change

  1. H

    You can write on the heaven and earth,but you cannot change anything.

    Uandike Angani, Uandike Ardhini Uandike angani kwa wino wa nyota, uandike ardhini kwa damu ya miguu— maneno yatapaa, yatakanyaga, lakini mambo husimama pale pale. Piga kelele hadi sauti ichoke, chonga hoja kwenye mwamba wa wakati; kalamu ikivunjika, karatasi ikaungua, mwelekeo haugeuki. Unaweza...
  2. M

    Sisi vijana wa Nyerere tunafahamu maana ya Kufanya regime change kila baada ya miaka 10

    Iwe ndani ya CCM, au kwa Tanzania yote miaka 10 lazima Oil chafu imwage, hata kwa mbinu za Kivita. Wana CCM anzeni sasa kutoka, kukiokoa chama chenu kutoka mikomononi mwa wana mtandao ¡Hasta la victoria siempre!
  3. Common Folk

    "Regime Change" kwa Tanzania haiepukiki tena!

    Na wanaoipalilia ikue kwa kasi ni hao hao CCM wenyewe. Uchaguzi wa mwaka huu hauna tofauti na wa miaka ya 1970, kipindi tunapiga kura za ndiyo na hapana. Huyo mwanamtandao mkuu ndiye atafanikisha hili, maana mabosi zake huwa wanaangalia zaidi "People's Opinions" kuliko mambo mengine. Tukumbuke...
  4. Pdidy

    30 types of bad wives that must change before its too late

    C2 r u there?? Napita tuu
  5. H

    Total change of mindset

    1. Elimu Iwe Njia ya Kusudi, Sio Ajira Pekee - Wanafunzi wafundishwe kuwa wabunifu na wajasiriamali, si kutegemea ajira tu. Mfano: Mwanafunzi wa sanaa anaweza kuanzisha biashara ya ubunifu badala ya kusubiri kazi serikalini. 2. Kupunguza Elimu ya Kukariri - Elimu isiwe tu kujibu...
  6. M

    CCM si tu wamevuruga uchaguzi wamevuruga na Nchi, na Amani yake

    Uharibifu wa uchaguzi ni jambo moja baya sana jambo lingine baya zaidi ni kumiliki taarifa za watu binafsi, kwa maana nyingine CCM wakitaka kumshughulikia mtu kwa njia yoyote ile wanaweza kujua kuanzia kijiji chake hadi anapofanya kazi, ndugu zako wote nchi nzima nje ya nchi na mahali popote...
  7. Smartkahn

    Tetesi: Stories of Change 2025(Awamu ya tano)

    Ni matumaini yetu kuona nchi yetu inakua bora zaidi kupitia mchango wa wanaJF jukwaani na sehemu zinginezo. Hadithi za Mabadiliko Hadithi bunifu zenye suluhisho zilizopendekezwa na Waandishi wa Habari Wananchi kwa ajili ya kuboresha nchi yao. Stories of necessary change (SNC) refers to...
  8. Arsenal Gunner

    Nimeuza kiwanja changu milioni 10, nataka ninunue bodaboda 3. Hii biashara mnaionaje?

    Nimeuza kiwanja changu jana kilichokuwepo Kibaha nimepata milioni 10 nikaona nifanye biashara ya bodaboda. Nizinunue 3 halafu niwape vijana waniletee hesabu. Je itanilipa wakuu Kwa mliowahi kufanya hii biashara au nitaingia loss?
  9. 888I

    Climate change is Real

    https://www.instagram.com/reel/DMhiReEvsPa/?igsh=MWlmenBqbHVrbHd0cw== Wafugaji wenzangu miaka mingi nyuma ilitengenezwa makala hii
  10. 888I

    Climate Change is Real

    https://www.instagram.com/reel/DMhiReEvsPa/?igsh=MWlmenBqbHVrbHd0cw== Tazama na sikiliza makala hii iliyotengenezwa miaka 15 iliyopita
  11. AskariKanzu

    Kumbe baada ya ndoa mambo ndo yanabadilika hivi?

    Nakumbuka kipindi cha uchumba Kati ya mimi na Mke wangu mambo yalikuwa safi kabisa hususani swala zima la tendo, nilipata tendo kila nilipo hitaji na kupewa ushirikiano wa hali ya juu kabisa. Asa hivi baada ya kuingia kwenye ndoa naona mambo tofauti napewa tendo kwa ratiba maalumu pia nikipewa...
  12. Amani Girls Organization

    Driving Change, Inspiring Action: Men as Allies

    The Challenge Approximately one-quarter of Tanzanian women will experience sexual violence before the age of 18, and in a National cross-sectional survey conducted with ~15,000, 15–24-year-old adolescent girls and young women, there was a reported 43% lifetime prevalence of transactional...
  13. U

    Breaking News President William Ruto makes new appointments, promotions in Kenya Defence Forces KDF

    Citizen Digital Live TV Live Radio search Change of Guard: President Ruto makes new appointments, promotions in KDF Joseph Muia By Joseph Muia Published on: June 27, 2025 12:59 (EAT) President William Ruto has made a new round of appointments and promotions in the Kenya Defence Forces...
  14. kiben10

    Alloyce Nyanda ateuliwa kuwa Afisa Habari wa ALLIANCE FOR DEMOCRATIC CHANGE

    Mtangazaji nguli wa medani za Siasa Ndg Aloyce Nyanda ameteuliwa kuwa msemaji wa Chama cha ADC kuanzia leo ambapo uteuzi wake umeanza leo baanda ya Mwenyekiti wa Chama hicho cha Siansa MH. SHAABAN HAJI ITITU kumteua na Ndg ALLOYCE NYANDA, ameomba suala hilo la yeye kukubali ama kukukataa...
  15. I

    John Mrema, tunaomba updates za uzinduzi wa CHAUMMA for Change (C4C)

    Leo tarehe 3/6/2025 ndiyo siku ile iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu! Siku ambayo huko Jijini Mwanza Chaumma mpya itazindua kampeni kabambe ya C4C huku chopa ikiwa pembeni ikisubiri kukata upepo kuanza safari ya mikoa 16 mingine. Watanzania wote tunasubiri kwa hamu habari moto moto kutoka kwa...
  16. Mr Heby

    Climate change, Malaria and Neglected Tropical Diseases Webinar

    Join RSTMH & who on #WorldNTDDay for a free webinar exploring climate change, malaria, & NTDs. 📅 30 Jan, 12:30–1:30 PM GMT Highlights: insights from a major scoping review + expert speakers Don't miss it - register now: #ClimateHealth #NTDs #BeatNTDs
  17. J

    Hafla ya utoaji tuzo kwa Washindi wa Shindano la Stories of Change 2024

    Matukio yaliyoendelea katika hafla ya utoaji tuzo kwa Washindi wa Shindano la Stories of Change iliyofanyika Septemba 21, 2024 katika Hoteli ya Johari Rotana, Dar es Salaam, ikihudhuriwa na Wageni Mashuhuri wakiwemo Balozi wa Umoja wa Ulaya nchini Tanzania, Christine Grau ambaye alikuwa Mgeni...
  18. Mwl.RCT

    ChatGPT Evolves: Real-Time Web Access Transforms AI Interaction

    ChatGPT Evolves: Real-Time Web Access Transforms AI Interaction (Change default search engine to ChatGPT search - Official.) Introduction Remember those times when asking ChatGPT a question resulted in outdated or irrelevant information? Those days are over. A groundbreaking update has...
  19. Genius Man

    LGE2024 Katika shindano la stories of change 2024 nilieleza wazi udhaifu wa sheria zetu za uchaguzi

    Katika shindano la "stories of change" ambalo lilikuwa likilenga maboresho ya msingi yanayopaswa kufanyika ndani ya taifa ili kuipata Tanzania tuitakayo katika nyanja mbali mbali ikiwemo masuala ya sheria. Niliezea wazi udhaifu wa sheria zetu za uchaguzi kwamba zipo kama mapambo na Haziwezi...
  20. DogoWaNjombe

    NEMC awarded ‘Stories of Change’ for 2024

    The National Environment Management Council (NEMC) has received the prestigious “Stories of Change” accolade in the Government Institutions category for its outstanding public communication and accountability in addressing environmental issues in 2024. The award was presented by Jamii Forums at...
Back
Top Bottom