changamoto

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Serikali ikianza kukwepa majukumu yake ndiyo huzaa changamoto kama za hii ya dabi ya kariakoo

    Serikali ikianza kukwepa majukumu yake na kukimbilia vitu vya kisiasa visivyo na maana mtu masikini hugeuka kuwa kama mpira wa kona. Mwl Nyerere alishaonya kwenye moja ya hotuba zake za mwaka 1995 kuwa serikali ikiwa corrupt ( serikali ya wala rushwa) watu masikini hawanaa kitu kabisa kwenye...
  2. Changamoto ya Foleni njia ya Moshi-Arusha

    Barabara ya Moshi-Arusha magari hayatembei kuanzia Kia mpaka Arusha Mjini. Haijulikani changamoto ni nin hasa na wale wa kutoka moshi kwenda arusha wametanua njia nzima na wale wa kutoka arusha kwenda moshi nao wamefanya hivyo hivyo. Wahusika wenye mamlaka watatue changamoto hii kwani ni zaid...
  3. Changamoto ya uwasilishaji wa mawazo kwa viongozi wa Afrika hasa mkuu wa nchi ya Comoro

    WITO KWA VIONGOZI: JIFUNZENI KUZUNGUMZA BILA KUTEGEMEA MAANDISHI Ni jambo la kusikitisha kuona baadhi ya viongozi wakishindwa kabisa kuwasiliana kwa ufasaha mbele ya umma bila kutegemea karatasi au "vi-memo". Mfano wa karibu ni Kiongozi wa Kisiwa cha Comoro ambaye hata salamu au pole za kawaida...
  4. Mchechu: Kulikuwa na changamoto ya kiufundi ratiba za Ndege za ATCL kubadilika

    Akijibu hoja iliyoibuliwa na Mwandishi wa Habari kwenye kikao maalumu baina ya Ofisi ya Msajili wa Hazina na wahariri, kuhusu changamoto ambayo imekuwa ikijitokeza kwa nyakati tofauti kwa Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) kushindwa kuzingatia muda na ratiba za safari, Msajili wa Hazina, Nehemia...
  5. KERO Changamoto za mfumo wa Ajira Portal zinachochea Matapeli kuigeuza fursa!

    Ndugu wana jukwaa napenda kueleza kwa ufupi sana kusikitishwa kwangu na mfumo mbovu wa secretariat ya ajira yaani Ajira Portal. Ajira Portal wameweka utaratibu kwamba ili u qualify kuomba kazi ni lazima walau profile yako ya Ajira Portal, wenyewe wanaita dashboard ifikishe walau 70% na ili...
  6. B

    Maisha ya sisi Matajiri wenye mvuto na akili yana Changamoto sana. Watu wanatushangaa kwa kila chetu

    Watu wengine wan kero sana. Mtu anakuona sehemu ume chill anakuja kukushangaa shangaa. Mara anauliza hii saa ulinunua wapi? tsh ngapi? Hizo sandals mbona kali sana? Sijui we mbona una ngozi laini kama ya mtoto unapaka nini? Na huyo anayeniuliza ni mtoto wa Tajiri mmoja huku Dubai. Mara mbona...
  7. Je, kwanini kizazi cha leo kinakumbwa na changamoto za kiafya za kutisha?

    Katika miaka ya hivi karibuni, tumezidi kushuhudia ongezeko kubwa la matatizo ya kiafya kwa watoto na vijana. Kuanzia mwaka 2000 hadi sasa, imekuwa kawaida kusikia watoto na vijana wakikumbwa na magonjwa ya uzazi, matatizo ya afya ya akili, matatizo ya kimwili kama vile unene kupindukia, na hata...
  8. Ilani ya CCM 2025-2030: Imesahau Changamoto za Miundombinu ya Barabara zilizotajwa kwenye ilani ya CCM 2020-2025.

    Nimeisoma ilani ya CCM ya mwaka 2025-2030 na kuna mambo mengi yanayoleta maswali, hasa kuhusu hali ya miundombinu nchini. Kwa mfano, mradi wa ujenzi wa barabara ya lami kutoka Sanya Juu, wilaya ya Siha hadi Longido, umbali wa kilometa 65, haonekani kwenye ilani hii mpya. Hili ni jambo la...
  9. T

    CRDB kuna changamoto gani?

    Wadau mlipo kwa hii benki tusaidieni. Wikend hii mambo hayaendi. Naona kama huduma haziendi. Tusifelishane tafadhari.
  10. Wenye uelewa mpana kuhusu ubora na changamoto za bike hii...

    SINORAY 250CC
  11. Changamoto sio kufanya biashara, changamoto ni masoko

    Kufanya biashara sio issue ngumu sana, wala sio issue nzito issue inakuja moja ni masoko, unaweza kufungua duka la phone and accesories lakini ukakosa wateja, unaweza ukafungua biashara yoyote ile, iwe nafaka au chochote kile, simply ukakosa wateja, watu wanajazana kwa waganga sio kwamba hawana...
  12. Bodi ya Mikopo yasema changamoto ya mifumo ya Kibenki imechangia 'Boom' kwa Wanavyuo kuchelewa

    Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com aliyejitambulisha kuwa Mwanafunzi na Mnufaika wa mikopo ya Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) kudai wamecheleweshewa fedha za kujikimu (Boom) kwa wiki mbili sasa, ufafanuzi umetolewa. Hoja ya awali hii hapa ~ Bodi ya Mikopo ya Vyuo Vikuu...
  13. Incubator za bei ghali ziliwa kikwazo, mpaka nilipopata kifaa W1219 na kutengeneza yangu mwenyewe ya kutotoleshea

    JINSI NILIVYOSETI JOTO NA KUOKOA MAYAI YA KUKU WANGU – W1219 ILIKUWA GAME CHANGER! Wakuu habari za kazi na maisha, Nimekuwa nikihangaika sana na control ya joto kwenye incubator yangu ya kutengeneza mwenyewe kwa Gharama nafuu kwa kutumia material yanayopatika katika mazingira ya nyumbani...
  14. Si kila changamoto ni laana – jifunze lugha ya sayari

    Kama ambavyo mwili wa nyama unaweza kuchafuka kwa uchafu wa kimwili, vivyo hivyo nafsi ya mwanadamu huweza kuchafuka au kuingia kwenye majaribu makubwa kutokana na mizunguko ya sayari katika ulimwengu huu wa kiroho na wa kiastrologia. Watu wengi wanapopitia magumu, hukimbilia kusema “nimerogwa”...
  15. Serikali yasema inatekeleza mikakati ya msamaha ya Dawa kwa Wagonjwa wenye changamoto ya Akili

    Serikali imesema inaendelea kutekeleza mkakati mahsusi wa kuhakikisha wagonjwa wa afya ya akili wanapata dawa bure au kwa gharama nafuu, kwa kuzingatia Sera ya Afya ya Mwaka 2007, sura ya 5, sehemu ya 4, ibara ya 1 hadi 3, inayotoa mwongozo wa utoaji wa huduma kwa watu wenye magonjwa ya muda...
  16. Familia Kubwa, Changamoto Kubwa: Ukweli Usiosemwa Kuhusu Malezi ya Watoto Wengi

    Katika jamii nyingi za Kiafrika, ikiwa ni pamoja na Tanzania, kuzaa watoto wengi huonekana kama ishara ya baraka, fahari, na hata ujasiri wa kifamilia. Misemo kama “mtoto ni zawadi ya Mungu” au “familia kubwa ni hazina” husikika kila kona ya mtaa. Lakini katika zama hizi za mabadiliko ya...
  17. Mtaala na changamoto za utekelezaji wako

    Mtaala mpya ulioboreshwa wa elimu ulioanzishwa na Serikali ya Tanzania unalenga kutoa elimu jumuishi, shirikishi na yenye mwelekeo wa ujuzi zaidi kuliko nadharia. Mabadiliko haya yanakusudia kumwandaa mwanafunzi kuwa mbunifu, mjasiriamali na mshiriki hai katika maendeleo ya jamii na taifa...
  18. Mmekutana na hii Changamoto? Kuna watu huwezi wasogelea kabisa

    Kile kitu kama cha njano kinachotoka kwenye koo chenye harufu mbaya kinajulikana kama tonsil stones au tonsilloliths kwa Kiingereza, kwa Kiswahili huitwa mawe ya tonsils au uchafu kwenye tonsils. Maelezo ya Tonsil Stones: Huchipuka kwenye nyufa ndogo (crypts) za tonsils. Huundwa na...
  19. S

    Mabadiliko ya Uwanja sio kigezo ila Quality ndio changamoto

    Mbona kama swala la mabadaliko ya uwanja limewatoa mchezoni wana Simba wakati Amani complex ni uwanja mzuri tu na pia hata Zanzibar ni sehemu ya Tanzania na Mashabiki wa Simba wapi pia na hata mguu wa kucheza fainal waliupatia pale? Hakuna haja ya kupagawa ukiwa na Quality popote kambi,Amani...
  20. Ukuaji wa Pesa Taslimu hasa wingi wa Noti kubwa (10,000) kuna Changamoto za Kiuchumi?

    Kulingana na ripoti ya BoT ya robo ya mwisho ya 2024, mzunguko wa fedha Tanzania unaonyesha ukuaji wa kushangaza, lakini pia unaonesha mapungufu ya kiuchumi yanayohitaji uchunguzi wa kina. Pesa taslimu iliyo nje ya mifumo ya benki imepanda kutoka trilioni 4.5 mwaka 2020 hadi trilioni 7.3 mwaka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…