changamoto

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kuna tatizo lolote Kimantiki kwa Asiyeoa au Asiyeolewa Kukushauri mambo ya Maisha yako ya Ndoa na Changamoto unazozipata?

    Na ni nani aliyewadanganya Waswahili kuwa ili uwe Mshauri mzuri wa Jambo fulani basi ni lazima uwe una Uzoefu nalo kwa Wewe mwenyewe kukupata? Tanzania mpaka sasa ( japo wapo wanaojitahidi ) ila bado sijaona Mchambuzi Mahiri wa Mpira wa Miguu kama Dk. Leakey Abdallah ( mwana Liverpool FC...
  2. Changamoto gani iliopo kwenye biashara ya dagaa

    JamanI mimi nataka nifanye biashara ya dagaa nakua nasafirisha kutoka mwanza kupereka songea na iringa je ni changamoto gani ninaziweza kukutana nazo. Nahitaji TahadharI, faida zake na hasara zake kabla sjaamua kuanza kufanya biashar rasimi maana uzoefu ninao ila sio kuuzia nje ya mkoa
  3. Dokezo la Kisera Kuhusu Changamoto ya Usafiri wa Pantoni Kati ya Magogoni na Kigamboni: Serikali ibinafsishe usafiri wa Pantoni

    Waziri Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa 1. Usuli “Kama una haraka tangulia lakini ujue nitakukuta feri,” ni msemo uliozoeleka kwa wakazi wa Kigamboni tangu uhuru wa Tanganyika hadi leo. Mtu anasafiri kutoka Kibada hadi Feri kwa dakika 15 lakini anasubiri pantoni kwa dakika 60. Dokezo hili...
  4. Unaweza kuoa/kuolewa na mtu mwenye changamoto ya usikivu/ulemavu?

    Kuna jamaa yang ana shida ya kutosikia vizuri, anasema tatizo alilonalo limemfanya awe anakosa mwenza (Anakataliwa). Ni kweli kuwa watu wenye changamoto ya ulemavu wanatengwa na jamii?
  5. Waziri wa Elimu, Prof. Mkenda: Baadhi ya changamoto Vyuoni ni mbanano wa Wahadhiri ofisini

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda akielezea mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, namna Serikali ilivyojipanga kutatua changamoto zilizopo katika Vyuo Vikuu vya umma Nchini, ameyasema hayo Morogoro, leo Agosti 4, 2024.
  6. KERO Mwendokasi ni Changamoto zaidi ya inavyozungumzwa

    Aisee, Naomba nitoe pole kwa watumiaji wa huu usafiri. Binafsi nilikuwa najua ni changamoto kidogo tu na kuona kama vile wabongo tunapenda kulalamika, Nimenyoosha mikono leo. Kwenye kituo kuna watu wengi sana, magari hakuna! yanayokuja yamejaa kupita kiasi. Nimeingia kituo cha City Council...
  7. Changamoto ya mfumo wa nactvet kushindwa kutoa avn

    Mfumo wa NACTVET kushindwa kutoa AWARD VERIFICATION NUMBER. USERNAME na PASSWORD walionitumia baada ya ku create account hazikubali ku log in na hata nikifanya FORGOT PASSWORD bado mfumo unanipa notification kwamba USER NAME na NAMBA YA SIMU sio Sahihi. Mwenye uelewa wa hii changamoto naomba...
  8. A

    KERO Udidimizaji wa Haki za Wahandisi wanaofundisha Shule za Sekondari za Ufundi ni changamoto inayohitaji utatuzi wa haraka

    Habari, Mimi ni mhandisi ambaye niliajiriwa ajira za waalimu kwa tangazo la mwaka 2020 kwa niaba ya wenzangu wahandisi kutoka shule za ufundi tunapenda kutoa masikitiko yetu juu haki zetu kama watumishi wa umma. Ikumbukwe serikali ilituajiri tukiwa wahandisi lakini mambo yalibadilika...
  9. A

    KERO Responded Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) tunaomba kutatuliwa changamoto ya matokeo tangu 2020 hatujapata vyeti

    Takriban wahitimu 20 wa chuo kikuu Cha Dodoma (UDOM) kitivo Cha Elimu tuliohitimu mwaka wa masomo 2019-2020 hatujapatiwa vyeti vya kuhitimu Tumefatilia wanasema changamoto ni matokeo ya mwaka wa kwanza yaani 2017-2018 kuwa baadhi yetu walipata incomplete baadhi ya masomo na we gine Carry, but...
  10. Nini kifanyike kwa utekaji wa watoto mashuleni maana ishakuwa ni changamoto?

    Ndugu watanzani. Maoni yenu. Kikubwa nikuhakikisha kila mmoja wetu kuwa mzazi ukiona kitendo cha kutilia shaka Amka uchunguze usije kusema niliona kabeba gunia nikajua kabeba mzigo kumbe mtoto nooooo ukiona namna uelewi fatilia uelewe utoe msaada
  11. B

    Mwenyekiti wa TPSF, Bi. Angelina akizungumzia changamoto ya wafanyabiashara sekta binafsi

    WADAU WA TPSF 'WAICHARUKIA' TRA / WADAI KUKADIRIWA KODI ZA 'UWONGO'/ RUSHWA YATAJWA https://m.youtube.com/watch?v=j869hATU_8U Biashara ya usafirishaji kwa asilimia 75 tunafanya na nchi za kusini za SADC, asilimia 25 iliyobaki tunafanya na Bururundi, Rwanda hilo serikali iliangalie Sheria za...
  12. Mnadeal vipi na changamoto ya kusingiziwa unatoka na mke wa fulani wakati sio kweli ?

    Mitaani huku tunapoishi mtakuwa mashahidi kuna pindi inatokea unaelewana na jinsia tofauti ya yako KIURAFIKI tu.. Kwa mfano kuna mmama mkubwa anauzwa grocery na wewe ni mteja ukifika mnatia stori kibao sasa ghafla anaanza kugombana na mumewe sababu anazohadithia huyu mmama wa grocery ni kwamba...
  13. A

    DOKEZO Serikali iajiri Wakufunzi MUHAS, Kitengo cha Sayansi ya Tiba kuna changamoto kubwa

    Sisi Wanafunzi wa Shahada ya Kwanza ya Sayansi ya Tiba kwa njia ya Vitendo hapa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) tunaomba Serikali au Wizara husika iajiri Wakufunzi wa kutufundisha maana idara yetu haina Wakufunzi walioajiriwa. Wanaotufundisha wanajitolea kutoka...
  14. Traditional Medicine: Utafiti juu ya Changamoto za kisheria katika kulinda Maarifa ya Jadi Tanzania Bara

    Habari wakuu (English version below) Ninafanya utafiti juu ya Changamoto za Kisheria katika kulinda Maarifa ya Jadi katika Tanzania Bara. Ili kupata matokeo ya utafiti yenye thamani, naomba kuchukua dakika 5 za muda wako kujaza dodoso langu: Ulinzi wa Kisheria wa Maarifa ya Jadi katika Tanzania...
  15. Changamoto ni ipi hasa inayofanya vijana kusita kuoa au kuolewa?

    Sasa hivi watu wengi, wake kwa waume wenye umri wa kati ya miaka 40 na 50 bado hawajaoa wala kuolewa. Na ukiwaangalia ama kuzungumza nao kuhusu kuoa au kuolewa, wanasema wazi wazi kabisa kwamba, jambo hilo bado sio kipaumbele, na haifahamiki kipaumbele kwenye maisha yao nini, mwingine hana...
  16. M

    Changamoto ya VAT

    Habari wakuu, Hivi kwa mtu umeingia kwenye vat tayari halafu unakuwa na changamoto ya kupata risiti za manunuzi yaani unaponunulia hupewi risiti kabisa au unapewa risiti kidogo sana. Sasa tunauza kwakutoa risiti halali kwa Kila mteja Sasa vat kwenye mauzo inakua kubwa sana kuliko yamanunuzi...
  17. A

    KERO Mfumo wa Ajira Portal unatutesa, mamlaka husika ifanyie kazi changamoto hii

    Ofisi ya Rais Menejiment ya Utumishi wa Umma iangalie vizuri mfumo wa Ajira Portal unatutesa tunashindwa kutuma maombi, kila ukijaza taarifa hazifiki asilimia 70 na pia hakuna mfumo wa kubadili vyeti ulivyoviweka ili kuweka vingine. Sijui inakuwaje na ajira zote zinatumwa huko. Pia soma ~...
  18. Ndugu Wana JF Nimekuwa napata changamoto ya Kufungua Gmail Account Kwa Wiki sasa

    Ndugu Wana JF Nimekuwa napata changamoto ya Kufungua Gmail Account Kwa Wiki sasa. Kila namba Ya Simu ninayojaribu kuweka kwa ajili Ya Verification inagoma. Ukizingatia kipindi hiki Wanafunzi wanatuma maombi Mbalimbali na wanaitajika kuwa na Email. Imekuwa changamoto sana kwangu na kwa hao...
  19. Bodi ya Mikopo (HELSB) imekosa Tija na mantiki katika Ufanisi, changamoto kubwa ni mfumo wa kamati za Teuzi

    Kweli dunia ya Sayansi na technology, CEO wa taasisi unaenda kupitisha utaratibu wa Kuwapata wadaiwa Sugu kwa njia ya fichua? This is total embarrassment to the government na hii ni ishara hatuna watu sahihi kwenye Taasisi za Umma. Wakopaji wana NIDA, identifications , Ujazaji wa form...
  20. Tangu nizaliwe nimepitia changamoto ngumu ngumu ila hii ya sasa too much. Sasa naweza kusema hakuna jambo la kunipeleka kwa waganga au manabii fake

    Hello Hapo zamani Njaa nimewahi kulala zaidi ya mara moja. Nimewahi kukosa mahali pa kulala. Nimewahi kulala porini peke yangu. Nimewahi kushikwa mjini kwa kosa la uzurulaji. Nimewahi kukataliwa na mtu niliyemwamini kutia Saini fomu yangu ya kujiunga kidato cha 5. N.k. N.k Baada ya miaka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…