chama

The Rio Chama, a major tributary river of the Rio Grande, is located in the U.S. states of Colorado and New Mexico. The river is about 130 miles (210 km) long altogether. From its source to El Vado Dam its length is about 50 miles (80 km), from El Vado Dam to Abiquiu Dam is about 51 miles (82 km), and from Abiquiu Dam to its confluence with the Rio Grande is about 34 miles (55 km).
The name "Chama" is a shortened version of the Tewa term tsąmą' ǫŋwįkeyi, meaning "wrestling pueblo-ruin".

View More On Wikipedia.org
  1. Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimefanya mabadiliko ya kiutendaji katika ngazi ya Makatibu wa CCM wa mikoa.

  2. Chacha, ni kweli tunajua Serikali na Vyombo vyake ni Mali ya chama Cha mapinduzi lakini kututamkia hadharani ni dharau kubwa kwa watanzania

    Hivi kwa matamshi haya tutegemee Kuna siku CCM itatoka madarakani? Je tutegemee Tundu Lissu atatendewa Haki? Je tutegemee watanzania kupata mabadiliko ya katiba? Huko CCM mkiwa mnachagua viongozi muangalie na watu wa kuwateua sasa imagine Huyu hajui hata mipaka ya Serikali na Vyombo vyake...
  3. Vita ya ushoga ni ngumu sana kuliko hata madawa ya kulevya, Dudu ashafungiwa na Basata

    Binafsi sioni kosa la Dudu baya Naona anajitoa kupinga uvunjifu wa maadili Badala BASATA kama chombo cha serikali wamfungie? BASATA wanamfungia Dudu Kwa kosa gani? Kuna uwezekano hadi uko BASATA yamejipenyeza mabwabwa Mashoga yamejipenyeza hadi serilini Wafanya maamzi baadhi ni machoko
  4. Kama Makamu wa Rais anaweza kunyamazishwa na wazee wa chama wasiozidi 5 na most of them wazanzibari kuna nchi hapo?

    Hili ni swali je kuna nchi ya namna hiyo hapa duniani? Kote duniani kwenye mataifa yote ya kidemokrasia na utawala wa raia viongozi hondolewa na; 1. Wananchi 2. Bunge 3. Mahakama Sasa hiki ni nini wazee? Are we MAD?
  5. Endapo chadema itafutwa, unadhani wanachama wake wengi watakaokua wapweke na yatima kisiasa, watajiunga na chama gani cha siasa mbadala wa chadema?

    Je, watajiunga ADA-TADEA, SAU, CHAUMMA, AFP, CHAUSTA, LND, DP, UMD, D.MAKINI, TLP, Nccr-Mageuzi, NRA, ACT-Wazalendo, ADC, CCK, UPDP, CCM, JAHAZI Asilia, CUF, au PPT Maendeleo? Watasubiri kuanzishwa kwa chama kipya cha siasa? Na je, wewe unaechangia hoja hii mahususi, ikiwa ni mwana chama wa...
  6. Huenda hukumu ya Tundu Lissu ikaambatana na kufutwa kwa CHADEMA kama chama cha siasa nchini

    Hatua hiyo itasaidi pakubwa kuimarisha demokrasia, uwazi, utawala bora na utawala wa sheria nchini. Kufutwa kwa Chadema kama chama cha siasa itakua ni ni fursa muhimu kwa vyama vingine vya siasa kukomaa, lakini pia itakua ni mwanzo mpya wa zama za siasa za kistaarabu Tanzania. Kubwa zaidi...
  7. T

    Ni kwa nn chadema wasibadili katiba ili mwaka wa uchaguzi wa chama usiwe mwaka uleule wa uchaguzi wa nchi?

    Uchaguzi ndani ya chama ni kazi ngumu sana na inayohusisha kutofautiana na hata kuumizana wakati mwingine bila kukusudia Ninadhani ni busara chama kitafute mwaka usiokuwa karibu na uchaguzi mkuu wa nchi
  8. Kwa mda mfupi niliokaa jamii forum hum na kwa upeo wangu mdogo nimegundua yafuatayo

    Kama hizi mbinu zote mmefeli CHADEMA ni dude kubwa 1.Divide and rule>kugawa kundi Ili lisipate nguvu ya pamoja 2.Reward and punishment>kutumia zawadi na adhabu kusimamia tabia 3.Framing>Kueleza jambo kwa mtazamo frani Ili wanaokusikiliza waelewe kwa namna hyo 4.Complomise>Kila upande kutoa...
  9. Huwezi kuwapa dola chama kinachoendeshwa na rimoti za Instagram

    Taifa hili halikuanzushwa rejareja kiasi hiko eti chama cha siasa kinachoweza kuendeshwa na mabinti wakaa Uchi wa mtandaoni kikapewe Serikali na kusimamia rasilimali za kipekee zinazopatikana Tanzania tu. Hebu tuwe na heshima kwa watanzania
  10. Mrudishieni Mbowe Chama Chake

    Enyi wakaidi, mrudishieni Mbowe Chama chake Msidhani aliokota CHADEMA chini ya mwembe Mtachagua moja kurudisha au kuendelea kusalitiwa Maafa yanayowapata sio ya kutengenezewa bali ni laana na machozi ya Mbowe Mbowe hakutaka kung'ang'ania CHADEMA bali alitaka kujenga msingi imara ndipo...
  11. CHADEMA, saidieni chama cha Siasa cha The Independent People's Party (IPP) kisajiliwe

    Yaani kama mnataka mpate nafuu ya siasa, basi saidia hawa jamaa waanzilishi wa chama cha siasa cha CHADEMA, saidieni chama cha Siasa cha The Independent People's Party (IPP) kisajiliwe. Mtanishukuru baadaye. CUF walisaidia ACT Wazalendo kusajiliwa. Msikae kizembe sana. Kumbuka msajili...
  12. Toa mbinu za kukiua Chama cha Demokrasia na Maendeleo

    Watanzania wamebobea kutembea na saikolojia ya kuua Taasisi mbalimbali? Ukiwa kama mtanzania mzalendo Toa mbinu na mikakati ya kuua chama cha CHADEMA kama Watanzania walivyoua VIWANDA... Lengo kikawe chama kikuu cha Brifucase
  13. CHADEMA ni chama kitakatifu kinachonajisiwa na wanaokitumia vibaya

    Mzee Edwin Mtei na Mzee Bob Makani walikuwa ni watu makini, wasomi wa uchumi na wenye heshima na hekima nyingi waliolitumikia taifa lao kwa uaminifu mkubwa katika ngazi ya juu katiba kitaifa ya Ugavana wa benki kuu. Walianzisha CHADEMA lakini sidhani kama walikuwa wanajua kuwa iko siku chama...
  14. Chama cha waamuzi wa England chakili kufanya kosa kuruhusu goli la Erling Haaland

    Chama cha Waamuzi cha England kimekiri kufanya kosa katika kuruhusu goli la ushindi la Manchester City dhidi ya Manchester United, ambapo Man City ilishinda 1-0 katika uwanja wa Old Trafford. Katika taarifa iliyotolewa masaa machache baada ya ushindi huo wa Man City ilifichua kuwa imewasiliana...
  15. Msimamo wa Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu unavyoweza kuchochea mpasuko ndani ya chama

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Lissu, anaendelea kukabiliwa na kesi ya uhaini katika Mahakama Kuu, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam. Anashtakiwa kwa kauli alizotoa Aprili 3, 2025, kwenye mkutano wa chama ambazo upande wa mashtaka unadai zilikuwa na nia ya kuchochea uasi...
  16. Tanzania Nzuri Tuionayo sasa, ni matokeo ya uongozi bora kutoka Chama cha Mapinduzi

    Ukikaa chini ukatafakari historia ya Tanzania, ni vigumu kuizungumza bila kuitaja CCM. Chama hiki kina historia ndefu sana katika safari ya taifa letu. Tangu kuanzishwa kwake mwaka 1977, CCM imekuwa sehemu ya uongozi na shughuli mbalimbali za kisiasa na kijamii nchini. Kwa miaka yote hiyo...
  17. Wafuasi wa kile chama wamekuwa wapiga ramli tu.

    Chama cha wapiga ramli kina vituko sana.
  18. Chama atishia kuweka wazi mazungumzo yake na Eng, Hersi alivyomlazimisha kujiunga yanga

    Kiungo mchezaji , Clatous Chama, ameibua gumzo kubwa kwenye ulimwengu wa soka nchini baada ya kutishia kuweka wazi ushahidi wa mazungumzo ya faragha (chat) kati yake na Rais wa Klabu ya Yanga, Eng. Hersi Said. Chama anadai kuwa wakati wa mchakato wa usajili wake uliomng'oa kutoka kwa watani zao...
  19. Kuna wakati Tuseme ukweli tu,Tanzania inasonga mbele Chini ya Chama Tawala

    Ukikaa chini ukatafakari Tanzania ya leo na Tanzania ya miaka iliyopita, kuna vitu vingi ambavyo huwezi kuvipuuza. Tunaona barabara zikijengwa, madaraja yanaendelea kujengwa, vituo vya afya vinaongezeka, shule zinaboreshwa, maji yanafikishwa maeneo mbalimbali na umeme unaendelea kusambaa. Hata...
  20. R

    Katibu Mkuu BAVICHA: Sisi tumeruhusiwa kuwa Think Tank ya chama, tofauti na wenzetu upande mwingine ni Praise and Worship Team

    Katibu Mkuu wa Baraza la Vijana wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAVICHA), Dua Lyamzito, amesema kuwa tofauti kubwa kati ya baraza hilo na mabaraza ya vijana ya vyama vingine vya siasa nchini ni uhuru wa kufikiri na kufanya ukosoaji ndani ya chama badala ya kuwa vyombo vya kusifu na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…