chama

The Rio Chama, a major tributary river of the Rio Grande, is located in the U.S. states of Colorado and New Mexico. The river is about 130 miles (210 km) long altogether. From its source to El Vado Dam its length is about 50 miles (80 km), from El Vado Dam to Abiquiu Dam is about 51 miles (82 km), and from Abiquiu Dam to its confluence with the Rio Grande is about 34 miles (55 km).
The name "Chama" is a shortened version of the Tewa term tsąmą' ǫŋwįkeyi, meaning "wrestling pueblo-ruin".

View More On Wikipedia.org
  1. H

    Simba bila Chama inapungua ubora

    Habari wanajf Simba inakuwa na shida sana hasa anapokosekana Chama, Chama analeta utofauti mkubwa sana kwenye kikosi mechi ya jana ilikosekana utulivu kuanzia katikati ya uwanja mpaka mbele angalau alivyoingia Ngoma kidogo Kati pakawa na utulivu lakini mbele bado pakawa vile vile. Faida ya...
  2. CCM ni Chama pekee Makini Duniani

    Nakipenda Chama Cha Mapinduzi Kwa; 1. Sera makini (utekelezaji 100%), 2. Demokrasia, 3. Uwajibikaji Kwa walipa Kodi (wapiga kura). NB: CCM itatawala milele na milele. Asanteni
  3. K

    Chama, Kanoute kuikosa Singida Fountain Gate Tanga

    KIUNGO mshambuliaji wa klabu ya Simba Clatous Chota Chama, ataukosa mchezo wa ufunguzi wa michuano mifupi ya Ngao ya Jamii dhidi ya Singida Fountain Gate, kutokana na kufungiwa michezo mitatu iliyo chini ya shirikisho la soka nchini TFF. Chama alifungiwa kutokana na kuwa na adhabu hiyo...
  4. M

    ACT Wazalendo kushindwa kutoa msimamo kuhusu bandari kimejiondolea sifa. CHADEMA inaitumia fursa hiyo kuwasulubu

    Chama cha ACT Wazalendo kilijijengea jina kwa kusimama juu ya masuala muhimu na makubwa. Kilitoa chambuzi nyingi juu ya uchumi, hali ya kisiasa na mambo ya uongozi Hata hivyo chama hicho kimegeuka bubu kwenye suala la Bandari. Chama kimeshindwa kutoa msiamamo wa chama katika suala hilo nyeti...
  5. B

    UWT Ilala wapiga marufuku chama cha Chawa wa Mama

    Fukuto huko ndani ya chama chao. Kila mtu anaona amezidiwa katika level ya uchaww Kwa kuwa chawa wa mama wako hoti imeelezwa kuwa wanakwapua nafasi nyingi za uteuzi na nyazifa mbali mbali kuliko vyama rasmi vya chama hiko. Hapa chini kwenye clip sikiliza Kalipio hilo inayosambaa mitandaoni.
  6. Wabunge viti Maalumu Katavi watoa Milion 6 Maendeleo ya Chama na UWT

    Wabunge viti Maalumu Katavi watoa Milion 6 Maendeleo ya Chama na UWT. WABUNGE wa Viti maalumu Mkoa wa Katavi wametoa shilingi Milioni 6 Kwaajili ya kusaidia Maendeleo ya Chama na Jumuiya ya UWT ili kuhakikisha Chama na Jumuiya ya UWT zinaendelea kuimalika. Wabunge wa Viti maalumu Mkoa wa...
  7. Kuna chama kinatumia wajinga kuendesha wasomi

    Wameshindwa kusoma alama za nyakati.
  8. Tetesi: Kunani CHADEMA, Slaa na harakati za kuanzisha chama kipya

    Watani, Ndoa ya CHADEMA na Dkt Slaa inaelekea mwisho, Slaa anaelekea chama kipya. Walijaridu kuforce bond kwenye mkutano wa Temeke, picha halisi ilionesha chemistry kati ya Dkt Slaa na CHADEMA haikubali, ndio maana Slaa toka mkutano wa Temeke ameachwa rasmi kutumika kwenye mikutano ya CHADEMA...
  9. DP World sasa tafrani ndani ya chama

    Mtunzi wa vibonzo DW na mawazo yake . Mbunge wa Mbeya na spika wa bunge la jamuhuri ya Tanzania leo akihutubia wananchi wakati wa uzinduzi wa majengo ya shule amewataka wanachama wa chama cha mapinduzi kutomvuta shati kiongozi mkuu wa chama hicho ambaye ni Raisi wa Tanzania katika swala zima la...
  10. Nchi hii haijapata chama sahihi cha upinzani

    Kuna vyama havina misingi aidha havijatengeneza intellijensia Yao wenyewe na kupelekea kiwahiwa. Mzee Nyerere marehemu alipata kusema...." Rais asipotoka sisiem atatokea upinzani, maana take..." Hays ndani ya sisiem kina upinzani. Nahisi hili ndilo linaweza kutokea, ama tuaeme liliishatokea...
  11. M

    Kuvaa sare za chama haimaanishi wewe ni mzalendo kwa nchi wala chama

    Wakuu ni kwamba kila chama kina sare zake na zimekuwa zikivaliwa sana na makada. CHADEMA na magwanda yao huku CCM wakipendeza kwenye kijani na njano. Ni jambo jema kwa sababu sare zinapunguza sana matabaka kwenye mikusanyiko, mikutano na vikao. Kinachoniudhi ni tabia ya makada wengi wa vyama...
  12. Hiki chama kimepoteza legitimacy. Msajili akipe onyo au akifute

    Kuna chama kinajiiita eti chama kikuu cha upinzani kimepoteza mvuto na kimepoteza sera sasa hivi wanaparamia kila tukio hawajulikani wanasimamia nini. Ndio mana Zitto amewa outshine. Hatutaki chama chenye dalili ya ukabila kuhubiri kila saa uzanzibar na utanganyika Hatutaki udini Hatutaki...
  13. Komredi Kawaida: CCM Ndio Chama Pekee Kinachoweza Kuleta Matumaini kwa Wananchi

    Watanzania wenzangu naomba niwaambie siku, zote Uchungu wa mwana aujuaye mzazi katika hali zote na nyakati zote ambazo mtoto anapitia, na ukiona mzazi huyo anamkimbia mtoto wake wakati wa shida basi huyo hafai kuwa mzazi bora, bali mzazi bora atapimwa kutokana na malezi bora kwa mtoto pasipo...
  14. J

    Hawa ndio Chama cha Mapinduzi...

    Salamu wanajamvi, Leo napenda nizungumzie jambo moja ambalo elimu ya vitabuni imeshindwa kumkomboa Mwafrika miaka na miaka. Kuna wakati unaweza ukadhani tumelogwa na hatujitambui kabisa. Chama cha mapinduzi kupitia KATIBU mkuu wao wanawaomba watanzania tuiamini serikali yao chini ya...
  15. M

    CHADEMA iwapumzishe kwa muda Heche na Lema kuhutubia ili kutoendelea kukiharibia chama

    Ninashauri kwa nia njema kabisa kwasababu hawa viongozi wawili wa CHADEMA kwa siku za karibuni wamekuwa wakionge vitu vinavyoleta ukakasi na hasira kwa wapiga kura nchini Tanzania. Hii inafanya safari ya CHADEMA kukamata sola izidi kuwa ngumu. Leo nimewatazama Lema na Heche wakihutubia huko...
  16. Sitokuja kusahau kilichotokea katika chama changu CHADEMA. Je, tuamini hayatojirudia tena?

    Binafsi tangu nimejiunga CHADEMA zaidi ya miaka 10 iliyopita nlikuwa nina imani sana na chama changu na nliamini ipo siku tutakuja chukua dola. Muda na chaguzi zilipita lakini hakuna kitu kilichoniumiza kichwa kama ghafla kumuona Lowassa anapeperusha bendera ya CHADEMA. Nlikumbuka sana...
  17. R

    Fedha za kununulia kanga, vitenge na pikipiki za CCM pamoja na kufanya mikutano zimetoka ndani ya Chama au ni za Serikali?

    Kuna trend ya kusambaza bidhaa nyingi kwenye mfumo wa takrima nchi nzima. Katika mdororo wa uchumi kama uliopo duniani kwa sasa ni vigumu nchi maskini kama Tanzania kupata fedha za kufanya haya yanayofanywa leo. Pesa hizi za kuprint kanga na vitenge zinatoka wapi? Hizi pikipiki zinatoka chini...
  18. SoC03 Ili Bunge liwe na nguvu ya kuiwajibisha Serikali, Spika wa Bunge asiwe mwanachama ama mshirika wa chama cha siasa na apatikane kwa kura za Wananchi

    UTANGULIZI. Bunge ni miongoni mwa vyombo vinavyounda dola,Bunge ndicho chombo kinacho wakilisha wananchi moja kwa moja kwa kuwa kina wabunge ambao wanapatikana kutokana na kura za wananchi. Bunge ndilo linalotunga sheria kwa niaba ya wananchi,Bunge ndilo linalopitisha maazimio yote ambayo...
  19. Kama CCM inawapenda waanzishe viwanda mkamate uchumi wa nchi kuwa chawa mnaua nguvu kazi ya taifa

    Tanzania ni nchi pekee kubwa yenye madini na fursa ya kuzungukwa na nchi jirani. Miaka ya zamani kabisa hata sijazaliwa masufuria na vijiko yalitoka Arusha, pasi za mkaa na majembe na spea vilitoka Arusha baada vita ya kagera viwanda vilikufa kabisa. World Bank wakashauri tulete wawekezaji...
  20. Chonde chonde chama tusimuache Wana Simba

    Nawaomba Sana ndugu Wana Simba,tumshikilie Chama kwa nguvu zote maana bado tunamtegemea Sana Tusidanganyike na usajili mpya maana bado watu hatujawajua Mabifu yamalizen
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…