changamoto

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Bilioni 4 zimetengwa kutatua changamoto za barabara ndani ya manispaa ya Temeke

    Mhe. Jokate Mwegelo: ZAIDI YA BILIONI 4 KUBORESHA BARABARA TEMEKE. Kiasi cha fedha zaidi ya shilingi bilioni nne kimetengwa kwa ajili ya kutatua changamoto za barabara ndani ya manispaa ya Temeke katika bajeti ya mwaka wa fedha 2022/23. Hayo yameelezwa na Mratibu wa Wakala wa Barabara za Mjini...
  2. Ni aibu gani uliipata kwenye Interview yako ya Kwanza? Mimi yangu hii

    AIBU NILIYOIPATA KWENYE INTERVIEW YANGU YA KWANZA. Anaandika Robert Heriel. Simulizi hii ni ya kweli, nimekumbuka tukio hili nikabaki nacheka Sana, naomba nishiriki pamoja nanyi huenda kuna atakayepata somo. Baada ya kumaliza elimu ya Chuo kikuu nikaamua kuwa fundi cherehani, nikiwa nashona...
  3. Z

    Somo la Hisabati bado ni changamoto

    Pamoja na matokeo ya kidato cha 4 kuongezeka ufaulu, kidato cha 2 na darasa la 4 kwa mujibu wa taarifa/ripoti ya Baraza la Elimu Tanzania limesema kuwa bado ufaulu wa Somo la Hisabati uko chini sana. Nimekuwa nikijiuliza sana tatizo ni nini lkn majibu yamekuwa yalitolewa na wadau wa elimu ni...
  4. Namna nzuri ya kutatua changamoto ya machinga na wafanyabiashara ndogo pembezoni mwa barabara na maeneo yasiyo rasmi

    Kwa kuzingatia yakua machinga na wafanya biashara ndogo ndogo nao huchangia katika pato la Taifa na la kwao moja kwa moja, ni vema kufikiria na kuweka njia nzuri ambayo itawafanya waendelee kutumia maeneo hayo kwa shughuri zao za kiuchumi. Mfano, unakuta migambo na askari wa jiji wakipambana...
  5. Changamoto za kuishi nyumba moja na rafiki au mtu yeyote

    Ninamaanisha kushirikiana kodi ili kupunguza ugumu wa maisha. Inaweza kuwa ni wanafunzi wa Chuo, waajiriwa wapya au hata waliopata ajali za maisha na wanaanza moja. Mfano wanafunzi wanachukua chumba cha 40,000 wanachangia kodi. Kuna wale waajiriwa wasiopenda kuishi Uswahilini. Wanachukua...
  6. Changamoto nilizokutana nazo wiki hii Kwa Huduma yaBima Ya Afya

    Bima nyingine kama NHIF Zina Changamoto hizi 1. Kama hakuna Umeme Huhudumiwi. Pale Levolosi Arusha nilikosa huduma Kwa sababu hakukuwa na Umeme. Nilioa baadhi ya sehemu taa Zinawaka ikiwemo Mapokezi. Nikaambiwa wanatumia Generator Haliwezi kuwasha Computer. Nikaazuga kwenda nyuma ya Mapokezi...
  7. Changamoto ya kimahusiano 2021, mipango ya 2022 katika mahusiano

    Tukiwa tunaelekea kuimaliza 2021 ni changamoto gani ya kimahusiano ambayo ulikutana nayo hasa katika marafiki zako na katika mapenzi na ulikabiliana nayo vipi? Na je vipi kuhusu mwaka 2022 umejipangaje kimahusiano ili usikutane na changamoto kama za 2021. Binafsi 2021 nilikuwa na rafiki yangu...
  8. Bado kuna changamoto mikataba ya madini

    Mikataba mipya ya Madini (Frameworks Agreements) itazamwe tena Na. Zitto Kabwe Hivi karibuni Waziri wa Madini Dotto Biteko ameainisha uwekezaji wa miradi mipya mikubwa mitatu inayoanza kufanyiwa uwekezaji hapa nchini. Miradi hiyo ni mradi wa dhahabu Nyanzaga wilayani Sengerema mkoani Mwanza...
  9. Tetesi: Nadhani viongozi wote mliofanya mikutano ya kimataifa mmeona changamoto ya lugha.

    Tuchague lugha moja ya kufundishia kuanzia chekechea mpaka chuo kikuu. Ningekua mimi ni kiongozi maramoja ningechagua lugha moja iwe ya kufundishia kuanzia shule ya chekechea mpaka chuo kikuu. Nilipata kuhudhuria kongamano moja tulikua nawaganda kwakweli sisi kiingereza kinapiga chenga na hata...
  10. F

    Maisha ya ndoa yana changamoto nyingi sana.

    Kuna mshikaji wetu mmoja alimlaza mkewe ndani kwa makosa ya kijinga kijinga tu ya maisha ya ndoa... kesho yake tukaenda kumsalimia shemeji yetu tukamkuta pale nje kituoni so tukatoka naye tukaenda kupata supu jirani na kituo cha police. Kwenye supu akatuambia sasa nawapa salaam, mpigieni simu...
  11. Waliokuwa na bidii na elimu lakini wapo mtaani wanadharaulika kwakuwa jamii iliweka matarajio makubwa

    Ni lile kundi la watu ambao tulisoma nao shuleni na vyuoni, walikuwa serious sana na elimu na waliweza kuwa na matokeo mazuri sana, wengi walisifika kwa kuitwa majina maarufu kama vipanga. Katika fikra za wengi hawa walikuwa wanaonekana tayari wana future nzuri maana wakimaliza tu elimu zao...
  12. Mwaka 2022 utakuwa mwaka mgumu tangu nchi yetu kupata Uhuru

    Wananchi wa Tanzania, wanategemea kilimo cha mvua. Kufikia mwezi huu 12/2021 maeneo mengi ya Tanzania hakuna mvua, jua ni kali sana. Tunaweza kuchukulia hali hii kwa namna ya kawaida. Lakini ukweli ni kwamba mwaka 2022 utakuwa mwaka mgumu sana katika nchi yetu. Ukame utakuwa mkubwa mno...
  13. Watanzania international Exposure ni Changamoto

    Wengi tumejikita na uswahili wetu. Hatujichanganyi dunian kujua Kuna nn? Eti Uchumi wa buluu! Majanga haya. Dunia ni yetu sote tutoke tukutane na wenzetu tujenge networks na strategic partnership. **Diaspora yetu japo ndogo lakin Kama sisi tu. Full kusifia ili wapate vyeo
  14. M

    Nashauri Pesa za Sherehe za Uhuru 9 Disemba, 2021 zisitishwe na Pesa zielekezwe katika Changamoto za Umeme na Maji nchini

    Kusheherekea kwa Mbwembwe zote miaka 60 ya Uhuru huku Taifa likiwa na Changamoto muhimu za Maji na Umeme huenda Kikatafsiriwa kuwa ni Kielelezo tosha cha Uzuzu ( Ujuha ) mwingi unaopatikana Afrika na kwa Waafrika wengi ( japo siyo Wote )
  15. Kwa hoja hii ndoa kuvunjika kutofikishwa bungeni Mbunge wa Makete hatoshi

  16. M

    Kusheherekea miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania wakati tokea Uhuru hadi leo Taifa lina Changamoto za Kimsingi zifuatazo ni Uzuzu uliotukuka

    1. Ujinga uliochanganyika na Upumbavu. 2. Elimu mbovu na inayozalisha Mazuzu wengi na Ajira kuwa Janga la Kitaifa. 3. Umeme usio na uhakika nchini. 4. Kutopatikana Maji kwa Wananchi. 5. Ukabila, Udini na Ufisadi mkubwa. 6. Afya duni kwa Watanzania wengi. 7. Siasa mbovu na Demokrasia ya...
  17. L

    China yasaidia Afrika kukabiliana na changamoto ya mabadiliko ya tabianchi

    Mkutano wa 26 wa Nchi Zilizosaini Makubaliano ya Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi (COP26) ulifanyika mjini Glasgow, Uingereza, na ulijadili masuala ya hali ya hewa yanayofuatiliwa na pande mbalimbali duniani. Ikilinganishwa na maeneo mengine, bara la Afrika linaathiriwa zaidi na...
  18. Changamoto za Demokrasia kwenye Nchi nyingi

    (i) Kuongezeka kwa tofauti (Gap) za Kiuchumi na Kijamii miongoni mwa Wananchi: Sehemu nyingi Wananchi wote wana haki ya kushiriki Uchaguzi lakini Matajiri ndio wana nafasi ya kushinda. Watu wasiojiweza hulazimika kuuza kura zao ili kutimiza mahitaji yao ya Msingi (ii) Ufisadi na Uzembe: Katika...
  19. Ucheleweshaji wa kujibu maombi ya uwekezaji ni changamoto ya uwekezaji

    Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG) 2019/20 imeonesha changamoto zinaweka ugumu kwenye mazingira ya uwekezaji Tanzania. Changamoto hizo ni pamoja na Maafisa wa Kituo cha Uwekezaji kukosa mamlaka ya kutoa baadhi ya huduma. Pia ucheleweshaji wa majibu ya maombi ya uwekezaji...
  20. Ripoti ya Uwajibikaji: Changamoto za Usimamizi wa Rasilimali watu katika Mamlaka ya Serikali za Mitaa

    Katika ukaguzi wa mwaka 2019/20, CAG ameonesha changamoto zifuatazo katika usimamizi wa rasilimali watu katika Mamlaka ya Serikali za Mitaa; Idara ya Ujenzi, Sekta ya Elimu na Afya kuathiriwa na Upungufu wa Watumishi 119,753 Katika mapitio ya idadi ya wafanyakazi katika Halmashauri 123, CAG...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…