chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. TEUZI: Rais Samia Suluhu ateua Majaji wa Mahakama ya Rufani, Majaji wa Mahakama Kuu. DPP Mganga ateuliwa kuwa Jaji

    Rais Samia amefanya teuzi za Majaji wa Mahakama wa Rufani, Mahakama Kuu na Kumwongezea muda Jaji Mahakama ya Rufani.
  2. Matunda ya kinga kwa viongozi wetu yameanza kuonekana kupitia Spika wa Bunge

    Hakika sasa ni dhahiri watanzania wamejua kwanini hayati magufuli na viongozi wa Mihimili walijiwekea kinga ya kutoshtakiwa. Nilikuwa najiuliza kwanini wanajiwekea kinga wanataka kufanya kitu gani kibaya kwa watanzania? Sababu za kujiwekea kinga zimeanza kujulika kupitia spika wa bunge kukiuka...
  3. R

    NGUVU YA BAWACHA; Ushahidi kuwa CHADEMA imekita mizizi kila mahali nchini

    Kitendo cha akina mama wa Chama cha demokrasia na maendeleo kuwa katika mstari wa mbele kupigania haki na utawala bora unaozingatia sheria na kayiba za nchi kimefikirisha wasomi, wanasiasa na wataalam wa maswala ya siasa nchini. Tangu zamani inaaminika kuwa Ukimwelimisha mwanamke basi...
  4. L

    CHADEMA kila siku mnakosea target, Siasa zenu hazivutii tena

    Wabunge zaidi ya 80% wa CCM hawakupatikana kwa njia halali. Kwanini nguvu msiiweke kuwandoa hao wana ccm waliopatikana kwa mtutu. Hayo hamfatilii mnapambana na wabunge 19 tena waliokuwa makamanda wenu. Nani aijui kazi ya mdee, matiko na bulaya. Hivi na wewe Mwalimu (naibu Zanzibar) unataka...
  5. CHADEMA kuongea na Waandishi wa Habari Makao Makuu ya Chama

    Muhimu : Tufuate mwongozo wa WHO wa kudhibiti Corona .
  6. Polisi waogopa nguvu ya Umma, waruhusu Mkutano wa ndani wa CHADEMA

    Baada ya kelele za kuwakumbusha kuwa hatuko tena awamu ya tano, kwa aibu na fedheha kubwa kama kuku aliyenyeshewa mvua Polisi wamekubali mkutano wa ndani wa Chadema ufanyike. Fedheha nyingine Polisi mnazitaka wenyewe, sasa mmebadilisha kile mlichokua mnakiamini. Mkajua mko awamu ya kusifiwa na...
  7. Polisi wavamia CHADEMA Karatu ni muendelezo wa siasa zilizopitwa na wakati

  8. Tutegemee CHADEMA kuanza kutetea wamachinga?

    Baada ya jiji kuajiri wanamgambo wa kupiga wamachinga na Mama Ntilie ifikapo tarehe 18/5, angalau jiji la Dar litaanza kuonekana sasa maana moshi wa mamantilie wanaopikia kuni pembeni ya barabara ndo ulikua unaonekana. Yaani hata Nairobi au Kigali tu walikua wanaonekana wametuacha mbali kisa...
  9. J

    Mnyika: Ni miezi 5 sasa NEC hawajajibu barua yangu kuhusu walikopata majina ya Wabunge 19 na nani amesaini fomu zao

    Katibu mkuu wa Chadema J J Mnyika amesema ni miezi 5 imepita tangu amwandikie mkurugenzi wa uchaguzi NEC akitaka kujua ni nani alipeleka orodha ya majina ya akina Halima Mdee na wenzake na form zao zilisainiwa na nani pahala alipotakiwa kusaini Katibu mkuu. J J Mnyika anashangazwa sana na...
  10. GE2020 Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) yamtangaza Dkt. John Pombe Magufuli kuwa Rais Mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa awamu ya pili

    Tume ya Taifa ya Uchaguzi imemtangaza Dkt. John Magufuli, aliyekuwa mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM kuwa mshindi wa Uchaguzi uliofanyika Oktoba 28. Pia imemtangaza Mama Samia Suluhu Hassan kuwa Makamu wa Rais Mteule. Dkt. Magufuli ameshinda kwa kupata kura...
  11. Nini hofu ya Spika Ndugai kuchukua hatua dhidi ya Wabunge kina mama 19 wanaodaiwa kuwa ni wa CHADEMA?

    Hebu kila GT yeyote aitazame na kuisikiliza video clip hii ya Spika Ndugai Job mwanzo mwisho. Umeelewa na kujifunza nini baada ya kusikiliza? Kwanini unadhani Spika wa Bunge la JMT ndg Job Ndugai anapata wakati mgumu kuchukua maamuzi sahihi kwa hawa kina mama na badala yake anapiga siasa...
  12. J

    CHADEMA kumbe bado mpo Geita hadi Chato, hongereni sana

    Nimeona ofisi zenu na wanachama wa kutosha hapo Geita mjini, hongereni sana akina bwashee. Kadhalika nimeona mbwembwe zenu kule Chato mkiongozwa na mwanamama Husna, hongereni sana. Lindeni rasilimali mlizoachiwa na mwendazake Magufuli wakati serikali ikiendelea kutafakari ombi lenu la kupewa...
  13. J

    BAWACHA kutinga Bungeni tarehe 10/05/2021 kuwatimua Wabunge 19 waliopora nafasi za CHADEMA

    Bawacha wamepanga kwenda Bungeni Dodoma tarehe 10/05/2021 kudai nafasi zao 19 za Ubunge zinazokaliwa kwa mabavu na akina Halima Mdee na wenzake . Mwenyekiti wa Bawacha wilaya ya Chato bi Husna amesema maandamano yao jijini Dodoma kuelekea Bungeni hayatakuwa na kikomo hadi suluhisho lipatikane...
  14. Lissu ambana Mbowe: Aelezea Historia yake, adai hajawahi omba kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA, "Nimekijenga chama kwa jasho na nguvu zangu"

    Ningependa niweke wazi na Watanzania wakielewe, sijawahi kuomba kuwa mwenyekiti kwa mtu yeyote, mwaka 2004 nilikuwa Mwenyekiti baada ya wajumbe wa kamati kuu na wazee wa Chadema kunipendekeza kutokana na historia na commitment yangu ya chama. Nilianza harakati za kuijenga Chadema baada ya kuona...
  15. Kisutu: Kesi ya kuvunja gereza la Segerea inayowakabili viongozi wa CHADEMA yafutwa

    Taarifa zaidi zitawajia hivi punde ===== Hii ni baada ya Upande wa Mashitaka kushindwa kuleta mashahidi mbele ya Hakimu Huruma Shaidi kwa ajili ya usikilizaji wa kesi hiyo leo tarehe 5 May 2021 . Walioachiwa huru ni Watu 27 akiwemo Halima Mdee , ambaye ni Mbunge asiye na Chama chochote , wote...
  16. BAWACHA: Spika Ndugai kuita barua rasmi kipeperushi ni kiburi cha madaraka. Amekuwa Mtetezi wa wanawake kuanzia lini?

    Hotuba ya Susan Kiwanga, Mjumbe wa Kamati Kuu Tarehe 20 April 2021 Naibu Spika alitoa kauli Bungeni kwamba ofisi ya Spika haikuwa na taarifa rasmi ya CHADEMA kuhusiana na kuvuliwa uanachama kwa waliokuwa wanachama wake 19. Ibara ya 67 (1)(b)ambayo imeweka masharti na sifa za mtu kuteuliwa kuwa...
  17. J

    CCM ujana ni sifa ya ziada lakini CHADEMA ujana ni maisha yao. Sijajua UVCCM wanafeli wapi?

    Ni kawaida sana kumuona diwani, mbunge au Waziri wa CCM akitamba kwamba sasa kazi itafanyika kwa sababu yeye ni kijana. Na unaweza kukuta hata Kigwangalla au Shinza akijinasibu kwamba yeye ni kijana. Lakini Chadema vijana hawanaga hizo swaga wao utawatambua kwa matendo yao tu kuwa ni vijana na...
  18. B

    Gender stigmatization: CHADEMA kushinikiza kufukuzwa Wabunge Viti Maalum

    GENDER STIGMATIZATION: CHADEMA KUSHINIKIZA KUFUKUZWA WABUNGE VITI MAALUM CHADEMA leo Mei 4, 2021 wanatarajia kuzungumza na vyombo vya habari kwa lengo la kumjibu Spika Job Ndugai ambaye jana amepinga ombi la CHADEMA linalomtaka awavue Ubunge wanawake 19 wanaokiwakilisha chama hicho kama wabunge...
  19. J

    Hoja ya Spika Ndugai: Nitawafukuzaje wabunge ambao Rufaa zao hazijasikilizwa na Baraza kuu kwa mujibu wa Katiba ya CHADEMA?

    Spika wa bunge mh Job Ndugai hana tatizo na wabunge wa viti maalumu wa Chadema akina Halima Mdee na wenzake bali anachotaka ni utaratibu wa natural justice kufuatwa. Kwa mujibu wa katiba ya Chadema Baraza kuu ndio lenye maamuzi ya mwisho ya kumvua mtu uanachama endapo hajaridhika na utaratibu...
  20. M

    Video: Huyu ndiye Lazaro Samwel Nyalandu

    Naupenda Urais... Nampenda Lissu... ' Naipenda Chadema... Hapa nimefika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…