue Horms

    Nilishasema hapa kama Trump angejua ana dili na nani asingepoteza muda kuweka mikwara mingi pasipo suruhisho sasa akili imemkaa na ameamua kwenda china kupiga magoti na kumsihi china amshawishi Iran afungue Horms Ngoja nicheke kwa chini chini kwi kwi kwi kwi kwi......
  5. L

    Vita nchini Iran vyaibua swali kuhusu usalama wa nishati duniani, na vinu vya upepo mjini Pingtan vimetoa jibu la China

    Kwenye mapumziko ya siku ya Mei Mosi, kwenye fukwe za Pingtan, mji uliopo kusini mashariki mwa China kulijaa watalii wengi. Vinu vikubwa vya upepo vyeupe vimesambaa kando ya ukanda wa pwani wa kilomita 5, mapangaboi yake makubwa yanazunguka polepole katika upepo. Hata hivyo, wakati watalii hao...
  6. K

    Kuna nchi zitakazonufaika na fursa hii ya soko wazi la China

    china wameamua kuweka soko lao wazi kwa nchi za kiafrika kuingiza bidhaa zao bila ya ushuru (zero tariffs) kuanzia sasa. Pamoja na kuwa bidhaa nyingi kutoka afrika ni mali ghafi. ikiwa ni pamoja na mazao ya kilimo, madini na bidhaa nyinginezo; badala ya kuwa mazao yaliyoongezwa thamani, hatua...
  7. L

    Sera ya China ya Ushuru Sifuri ni fursa kubwa kwa nchi za Afrika

    Kuanzia Mei 1, sera ya China ya ushuru sifuri kwa nchi za Afrika itajumuisha bidhaa nyingi kutoka nchi za Afrika, ikionyesha mabadiliko makubwa katika mienendo ya biashara ya kimataifa. Sera hii inakuja katika wakati muhimu kwa uchumi wa Afrika, ambao unakabiliana na mashinikizo ya nje...
  8. L

    Sera ya ushuru sifuri ya China yafungua fursa kwa sekta ya kahawa ya nchini Kenya

    Kuanzia Mei Mosi, 2026, China itaanza kutekeleza sera ya ushuru sifuri kwa bidhaa zinazotoka nchi 53 za Afrika zenye uhusiano wa kidiplomasia na China. Sera hii inachukuliwa kama fursa muhimu kwa nchi za Afrika kuingia katika soko kubwa la China kwa kuleta bidhaa zao za kipekee na za ubora wa...
  9. L

    Sera ya China ya ushuru sifuri kwa bidhaa za Afrika kuneemesha nchi za Afrika

    China kwa sasa inageuza soko lake kuwa chachu ya ushirikiano, hali ambayo inaonekana ni tofauti kabisa na nchi za magharibi ambazo zinatoa mapendekezo yanayoambatana na masharti kemkem. Nchi za Afrika zimekuwa zikijiuliza kwa muda mrefu, ya kwamba ni nani hasa anayefungua soko lao, kwa masharti...
  10. Siku tukibahatika kupata uongozi makini tutaweza kubadilisha miji yetu ndani ya muda mfupi kama China

    Oneni jinsi Wachina ndani ya miaka 20 tu walivyobadilisha miji yao mfano wa Chongqing kutoka slums kama za tandale na kutokuwa na mpangilio hadi kuwa majiji ya hadhi sawa na ya West
  11. X

    Je, ulijua kuwa China peke yake ina akiba kubwa ya mafuta kuliko Marekani, Japan na Ulaya kwa pamoja?

    Shirika la Marekani la U.S Energy Information Administrative (EIA) linakadiria kwamba: China ina mapipa karibu bilioni 1.4 ya mafuta ghafi. Mkakati kabambe wa China kuhifadhi mafuta ghafi ulianza hasa mwaka 2003 na huku Marekani na nchi za Ulaya tangu miaka ya 1970, mind the gap! Marekani...
  12. X

    China kwa sasa ni reference point ya EV industry duniani, imebadilisha rules za mchezo.

    Makampuni mengi ya kutengeneza magari yameingia kwenye production ya EVs, magari ya umeme. Changamoto wanayokutana nayo ni kwamba tayari China's EV industry imesha-set standards. Inachofanya sasa China ni kama Japan's auto industry miaka ya 1980 hadi 2000 mwanzoni ilivyoweka legacy kwenye...
  13. China yatoa onyo la mwisho kwa Marekani

    Wanaukumbi. "China imezingatia kukamatwa kinyume cha sheria kwa meli ya mizigo ya raia inayosafiri kutoka China hadi Iran na Marekani. Turuhusu tuwe wazi kabisa: Marekani inaweza kufanya mambo mengi duniani. Lakini kushambulia, kushikilia, au kusumbua meli zinazosafiri kutoka China, au...
  14. C

    Marekani inaipenda Facebook kwasababu ni yao China wanaipenda TikTok lakini Tz hawaipendi sana JamiiForums

    ilibidi wa Tz waithamini zaidi Jf
  15. Msaada Njia nzuri kumlipa Supplier China

    Habari Wakuu, Kamakawaida mtafutaji hachoki, Leo bana nimekuja na kipengele hicho hapo juu kama heading inavyojieeza, naimani uzi huu utakuwa solution kwa wengi sana. Mimi ni mpambanaji najitafuta nimekuwa nikihusle sana kulipia bidhaa zangu China kwa Suppliers hususani katika njia ambazo ni...
  16. Trump apigwa tobo na China mbele ya kizuizi chake

    Niaje waungwana Meli zilizowekewa vikwazo na Marekani zimeonekana kupita katika mlango wa bahari wa Hormuz licha ya kizuizi kilichowekwa na Washington, jambo linaloibua maswali kuhusu ufanisi wa hatua hiyo. Kwa mujibu wa takwimu za ufuatiliaji meli, meli ya China iitwayo Rich Starry ilivuka...
  17. Hispania na China zazidi kuimarisha uhusiano wao

    Spain taifa kongwe liliogundua America zamani sana sasa ni wazi limeamua kuhamia kwa China. Jana Waziri Mkuu wake ametembelea China na kusaini mikataba ya ushirikiano kibiashara na ki diplomasia. Bricks inazidi kupata washirika ni wazi Spain itanufaika itapokea watalii wengi toka Uchina.
  18. Vita ya IRAN basically lengo kumuumiza CHINA

    Katika vita zote marekani hua anaingia na lengo tafauti na jinsi anavotaka ulimwengu waamini, kwa mfano MADURO alitolewa madarakanikwa sababu anauza mafuta kwa china, IRAN ndo muuzaji mkubwa wa mafuta kwa CHINA Ukiangalia vita zingine kwa mfano IRAQ kisingizio ni "WEAPONS OF MASS DESTRUCTION"...
  19. L

    Kiwanda cha mvinyo cha Afrika Kusini kinalenga fursa za ukuaji chini ya sera ya China ya ushuru sifuri

    Chini ya mwanga hafifu wa mwanzoni mwa majira ya mpukutiko katika Kizio cha Kusini, mistari ya chupa inasikika kwa utulivu katika Kiwanda cha Mvinyo cha Diemersdal huko Cape Town Afrika Kusini. Msimu wa mavuno ndio kwanza umemalizika, na kuacha safu za mizabibu zikiwa zimechumwa zabibu zake...
  20. China yaitangulia Marekani kwa kiwango cha kukubaliwa kwa uwezo wa uongozi wa kimataifa

    Uchunguzi wa maoni uliofanywa hivi karibuni na Gallup, ambalo ni shirika maarufu la kimataifa la uchunguzi wa maoni, unaonesha kwamba mwaka jana, kiwango cha kukubaliwa kwa uongozi wa kimataifa wa China ni asilimia 36, na kuizidi Marekani kwa asilimia 5. Uchunguzi wa Gallup umeshirikisha zaidi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…