changamoto

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Changamoto za Msingi Zinazohitaji Kufanyiwa Kazi Haraka katika Shule ya Wasichana Jokate Mwegelo Sekondari, Kisarawe

    Shule ya Jokate Mwegelo Girls Sekondari iliyopo Kisarawe ni miongoni mwa shule zinazofanya vizuri kitaaluma, jambo linalotokana na juhudi na kujituma kwa walimu pamoja na wanafunzi wake. Hata hivyo, shule inakabiliwa na changamoto kadhaa za msingi zinazohitaji kushughulikiwa ili kuimarisha...
  2. Hivi kwanini mnamtumia huyo mwenye id ya "anonymous" kuelezea changamoto zenu si mueleze wenyewe tuwape miongozo nini cha kufanya

    Ukileta changamoto yako wewe mwenyewe humu jukwaani watu watakuhoji lakini pia watakushauri nini cha kufanya kuliko hilo roboti lenu mnalolituma Kujeni wenyewe au mnaogopa kuanzisha account jf?
  3. A

    KERO Changamoto Sekondari Mchungaji Mwema: Walimu, Mishahara na Utawala

    KERO Mimi kama mzazi na mdau wa elimu shule ya sekondari mchungaji mwema iliyoko chini ya dayosisi ya Kagera nakelwa na mambo kama haya 1. Walimu KUNYIMWA MKATABA ambao ni silaha ya kulinda ajira yao Kwa mujibu wa SHERIA. 2. Mishahara ya kusuasua Kwa WAFANYAKAZI na kulipwa kinyume na SHERIA...
  4. Umepitia changamoto week moja tu kwenye biashara yako toka uianzishe umeshakata tamaa

    Ndugu zangu, biashara ni mchakato mrefu sana, nina shuhuda za baadhi ya ndugu jamaa na marafiki kuanza biashara kwa pupa kisha kuangukia pua. Mtu ana m10 yote anaitia kwenye biashara, matarajio yanakuwa makubwa sana kwa kipindi kifupi, kwenye hiyo biashara ambayo bado ni changa sana, ndio...
  5. DAWASA: Tumeshughulikia changamoto ya bomba lililokuwa limepasuka Ukonga Mombasa

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imesema changamoto ya bomba kupasuka iliyokuwa katika eneo la Ukonga Banana mkabala na Aviation limeshughulikiwa baada ya kusababisha changamoto ya maji kwa wakati wa maeneo hayo. Juni 13, 2026, Mdau wa JamiiForums.com aliandika...
  6. DC wa Tarime, Meja Gowele: Mwananchi anayepata changamoto Kituo cha Afya Nyangoto atoe taarifa mapema

    Mkuu wa Wilaya ya Tarime, Meja Edward Gowele amefanya ziara ya kushtukiza katika Kituo cha Afya Nyangoto, kinapatikana Nyamongo Mkoa wa Mara, Wilaya ya Tarime Vijijini, Kata ya Matongo ambapo amezungumza na Wagonja na uongozi wa kituo hicho. Ziara hiyo imefanyika baada ya Mdau kuelezea...
  7. A

    KERO Watumishi Wilaya ya Kasulu tuna Changamoto ya Pesa ya Kujikimu

    Mimi ni moja ya watumishi wapya (Kada ya Elimu) Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu. Tangu January 2026 hatujapewa pesa ya kujikimu mpaka muda huu. Hata ajira za mwaka jana (2025), February hawajamaliziwa pesa zao, wamepewa kwa mafungu mafungu na bado wanadai. Soma Pia: Ajira mpya Halmashauri ya...
  8. A

    KERO Responded NACTVET wana huduma mbovu katika kuwasiliana na wateja wao

    Nina malalamiko yangu kwa Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (NACTVET) kuhusu huduma ya mawasiliano kwa wateja. Kumekuwa na changamoto kubwa ya kutopokelewa simu tunapowasiliana na ofisi zao kwa ajili ya kupata msaada au ufafanuzi wa masuala mbalimbali. Mara nyingi...
  9. A

    KERO Changamoto ya upungufu wa Wakufunzi na miundombinu duni katika Chuo cha Ufundi Arusha

    Mimi ni mwanafunzi wa Arusha Technical College (ATC), na napenda kuwasilisha changamoto kubwa inayolikabili chuo chetu kwa sasa, hususan katika suala la upatikanaji wa wakufunzi na rasilimali za kujifunzia. Kwa muda sasa, chuo kinakabiliwa na upungufu mkubwa wa wakufunzi, hali ambayo imeathiri...
  10. K

    Changamoto ya kutumia JF

    Wakuu kwemeni na hamjamboni aisee nimekumbana na changamoto ya namna nzuri ya kutumia JF 1. Nashindwa kuwatag watu niwapendao mf.Seran 2. Nashindwa kudouble reply 3. Nashindwa kuquote uzi kama afanyavyo Mshana Jr na miamba wengine Msaada
  11. A

    KERO Changamoto tunazopitia wanafunzi wa Kozi za Afya katika Chuo cha Kolandoto College of Health Science [KCHS]

    Mimi ni mwanafunzi wa chuo cha Kolandoto Colage of Health Science kilichopo Shinyanga Kolandoto, tunapitia changamoto zakutosha sana wanafunzi nitaje baadhi; 1. Wanafunzi tumekuwa tukifelishwa na waalimu makusudi kisa bifu, au mahusiano ya kimapenzi baina ya waalimu na wanafunzi na utoaji wa...
  12. Karibu Tujifunze: VICOBA na changamoto ya utunzaji wa Kumbukumbu

    Wana Jukwaa Habari! Miaka ya hivi karibuni kumekuwa na wimbi kubwa sana la watu kuanzisha na wengine kujiunga kwenye VICOBA. Na ki-uhalisia imekuwa msaada mkubwa sana kwa watu ambao wamekosa sifa za kukopesheka kutoka kwenye mifumo rasmi ya kukopa, mfano bank. Nakumbuka miaka mitatu (3)...
  13. Kundo Mathew: Mkurugenzi wa DAWASA fanyia kazi suala la Maji Segerea, Tusizowee changamoto za Wananchi

    Naibu Waziri wa Maji, Mhandisi Kundo Mathew, ametoa maelekezo kwa Mtendaji Mkuu wa DAWASA kuhakikisha changamoto ya upatikanaji wa maji katika Jimbo la Segerea inapatiwa ufumbuzi wa haraka na wa kudumu. Akijibu swali la Mbunge wa Segerea (CHAUMMA), Agnesta Kaiza, bungeni Juni 3, 2026, Mhandisi...
  14. A

    KERO Uongozi mbovu Hospitali ya Wilaya ya Kwimba

    Huduma mbovu sana upande wa opd(wagonjwa wa nje) wameunganisha jengo wagonjwa wa dharua na OPD ya wagojwa wa kawaida na kuacha vyumba vikiwa waziwa sisi wagonjwa wa magonjwa ya kawaida tungeendelea kutibiwa kule pa zamani na kuepusha kupata magonjwa ya mlipuko yakitokea, lakini pia hakuna...
  15. O

    KERO Responded Changamoto ya uunganishwaji umeme wateja wapya Tanesco-Mkuranga

    Kumekuwa na ucheleweshaji wa huduma ya kuunganishiwa umeme kwa wateja wapya wilaya ya Mkuranga ambapo mteja anakuwa ashafata taratibu zote kwaajili ya kupata huduma ila mteja anasubirishwa Hadi miezi sita bila kupata huduma. Na ukijaribu kufatilia wanakuambia Kuna uhaba wa vitendea kazi kama...
  16. Changamoto ya Vyama vya Upinzani Afrika ya Mashariki

  17. Mda wa kujisaidia fanya haya itakusaidia kuepuka baadhi ya changamoto

    Unapo jisaidia haja kubwa hakikisha unafanya haya ili kuepusha bawasiri ya kujitakia. 1. Hakikisha ukifika chooni unachuchumaa na kutulia subiri haja itoke yenyewe. .yaan epuka kuisukuma haja yako kwa kujikamua kwa njia yeyote ile. Lakufanya una chuchumaa tu tulia ukikaa sana huja yenyewe...
  18. M

    KERO Changamoto ya miezi ya “Unremitted” katika michango ya PSSF inatusumbua Wanachama

    Kuna changamoto kubwa katika ufuatiliaji wa mafao ya PSSF. Kwa nini baadhi ya miezi huonekana kama unremitted wakati mfanyakazi anapochapishiwa Contribution Summary? Mara nyingi unakuta kuna miezi kadhaa ambayo michango yake haionekani. Kinachosikitisha zaidi ni kwamba ukienda PSSF unaelekezwa...
  19. Z

    KERO Wafanyabiashara wadogo Morogoro wanakumbana na Udalali wa maeneo ya biashara; wanalipishwa mara 5 zaidi ya bei halisi

    Nipo Morogoro. Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro ina maeneo ya biashara ambayo wafanyabiashara wadogo hupanga kwa gharama ya shilingi elfu hamsini. Hata hivyo, maeneo hayo yamechukuliwa na baadhi ya wafanyakazi pamoja na watu wenye fedha, ambao huwapa vijana wapangaji kwa shilingi laki tatu...
  20. A

    KERO Wakuguzi wa Mikopo ya Vijana wana changamoto

    Mikopo ya vijana, wanawake na watu wenye ulemavu imeanzishwa kwa lengo jema, hasa katika kipindi hiki ambacho changamoto ya ajira imekuwa kubwa nchini. Mfumo huu umekuwa msaada muhimu kwa wengi katika kujiajiri, kukuza biashara ndogo ndogo na kuinua uchumi wa wananchi. Hata hivyo, bado kuna...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…