chawa

Chawa is a very old village in Bhera near the town of Bhera, Sargodha District, Pakistan. It is located at 30°59'0N 72°54'0E with an altitude of 153 metres (502 ft).The Bhalwana and Sipra are the main families of this village..
The first district Nazim of Sargodha Malik Amjad Ali Noon was from a village named Ali Pur Noon.
Chawa produces a specific kind of plant that is used in the manufacture of colour paints.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Huyu chawa mwanasheria wa serikali alifaulu kwa madesa.....tazama anavyojiuma kujadili hukumu ya TAL

    wanajamvi jioneeni mwanasheria anavyoahibika,,,,,,,ni bora asingeeenda hapo kwenye majadiliano https://www.youtube.com/live/BFtdAQgPuow?si=EIwzILxl-mKo3ehs
  2. K

    Jaji Ndunguru anasubiri kupandishwa cheo

    Jaji chawa Ndunguru anasubiri kupandishwa cheo kwasasa majaji wanatafuta kazi ya wanasiasa nao waweze kuiba maana mahama haina pesa za upigaji kama serikalini
  3. M

    Member Erythrocyte nimedharau kuanzia leo ktk medani ya siasa, ni chawa wa LEMA

    Siku zote nilikua najiuliza , huyu kweli mwanamageuzi? Kweli sio chawa? Kumbe nimegundua , ni chawa wa LEMA. Msakatonge, mzee fursa. Akinishambulia mimi kuwa chawa na napinga mageuzi, kumbe yeye ni chawa fursa, chawa mchafu, chawa kizee
  4. K

    Inzi kwenye jalala la dhahabu: Majaribio ya chawa mkuu inchi ya ugagagigikoko

    SEHEMU YA KWANZA: VIOO VYA ENZI NA AMNESIA YA KIFALME Ukumbi mkuu wa ikulu ya nchi ya Ugagagigikoko ulijengwa kwa usanifu uliogharimu nusu ya pato la taifa. Kuta zake zote zilikuwa vioo vikubwa vilivyowekwa kwa pembe maalum ili Malkia Huihui aweze kujiona kutoka kila upande bila kulazimika...
  5. Forrest Gump

    Chawa mmoja aligundua boss anaruka na mke wake, ila hakufanya chochote maana alipiga mahesabu kuwa yeye mwenyewe ni mvivu na upambe ndio ugali wake

    Kwa heshima na taadhima ya JF haipaswi kutaja watu humu Ila uchawa ni choice. Na vitu unavyopaswa kuvifanya ili udumu katika fani ya uchawa ni KUPIGA CHINI UTASHI WAKO, KUPIGA CHINI UTU WAKO NA KUKUBALI KUWA MTUMWA.
  6. K

    Mtego wa Algoriti na Shauku ya Umma: Kwa Nini Maudhui ya "Machawa" Yanasonga Mbele Kuliko Mada za Msingi?

    Katika ulimwengu wa sasa wa kidijitali, kuna kitendawili kinachoshangaza lakini kikitazamwa kwa kina kinaeleweka kijamii na kisaikolojia: mada zinazohusu ushangiliaji wa kisiasa au kijamii—maarufu kama "uchawa"—zinapata wafuatiliaji na mwingiliano wengi (engagements) na kujadiliwa kwa kasi kubwa...
  7. M

    Kuna yule Chawa wa Kuitwa Zack Abdul sijui. Aione hii.

    Uzi tayari.
  8. The Palm Beach

    Huyu Chawa alikuwa ni Team Dr Emmanuel Nchimbi. Kapigwa na kitu kizito mpaka haamini!

    Ni Tlaatlaah Humwaambii kitu kuhusu Nchimbi. Tangu Dr Emmanuel Nchimbi aliwe kichwa na wenzake, Tlaatlaah kapoa kwelikweli, hofu na woga umemkamata. Hajui hatima yake. Na labda pengine hata yeye keshatekwa, hajulikani yuko kwenye "house arrest" ipi.. Wamebaki Chawa Team Samia wenye roho...
  9. R

    Msaka uteuzi chawa mwingine huyu hapa

    Eti hakuna haja ya katiba nyingine
  10. Idugunde

    Mzee Warioba: Nchimbi hakuwa chawa ndani ya CCM alikemea maovu

    Mzee Warioba ameweka wazi👇
  11. thegreat1510

    Wanaotoa hoja za kumfukuza Mbowe uanachama bila shaka ni chawa wa CCM

    Wanatafuta justification ya walichomfanyia Nchimbi kukichafua Chama. Chadema haipaswi kufananishwa na ccm , iwe mfano wa kuigwa wa demokrasia ndani na nje ya chama.
  12. R

    Jaji Warioba: Kwa ninavyomfahamu Nchimbi siyo chawa, hata kwa matamko aliyokuwa akitoa

    Akizungumza leo, Agosti 28, 2026, katika Mkutano wa Wadau wa Masuala ya Kidemokrasia uliofanyika kwenye makao makuu ya Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Jaji Mstaafu Joseph Warioba amesema aliyekuwa makamu wa Rais Dkt. Emmanuel Nchimbi kuwa hajawai kuwa chawa "Kwa sababu mimi nasema...
  13. Gunner11

    Dotto Magari: Chawa au Mshawishi Hatari?

    Hivi doto magari anajielewa kweli? Yaani unakuwa chawa na kuomba hela kisa kupamba watu na mafanikio yao kweli? Sasa Maybach sio yako, unasifia wanaume wenzako na bado, unatambia wanaume wengine kwa kusikia wanaume... Na wamatumbi tu bwana.. Na msanii wake jamaa linamdhalirisha mbele ya...
  14. a sinner saved by Christ

    Ubaki na akili timamu ama jitoe akili uwe chawa

    Naamini MACHAWA WOTE wana akili timamu,ila wameamua KUJITOA AKILI,kujizima data,kujitoa ufahamu kuna machawa wamesoma vyuo vikuu,wengine ni maprofesa kabisa Usifikiri hawa wanaoposti hapa UCHAWA UCHAWA ni kwamba wao hawana akili timamu au hawaoni,ni watu walioamia KUTUMIKA wakiwa na akili zao...
  15. Inevitable

    Huyu Mwamposa huwa anaachwa na Serikali ya CCM kwakuwa ni ‘chawa’ wao? Hadi Mahakama ipo kimya?

    Mtu anapata uthubutu wa kudai anaweza kukuombea hadi ukafutiwa kesi, tunaona ni sawa na mabango yanawekwa barabarani? Taifa letu ni kama halina uongozi. Wote Serikalini mnaona ni sawa hii? Tuweke matangazo similar to this mtaruhusu????
  16. Eli Cohen

    Hata chawa wanajua kuwa wanafanyaga kazi bure humu maana humu watu ni oil chafu ni basi tu wanatimiza majukumu kwa ajili ya ugali

    Fool me once shame on you, Fool me twice shame on me. Its 2026 bro, Hakuna alie tayari kuendelewa kudanganywa kama mtoto.
  17. O

    sishangai watu maarufu kwenye jukwaa hasa hawa verified member kuwa chawa hawana tofauti na wasanii

    Hauna haki ya kuwa chawa ni kujikosesha heshima tu, hamlipwi mnashinikizwa sababu mnafahamika. mtu kama Pascal Mayalla Robert Heriel Mtibeli n.k Ni case study hawana namna . kama mimi nilivyoenda ikulu nikakuta darasa la viongozi yule mama anawafundisha yeye ni mwema na alivyoniona mgeni...
  18. TheForgotten Genious

    Chawa Habib Mchange ameanza kushughulikiwa

    Baada ya Kitoilet paper cha Habib Mchange, naye akiwa ndiye mhariri wa kitoilet hicho kutoa kashfa kumtuhumu Nilesh mmiliki wa state oil kuwa alitoa pesa kuifadhili CHADEMA, nileshi alitoka kukanusha tuhuma hizo na kusema yeye hakuwahi kuifadhili CHADEMA, bali alimpatia Heche fedha kama...
  19. R

    Sikiliza Chawa huyu, mpaka inatia kinyaa!

    Mpaka inatia kinyaa. Linatafuta uteuzi, lakini ukweli linaujua kuwa hizi hela ni za walipa kodi na si za samia! Nshomile takataka
  20. G Sam

    Alikuwa amejiandaa kunyanyua simu alipoona chawa kakataliwa live, akaenda zake kulala

    Hiki kizazi cha milenials + genz lazima CCM itoke itake isitake. Milenials ndiyo kizazi kilichotaka sana mabadiliko sema vitoto vya Nyerere ndiyo vilikuwa kikwazo hivyo milenials wakajikuta wako peke yao. Ila sasa wamepata kizazi chenye kuunga mkono mabadiliko na kumaliza kabisa siasa za hovyo...
Back
Top Bottom