changamoto

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. TANESCO kuna Changamoto ya Manunuzi ya Umeme Kupitia Yas, Vodacom na NMB

    Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake kuwa kuna changamoto kwenye manunuzi ya umeme (LUKU) inayosababisha wateja kushindwa kununua umeme kupitia mitandao ya simu ya Yas, Vodacom na benki ya NMB hivyo kwa sasa tunawashauri wateja kutumia mitandao ya simu na njia za kibenki...
  2. GE2025 Hawa vijana ni kama maeneo yao hayana changamoto kabisa, wamelambishwa asali au wanajisahau?

    Ukiwaangalia harakaharaka hawa vijana ni kama wameonjeshwa maji wakiwa jangwani halafu wakasahau kuhusu ukame wa maji kwenye jangwa walilopo na kugeuka kumsifia aliyewaonjesha badala ya kutaka suluhu itakayowakomboa wanabaki kuwa watumwa. Fursa kama hizi wanazozipata kwenye media ni nafasi...
  3. Makampuni nchini Tanzania yanakabiliwa na changamoto zinazochangia kutokuandaa ripoti za uendelevu (sustainability reports)

    Makampuni nchini Tanzania yanakabiliwa na changamoto mbalimbali zinazochangia kutokuandaa ripoti za uendelevu (sustainability reports) kwa mwaka husika, licha ya kuongezeka kwa shinikizo la kisheria na la wadau. Makampuni mengi bado yanaona ripoti za uendelevu kama zoezi la kuzingatia sheria tu...
  4. Ukiona hizi dalili ujue una changamoto ya nguvu za kiume

    Siku hizi kila kona mitaani, mitandaoni na hata makazini, kila mtu anajua “dawa” fulani ya kuongeza nguvu za kiume. Lakini cha kushangaza, kadri muda unavyosonga, ndivyo tatizo la upungufu wa nguvu za kiume linavyozidi kuongezeka. Fikiria mara mbili kabla ya kuamini kila tangazo unaloona. Sisi...
  5. Kwanini Marekani haivamii China kisa changamoto ya madawa ya kulevya kama wanavyotaka kuivamia Venezuela?

    Nchi ya marekani kila siku imekuwa ikihituhumu China kuhusu changamoto ya fentanly na matumizi yake ndani ya nchi ya marekani. Marekani mara kadhaa inasema China ina zalisha kwa wingi na kupenyeza fentanly ndani ya marekani ili watu wake waathirike na waharibikiwe. Sasa kupitia malalamiko hayo...
  6. K

    Picku za kichina (jmc& cannon) zinaubora gani au changamoto ipi?

    Jamani haya magari ya pickup ya kichina yanasifa zipi bora au sifa mbay ukilininagshia na hilux au isuzu au pickup zingine sokoni?
  7. Ukishaweka fingerprint kwenye madai ya NSSF ni muda gani itachukua kupata mafao?

    Nilikuwa nauliza ukishaweka fingerprint kwenye madai ya NSsf ni muda gani itachukua kupata mafao yako.
  8. G

    Changamoto zozote zinazohusu wakala Mpesa tu

    Kama una changamoto yoyote ya uwakala usisite kuuliza hapa nitakujibia hapa
  9. Ina maana Mashekh wao huwa hawaoni changamoto katika uongozi ?

    Mashekh wetu wao wana Mchango gani kuhusu nchi yetu.? Ni nadra Sana umkute Shekh anapambania mambo ya msingi ya nchi . Inawezekana Mashek ni rahisi kutekwa na wanasiasa. hii inaweza kuchangiwa na elimu ndogo ya kuuelewa ulimwengu.
  10. D

    Ndugu/Watoto wa kishua ni changamoto sana. Msaada please..

    Ndugu/Mtoto wa kishua ukimuweka close anaona kama vile unataka kumuomba pesa zake, hivyo anaanza kukukwepa. Ndugu/Mtoto wa kishua ukimuweka mbali bila kuwasiliana naye anaona kuwa inferiority complex inakusumbua kwa kuwa wao matajiri na wewe ni masiki hivyo unawaonea wivu. Yaani ni changamoto...
  11. Changamoto kilimo cha umwagiliaji zawaibua NIRC

    Kutokana na kuwepo kwa changamoto ya kilimo cha kubahatisha kwa wakulima kutokana na mvua zisizo za uhakika, serikali kupitia Tume ya Taifa ya Umwagiliaji (NIRC) imeanza kuchimba visima virefu vya maji hamsini kwa ajili ya matumizi ya kawaida na viwili kwa ajili ya kilimo cha umwagiliaji mkoani...
  12. GE2025 Je, ahadi zinazotolewa na wagombea wa kisiasa wakati wa uchaguzi zinaendana na changamoto na mahitaji?

    Wakuu ==== kampeni zimeanza! Kila mgombea wa urais anaahidi mambo ili kupata ridhaa ya wananchi. Lakini je, ahadi hizi zinaendana na mahitaji halisi ya taifa letu katika karne hii? Kwa mfano, ahadi za ‘ubwabwa hospitalini’, sera za kujua kusoma na kuandika darasa la tatu, na nyinginezo — ni...
  13. Ben Pol aungana na Wananchi wengine kuelezea changamoto ya miili ya marehemu kuzuiwa hospitali

    Baada ya andiko la JFKUMBUKIZI kuhusu ahadi mbalimbali zilizotolewa na Viongozi tofauti kuhusu ahadi za kushughulikia changamoto ya taasisi au vituo vya Afya kugoma kutoa miili ya Watu kutokana na madeni ya huduma walizokuwa wanapatiwa, maoni yamekuwa mengi kutoka kwa Wananchi. Ahadi kwamba...
  14. A

    Changamoto za Nissan Serena

    Habari zenu marafiki.Nina mpango wa kuagiza gari aina ya Nissa Serena toka Japani.Kutokana na uzoefu wenu naomba mnipe Changamoto za gari hii.Hiyo gari ina cc1990
  15. Wafanyakazi wa serikali changamoto

    Yaan uki mkopesha mtu wa serikali au anae tegemea mshahara kulipwa ni changamoto sana lazima msumbuane mshikane mashart sijui kwanini? Kuna namna wanarudisha watu nyumaa sana kwanini mna kuwa wasumbufu emby jibuni hapa
  16. D

    Mwenyekujua jinsi ya kutatua hii changamoto ya Mfumo wa ESS anisaidie

    Nina changamoto ya kutumia mfumo huu wa ess nimeomba mkopo crdb bank week mbili zilixopita ili kupata mkopo ila kila nikifikia stage ya ku submit code namba kwenda utumishi inagoma na kuandika something went wrong .naomba msaada wenu mwenye uelewa zaidi
  17. D

    Ugonjwa wa Moyo ni changamoto nyingine ya nguvu za kiume

    Wanaume wengi wanapopoteza nguvu za kiume hudhani ni tatizo dogo la kawaida au la kiumri, lakini ukweli ni kwamba mara nyingi lina uhusiano wa moja kwa moja na magonjwa ya moyo. Zaidi ya viungo hamsini vya mwili vinashirikiana ili kuhakikisha uume unasimama vizuri, hivyo ikitokea kiungo kimoja...
  18. A

    KERO Shule ya Msingi Ndoleleji ina miundombinu iliyochakaa na Walimu wasiowiana na idadi ya Wanafunzi

    Hii ni Shule ya Msingi NDOLELEJI iliyopo Wilaya ya ITILIMA, Mkoa wa SIMIYU, Shule ina Walimu 12 ikiwa na Wanafunzi takribani 1,500 ambapo madarasa mengi wanasomea nje. Upungufu wa Vyumba vya Madarasa ni mkubwa mno katika shule hii, kwani vyumba vilivyopo vyopo vyote vimechakaa. Naomba ujumbe...
  19. Naona kama upo Afrika na ukawa Introvert ni changamoto sana

    Yale MAISHA wanayopenda introvert yanahitaji pesa . Mfano wewe upo DSM na ni introvert unabidi kukaa maeneo Fulani ambayo hayana kelele , ambayo hayana watu wengi. Ukija katika Usafiri , ikiwa hauna Usafiri wako ile kukaa katika daladala unatamani daladala ipae ufike mapema uendako. Ukija...
  20. Dudubaya Podcast imekumbwa na changamoto gani?

    Alianza kwa kasi kubwa na kupata wafuasi wengi na maoni ya wengi yalikuwa chanya. Nini kimefanya awe kimya ghafla? Je ni maboss wa mainstream wameamua kudeal naye kupitia TCRA na TRA kwa kisingizio cha kutojisajili au anajipanga kwa kitu bora zaidi? Mimi Ponjoro wa Kinondoni ni CCM ila sina...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…