changamoto

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kujiuzulu sio suluhisho la changamoto ndani ya dhamana ulopewa kuisimama kwa niaba ya umma

    Ng'ang'ana, simamia na kuongoza wizara, mamlaka au taasisi ulopewa kuisimamia kwa weledi, maarifa, bidii na ujasiri mkubwa, bila kubabaika, wala kuzingatia shinikizo ambazo hazina umuhimu wowote hasa kutoka kwa wanasiasa waliofilisika hoja na kupoteza uelekeo. Muhimu zaidi zingatia sheria...
  2. E

    Kuna muda ukiwafikiria hawa members wa JF kuna picha inakujia kuhusu changamoto wanazokutana nazo waisrael

    Kuna muda ukiwafikiria kina Faizafoxy, Adimisago au Malaria 2 kuna picha inakujia kuhusu changamoto wanazokutana nazo waisrael . Hawa watu wako rigid, ni wagumu kuwabadilisha hata kama msimamo wao utagharimu uhai
  3. Wanafunzi wa miaka hii ni changamoto

    Tujitahidi kuwalea watoto wetu kwenye misingi na maadili.
  4. Gari yangu voxy haizidi speed 40 ata ukikanyaga accelerator mpaka mwisho shida ni nini . Na anaejua changamoto zilizopo kwa gari za voxy msaada

    Wakuu habari za saivi Shida niliyonayo ni gari yangu haiziidi speed ya 40 na engine ina nguruma sio kawaida ninaomba idea zenu
  5. Unapata changamoto kutumia WhatsApp?

    WhatsApp sijui wana shida gani na mimi? Mwanzo nilikuwa natumia Iphone, shemeji/wifi yenu akaninyang'anya akanipa simu yake aliyokuwa anatumia, simu yake aliyonipa nitumie ni aina ya Oppo, nilivyoinstall WhatsApp kwenye hii simu nilitumia kama wiki moja hivi, baada ya hapo wakaanza kufungia...
  6. DAWASA: Ni kweli Kariakoo kuna changamoto ya Majitaka, tunakaribia kuanza utekelezaji wa mradi utakaoleta suluhu

    Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA), Mkama Bwire amesema wanakabiliana na changamoto ya maji taka katika eneo la Kariakoo kutokana na miundombinu iliyopo sasa kuelemewa na kushindwa kuendana na uhitaji. Kutokana na changamoto hiyo...
  7. M

    KERO Upatikanaji wa Passport kwenye ofisi ya Uhamiaji pale Kibaha Mjini bado ni changamoto

    Ni muda sasa tangu watu wafanye maombi ya passport lakini hadi sasa hawajapata hizo passport. Raia kila wakienda wanaambiwa changamoto ni mtandao. Ni miezi 6 sasa na wengine wanaambiwa wafanye maombi upya. Je ni haki? Uhamiaji wana matawi tofauti nchini. Kwanini wasiwape transfer waende...
  8. J

    Usugu wa dawa za VVU waibua changamoto mpya za matibabu

    Asilimia 5.8 ya watu wanaoishi na virusi vya Ukimwi (waviu) na wanaotumia dawa, wanakabiliwa na tatizo la usugu wa vimelea dhidi ya dawa za kupunguza makali ya virusi hivyo, utafiti mpya umeonyesha. Usugu wa dawa dhidi ya vimelea vya magonjwa ni changamoto kubwa inayoikabili dunia kwa sasa...
  9. Rais Samia aagiza Vyombo vya Uchunguzi kumpa taarifa ya kina ya Kifo cha Ali Mohamed Kibao

    Kwa masikitiko makubwa nimepokea taarifa ya mauaji ya kiongozi wa CHADEMA Bwana Mohamed Ali Kibao. Natoa pole kwa viongozi wa chama hicho, familia ya Mzee Kibao, ndugu, jamaa na marafiki. Nimeagiza vyombo vya uchunguzi kuniletea taarifa ya kina kuhusu tukio hili baya kabisa na mengine ya namna...
  10. Changamoto za deep freezer

    Ni kitu gani kimeungua hadi nyaya zimepukutika karibu na tank la gesi?
  11. N

    Changamoto kwenye mfumo wa Ajira Portal

    Habari wakuu! Mfumo toka jana uilikuwa under maitenance sasa leo umekaa sawa, lakini sasa kila ukitaka kulog in inakataa na mimi hapa nina vijana wengi niliwafungulia account ajira portal nina email na pasward ninazo lakini zote zinagoma sijui nafanyeje simu hawapokei! Naomba mnisaidie ni mimi...
  12. Nina wazo hili, linaweza kutatua changamoto ya ajira kwa kiasi chake

    Naomba wadau na serikali tuanzishe teknolojia mpya ambayo itawezesha kupatikana kwa part time job . Mfano Mimi ninaishi Mbagara kuanzia muda wa SAA mbili usiku nitakuwa na uhitaji wa Mwalimu wa history anifundishe topic ya colonial economy Ninachofanya ninaingia mtandaoni katika hiyo App then...
  13. Changamoto wakutanazo wakinamama waokotao nguo zilizotupwa Dampo na kwenda kuziuza masokoni

    Wafanyabiashara wanaokota nguo jalalani na kwenda kuziuza tena masokoni wametaja baadhi ya changamoto ambazo hukutana Nazo huko majalalani. Maiti za watoto wachanga walioviringishwa kwenye nguo ni kawaida sana kukutana nazo, Wa mama hao wamesema kuwa mara nyingi hukutana na maiti za watoto...
  14. TANESCO- Simiyu yatuma Wataalam kufuatilia changamoto ya umeme Kata ya Muamatondo - Bariadi

    Mwanachama wa JamiiForums.com aliyejitambulisha kuwa ni Mkazi wa Bariadi katika Kata ya Muamatondo amedai kunachangamoto kubwa ya kukatikakatika kwa umeme hasa katika Kijiji cha Mwasinasi. Hoja ya Mdau ipo hapa ~ Kata ya Muamatondo wilaya ya Bariadi suala la umeme kukatika limekuwa kero sana...
  15. Zijue Changamoto kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Uchaguzi wa Serikali za Mitaa nchini Tanzania unakumbana na changamoto kadhaa ambazo zinaweza kuathiri usimamizi na matokeo ya uchaguzi. Baadhi ya changamoto kuu ni: 1. Mchakato wa Usajili wa Wapiga Kura: - Kutokamilika kwa Usajili: Vituo vya usajili vinaweza kuwa mbali au kutokuwa na vifaa...
  16. Kwanini Freemasons wanapenda kuwaweka viganjani mwao Marais wa dunia na ukiwakataa kamwe hudumu au unapatwa na changamoto?

    Na kwa Marais mara kwa mara hupenda sana kuwapa ama Pete au Mkufu wauvae na kama wakikupa Pete yao basi itakulazimu mara kwa mara uwe unaishikashika. Kwa Mfano GENTAMYCINE ningekuwa Rais wa Tanzania halafu labda nikawa na Shughuli / Hafla Uwanja wa Uhuru huku Watu wakiwa wengi moja ya Sharti...
  17. Nifanye nini kuhusu changamoto hii ya usaili?

    Niko shortlisted mkoa X ajira za afya changamoto ni kwamba akaunti yangu iligoma katika ku-apply ilikuwa inasema am not qualified, licha ya kuwapigia lkn hawakupokea kunitatulia iyo shida hivyo ikabidi nitumie akaunt ya mtu mwngne ku-apply japokuwa vyeti CV barua ni vyangu lkn jina linasoma lake...
  18. Jumaa Aweso: Maji yapo, umeme upo, ni marufuku kutoa Maji Saa Nane Usiku

    Waziri wa Maji, Jumaa Aweso (Mb) amezindua rasmi kampeni ya "Mtaa kwa Mtaa" katika Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA na kuiagiza Mamlaka zote za Maji Nchini kutekeleza kampeni kikamilifu kwa kuwashirikisha wananchi kwa lengo la kusikiliza na kutatua kero za wateja...
  19. H

    Zifahamu changamoto za kwenye kilimo zilizo kubwa

    Kilimo ni UTI wa mgongo Kilimo ni maisha Kilimo ni utajiri Kilimo ni chakula. Kilimo ni pesa na utajiri. Kilimo kina faida Pana na kina maelezo mapana ukielezea kiundani ndani. Leo tutatazama changamoto chache na kuu zilizopo kwenye kilimo Kwa watu walio kwenye kilimo tutaelewana na wanao...
  20. Ni changamoto gani unaweza kutana nayo iwapo hutaripoti kwenye kituo cha kazi ulichopangiwa na TAMISEMI?

    Nimekuj kwenu wana jf nisaidieni kunielewesha iwapo huta ripoti kazini(tamisemi) incase ukiwa umepata nafasi kuna changamoto yoyote utaipata mbeleni ukitaka kuomba ajira tena( Tamisemi). Na kama ni ndio kuna taratibu za kufuata kuepekan na hizo changamoto?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…