chanika

Chanika is an administrative ward in the Ilala district of the Dar es Salaam Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 23,450.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    DOKEZO Nimenunua machungwa gengeni Chanika, nahisi yamewekewa dawa yaonekane yameiva

    Sijui kama mimi ndiyo nimechelewa kugundua hili ila kumekuwa na tabia ya Wafanyabiashara au Wakulima wa matunda kuweka dawa ili tunda lionekane limeiva vizuri na kuvutia. Leo nikiwa Chanika Nguvukazi (Dar es Salaam) nimenunua machungwa gengeni kwenye meza iliyojaa machungwa ambayo yote ni ya...
  2. I

    Commercial plot inauzwa buyuni chanika- 1755sqm-Tsh 400m

    Location: Buyuni-Chanika,karibu na barabara kuu toka Pugu kwenda Chanika Mwisho. Ukubwa:45mx39m=1755sqm Bei:Tsh 400,000,000 Matumizi: Commercial Hati/Mirathi: Plot ni yaMirathi, Letter of Administration ipo. Warithi ni 6, mmoja ni msimamizi. Vikao vimeshafanyika na wote wamekubali kuuza...
  3. N

    Nimepata viwanja Mvuti, jirani na Chanika. Vinafaa kwa uwekezaji wa rasilimali ardhi?

    Nimepata viwanja viwili kupitia Tausi, eneo la Mvuti, jirani na Chanika na Zingiziwa. 700sqm na 450sqm. Bei ni 10M kwa 6M Baada ya kuvishika online, nilitembelea eneo husika. Ni 39km kutoka town (Kariakoo), linafikika kwa lami hadi kilomita 3 kutoka eneo la mradi. Kinachonifanya nisite kulipia...
  4. mandwa

    Viwanja viwanja chanika karibu na philipo mpango aliyewahi kuwa Makamu wa raisi tanzania

    Kwa wale wanaotaka kumiliki kiwanja karibuni
  5. D

    Wote Simba! Hapo sawa kabisa, maana kama mmoja angekuwa Yanga, kesho moja wenu angelala nje! 😂

    Wote Simba! Hapo sawa kabisa, maana kama mmoja angekuwa Yanga, kesho moja wenu angelala nje! 😂 Mambo ya bajaji moja Chanika + demu Simba + uko vizuri kipesa = umeshinda tayari hata kabla ya mechi ya kesho. Kesho ukimaliza kazi, kachukue soda mbili, kaa naye muangalie Derby vizuri. Simba...
  6. Tijuana

    Jiko: VENUS Uwezo: lina Plate Sita ⏭️2-Umeme ⏭️4 Gas burners Lina oka mikate Status: Used like New Price: 750,000/= Location:DSM Chanika Phone:

    Jiko: VENUS Uwezo: lina Plate Sita ⏭️2-Umeme ⏭️4 Gas burners Lina oka mikate Status: Used like New Price: 750,000/= Location:DSM Chanika Phone: 0716161683
  7. Dalali_wa_kimataifa

    EKARI 11 zinatazama lami zipo chanika pugu matumiz makaz na biashara Price bilion 8 🇹🇿Call/WhatsApp +355758844717 #viralvideo #tiktokviral #viral_v

    EKARI 11 zinatazama lami zipo chanika pugu matumiz makaz na biashara Price bilion 8 🇹🇿Call/WhatsApp +355758844717 #viralvideo #tiktokviral #viral_video_tiktok_treding #realestate #dalali
  8. Dalali_wa_kimataifa

    EKARI 11 zinatazama lami zipo chanika pugu matumiz makaz na biashara Price bilion 8 🇹🇿Call/WhatsApp +355758844717 #viralvideo #tiktokviral #viral_v

    EKARI 11 zinatazama lami zipo chanika pugu matumiz makaz na biashara Price bilion 8 🇹🇿Call/WhatsApp +355758844717 #viralvideo #tiktokviral #viral_video_tiktok_treding #realestate #dalali
  9. Dalali_wa_kimataifa

    Nyumba ya kubomoa inauzwa Kawe, karibu na Maghorofa ya Samia — ipo Main Road, inatazama Old Bagamoyo

    NYUMBA ya KUBOMOA 🔥INAUZWA🔥 Ipo KAWE karibu na MAGHOROFA ya SAMIA hapo Inatazama OLD BAGAMOYO Ipo MAIN ROAD Umiliki L/MAKAZI ENEO. (SQM 732) Price Mill 700 maongezi 🇹🇿Call/WhatsApp +255758844717
  10. Sprouts pre School

    Picha ya dada aliyeiba mtoto Chanika sasa yawekwa wazi, atakayemuona atoe taarifa

    Unamkumbuka huyu mtoto? Aliibiwa katika hospitali ya NguvuKazi huko Chanika tarehe 06/07/2026. Mama yake alimuomba dada mmoja aliyevaa kama daktari/Muuguzi amsaidie kumshika ili aingie msalani. Alipotoka hakumuona na alipotoa taarifa kwa uongozi wa hospitali walisema hawamtambui. Baada ya...
  11. T

    Nafasi ya kazi: Mkoani Dar es salaam

    Ninawasalimu wote, hongereni kwa majukumu ya ujenzi wa Taifa letu zuri sana la Tanzania. Ninatangaza mtafutaji wa kazi ambaye ni mimi mwenyewe, ninaishi Gongo la mboto mkoani Dar es salaam Elimu yangu ni kidato cha sita. Kazi ikiwa maeneo ya Chanika, Kisarawe, Pugu, Gongo la mboto, Mbagala...
  12. LIKUD

    Kama ume imiss Dar ya Miaka ya Tisini hakikisha kila sikukuu ya kiislamu unatembelea Chanika au Back City

    Achana kabisa na miaka ya tisini. Those were the days.. Ilifika kipindi nikawa najiuliza why am so much possessed by the 90s? Is it because I was still a Lil Bow Wow( a very young boy) or what? But comments sections za nyimbo zilizo kuwa hit miaka ya tisini nchi mbalimbali zimejaa watu wanao...
  13. A

    KERO Kikundi cha KIMAUCHA kinachofanya kazi za umeme chini ya TANESCO – Chanika kinafanya dhuluma kwa Wafanyakazi wake

    Kuna kikundi kinaitwa KIMAUCHA kinafanya kazi za umeme chini ya TANESCO Wilaya ya Chanika, Dar es Salaam, watu wanaohusika hasa viongozi wa kikundi hicho wamekuwa na tabia ya kudhulumu hela, ukijidai mdomo kuuliza unafukuzwa kazi. Jambo lingine linalokera hapo ni kuwa malipo yanachelewa sana...
  14. A

    KERO Michango Ofisi za Mtaa Taliani: Ni Sahihi?

    Mimi ni mdau kutoka chanika Buyuni-Dar es salaam. Sasa kuna utaratibu wa viongozi wanaohudumu ktk ofisi za serikali ya mtaa wa Taliani kata ya Buyuni kuwaomba michango(fedha) wananchi wanapoenda kutafuta huduma kwenye ofisi hizo kwamba wachangie ofisi. Je ni utaratibu ambao ni sahihi..?
  15. N

    DOKEZO Kwa nini Mamlaka zimekitelekeza Kituo cha Daladala Zingiziwa – Chanika?

    Ukifika Chanika mwisho jijini Dar es Salaam kuna msongamano mkubwa wa magari na watu kutokana na ufinyu wa eneo hilo. Hiyo ni kwasababu eneo hilo halina kituo cha daladala, matokeo yake magari hayo hujichanganya na pikipiki zinazopaki eneo hilo na msongamano wa watu. Msongamano huo ulisababisha...
  16. Parabolic

    Wavamia Bonde la Buyuni, wapima viwanja

    Baadhi ya wananchi wamevamia eneo la bonde la Buyuni Kata ya Buyuni wilayani Ilala- Dar es Salaam na kupima viwanja kinyume na utaratibu. Eneo hilo lipo ndani ya Mradi wa Viwanja 20,000 Buyuni. Ni bonde linalotenganisha mtaa wa Serikali Buyuni na Kigezi na ni bonde ambalo lipo nyuma ya Zahanati...
  17. comrade_kipepe

    Ila CHANIKA!!

    Katika mahangaiko yangu ya kuzichakata na kuzibananga mbunye hapa dar CHANIKA pamenishangaza sana. Kumbe wakati nilipokua nahonga elfu 60 mpaka laki 1 kwa watoto wa chuo wa hapa mjini nlikua nachelewa sanaaaaa. Juzi nimepiga 3some kwa elfu40 tuu pande za CHANIKA 😅🫵 Nimechakata vitoto viwili...
  18. Think2

    Haya ndio niliyoyaona Chanika - Dar es Salaam

    Eti Chanika kule napo ni Dar aisee, haya ndiyo niliyoyaona ● Kule huwezi kutofautisha kijana na mzee, maana wote wamevaa vibaragashia chini, wamefunga nguo sijui ni kitenge ● Ukipita macho yote kwako, utasindikizwa na macho hadi utakapoishia ● Mashamba ya mihogo kama mikoa tu ● Maduka...
  19. Big Fat Lady

    Plot4Sale Nauza Kiwanja - Chanika

    Nauza kiwanja. Mahali: Chanika Lukooni nyuma ya stendi mpya inayojengwa ya Chanika. Kama unaelekea Mvuti unateremkia Videte. Ukubwa: mita 12 kwa mita 18. Bei: 7.5 m Mawasiliano: +255788745213
  20. Big Fat Lady

    Kiwanja kinauzwa - Chanika

    Nauza kiwanja. Mahali: Chanika Lukooni nyuma ya stendi mpya inayojengwa ya Chanika. Kama unaelekea Mvuti unateremkia Videte. Ukubwa: mita 12 kwa mita 18. Bei: 7.5 m Mawasiliano: +255788745213
Back
Top Bottom