changamoto

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mbona vijana wa kiume mnashindwa kuapraoch mademu? Tuko nyakati mbaya sana!

    Hakika tuko katika enzi mbaya sana wanabodi.. Anaweza kupita demu mkali balaa, kitaaa. Na watu wa kaishia kupiga miruzi tu na psii, psii... Ila wanaume wa leo kuwa na guts za kwenda kumwaproach manzi mkali wamebaki wa kuhesabu. Kwanza hawana swaga, Pili ni makapuku, meaning kuweza...
  2. O

    CBC Kenya: Kila Mzazi Anapaswa Kuelewa Nini Kuhusu Mfumo Huu?

    Mfumo wa elimu wa Competency-Based Curriculum (CBC), unaojulikana pia kama Competency-Based Education (CBE), ulianzishwa nchini Kenya mwaka 2017 kuchukua nafasi ya mfumo wa zamani wa 8-4-4. Mfumo huu unalenga kumsaidia mwanafunzi kupata maarifa, kukuza vipaji na kujifunza ujuzi anaoweza kutumia...
  3. A

    KERO Yombo tuna changamoto ya umeme kukata na kurudi hata mara 10 kwa siku

    Huku Yombo tunachangamoto ya umeme, mfano wanaweza kukata kuanzia Saa 12 Asubuhi wakakata hata mara nane kwa staili ya kukata na kurudisha, hii si sawa wataunguza vyombo vya watu. Kwa sasa changamoto ndiyo imeongezeka zaidi. Mfano juzi kuanzia Saa 12 Asubuhi mpaka Saa 6 Usiku umeme umekatika...
  4. Malalamiko makubwa Dar es Salaam ni msongamano wa vyombo vya moto barabarani, ipo mbinu ya siri sana ya kumaliza changamoto hiyo

    Katika moja ya changamoto zinazosumbua Dar es Salaam ni foleni barabarani Gharama za kumaliza hii changamoto kwa njia za kawaida ni kubwa sana inayogharimu billions za tsh ambazo ni usumbufu mkubwa sana kwa Serikali wakutenga budget Lakini kupitia Pakome kuna mbinu za siri sana za kumaliza...
  5. Responded Manispaa ya Lindi: Mikopo ya 10%, Vikundi 42 viliomba, 41 viliidhinishwa, malipo ya vikundi vitano yamepata changamoto

    Halmashauri ya Manispaa ya Lindi inapenda kuutaarifu umma kuwa taarifa zinazosambazwa zikidai kuwa Halmashauri haijakamilisha utoaji wa mikopo ya 10% kwa vikundi vilivyokidhi vigezo si sahihi kwa ujumla wake. Hoja ya Mdau ~ Tumeidhinishwa kupokea mkopo wa vikundi katika Halmashauri ya Lindi...
  6. A

    KERO EWURA kuna changamoto ya mfumo wa utoaji leseni zao kama hizi za electrical installation

    Kero yangu ni kuhusu EWURA na mfumo wa utoaji leseni zao kama hizi za electrical installation, kwa jinsi teknolojia ilivyokuwa tunaona taasisi zingine wanatoa leseni zao baada ya muda mchache unafanya malipo kwenye Mtandao na kuipata lakini wao wanatumia siku 40 hadi 60 ukiuliza wanasema ni...
  7. S

    KERO UDOM walianza kurejesha fedha za ziada (overpayment) lakini sasa wameacha, hatuelewi shida ni nini

    Bado kuna changamoto kubwa ya ucheleweshaji wa kurejesha fedha za ziada (overpayment) kwa wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM). Baada ya taarifa iliyochapishwa na JamiiForums kuhusu kuchelewa kwa malipo hayo kusambaa, uongozi wa chuo ulianza kulipa baadhi ya wanafunzi, hatua iliyoashiria...
  8. A

    DOKEZO Wanachama wa CWT-Butiama tuna changamoto dhidi ya viongozi wa chama kwa ngazi ya Wilaya

    Kuna changamoto kati ya Walimu Wanachama wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT) Wilaya ya Butiama dhidi ya viongozi wa chama kwa ngazi ya wilaya. Walimu wanachama tumekuwa tukilalamika kuhusu matumizi mabaya ya mali za chama na wanachama kutosikilizwa changamoto zao na Chama. Tarehe 01/11/2026...
  9. Wazazi wenye watoto wenye changamoto za kiafya au ukuaji, mnawezaje kuishi na hali hii kila siku?

    Kuna jambo limekuwa likinigusa sana moyoni na nimeona nililete hapa JF nipate mawazo na uzoefu wa wadau. Kila ninapokutana na mtoto mdogo mwenye changamoto za kiafya, ulemavu au ukuaji, huwa moyo wangu unaumia sana. Wakati mwingine najikuta nimeshindwa kujizuia kulia. Huwa najiuliza, hivi...
  10. A

    HOJA Mamlaka zifuatilie mkanganyiko wa Maelekezo ya kufungwa kwa Shule katika Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa

    Naomba Mamlaka zifuatilie suala linalohusu mkanganyiko wa maelekezo kuhusu kufungwa kwa shule kufuatia tahadhari ya mvua za El Niño. Kufuatia tamko la Serikali kuhusu kufungwa kwa shule, kumekuwa na taarifa zinazohitaji ufafanuzi katika Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa, Mkoa wa Morogoro. Kwa...
  11. Kubali au Kataa, Maisha ni Changamoto na Kuishi ni Kuzitatua au Vinginevyo

    Hapa akili kubwa iko kazini Kama ni darasa la tatu D , tikisa kichwa sana kwanza kabla ya kukitumia. Iko hivi, pale unapoingiza miguu au kichwa kwenye hii dunia, changamoto zinaanza chap kwa haraka. Mwenye hii dunia hapoi wala hachoki, he wired this world kwa namna ambayo hautakaa upate raha...
  12. Diwani Alhaj Dunga akutana na wananchi kata yasaranga na kuelezea mafanikio na changamoto kwenye Kata yake

    Diwani wa kata ya Msaranga Manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro(CCM),Alhaj Ally Pendo maarufu kwa jina la Dunga amefanyaka mkutano wa hadhara na wananchi wake na kuelezea mafanikio yaliyopatikana tangu achaguliwe kuwa Diwani wa Kata hiyo Oktoba 29 mwaka jana Mafanikio hayo yamejikita kwenye...
  13. A

    KERO Shule ya Msingi Itigi matokeo si mazuri na kuna changamoto ya ufundishaji kwa Walimu

    Kuna Shule ya Msingi Itigi Mjini H/W ya Itigi Shule imekuwa haifundishi kabisa, imekuwa ya Kisiasa, watoto wanaenda shule, walimu hawapo hasa kuanzia chekechea mpaka darasa la saba. Pia, kuna mwalimu mmoja amekuwa kikwazo kwa maendeleo ya shule hiyo anatumia shule hiyo kwa maslahi ya kisiasa...
  14. G

    Changamoto za Usimamizi wa Bidhaa (Inventory) kwa Wafanyabiashara

    Habari wana JF! Kwa wale wafanyabiashara humu ndani, ningependa kujua: Kwa sasa mnatumia mbinu gani kusimamia bidhaa zenu (Inventory), kuanzia bidhaa zinapoingia hadi zinapouzwa? Ni changamoto gani kubwa mnayokutana nayo katika mchakato huo, na kwa mtazamo wenu, mnadhani ni mbinu au mfumo...
  15. Natatuaje hii changamoto?

    CC: Moderator
  16. A

    KERO Waziri wa Mikopo UDSM ni changamoto sanaa

    Habari, tunaomba mamlaka husika zifuatilie malalamiko ya wanafunzi wanaokabiliwa na changamoto za mikopo ya elimu ya juu, hususan namna wanavyohudumiwa na maafisa mikopo (Loan Officers) wanapokwenda kuwasilisha matatizo yao. Wanafunzi wanadai kuwa baadhi ya maafisa mikopo hawawasikilizi...
  17. 1

    Wazir wa mikopo udsm ni changamoto sana

  18. 1

    DOKEZO Loan Officer wa UDSM ni changamoto

    Loan Officer jaman hasikilizi wanafunzi wenye changamoto za mikopo anamajibu yasio sawa kabisa, mara aseme muda wa kusikiliza wanafunzi umeisha, mara aseme hana utatuzi. Siku nyingine tunaondoka tumechoka, naomba mfanye uchunguzi kwa kuwauliza wanafunzi au hata kujiunga na magroup ya mikopo...
  19. Shirika la Posta Tanzania: Tunaomba radhi kwa changamoto iliyojitokeza katika mfumo wa Namba za Huduma kwa Wateja

    Shirika la Posta Tanzania linaomba radhi kwa usumbufu unaojitokeza kutokana na changamoto ya kimfumo inayoathiri upatikanaji wa huduma za simu kupitia namba 0735 008 008. Wakati jitihada za kushughulikia changamoto zikiendelea, unaweza kuwasiliana nasi na kupata huduma kupitia namba zifuatazo...
  20. Responded TRC: Tumepokea maoni kuhusu changamoto ya ukataji tiketi wa magari Kituo cha SGR Morogoro, tutafanyia kazi

    Baada ya Mdau wa JamiiForums.com kutoa hoja akieleza “Utaratibu wa tiketi za magari Kituo cha SGR Morogoro ni mbovu, Watu wanaganda kwenye foleni”, Shirika la Reli Tanzania (TRC) limesema limepokea na litafanyia kazi hoja hiyo. Hoja ya Mdau ~ Utaratibu wa tiketi za magari Kituo cha SGR Morogoro...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…