changamoto

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. SoC04 Kupambana na Changamoto za Vijana Kupata Mikopo

    Kupambana na Changamoto za Vijana Kupata Mikopo. Ningependa kuanza na swali inawezekanaje kijana alietoka kukopeshwa na serikali miezi michache iliyopita milion za pesa awe "hakopesheki" ilhali alikopeshwa bila ya kua na uhakika wa kupato cha kurudisha mkopo huo? Sasa kwanini kusiwe kuna bodi...
  2. Umri wa miaka 30 hadi 35 ni wakati hofu kubwa sana na changamoto nyingi maishani

    Kipindi cha umri wa miaka 30 hadi 35 ni wakati wa changamoto nyingi maishani. Watu wanapitia hali ya kujuta na mawazo mengi kuhusu jinsi walivyotumia miaka yao ya 20's. Baadhi ya majuto ya kawaida kwa watu wenye umri huu yanaweza kujumuisha: Kutokuwekeza mapema: Kutokujitunza kiafya...
  3. Intanet yaanza kusumbua Kenya, NetBlocks yaeleza changamoto inayotokea

    Shirika la Uchunguzi la Mtandao la NetBlocks limethibitisha kuwa Data ya Mtandao ya moja kwa moja inaonyesha kuna usumbufu mkubwa wa muunganisho wa Intaneti Nchini Kenya, ikiwa ni siku moja pia tangu Mamlaka kudai hakutakuwa na kuzimwa kwa Mtandao. Watumiaji mbalimbali wa Mitandao hasa wa X...
  4. U

    SoC04 Changamoto ya utapeli uliokithiri nchini itaweza kushughulikiwa kupitia tume ya kupambana na utapeli

    Matukio ya utapeli nchini yamezidi na yanazidi kushika kasi nchini. Matapeli wamekua wakibuni mbinu mpya kadiri siku zinavyosonga. Utapeli wa mitandaoni na usio wa mitandaoni umekuwa mwiba mkali kwa wananchi wengi huku ukiwaachia maumivu ya kupoteza pesa walizotegemea zingewanufaisha kwa namna...
  5. S

    SoC04 Mwarobaini wa changamoto ya mafuta Tanzania

    Mafuta ni nishati muhimu sana duniani, pamoja na kuwa nishati muhimu sana duniani bado nchi zinazozalisha mafuta asilia ni nchi chache sana duniani, kiasi kwamba hata pale zinapokumbwa na changamoto kama vile vita, majanga ya asili na magonjwa ya miripuko sisi kama Watanzania na nchi nyingi za...
  6. Vyeti vya Elimu ngazi ya chuo Vitofautishwe Sababu za Kurudia Mwaka na Kuahirisha Masomo, Itasaidia kujua yupi ni kilaza au alipitia ugumu wa kimaisha

    Habari wana jamiiforums, poleni na majukumu ya hapa na pale 🤝, Hili bandiko sijagusa Maisha ya mtu/watu. Lakini Kwa njia hii, vyeti vya wanachuo vitoe picha kamili na sahihi kuhusu sababu za muda mrefu wa masomo yao, hii itasaidia kuepusha mkanganyiko kuhusu uwezo wao wa kitaaluma na changamoto...
  7. Changamoto usafiri wa SGR

    1. Upande wa ticket SGR wameshindwa, unakata online ukifika station unapanga bonge la foleni kuprint ticket. 2. Wanayoyaita mabehewa ya VIP wala sio VIP, tofauti yake na 'economy class' ni mpangilio wa siti tu 2x2 vs 3x2. 3. 'Mashine za kuscan ticket' upite hazifanyi kazi.
  8. SoC04 Kuimarisha Uchangiaji Damu Tanzania kupitia Mfumo wa Tehama: Suluhisho la Changamoto za Upatikanaji wa Damu Salama

    Utangulizi Uchangiaji damu ni kitendo muhimu cha hisani ambacho huokoa maisha ya wale wanaohitaji damu. Kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani (WHO), mahitaji ya damu yanakadiriwa kuwa asilimia moja ya jumla ya idadi ya wananchi. Kwa Tanzania, hii inamaanisha chupa za damu 550,000 zinahitajika...
  9. R

    Ushauri: Awamu Moja Kwa Mbunge inatosha kabisa, wananchi tunahitaji changamoto mpya.

    Salaam, Shalom!! Miaka mitano, ni muda unaotosha kabisa kutimiza kusudi na malengo na KAZI ambayo mbunge amepewa na wananchi. Ikiwa miaka mitano pekee, ya Rais Magufuli, ilitosha kuonyesha matokeo makubwa kuliko waliokaa miaka kumi, iweje mbunge ashindwe kudeliver Kwa miaka mitano? Kwa kuwa...
  10. Shirikisho la Wanaume Wanaopitia Changamoto kwenye Ndoa (SHIWACHANDO). Wajumbe watoa shuhuda

  11. Kufungia Twitter (X) Tanzania: Je, Ni Suluhisho Sahihi kwa Changamoto za Kimaadili?

    Ninaandika ujumbe huu kupinga vikali wito wa kufungwa kwa mtandao wa X (zamani Twitter) unaotolewa na baadhi ya viongozi wa dini na Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM). Ninaamini kufungia mtandao huu sio suluhisho bora kwa changamoto za maadili tunazokabiliana nazo kama...
  12. Changamoto za Wivu na Chuki: Mwaliko wa Kujenga Jamii Inayothamini Mafanikio

    Katika pitapita zangu za hapa na pale nimekuja kugundua kwamba...baadhi ya wananchi wenzangu wa kitanzania wanapendelea kuona wenzao wakishindwa katika maisha, badala ya kufurahia au kuwahamasisha kufanikiwa zaidi (samahani chuki hii mimi naiita "wana roho ya kichawi")... Wengi huombea wenzao...
  13. Msaada: Napata changamoto ya ku-login NACTEVET akaunti

    Naomba msaada, nimekamilisha kujiunga na kulipia NACTEVET kwa ajili ya application ya diploma. Tatizo linakuja Kila nikitaka kuloqin naambiwa nimekosea username au password ukizingatia username ni namba yangu ya mtihani. Mbaya zaidi nikijaribu option ya kuset password naye inakataa. Mbaya zaidi...
  14. Mwigulu: Tumetoa Bilioni 100+ ya malipo ya Boom kwa Wanafunzi, Serikali itashughulikia kama kutakuwa na changamoto ya ziada

    Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba ameyasema hayo leo Juni 10, 2024 Bungeni Pia soma: ~ Bodi ya Mikopo kuchelewesha fedha za kujikimu (Boom) kwa wanafunzi ~ Wanafunzi 150+ wa Chuo cha IFM hawajalipwa fedha zao za Boom kutoka Bodi ya Mkopo na uongozi upo kimya ~ Hali ni mbaya kwa wanafunzi UDSM...
  15. Vitu vizuri havihitaji Watu wanaopenda utulivu wa bwerere. Kama hupendi changamoto basi vitu vizuri sio halali yako

    Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Moja ya dalili kuwa maisha yako yatakuwa ya chini ni kupenda bwerere. Kupenda utulivu wa bwerere. Hakunaga vizuri kwenye bwerere. Yaani kamserereko. Bwerere haitakuimarisha. Bwérere itakufanya uwe na akili mgando. Kupenda vitu visivyokupa changamoto. Hata...
  16. A

    KERO Huduma ya tiGO Pesa Mastercard kuna changamoto kubwa sana ambayo nimekuwa nikitoa taarifa kwa huduma kwa wateja hawashughulikii

    Nimeongea leo na huduma kwa wateja wanadai niongee na Kampuni niliyolipia wanipe ARN. Sasa mbona zamani ilikuwa hakuna mambo kama haya ya ARN ilikuwa muamala ukifeli pesa zinarudi directly Tigopesa. Naongea hivi kwasababu hili tatizo limeanza kutokea kipindi hiki cha week 2 hizi nimefanya...
  17. SoC04 Usimamizi wa taka na usafi wa mazingira: Changamoto na suluhisho la kudumu

    Tarehe tano (5) mwezi juni kila mwaka, dunia huadhimisha siku ya mazingira ikiwa lengo lake ni kuleta pamoja mamilioni ya watu duniani kote na kuwashirikisha kwenye jitihada za kutunza na kuboresha Dunia kupitia mazingira yao. Tanzania kama ilivyo kwa nchi nyingine duniani huchukulia umuhimu...
  18. DOKEZO Mfumo wa Mtandao kuomba uhamisho Serikalini ni tatizo, unatakiwa kuboreshwa

    Kuna changamoto ya Mfumo wa Employee Self Service (ESS), Watumishi wa Serikali tunateseka. Nimeanza kutumia Mfumo kwa ajili ya kuomba Uhamisho wa kuhama kutoka ‘Taasisi A’ kwenda ‘Taasisi B’ kwa takribani miezi sita sasa tangu kuanza kwa Mfumo huo rasmi bila ya mafanikio huku nikikumbana na...
  19. Kwanini Wanaume wengi hawapendi kuongelea Changamoto za Kimaisha wanazopitia?

    Wanaumeeeeeeee! Huu ni mwezi maalumu kwaajili ya AFYA YA AKILI YA WANAUME NA MASUALA YA AFYA kiujumla. Sasa leo hebu tujuzaje kwanini wengi wetu hatuongei au kushirikisha watu wengine tunapopitia changamoto na ikitokea tumesema basi inakuwa katika hatua mbaya sana ambazo urekebishaji wa tatizo...
  20. J

    Jifunze kupambana na changamoto ya maisha 1

    Kuna kijana mmoja aliyeitwa Juma, alizaliwa na kukulia katika kijiji kidogo. Maisha yalikuwa magumu, na familia yake ilitegemea kilimo kuweza kujikimu. Licha ya changamoto nyingi, Juma alikuwa na ndoto kubwa - alitaka kubadilisha maisha yake na kusaidia jamii yake. Juma alianza kwa kujifunza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…