chenchi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    KERO Nani anawajibika kuhakikisha watoa huduma Stendi za Mabasi wanakuwa na chenchi?

    Kuna changamoto kwenye kulipa kiingilio kwenye Stendi za Mabasi specifically nimekutana na hili Stendi ya Msamvu. Kila nikienda kupanda basi hawana chenji kwenye geti kubwa la kuingilia hivi ni nani anawajibika kuhakikisha wanakuwa na vitendea kazi ikiwemo chenji ? Kwa mtu ambaye ni mgeni...
  2. REJESHO HURU

    Chenchi tu iliyobaki kwenye kamati ni thamani ya gorofa la mwijaku analosumbua nalo watu umejifunza nini

    Tulieni watu watu wana pesa acheni na wapo maporini uko wametulia Tanzania ya leo siyo ile ya kuamini wenye nacho wapo mjini tu vijana kaeni mashambani kwenu uko mtengeneze pesa si kukimbilia mjini kuzunguka na reso na visu ukiamini utatoboa
  3. Marco Seth

    Utafanyaje kama umeongezewa chenchi?

    Kuna muda unakuta Dukani amenunua kitu alafu muuzaji anajisahau anakuongezea chenchi pasipo yeye kujua Je ghafla ghafla tu umepokea chenchi umeona umeongezewa alf muuzaji yupo busy Utafanyaje ? Na Unajiskiaje na alf ulikuwa hauna hela ?
Back
Top Bottom