changamoto

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. PreGE2025 Wafanyabiashara wa Makambako, tuna imani na serikali iendelee kushughulikia changamoto hususani sheria kandamizi

    Mwenyekiti wa wafanyabiashara mkoa wa Njombe na nyanda za juu kusini A Siphaeli Msigala amesema wao kama wafanyabiashara wanaipongeza serikali kwa kuweka mazingira rafiki katika kufanya biashara zao. Aidha Msigala, ameiomba serikali iendelee kushughulikia changamoto mbambali ambazo bado...
  2. Hongera TRA kwa kuita watu interview,ila zipo changamoto za kutatua

    Tukiwa wahanga wa mda mrefu wa sahili za TRA ,na wengi kufanikiwa kupata nyakati za utumishi ila kwa kipindi ambacho wanasimamia TRA wenyewe, changamoto zilikuwa nyingi sana,nadhani kwa kipindi iki wanaenda kutatua ,tunaimani nao sana. Baadhi ya changamoto zinazopaswa kutatuliwa ni...
  3. Mkuu wa Wilaya ya Sengerema asema changamoto ya usafiri Kivuko cha Kigongo-Busisi inatokana na Gugumaji jipya, Serikali yachukua hatua za haraka

    Mkuu wa Wilaya ya Sengerema, Senyi Ngaga, amesema kumekuwa na changamoto ya usafiri katika kivuko cha Kigongo-Busisi kutokana na kuibuka kwa gugumaji jipya linalosababisha hitilafu kwenye injini za vivuko. Kutokana na hali hiyo, baadhi ya vivuko vililazimika kusitisha safari ili kufanyiwa...
  4. Mkopo wa MGODI wa Vodacom waweza kuwa changamoto kwa maskini

    Wana Jamvi kuna Mkopo wengi wetu tulikuwa hatujui kuwa ni tatizo na ni kwa sababu ya kutokaa na kufikiria mara mbili. Nimefanya tafiti za riba kupitia watu 4 wanao chukua mikopo ya mtandao nikabaini mengi na mfano moja wapo ni huu, lazima kila mtu akae afikirie mara 2 kabla ya kuchukua mkopo wa...
  5. K

    Napitia changamoto kubwa, mke wangu anachanganyikiwa!

    Yaani inasikitisha na inahitaji uvumilivu,Tumeowana kama miaka 20 iliyopita tuna mtoto mmoja na mmoja alifariki. Kama miaka 4 iliyopita hivi ndivyo mwenzangu alipoanza kupitia changamoto za kuchanganyikiwa, anaweza akaazisha zogo bila sababu kunituhumu namroga au mimi malaya,kila mtu kwake ni...
  6. O

    Historia na Changamoto za Maendeleo ya Viwanda (vilivyobinafsishwa) Tanzania

    Maendeleo ya viwanda yamekuwa sehemu muhimu ya mikakati ya maendeleo ya Tanzania baada ya uhuru. Hasa, hatua ambazo maendeleo ya viwanda yamepitia ni pamoja na maendeleo ya viwanda katika uchumi mchanganyiko(Mixed Economy 1961-66); mwelekeo wa uongozi wa serikali katika maendeleo ya viwanda kwa...
  7. PreGE2025 Changamoto mbalimbali kwenye vituo vya kuboresha daftari la kudumu la wapiga kura

    Kupitia Uzi huu tutakuwa tukipost changamoto mbalimbali zinazojitokeza vituoni kwenye uandikishaji wa maboresho ya daftari la kudumu la wapiga Kura.
  8. S

    King'amuzi cha Azam tv

    Habar za jioni,nimepata changamoto king'amuzi kinaniambia "hakuna kituo" Msaada kwa anaejua tafadhali
  9. M

    Changamoto ya gereji za magari siku hizi

    Kuna ongezeko kubwa la uhitaji wa huduma kwenye magari ikiwemo service kubwa na ndogo, matengenezo mbalimbali na huduma za kisasa kama diagnosis na nyinginezo. Moja ya changamoto zinazoonekana ni uwepo spea feki na ukihusisha na uwepo wa mafundi wasio na weredi kazi hua haifanyiki kwa ufasaha...
  10. Kilio Cha Wananchi : Changamoto za kukosekana kwa usalama wa Raia na Mali zao, Kuelekea uchaguzi mkuu, Njia panda ya Himo Wilaya ya Moshi- Kiliman

    Utangulizi Katika eneo la Njiapanda ya Himo, Wilaya ya Moshi, Mkoa wa Kilimanjaro, wananchi wanakabiliwa na changamoto kubwa zinazohusiana na usalama. Kilio hiki kimekuwa kikubwa, kwani vibaka, wezi, na wanyang’anyi wamekuwa kero ya kimataifa. Hali hii imesababisha wananchi kutokuwa na amani...
  11. K

    SR 40 NOAH ..AWD DRIVE INAUZWA BEI 11M GARI HAINA CHANGAMOTO YEYOTE

    Nauza noah SR 40 Automatic gear bei 10.5M haipungui . Gari ipo Dar es salaam Ilala/Kigamboni. ukitaka kuiona ni muda wowote Gari haina changamoto yeyete na haijawahi tumika kwenye biashara zaid ya matumizi ya kifamilia tu. ukihitaji njoo PM
  12. Hivi waziri wa maji yupo kweli? Hii changamoto ya maji kwa wananchi haisikii? Wananchi wanteseka tena ndani ya jij anania gani. Watendaji wapo kweli?

    Huu ujumbe nimeuchukua kutoka kwenye grupu la wananchi Tumsifu yesu kristo,Bwana yesu Asifiwe,Mwanakondoo Ameshinda,Asalam Aleykhum Jamia'Shalom-Ndg Zangu Naamini Kila mmoja wetu ameamka salama na Familia. Kwa Unyenyekevu wa Moyo wangu' na Shukrani Kwa Mungu Nawatakia Siha Njema mliojaliwa...
  13. Huduma ya choo kwenye mabasi ni changamoto

    Nimesafiri na mabasi kampuni kadhaa ambazo sitazitaja Kwa majina ili kutochafua biashara zao Nimejihakikishia kwamba Kwa Hapa nyumbani ustaarabu wa kutumia vyoo ndani basi gari likiwa safarini Bado hatuwezi tukubali tu Ni heri ukasafiri na bus lisilo na choo ndani kuliko kulipa pesa nyingi ya...
  14. A

    KERO Tatizo la umeme kukatika limekithiri mkoa wa Mtwara

    Hivi karibuni tatizo la kukatika kwa umeme mkoa wa Mtwara limekuwa kubwa na kero kwa wananchi. Mkoa wenye gas asilia na makaa ya mawe lakini tatizo la umeme limekithiri. Najiuliza wakazi wa Mtwara wameongezeka kiasi kwamba Tanesco wanazidiwa au tatizo nini. Umeme unaweza kukatika zaid ya...
  15. Mafanikio, changamoto na athari za uwezeshwaji mwanamke nchini Tanzania

    Tunashuhudia harakati na jithada za kumwezesha mwanamke duniani kote huku Tanzania ikiwemo. Sasa tunashuhudia athari chanya na hasi za kampeni ya kumwezesha mwanamke katika nyanja mbalimbali. MAFANIKIO 1. Mwanamke anapata fursa na hamasa ya kupata elimu na ajira. 2. Mwanamke anamiliki uchumi...
  16. A

    KERO Goba mitaa ya Kwa Robert, Muhimbili, Mageti haina maji wiki ya pili sasa

    Ndugu zangu, kuanzia Mbezi mwisho kwenda Goba na mitaa yake (Kwa Robert, Muhimbili, Mageti n.k) maji ni changamoto karibia wiki ya pili sasa. Na hili joto tunaishia kuoga jasho tu, mamlaka husika naomba liangalie hili jambo. Huwezi amini kuna watu wanaenda kuchimba kwenye mabonde ya mito ili...
  17. MANAWASA yakiri Mji wa Nachingwea una changamoto ya upatikanaji huduma ya maji

    Februari 25, 2025 Mwanachama wa JamiiForums.com alidai Mji wa Nachingwea una changamoto ya huduma ya maji kwa zaidi ya miezi minne, hali ambayo imekuwa kero kwa Wananchi wengi, Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Masasi – Nachingwea (MANAWASA) imetoa ufafanuzi: Kusoma alichoandika...
  18. L

    Kupanuka kwa kundi la BRICS na kuongezeka kwa pato lake la jumla kunaweza kuleta changamoto kwa mataifa ya Magharibi

    Kundi la nchi za BRICS linaendelea kupanuka, na likiwa sasa limeongeza nchi washirika mwezi Januari mwaka huu wa 2025, baada ya kuingiza wanachama wapya mwaka jana. Sasa kundi hili lina takriban ya nusu ya idadi ya watu duniani na zaidi ya 41% ya Pato la Taifa (GDP), ambapo limekuwa nguvu ya...
  19. NIDA yatoa majibu ya changamoto zinazolalamikiwa katika Uandikishaji Vitambulisho vya NIDA Wilayani Uyui Mkoani Tabora

    Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kuelezea changamoto zinazojitokeza kwenye mchakato wa Wananchi kujiandikisha kwa ajili ya kupata Vitambulisho vya Taifa (NIDA) katika Wilaya ya Uyui, Mkoani Tabora, ufafanuzi umetolewa na Mamlaka hiyo. Awali mdau alilalamikia changamoto ya foleni kubwa...
  20. M

    Je, wajua mwaka huku hapatakua na kumbukumbu ya kifo cha ally Hassan Mwinyi Rais wa awamu ya pili?

    Kama kichwa cha habari kinavojieleza, Rais mwinyi alifariki tar 29-02-2024 na kalenda ya mwaka huu hamna hio tarehe. Je, kutakuwa na kumbukumbu ya kifo chake kama ilivo kawaida ya kukumbuka siku za maraisi wengne walio fariki? Je, waliotangaza kifo hiki siku ya tarehe 29 hawakujua kama tar 29...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…