challenge

The Challenge (originally known as Road Rules: All Stars, followed by Real World/Road Rules Challenge) is a reality competition show on MTV that is spun off from two of the network's reality shows, The Real World and Road Rules. Originally featuring alumni from these two shows, casting for The Challenge has slowly expanded to include contestants who debuted on The Challenge itself, alumni from other MTV franchises including Are You the One?, Ex on the Beach (Brazil, UK and US), Geordie Shore and from other non-MTV shows. The contestants compete against one another in various extreme challenges to avoid elimination. The winners of the final challenge win the competition and share a large cash prize. The Challenge is currently hosted by T. J. Lavin.
The series premiered on June 1, 1998. The show was originally titled Road Rules: All Stars (in which notable Real World alumni participated in a Road Rules style road-trip). It was renamed Real World/Road Rules Challenge for the 2nd season, then later abridged to simply The Challenge by the show's 19th season.
Since the fourth season, each season has supplied the show with a unique subtitle, such as Rivals. Each season consists of a format and theme whereby the subtitle is derived. The show's current season, Spies, Lies & Allies, premiered on August 11, 2021.

View More On Wikipedia.org
  1. Moto wa volcano

    Sijui nawaonaje wanaume wanafanya challenge tik tok ni umama

    Aibu sana kwa mtu mwanaume tena mwengine anaweza kuwa baba wa familia anafanya challenge za kipuuzi tik tok utadhani demu .
  2. Magical power

    Challenge time na magical power

    ZAWADI: Kaka Magical Power, naomba ushauri tafadhali, usinipuuze 🙏 MAGICAL POWER: Sawa, sema dada. Upo salama? ZAWADI: Sina amani kabisa. Mume wangu wa ndoa miezi mitatu, amebadilika ghafla. Hana mapenzi tena, hanigusi, halali nyumbani. Kila nikimuuliza anasema niko busy, mara kazini, mara...
  3. Prince Luanda

    August money saving challenge

    Kusave hela ni changamoto sana. Ili ufanikiwe inabidi ufanye kila siku ili iwe tabia hata kama ni kidogo usidharau just save.Mwezi wa nane unakaribia wale wakusave hela huu uzi ni kwa ajili ya motivation.. Fanya kwa uwezo wako .. wale wa kusave daily join me! Hii ni maalumu kwa tunaofanya...
  4. Mshana Jr

    Weekend challenge: tutafute jukwaa lililolala tulichangamshe

    Kina majukwaa yako dormant Sana.. Hayana engagement za kueleweka. Kama kuna mojawapo umeliona litaje kuna dedicated team ilifufue min -me toa mwongozo
  5. Gobole Lenye Risasi

    Naweka challenge hapa. Tukubaliane kiasi cha Pesa. Mwanamke akiweza hili nampa pesa yake

    Vyovyote mtakavyosema. Tangazo, mtego n.k sijali. Nachojali ni hisia zangu na uhuru wa mawazo kwa mujibu wa Katiba na bila kuvunja Kanuni. Najua na wanaume wenzangu baadhi wataunga mkono wanaweza wakawa nao wanapitia changamoto hii. Ikiwa kuna mwanamke naweza nikagegedana naye akawa na...
  6. K

    One Billion challenge

    Bilion moja challenge. Oya tunaipataje B yetu ya kwanza......😅😅 Umri utakuwaje sio vibabu kweli ingawa kuna business za get rich quick!! Kama madini n.k Nilikuwa napiga hesabu hapa nikisema nikae vizuri nitulie pengine nikifika 50 years nntakuwa nimeishika. Mipango sio matumizi
  7. hmaloh

    Oktoba tunatiki challenge target 5k replies

    Haya ndugu zangu Wanaccm nimeona na mimi niazishe thread yakuwajibu wahuni wa no reforms no election twende nao sambamba hawa watu mpaka kieleweke kati ya sikio na kichwa nani kamzidi mwenzie
  8. Mshana Jr

    JF challenge ya "NO REFORMS, NO ELECTION": Target replies 3K

    Tusibaki kinyonge JF ili tuje kuwa sehemu ya historia.. Mitandao mingine imeshakiwasha na kampeni inaenda vema sana... Challenge yetu ni kufikisha replies 3000 by Jumatatu na comments zake ni NO REFORMS NO ELECTION N.RN.E NoReNoE Ama picha Ama mchoro Ama style yoyote ya maneno lakini ujumbe...
  9. Busan Swagger

    Fumbo challenge

  10. Gengis Khan wa Jf

    Challenge accepted: Hakuna anayenipita kwa Uhensamu JF nzima

    Mzuka wana Jamvi ? Yerereeeeeerreereerreereyere!!! Sijitaji maelezo mengi picha inajieleza , nataka maoni yako unaonaje ? Oyo : Sitaki Wadada wa Jf msinitafute PM , Mimi nipo kwenye No Fap challenge
  11. Mshana Jr

    Challenge ya kuokoa maji yasipotee bure kwenye bafu za hotel

    Hii ni challenge kwa wana mazingira na wapendao kutunza maji Maji ni uhai.. Bila maji maisha huwa ni magumu sana.. Wenye kujua umuhimu wa maji hubuni kila mbinu kuokoa maji yasipotee bure bila matumizi Kuna hii changamoto ya upotevu wa maji kwenye mabafu ya hotel zile sehemu zenye baridi ambako...
  12. Cute Wife

    Challenge: Kweli hatumdai mama na yeye ndio anatudai? Piga picha ya bango la mama mkoani kwako na useme kama humdai

    Wakuu, Nacheka kama mazuri lakini moyo unauma:KEKLaugh::BearLaugh:. Viongozi wanapayuka kila siku mama hana deni lakini yeye ndio anawadai wananchi kwa kazi nzuri iliyotukuka (kwa sauti ya GENTAMYCINE) aliyofanya! Kuna mabango kede kede huko mtaani kusema mama hana deni, mama anaupiga mwingi...
  13. Smooth Criminal

    Tunaoanza NoFAP challenge leo tukutane hapa

    Rasmi leo naanza hii challenge, dua zenu wakuu. Wanaotaka kwenda pamoja nami tuungane hapa No sex, No masturbation, No porn. Here we go. Picha haihusiani na uzi
  14. Intelligent businessman

    Challenge kwa watu wenye nguvu na wasio waoga, mshindi kupata milioni 5

    Salaam wakuu, siku ya Jana nili pata wageni ambao ndio mara yao kwanza kuja bongo, na kwakuwa wame kuwa waki sikia story za ubabe, nguvu za vijana wengi wa kitanzania. Wame niomba niandae pambano ili waweza kuji onea kwa macho, nami naleta fursa hii ambapo mshindi ata jipatia milioni 5 Baada...
  15. Mshana Jr

    Math challenge

    Wajuzi na wanazi wa vikokotoo karibuni muoneshe umwamba wenu hapa.. Kila siku kutakuwa na challenge mpya anuwai
  16. D

    Ufahamu mchezo wa blue whale challenge ambapo mwisho mchezaji anapaswa kujiua

    Huyu binti anatwa Rina Palenkova na hii ni picha ya mwisho kuipandisha mtandaoni ikiambana na maneno Nyapoka. Nya inaaminisha Nyau ule mlio wa paka kwa Kijapani na Poka inamanisha kwaheri kwa Kirusi. Hii ilikuwa ni picha ya mwisho kabla ya kesho Rina kujirusha mbele ya train na kuuawa. Kifo...
  17. Mshana Jr

    Challenge ya picha: Ni picha gani unaitafuta bila mafanikio

    Niambie nikuwekee hapa chap! Zingatia maadili.. Zisizofaa sitapost
  18. Cameron Boyce

    Sexual Corruption in Elections: A Challenge That Can Be Overcome

    Sexual corruption remains a deeply entrenched challenge in many political systems, particularly during elections. This form of corruption not only hinders women from pursuing leadership roles but also perpetuates cycles of manipulation, coercion, and abuse. The challenge, however, is not...
Back
Top Bottom