Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amewataka wakazi wa jiji hilo kuacha tabia ya kulalamika na kufanya kazi kwa bidii ili kuepuka hatari ya kushindwa maisha na kujikuta wakihamishwa pembezoni mwa mkoa huo. Ameyasema hayo leo Novemba 14, 2026, kwenye Uzinduzi wa Usafi Dar es Salaam...