changamoto

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kuhusu matukio mengi ya ajali za barabarani, ukiachana na uzembe wa madereva barabara zetu ni changamoto

    Ukiachana na kuendelea kuwalaumu madereva, bado barabara zetu ni changamoto kubwa kwa usalama wa watumizi wa barabara hizo, barabara nyingi ni ni nyembamba (unforgiving roads )zisizo kuwa na mbadala ambazo zinashindwa kupunguza idadi ya vifo na majeruhi pale ambapo dereva atafanya makosa. -...
  2. Story ya kijana mmoja mwenye ndoto kubwa

    Kijana mmoja jina () alihitimu elimu ya chuo kikuu katika chuo kikuu kimoja mkoani Morogoro. Baada ya kuhitimu alikuwa na viji-savings vyake akavitumia kununua kiwanja na shamba hapo hapo mkoani Morogoro. Badae akakodi meza katika soko la Manzese (lililokuwa soko kuu la muda kupisha ujenzi wa...
  3. L

    Marekani yapaswa kukabiliana kihalisi na changamoto ya ubaguzi wa rangi

    Tarehe 21 Machi ni Siku ya Kimataifa ya Kutokomeza Ubaguzi wa Rangi. Katika miaka ya hivi karibuni, nchi za magharibi haswa Marekani, zimepuuza suala la ubaguzi wa rangi katika nchi zao, na kuchukulia suala hilo kama njia ya kisiasa ya kuingilia mambo ya ndani ya nchi nyingine, kitendo ambacho...
  4. Leo kilele cha Wiki ya Maji, tuorodheshe changamoto hapa

    Mgeni rasmi Mheshimiwa Rais mahali ni Mlimani City kauli mbiu ni maji chini ya ardhi hazina isiyoonekana. Ratiba ya shughuli hio hapo katika picha. Ushauri wangu mimi kama mdau wa hii sekta nashauri bodi za Bonde ziachane na mapendekezo ya ada mpya na leseni hasa za visima. Wamiliki...
  5. Changamoto ya Haki za Binadamu Zanzibar, somo latolewa kwa AZAKI jinsi ya kupambana

    Taasisi ya Watetezi wa Haki za Binadamu Nchini Tanzania (THRDC) imetoa mafunzo kisiwani Zanzibar kwa kujengea uwezo AZAKI visiwani humo juu ya namna ya ufuatiliaji, uandishi wa ripoti za haki za binadamu na utunzaji wa kumbukumbu. “Mafunzo haya yanakwenda kuwajengea uwezo namna ya kufuatilia...
  6. Kanuni ya Umoja katika kuwezesha kutatua changamoto kubwa za maisha zinapokujia

    Rejea mada tajwa hapo juu kwenye heading na ninaomba niende moja kwa moja kwenye mada husika. UTANGULIZI Kwanza kabisa unaweza kukubaliana nami kuwa changamoto kubwa zaidi za watu wa maisha ya kati ni kuhudumia matibabu, kupoteza ajira, kuunguliwa na nyumba, misiba na kupatwa na kadhia ya...
  7. Umeme wa REA kiukweli umeleta changamoto sana kwa baadhi ya waombaji wapya wa Umeme

    Pamoja na serikal ilifanya vizuri kuja na mradi wa kuleta umeme katika maeneo ya mbali na mijin Kwa maoni yangu naona bado katika baadhi ya utekelezaj wa mradi hii watekelezaji walivurunda sanaa hasa katika swala la kuzingatia uwekaji nguzo katika mipaka baina ya kiwanja kimoja na kingine...
  8. Hivi wapo wanaofanikiwa kupata wenza makini (serious) mitandaoni?

    Kwa siku za karibuni kwenye mitandao mbali mbali kumeshamiri maombi ya kuhitaji Wenza...natamani kujua kama kuna utafiti umefanyika kujua mafanikio ya mfumo huu. Maombi haya yamekuwa yakiambatishwa na vigezo lukuki huku vingi ya hivyo ni ngumu hata kupatikana kwa Mtu mmoja. Pia...
  9. Story kutoka kwa watu, Maisha yana changamoto kweli

    Maisha yana changamoto nyingi sana. Nakumbuka mwaka 2019 Nilihamia kwenye nyumba moja huko kilakala. Hiyo siku nafika tu pale, nikamkuta mpangaji mwenzangu na akaniambia hapa ni jau yeye mwenyewe ana mipango ya kuhama sababu mzee mwenye nyumba ni chuma ulete. Nikapuuzia. Nikaendelea kuishi pia...
  10. Story kutoka kwa WATU: Maisha yanachangamoto kweli

    "Maisha yana changamoto nyingi sana. Nakumbuka mwaka 2019 Nilihamia kwenye nyumba moja huko kilakala. Hiyo siku nafika tu pale, nikamkuta mpangaji mwenzangu na akaniambia hapa ni jau yeye mwenyewe ana mipango ya kuhama sababu mzee mwenye nyumba ni chuma ulete. Nikapuuzia. Nikaendelea kuishi...
  11. L

    Mikutano miwili imekuwa kipimo cha kukabili changamoto za kijamii, kiuchumi na kisiasa

    Huku pazia la Mkutano wa 5 wa Baraza la 13 la Mashauriano ya Kisiasa la China likishuka kuashiria mwisho wa mikutano miwili, dunia imeendelea kutambua jinsi vikao hivyo vimekuwa kipimo cha kukabili changamoto za kijamii, kiuchumi na kisiasa, na pia janga la COVID-19 ambalo halijawahi kutokea...
  12. Changamoto za ndoa

    Kuna mwanaetu kapatwa na changamoto kutoka kwa mke wake Kama ujumbe wa unavosomeka hpa chini
  13. J

    Changamoto ya kupata ajira kwa wataalam wa afya na suluhisho

    Habari wanajamvi Tangu miaka michache iliyopita kulitokea changamoto ya upatikanaji wa ajira kwa wataalamu wa afya, na sasa tumefika mashala ambapo mtu anapomaliza internship, anarudi nyumbani na kukaa muda mrefu, hata miaka bila kuitwa hata kwenye usaili wa kazi nyingi ambazo ameshaomba. Hiyo...
  14. L

    Start Up: Hii series nzuri sana, inaelezea changamoto za kuanzisha biashara na kujaribu kubadili maisha

    Hii series nzuri sana, inaelezea changamoto za kuanzisha biashara na kujaribu kubadili maisha, kupata investors nk
  15. L

    Kama unapitia changamoto na unahisi kukata tamaa pita hapa

    " FORREST GUMP" Hii movie itakusaidia kujua kuwa hata mjinga anaweza kukufundisha kitu, ina mafunzo mengi mno ambayo yatakusaidia katika dunia. Kujua kuishi na watu, itakufunza kuwa hakuna ajuaye kesho basi heshimu kila mtu nk. Kama una depression, mid life crisis, anxiety, mambo yako hayaendi...
  16. M

    Wanasiasa wa Tanzania epukeni sana Kuzoeleka kila mara na Siti za Ndege Angani, bali zoelekeni na Changamoto nyingi za Watanzania walio ardhini

    Tutaanza sasa Kuwahisi kuwa huenda hamtaki / hampendi Kukaa Tanzania mliko na Wajibu nako na mnataka kuwa Angani 24/7 kwani Tanzania inanuka na Watanzania tunanuka vile vile. Na hata pia Kiafya Mwanasiasa Kusafiri kila mara (tena kwa Ndege) ndani na nje ya Tanzania siyo vyema sana na ni Hatari...
  17. Kama uliweza kumaliza mitihani yako, weka hapa stori yako, mbinu, changamoto kuwapa matumaini watahiniwa

    Duh aisee ule mziki wa CPA sijawahi ona, ulinipeleka mchaka mchaka mno hata nikiunganisha msuli wa form 6 E.C.A na degree bado haifiki hata robo, hata wanaotoka cpa kwenda masters huwa ni kama wameenda likozo na wanapasua masters si mchezo, lakini utoke masters uje cpa ni shughuli pevu...
  18. Elimu: Changamoto za utekelezaji wa kalenda ya mtaala

    Nawasalimu kwa jina la JMT Kazi iendelee..... Nikiwa kama mdau wa Elimu nimebaini haya yafuatayo hasa baada ya kupitia maoni ya baadhi ya watu ambao wengi wao ni walimu juu ya utekelezaji wa kalenda mpya ya mtaala inayowataka walimu wote Tanzania kuwa sawa ktk ufundishaji. Kwa maana kama leo...
  19. Rais Samia: Baada ya kumaliza changamoto ya madarasa tutaajiri walimu 7000

    Hello unemployed teachers! Poleni kwa kusubiri na bado mtaendelea kusubiri Serikali yenu bado INA mambo mengi ya kimaendeleo lakini haija wasahau . Leo tarehe 27/01/ ni birthday ya Mh. Rais SAMIA SULUHU HASSAN akiwa Dodoma alipiga simu kwa waziri wa elimu aliyekuwa mgeni rasmi wa tamasha pale...
  20. Ukosefu wa waandishi habari vijijini husababisha changamoto lukuki zilizopo huko kukosa utatuzi

    Imezoeleka kuwa habari za vijijini zinapatikana pale kiongozi wa kitaifa akienda huko huku akiongozana na wandishi wa habari toka mjini kwa ajili ya uzinduzi wa jambo fulani kama vile Kisima, Hospital nk lakini baada ya hapo huondoka zao na kurudi walikotoka bila hata ya kuzunguka na kujua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…