changamoto

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    KERO Changamoto ya Uhamisho wa Watumishi wa serekali kupitia mfumo wa e-uhamisho wa ESS

    Ki ukwel watumishi wengi tunapata changamoto kubwa sana hasa wakati wa kutaka kuhama kupitia mfumo wa e-uhamisho kwani unakuta mtu una vigezo vyote vya kuama taasisi moja kwenda nyingine lakini ukiomba kwenye mfumo unakataa na kuandika "your designation has staff deficit in your organisation"...
  2. J

    Changamoto Vyuo Vya Ufundi Stadi na Marekebisho kwa Vijana wenye Ulemavu: Ukosefu Walimu na Vifaa

    Habari Wana nzengo Mimi ni mdau wa maendeleo ya watu wenye ulemavu nimekuwa nikifuatilia vyuo vya watu wenye ulemavu vilivyokuwa chini ya ofisi ya waziri mkuu ambako kwa Sasa vimehamia katika wizara ya elimu sayansi na teknolojia vyuo hivi vipo Singida (sabasaba) Dar es salaam (yombo),Mwanza...
  3. D

    Je, mwanamke mtu mzima mwenye changamoto ya hormone imbalance anaweza kushika ujauzito?

    Ni mwanamke mtu mzima 43 years. Alipata miscarriage 3. Akawa hapati tena ujauzito. Sasa amepata tena ila dalili sio njema. Kuna vipunje vya damu ameviona akijisaidia kama mara mbili. Gino anasema yupo sawa mimba bado ipo akampa madawa ya kunywa ya kubalansi homoni. Lakini mimi nina mashaka...
  4. Changamoto za mahusiano

    Utafanyaje utapogundua mwenza wako ni 1. Msagaji 2. Wali nazi? Utafunika kombe mwanaharamu apite ama utachukua maamuzi magumu? Utathubutu kuwaambia watu uhalisia ama utakufa na siri yako?
  5. Kikwete ana changamoto zake ila ndiyo Rais bora kuwahi kutokea nchi hii

    NI JAKAYA KIKWETE; Jana nilitoa picha ya Marais 6 wote waliowahi na wanaoendelea kuongoza Taifa letu nikichukua mitazamo yenu kuhusu nani kwano unampa namba 1-6 kwa utendaji. Kwangu mimi (wenyewe wanaita mimi kama mimi) kwanza nitatoa heshima kwa Marais hayati Nyerere na Mzee Ruksa kwa kuwapa...
  6. Miaka 20 ya JF: Tuanzishe MaJukwaa Mapya 10 Yenye Impact Kutatua Changamoto za Wana JF na Jamii?. Wana JF Wenye Uwezo Tuwasaidie Wenzetu Nao WaWin au?

    Wana JF, Mwaka huu, JF tunatimiza miaka 20, niilishauri tufanye something big kuadhimisha miaka 20 ya JF ukiwemo ushauri huu Mwaka 2026 JF Inatimiza Miaka 20! Tuwakumbuke Wana JF wa Zamani, Tuwaenzi, Tuwarudishe, na Wale ma GT wa Enzi Zile Waurejeshe Moto Kama Ule au ..? Japo sijui jf kwa sasa...
  7. A

    KERO Changamoto ya maji Songe Kilindi

    Makao makuu ya Halmashauri ya Wilaya ya Kilindi ni wiki Sasa hakuna maji, na hakuna maelezo yoyote ya lini maji yatatoka. Kwa sasa ndoo ya maji inauzwa Tsh 1000 mtaani. Sijajua changamoto ni nini lakini waziri wa maji amekuja hapa mara mbili na viongozi wanaahidi kutojirudia kwa hii...
  8. A

    DOKEZO Kuna changamoto ya uwazi katika utoaji wa zabuni ndani ya Chama cha Ushirika CEMACo

    Mimi ni mmoja wa wadau wa shughuli za ushirika katika Wilaya ya Manyoni, na napenda kuwasilisha changamoto kubwa inayohusu uwazi katika utoaji wa zabuni ndani ya Chama cha Ushirika CEMACo. Kwa mujibu wa taratibu za kawaida, zabuni mbalimbali hutangazwa kwa uwazi kupitia mbao za matangazo na...
  9. Changamoto za uzazi: Je, tatizo ni la mwanamke pekee?

    Je, wajua kuwa changamoto za uzazi si kwa mwanamke pekee, bali zinawahusu pande zote mbili mwanaume na mwanamke? Ubora wa mbegu za kiume ni miongoni mwa sababu kubwa zinazochangia familia nyingi kushindwa kupata mtoto. Ungana na Dkt. Matilda Ngarina, Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Wanawake na...
  10. A

    KERO Changamoto za Wafanyakazi wa Afya Wanaojiendeleza Kimasomo Kutoka Mikoa ya Pembezoni

    Naomba kuwasilisha kilio cha wafanyakazi wa afya kutoka mikoa ya pembezoni kama Kigoma, Mara, Kagera, na Katavi, ambao wamepata nafasi ya kujiendeleza kimasomo lakini wanakutana na changamoto kubwa sana ya kifedha. Wafanyakazi hawa, wakiwemo manesi, madaktari, na hata wanaosomea udaktari bingwa...
  11. A

    KERO Changamoto za Mfumo wa Ajira Portal kwa Vijana Wanaotafuta Ajira

    Tunaiomba mamlaka husika kuboresha mfumo wa Ajira Portal. Vijana wengi tunapata changamoto kubwa kupata usaidizi kuhusu mfumo huo kwani namba za mawasiliano hazifanyi kazi na email hazijibiwi. Hali hii inatulazimu kutumia fedha nyingi kwenda Dodoma kwa ajili ya kupata msaada wa huduma ambazo...
  12. U

    Dangote aipongeza Serikali kwa kuboresha mazingira ya biashara na uwekezaji, pamoja na kutatua changamoto za wawekezaji

    #HABARI Mwenyekiti na Mtendaji Mkuu wa Dangote Group, Alhaji Aliko Dangote, ameipongeza Serikali kwa kuboresha mazingira ya biashara na uwekezaji, pamoja na kutatua changamoto za wawekezaji nchini. Katika taarifa iliyotolewa na Ikulu ya Tanzania baada ya Mfanyabiashara huyo kufanya mazungumzo...
  13. DOKEZO Changamoto ya Mazingira kwenye miradi mikubwa, maeneo yanageuzwa dampo

    Wakazi wa Kata ya Chamwino, Manispaa ya Morogoro, wameendelea kuishi katika mazingira yenye hatari kubwa za kiafya, kiusalama na kimazingira kufuatia kutofanyiwa usafi wa mara kwa mara maeneo yaliyopitiwa na miradi mikubwa ya serikali ikiwemo Bomba la Mafuta la TAZAMA na Grid ya Taifa ya Umeme...
  14. Kwasasa, mamluki na wafuata mkumbo ni janga na changamoto mpya ya kitaifa Tanzania

    Sote ni mashuhuda kwamba, katika majukwaa mbalimbali humu JF, kumezuka na kuibuka wimbi kubwa sana la baadhi ya wadau wa JF kujidhirisha pasina shaka yoyote kwamba wao ni kundi la mamluki wa vibaraka fulani wa mabwenyenye ya magharibi,yaliyokita kambi humu nchini, lakini pia ni wazi kwamba wao...
  15. M

    Babu Tale: Muhimbili kuna changamoto ya magari ya Wagonjwa, kuna ushahidi yapo mawili tu

    Akichangia hoja Bungeni leo, Mei 12 MbungeTaletae amesema kuwa Licha ya wagonjwa kuwa wengi katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili, ina magari mawili tu ya kubeba wagonjwa.
  16. Changamoto ya kumwaga sperm, kila ninapo lala usingizini

    Wakuu nimekuwa nakumbwa na changamoto ya kumwaga mbegu, kila ninapo lala usingizini. Changamoto hii ina kama miezi kadhaa, mwanzoni nili dhani ni issue normal pengine ni kutokana na issue za semen retention au wenge la ukuaji. ila kadri siku zilivyo kwenda mambo ni yale yake, kila niki lala...
  17. A

    KERO Changamoto ya Usafiri wa Bajaji: Bei Zabadilika, Ruti Hazijulikani

    Madereva wa bajaji wamekuwa chanzo cha malalamiko kwa abiria kutokana na ukosefu wa utaratibu unaoeleweka katika utoaji wa huduma. Mara nyingi, abiria hulazimika kubishana na madereva kuhusu nauli kwa sababu hakuna bei maalumu zilizowekwa wazi. Hali hii husababisha usumbufu, kupoteza muda, na...
  18. A

    KERO Changamoto ya Kuvuka Barabara ya Morogoro Nyakati za Asubuhi na Jioni. Madereva hawaheshimu alama za Pundamilia

    Wananchi wanaoishi na kufanya shughuli zao kuanzia Ubungo hadi Kimara wanakabiliwa na changamoto kubwa kila siku wanapojaribu kuvuka Barabara ya Morogoro, hasa nyakati za asubuhi na jioni. Msongamano wa magari huwa mkubwa, lakini kinachoongeza hatari ni kwamba madereva wengi hawaheshimu kabisa...
  19. A

    KERO Ajira Mpya: Namtumbo mkoani Ruvuma hatujalipwa Pesa ya kujikimu

    Tunaomba mamlaka zitusaidie ajira mpya wa 2025 halmashauri ya Namtumbo-Ruvuma, tumepewa kiasi TZS 130,000 tu. Kila tunapohoji kuhusu pesa nyingine hatupewi majibu. Tabia hiyo imekuwa ikijirudia rudia hata kwa ajira ya mwaka 2024. Tunaomba mamlaka itusaidie tupate pesa yetu ya kujikimu
  20. T

    Utatuzi changamoto za ajira portal nk kama kusahau password, kusahau email nk

    personally kama una changamoto tuwasiliane kupitia 0792715343
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…