Kuna changamoto kwenye kulipa kiingilio kwenye Stendi za Mabasi specifically nimekutana na hili Stendi ya Msamvu.
Kila nikienda kupanda basi hawana chenji kwenye geti kubwa la kuingilia hivi ni nani anawajibika kuhakikisha wanakuwa na vitendea kazi ikiwemo chenji ?
Kwa mtu ambaye ni mgeni...
Tulieni watu watu wana pesa acheni na wapo maporini uko wametulia Tanzania ya leo siyo ile ya kuamini wenye nacho wapo mjini tu vijana kaeni mashambani kwenu uko mtengeneze pesa si kukimbilia mjini kuzunguka na reso na visu ukiamini utatoboa
Kuna muda unakuta Dukani amenunua kitu alafu muuzaji anajisahau anakuongezea chenchi pasipo yeye kujua
Je ghafla ghafla tu umepokea chenchi umeona umeongezewa alf muuzaji yupo busy
Utafanyaje ?
Na Unajiskiaje na alf ulikuwa hauna hela ?