changamoto

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. KERO Mbeya: Wenye changamoto ya kusikia wanapitia wakati mgumu katika Vituo vya Afya

    Katika Mkoa wa Mbeya wenye zaidi ya watu 12,000 wenye ulemavu wa kusikia, ni kituo kimoja tu cha kutolea huduma za afya chenye mkalimani wa lugha ya alama. Takwimu hizo ni kwa mujibu wa Chama cha Watu Wenye Ulemavu Mkoa wa Mbeya (CHAVITA). Hata hivyo, nyuma ya hali hiyo, kuna maumivu makubwa...
  2. S

    Nafanyaje ili niweze kuhamia Taasisi nyingine ya Serikali. Naomba ushauri wenu

    Habari za wakati huu Wakuu. Naomba msaada wa mawazo kuhusu utaratibu wa kubadilishiwa kituo cha kazi au kuhamia taasisi nyingine ya Serikali. Mimi ni mkufunzi wa Useremala chini ya Wizara ya Elimu, lakini taaluma yangu ni Civil Engineering. Kwa sasa nina changamoto ya kifamilia, kwani mzazi...
  3. D

    KERO Huduma za UDOM kwa upande wa changamoto za kitehama kwa wanafunzi ni mbaya mno

    Hii changamoto haipo ofisi za utawala mkuu pekee, bali hata utawala wa college yangu niliyokuwa nasoma ya ndaki ya sayasi asilia na hisabati (cnms) Viongozi hawajibiki kwa wakati , calls na message zetu zinasomwa tu na hazifanyiwi kazi kwa wakati au pengine hazifanyiwi kazi kabisa na wakati...
  4. C

    Ubovu wa madaraja mbugani Nyamagana

    ubovu wa madaraja mbugani unazuia shughuli ya maendeleo ya kijamii pia kunahatarisha jamii tunaomba serikali ishugulikie changamoto hii
  5. M

    Mkuu wa Mkoa, Kheri James, amezindua Daraja la Ipogolo kufuatia kukamilika kwa matengenezo yaliyolenga kukabili changamoto ya mafuriko

    Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Kheri James, amezindua rasmi Daraja la Ipogolo kufuatia kukamilika kwa matengenezo makubwa yaliyolenga kukabili changamoto ya mafuriko yanayosababishwa na Mto Ruaha wakati wa msimu wa mvua. Mradi huo uliogharimu zaidi ya shilingi milioni 600 ulihusisha upanuzi wa mtaro...
  6. A

    HOJA Serikali iangalie, Sekta binafsi kuna changamoto nyingi zinazowanyonya Wafanyakazi

    Ningependa kuwasilisha ushauri kuhusu changamoto zinazowakabili vijana na wafanyakazi wengine katika sekta binafsi, hususan masuala ya mikataba ya ajira, mishahara na mazingira ya kazi. CHANGAMOTO KUBWA Mikataba ya ajira: Wafanyakazi hupewa mikataba ya mwaka mmoja inayorudiwa kwa kipindi cha...
  7. Mwanaume kua na Mwanamke Mzuri sana ni Changamoto

    Hii kitu nimeona sana ni nimeipitia sana experience yangu ni kubwa mno. Of course, najua wapo watakaopinga lakini ipo wazi kwa mwanaume kua na mwanamke mzuri sana ni changamoto. Kwanza, hua inahitaji moyo ule moyo haswa ili ku-maintain focus bila kupitia mabalaa ya hapa na pale sijui wivu wivu...
  8. RESOLVED TangaUWASA: Tunaomba radhi kwa changamoto ya maji taka Kata ya Ngamiani, changamoto imetatuliwa

    Oktoba 7, 2026, Mdau wa JamiiForums.com aliandika “Maji taka Mtaa wa 10, Kata ya Ngamiani - Tanga yanahatarisha usalama wa afya, kero hiyo imedumu kwa zaidi ya wiki moja sasa, licha ya kuwa mamlaka husika zina taarifa, lakini hakuna hatua zilizochukuliwa, hali inayohatarisha afya za Wakazi na...
  9. A

    KERO Mwekezaji anafanya ubaguzi wa wazi wazi kwa wafanyakazi wazawa Wilaya ya Musoma

    Kuna Mkabulu anaitwa JP La Grange ni raia wa South Africa na ni Workshop Manager Kwenye Kampuni ya Maendeleo Technologies Limited inayofanya kazi kwenye Mgodi wa POLYGOLD CO. LTD unaopatikana Wilaya ya Musoma, Mkoani Mara, Kijiji cha Seka, Kata ya Nyamrandirira. Huyu mzungu ubaguzi anaofanya...
  10. Je kuna changamoto yoyote katika mfumo wa SGR

    Habari, Naomba kufahamishwa kama kuna changamoto yoyote katika mfumo wa SGR mana nashindwa kuingia kwenye mfumo. Nashukuru
  11. Ninini maoni yako kuanzishwa kwa shirika la ndege la Zanzibar?

    Je, unadhani zipi zitakuwa Faida pamoja na Changamoto za kuanzishwa kwa shirika la ndege la Zanzibar? Picha kwa hisani ya Akili Mnemba
  12. Akili za wanawake ni changamoto!

  13. Rais wa JMT, waziri kiongozi wa Serikali ya mapinduzi ya Zanzibar na waziri mkuu wa Tanganyika, ndio muundo sahihi kwa changamoto za Muungano.

    Swala la Katiba mpya limeendelea kuwa hoja inayojadiliwa zaidi miongoni mwa watanzania. Pamoja na mambo Mengi yanayojadiliwa, swala la muundo wa muungano limeendelea kuwa na umuhimu wa kipekee sana. Nakili kwa uwazi sijafanya utafiti rasmi unaowezesha kuwa na takwimu za kitaifa. Kwahiyo maoni...
  14. Changamoto za kujenga tabia mpya

    Kwenye maisha yetu ya kila siku huwa tunapitia hali ya kutaka kukua lakini inashindikana kwa sababu ya mazoea yetu ya kila siku...... Ni rahisi sana kujenga tabia inayokurudisha nyuma lakini ni ngumu sana kujenga tabia njema. Ni rahisi sana kujenga tabia ya ulevi lakini ni ngumu sana kujenga...
  15. L

    Ya Kweka na Changamoto za mahusiano katika zama zetu

    Mkasa wa KWEKA na mkewe uliopelekea kutoana uhai kijeshi ni simulizi inayozua maswali mengi, maoni mseto shuhuda anuai na shauri mbalimbali. Swali lililoulizwa sana ni.... "Kwa nini Kweka amemuua mkewe mrembo kiasi kile kwa risasi?" Je hakukuwa na namna nyingine ya kutatua changamoto zao kabla...
  16. M

    Kumradhi! Kuna changamoto kidogo

    Kila nikijaribu kuload next page kwenye uzi napata hii message " Kumradhi! Kuna changamoto kidogo" Ni mimi tu au waTanzania wote?
  17. Changamoto za NHIF Selfservice Portal

    Rejea kichwa cha habari, kutokana na dhana ya serikali kwenda kidijitali zaidi, yaani wananchi waweze kupata huduma za serikali popote walipo mtandani tunashkuru taasisi nyingi za serikali kama NSSF, RITA, TRA na police kupata huduma mtandani ni haraka na uhakika. Changamoto ya NHIF...
  18. Msaada kwenye tuta wakuu!! nina changamoto ya kutofika kileleni kabisa

    Baada ya salamu kijana wenu pendwa @naliangwena nimeamua kuja kwenu kutafuta msaada kwa hali na mali kwa maana natambua kuwa penye weni basi kuna mengi. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, sahivi nimejikuta kwenye big trouble la kutofika kileleni kabisa hata ule mzunguko wa kwanza...
  19. Huu mfumo wa e-ardhi ni changamoto, Wizara ya Ardhi tatueni hili

    Ni mara kadhaa nimekuwa nikitumia mfumo huu wa ardhi kufanya maombi mara kadhaa bila mafanikio, kuomba upimaji, kuomba hati miliki, n.k. Unaanza vizuri ila uwezi kumaliza mchakato wowote wa maombi ya aina yoyote bila kukutana na error au failure. Error codes zimejaa katika mfumo mzima, si Web...
  20. N

    Usafiri wa kutoka Tanga kwenda Pemba changamoto sana

    Kuna abiria kutoka mikoa mbalimbali wamekwama bandarini sababu ya kukoseakana kwa boti ya kutoka Tanga kwenda Pemba , mtu umetoka Mwanza, Geita, morogoro safari ndefu ukijua Safari Yako itakamilika kama ulivyo panga , wakati huo kabla ujasafiri unapiga namba za huduma kwa wateja haipokelewi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…