Wakazi tunaoishi maeneo ya jirani na misikiti tunakujulisha kwamba tunkabiliwa na changamoto ya kelele zinazotokana na shughuli mbalimbali za ibada(mara tano kwa siku), hali hii imekuwa ikiathiri kwa kiasi kikubwa maisha yetu ya kila siku, ikiwemo kupumzika, kufanya kazi, na kupata usingizi wa...
Nimemsikila Chalamila akifoka kuhusu makanisa anayodai yanaanzishwa kiholela tu bila utaratibu
Anasema eti haiwezekani mtu amelala tu akaoteshwa kuanzisha kanisa halafu anaamka anaanzisha kanisa! Mbona makanisa yote duniani yameanzishwa kwa mtindo huo?!
Nchi hii ina uhuru wa Imani mkuu wa...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amewataka wananchi wanaoshindwa kulipa ada za uzoaji taka kuhakikisha wanatimiza wajibu huo ili kuwezesha huduma za ukusanyaji taka kuendelea kutolewa kwa ufanisi.
Chalamila ameyasema hayo leo Novemba 14, 2026, wakati wa uzinduzi wa kampeni ya...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amevitaka vyombo vya ulinzi na usalama kutowavumilia wala kuwaonea haya madereva wanaendesha magari yasiyo na namba za usajili, akisema tabia hiyo ni sawa na ujambazi.
Akizungumza leo Novemba 14, 2026, kwenye Uzinduzi wa Usafi Dar es Salaam...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amewataka wakazi wa jiji hilo kuacha tabia ya kulalamika na kufanya kazi kwa bidii ili kuepuka hatari ya kushindwa maisha na kujikuta wakihamishwa pembezoni mwa mkoa huo. Ameyasema hayo leo Novemba 14, 2026, kwenye Uzinduzi wa Usafi Dar es Salaam...
"Hoteli zetu hazitoshi, Rotana, Hyatt, Serena na bahati mbaya sana kwenye hizi hoteli siku hizi hata matapeli wanaingia.
-
Tunataka tudhibiti mtu asiye na kazi asizurule kwenye hizo hoteli. Yaani huwezi kutoka huko ukanywe soda Rotana it's unfair. Mwisho wa siku unashangaa parking hakuna"...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila amewataka Wanafunzi wa vyuo waliokosa mikopo wafike Viwanja vya Posta Kijitonyama Novemba 14 ili kupata msaada kutoka bodi ya mikopo
Mkurugenzi wa bodi ya mikopo nchini pamoja na wadau wote watakuwepo kwa ajili ya kumsaidia mmoja mmoja kwa wale...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amewataka wananchi kutokuwa na hofu wanapoyaona magari ya vyombo vya ulinzi na usalama katika maeneo mbalimbali ya jiji, akieleza kuwa uwepo wake ni sehemu ya hatua za kuendelea kulinda amani, usalama na utulivu wa mkoa huo.
Chalamila amesema Dar...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amewataka wafanyabiashara ndogo maarufu kama Machinga kutumia fursa wanazopata kujiendeleza na kuachana na biashara ndogo, akisema lengo ni kuwawezesha kukua hadi kuwa wafanyabiashara wakubwa na walipakodi.
Akizungumza leo, Oktoba 7, 2026, wakati...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila ameagiza mzabuni aliyewauzia meza Machinga wa Manispaa ya Temeke kwa bei ya juu arudishe pesa alizozidisha, ameyasema hayo leo Oktoba 7, 2026.
Pia soma ~ DC wa Temeke na Mkurugenzi wanauza meza kwa wafanyabiashara wadogo bila Risiti wala Control...
Wakuu habari!
Kwa muda mrefu sasa hii nchi imekuwa na uholela wa kufanya biashara hasa kwa hawa wanaojiita wamachinga!
Kwa jiji la Dsm wamachinga wamejimilikisha maeneo yote ya barabara na kwengineko mamejenga mpaka mabanda juu ya mitaro!
Kwa wiki za karibuni RC wa Dsm amesikika kuanza...
Mkuu wa Mkoa wa Dar, Albert Chalamila amesema kiwa kama kutakuwa na dereva ambaye hamsikilizi yeye kama Mkuu wa mkoa ila anamsikiliza tajiri yake basi familia yake itamsahau.
Katika kutekeleza agizo la Rais Samia Suluhu Hassan la kufanya usafi, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, ametoa mwezi mmoja kwa wafanyabiashara wa eneo la Kariakoo kuondoa msongamano kwenye barabara zinazotakiwa kupitisha magari, sambamba na kusafisha mitaro iliyojaa majitaka...
Leo kwenye runinga chaneli E wamemuonesha mwathirika wa agizo la mkuu wa mkoa mhe. Chalamila la kukamatwa na kuwekwa mahabusu familia yote ya Mushi wa Madale, akihojiwa huyo bibi mwenye umri kama wa Maria Nyerere au Fatuma Karume(marehemu) alisema alipofika Dar baada ya safari ndefu kutoka Moshi...
Mjane wa Mkuu wa Mkoa wa kwanza wa Shinyanga, Mariam Mongi (86), ambaye ni mmoja wa wamiliki wa eneo lenye ukubwa wa ekari 10 lililopo Madale, Mtaa wa Scout, Wilaya ya Kinondoni, amesema alikamatwa na kuwekwa mahabusu kwa siku mbili kufuatia amri ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert...
Matumizi ya madaraka bila kujali mazingira tunaanza kuyaona.
Kumtia ndani mzee ambaye ni sawa na bibi yako kwa kibri tu ya kiutawala-hiyo ni laana.
Chalamila upandacho ndicho utakachovuna.
Muogope Mungu, maana hii ni kiburi ya madaraka itakayo kiathiri kizazi chako.
UPDATE
Msikilize...
Dar es Salaam kwa sasa tunahamisha takataka kutoka point A tunapeleka point B. Tunahamisha huku kwa watu tunapeleka Pugu Kinyamwezi. Kwa hiyo kwa lugha nyepesi ni kwamba huku unaweza ukakuta kusafi lakini Pugu Kinyamwezi kuchafu.
Sasa tumekubaliana jambo gani? Kwamba kwa sasa tuingie kwenye...
https://www.youtube.com/watch?v=4-CwMyWk3wk
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amekiri kwamba Jiji hilo ni chafu, akisema Viongozi walijisahau kwa muda katika suala la usafi.
Chalamila ameyasema hayo Septemba 17, 2026 mbele ya Waandishi wa Habari, akizungumzia hatua...
Katika hili tunao wakandarasi, wakandarasi ambao wanafanya kazi ya uondoshaji wa takataka kwenye points mbalimbali. Lakini tunakiri pia kwamba teknolojia pia inayotumika ni teknolojia pia kawaida sana. Mifagio, unaweza ukafagia ama usifagie. Kwa hiyo teknolojia hii bado iko ndogo. Sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.