chalamila

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Chalamila muogope Mungu: upandacho ndicho utakachovuna

    Matumizi ya madaraka bila kujali mazingira tunaanza kuyaona. Kumtia ndani mzee ambaye ni sawa na bibi yako kwa kibri tu ya kiutawala-hiyo ni laana. Chalamila upandacho ndicho utakachovuna. Muogope Mungu, maana hii ni kiburi ya madaraka itakayo kiathiri kizazi chako. UPDATE Msikilize...
  2. M

    Chalamila: Dar kwa sasa tunahamisha taka mitaani tunapeleka Pugu Kinyamwezi, tumeamua kuanza mpango wa kuchakata taka kuwa Umeme, Gesi au Oil

    Dar es Salaam kwa sasa tunahamisha takataka kutoka point A tunapeleka point B. Tunahamisha huku kwa watu tunapeleka Pugu Kinyamwezi. Kwa hiyo kwa lugha nyepesi ni kwamba huku unaweza ukakuta kusafi lakini Pugu Kinyamwezi kuchafu. Sasa tumekubaliana jambo gani? Kwamba kwa sasa tuingie kwenye...
  3. Chalamila: Dar ni Chafu, Tulijisahau, Rais hakutuonea

    https://www.youtube.com/watch?v=4-CwMyWk3wk Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amekiri kwamba Jiji hilo ni chafu, akisema Viongozi walijisahau kwa muda katika suala la usafi. Chalamila ameyasema hayo Septemba 17, 2026 mbele ya Waandishi wa Habari, akizungumzia hatua...
  4. M

    Chalamila: Kwa sasa vifaa vya usafi vinavyotumika ni vya kawaida, tumejipa miezi mitatu, wakandarasi watafute vifaa vya kisasa, usafi kufanyika Usiku

    Katika hili tunao wakandarasi, wakandarasi ambao wanafanya kazi ya uondoshaji wa takataka kwenye points mbalimbali. Lakini tunakiri pia kwamba teknolojia pia inayotumika ni teknolojia pia kawaida sana. Mifagio, unaweza ukafagia ama usifagie. Kwa hiyo teknolojia hii bado iko ndogo. Sasa...
  5. RC Chalamila; Kila nyumba Dar iwe na Dustbin

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Bw.Albert Chalamila, ameagiza kila nyumba kuwa na kifaa cha kuhifadhia taka (dustbin) angalau mbili kama sehemu ya juhudi za kuhakikisha Jiji la Dar es Salaam linakuwa safi na mazingira yanatunzwa. Akizungumza na wahariri wa vyombo vya habari leo Septemba 17...
  6. CHALAMILA ACHA kutafta kuongea wananchi! Umeambiwa kafute tenda za KUBEBA taka Kwa madiwani mji utakuwa safu

    Sijui mwenzetu hukumwelewa mkuu wako kuwa speed ya kuzoa taka Dar ni ndogo ndio maana amji unakuwa mchafu Ukaambiwa uifute tenda wasipewe madiwani wapewe kampuni zinazojiweza je UNATAKA KUMZUNGUKA mkuu wako? Unaanza drama za kuleta Hao JKT kukamata wanaotupa taka je au unataka wachafuke...
  7. Mkuu wa Mkoa Chalamila, usipoe, bajaji na bodaboda waondoke katikati ya jiji na major highways.

    Kupanda bajaji na Bodaboda ni roho mkononi. Waendeshaji wa vipando hivyo hawaheshimu sheria wala watumiaji wengine wa barabara. Matokeo yake ni kama hiyo bajaji, lori na daladala "wamemfanyizia" bajaji,
  8. Kwako Chalamila: Kuna stand ya malori imeanzishwa pembezoni mwa Magufuli Bus Terminal. This is madness

    Kuna CID mpya imeanzishwa alongside Morogoro Road, pembezoni kabisa ya Mbezi Daladala Stand na Magufuli Bus Terminal. Ni nani huyu mwenye mamlaka kiasi hiki kuja kuanzisha CID pembezoni kabisa mwa vituo vikuu au vitovu vya usafirishaji wa abiria!
  9. A

    Tamko la RC Chalamila kuhusu mabasi na stendi ya Magufuli laibua video za Shabiby, mdau ashauri kitu

    Tangu Jumatatu ya wiki hii, gumzo kubwa mitandaoni ni kauli ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila kuwataka wamiliki wa mabasi ya abiria yanayotoka Dar kwenda mikoani kuanzia safari zao Stendi Kuu ya Magufuli iliyopo Mbezi Louis wilayani Ubungo. Lakini pia, mabasi hayo yanapotoka...
  10. Dar haiwezi kuwa na bus stand Moja tu, Chalamila amewaza kupata Kodi sio huduma Bora Kwa abiria

    Uamzi wa Chalamila wa juhamishia mabasi yote Stand ya Magufuli ni wa Ovyo mno Kwa geografia na population ya Dar stand ya Magufuli ni ndogo mno na utazidiwa vibaya mno 1. Mtu atoke Vikundu akapande gari la Mtwara Mbezi Magufuli? Kwanini asipande gari Mbagala 2 Mtu anaenda Tanga, Moshi...
  11. Chalamila zitambue kero za Magufuli Terminal, kisha zitatue

    Kitu kinachokera na kufanya nisipende kutumia stendi za mabasi za umma kama Magufuli Terminal, ni mpangilio mbovu na vurugu. Serikali imetumia mabilioni ya pesa kujenga stendi zenye miundominu ya kisasa na muonekano wa kimataifa lakini siasa za kijinga zinafanya hizo stendi ziwe kama magulio ya...
  12. Mhe. Chalamila umelazimisha kugeuza ajenda ya msongamano wa magari barabarani, haujatusaidia waathirika wa malori yenu.

    Wakazi wa wilaya ya Temeke ni waathirika wakubwa wa msongamano unaosababishwa na malori ya bandari kavu zilizozagaa mitaani wilaya ya Temeke. Barabara za Temeke na Mbagala hazipitiki kutokana na malori ambayo unasita kuamuru yaende Kwala Kibaha, huu ni uhujumu uchumi. Serikali imejenga reli ya...
  13. D

    Rais wetu Samia, RC Chalamila kupitia zogo hil la stendi ni mzani wake wa mwisho kwamba huyu hatoshi kuwa RC DAR (Tumbua mama)

    Naomba kufikisha salaam kwa Rais Samia kuhusu Sakata la stendi ya magufuli! Wamiliki wa mabasi wametumia kila njia kuomba kuonana na mkuu wa mkoa ili yafanyike mazungumzo kabla ya zoezi lakini ilishindikana. Wananchi pamoja na wamiliki wa mabasi tumetoa maoni kupitia vyomba vya habari lakini...
  14. U

    Tunaomba Chalamila atusaidie na Dodoma , Bus zirudi 8 x 8

    Nimpongeze Kwa KAZI nzuri ya kurudisha mabasi Nane nane, Chalamila anafanya Jema litakalochochea uchumi, kitendo cha kuua stendi zote bubu Mtaani na shekilango ni cha kishujaa, mana zinachafua mji. Sasa Ajue KWAMBA mkuu wa Mkoa mwenzake Huku Dodoma I.e Dada Rosemary yeye Amelala Tu, Huku Makao...
  15. Chalamila usijione una akili kushangiliwa na vibaka, makuli na wapiga debe wa stendi ya Mbezi Magufuli

    Chalamila badala ya kwenda kuhutubia na kujitamba kwa abiria Ubungo, Shekilango na Kigamboni kwamba mshahara wake unamtosha ameenda kuhutubia kwa vibaka, makuli na wapiga debe wa stendi ya Mbezi Magufuli ambao sio walengwa wa usafirishaji. Kama Chalamila anafikiri ana akili sana aende Ubungo...
  16. Nakupongeza RC Chalamila kurudisha mabasi ya mkoani Mbezi Magufuli, bado hili la malori!

    1. Nianze hii sledi pendwa kwa kukupongeza RC Chalamila kwa hatua ya kurejesha mabasi ya mikoani katika eneo la Mbezi Magufuli. Ni hatua nzuri katika kupunguza msongamano na usumbufu kwa wakazi wa Dar es Salaam. 2. Sasa tuangalie tatizo jingine kubwa: malori na ICDs zilizo ndani ya jiji. 3...
  17. HAYA, mambo yanazidi kuwa vinyo vinyo, dhidi ya Chalamila, wamiliki wa Mabasi nao wamgomea

    Kupitia Kitenge TV, Nnkya, mmoja wa wamiliki wa ofisi hizo, amesema Mkuu wa Mkoa anakurupuka kutoa matamko kuhusu ofisi hizo, wakati yeye mwenyewe alikuwa Mkuu wa Mkoa kipindi ambacho ofisi hizo zilipokuwa zikijengwa. Amehoji, iweje leo anataka ziamishwe?
  18. Chalamila umeisikia KAULI " sisi tunaichukia Serikali"? Msaidie Rais kumjuza ukweli

    Akizungumza mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila hivi karibuni, Elias ametaja changamoto kadhaa zinazowasibu kwenye eneo hilo ikiwemo mrundikano wa mizigo mingi kupita uwezo, suala la rushwa na kukosekana kwa choo. Mzungumzaji ni Elias Jonas Mwang'ingo ni Dereva wa Lori...
  19. Yaliyomkuta Chalamila leo, ni matokeo ya VYOMBO kutokumueleza ukweli kila uchwao

    Sisi tukiongea kupitia jamii forum kwa kuwa hamtujui majina hata hamtuzingatii, Yaliyomkuta Leo charamila wakati akiongea na madereva wa maloli ni matokeo ya VYOMBO alivyonavyo chini yake kutumika kumlamba MATAKO nje kabisa ya msingi wa ajira za VYOMBO hivyo na hapa nikwambie tu, sio kwake peke...
  20. Chalamila Ondoa ICD Mjini kama wewe Mwanaume. Acha kuonea Madereva

    Dereva akimchana live Chalamila MY TAKE Chalamila kaagiza Malori yote yanayo egesha kando ya barabara yakamatwe. Lakini ICD zote zipo kando ya barabara na hazina Parking. Maseva 50 wanaweza kukutana wote kwenye ICD ili washshe au wapakie. Unategemea nini kitatokea. Mfano MOFAT saaa hivi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…