chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. Zitto: Nimepima, nimekutwa na maambukizi ya UVIKO. Naendelea vema

    Jana nimepima nikakukutwa na virusi vya Korona (COVID 19). Sina maumivu yoyote mpaka sasa zaidi ya mafua tu lakini nimekutwa positive. Chanjo imesaidia kutopata madhara makubwa. Nimekaa eneo tengwa (isolation) ili kutoambukiza wengine mpaka hapo nitakapopima tena. Nawaomba muendelee kuchukua...
  2. Mbowe Ata mwaka jela hajamaliza CHADEMA inamaana hajui gharama za Democrasia. Ajifunze kuvumilia Kama Mugabe, Mandela au Mosood Abiora.

    Kupata Democrasia kamili lazma watu wapitie katika suluba na Motto. Zitoke damu au Jasho la damu mateso na vurugu za kila Aina. Mbowe avumilie mateso yote. Kama anafanya yote kwa wema Mungu atakuwa upande wake. Atampa tuzo kupitia mateso anayopata Kama lengo lake NI Democrasia ya kweli na sio...
  3. Watanzania wamezoea unafiki na siasa za ki malaya malaya, sio ajabu wanawashangaa CHADEMA

    Watu wengi, wakiwamo wanasiasa na wasomi, wamewajia juu CDM baada ya chama hicho kumshukia kama mwewe Zitto Kabwe baada ya yeye kumwombea msamaha Mwenyekiti wao kwa rais kwamba afutiwe kesi. Hili kinadhihirisha kiwango cha juu cha unafiki na umalaya malaya wa kisiasa wa watanzania, wengi...
  4. 'Ncha ya Ulimi wa Rais Samia' : CHADEMA hawataki, wataweza 'ncha ya upanga'?

    Soo jana, Rais Samia Suluhu alisema kwamba zamani muafaka katika siasa ulikuwa unafikiwa kwa kutumia ncha ya upanga lakni hivi sasa muafaka unatumiwa kwa ncha ya ULIMI. Alichokuwa anamaanisha ni kwamba zamani watu walitumia vitisho, mapigano na vita kupata walichokitaka, lakini hivi sasa watu...
  5. L

    Zito mbona hujiamini, acha kuwa mpole sana kwa Lisu na chadema

    Chadema na Lisu mnatakiwa mheshimu mawazo ya vyama vingine. Leo mmeshambulia sana Zito licha ya Zito kuwa mpole lakini hamna adabu. Zito acha kuwa mpole sana kwa hawa watu. ebu sikia hapaona jinsi lisu anavyomtusi Zito. Siyo fair kabsa Lisu kampiga zito spanna lisu kulikuwa kuna haja ya...
  6. B

    Mkutano wa wadau wa Siasa: Sababu za Chadema Kukerwa

    Ya msingi ni taslimu kama yalivyo elezwa kwa ufupi hapa: Kwa majibu haya ya Mh. Zitto. Tunapiga hatua: Kuvunjika kwa kile si mwisho wa uhunzi. Kwa hakika maslahi ya taifa ni muhimu zaidi kuliko maslahi binafsi. Tutafika tu.
  7. CHADEMA walishamua kuwa hawataki umoja na mshikamano wa kitaifa, hakuna haja ya kuwalazimisha.

    Waliahaonyesha wazi kuwa wao wana ubabe na hawataki kubembeleza mtu. Wana imani kuwa wana nguvu ya umma itawapa backup na walishaonyesha mapema. Wanataka tume huru na katiba mpya kwa ngivu kupitia nguvu ya umma. Hata wakikaribishwa ili kujumuika na wanasiasa wenzao ili kuonyesha mshikamano...
  8. R

    Kumbe Chadema ndiyo ililengwa kufanikisha Agenda za leo?? kimekuwa gumzo kuliko umuhimu wa waliohudhuria na walochokizungumza!

    Ni kama vile chadema ndio alikuwa mlengwa wa kikao cha leo kinachodaiwa kuwa mkutano wa wadau wa siasa na msajili wa vyama vya siasa. Kimantiki ni kuwa kama mtu hana umuhimu ktk mkutano au jambo fulani ni kumpotezea tu maana uwepo wake au ukosefu wake haubadilishi lengo la jambo au mkutano huo...
  9. Polepole: Bulembo si tu ni mhuni bali pia ni tapeli

    Kupitia ukurasa wake wa Twitter Polepole ameandika hayo huku akidai hana hata huo muda wa kufanya mdahalo na na tapeli. "...vilevile aliifilisi Jumuiya yetu moja ndani ya CCM."Ameandika Polepole.
  10. NCCR-Mageuzi na CHADEMA matokeo ya kuzira yanawadhoofisha

    Eti wamezira ,sababu kubwa walitaka waende peke yao au walitaka yule wanaemuona adui yao yeye asiwepo(ccm)au walitaka afungwe mikono na miguu ndio waende,au wapewe upendeleo wakupigiwa magoti ndio waende,au kwasababu mbowe yupo segerea,,yalaaa,,wakati mwingine walihisi kwamba ni mkutano wa rais...
  11. Chadema, P'se, Msisusie Mkutano wa Vyama, Wasilisheni Hoja Zenu Mezani, Zitamfikia Samia, Ana Nia Njema na Nchi Hii, Mpeni Ushirikiano!.

    Wanabodi, Hili mada ya ushauri wa bure kwa Chadema, nimesoma humu kuwa wamesusia mkutano wa kesho wa vyama vya siasa kule Dodoma kwa hoja mpaka kesi inayomkabili Mwenyekiti wao ifutwe. Nawashauri ndugu zangu Chadema, wasisuse unless wana uhakika, kwa kususa kwao, kuna something tangible, they...
  12. Chadema, ya sasa ni chama cha siasa au kikundi cha Wanaharakati wa mchongo

    Wanaukumbi. CHADEMA hakina Sera ya chama madhubuti, kila mtu ni msemaji. Vijana wa CHADEMA kumtukana kila mtu anaejaribu kutoa maoni tofauti na chama chao, bila kujua mpiga kura huwa anabadilika kulingana na Sera za wakati uliopo. CHADEMA wameshindwa kuendesha chama kama taasisi ya umma, kwa...
  13. Kwa ratiba hii, CHADEMA wako sahihi kutokushiriki

    Tuwekeni ushabiki kando, kinachotangazwa na kupigiwa upatu kama kikao Cha wadau wa siasa hakina Ajenda ya majadiliano hata Moja. Yaani mnafika, wanakaribishana Hadi saa Tano, Chief Hang'her anaongea kama mgeni rasmi. Saa sita wanapiga picha, "kikao" kimeisha picha zimepigwa. Imetoka hio. Kwa...
  14. K

    Kumuenzi Maalim, CHADEMA inakwenda kuwa na nguvu Zanzibar kuliko ACT, Zitto amepotea

    Wazanzibar Wana msimamo, Maalim alitambua msimamo wa Wazanzibar akasimama nao. Wakaua Cuf lakini Maalim alibaki kuwa Imara. Amendoka Maalim amewaacha Wazanzibar wakiwa na chama kisicho na msimamo. Madhara yake Wazanzibar awabadiliki kimsimamo hivyo chama hakiwezi kuwa zaidi Yao. Kukosa Imani na...
  15. Mambo kumi yanayoimaliza CHADEMA

    CHADEMA ninayoijua Mimi sio hii iliyopo Sasa,naweza kusema bila ya Shaka yoyote kuwa chadema ya Sasa ni waoga Sana,Chadema ingekuwa inajipanga kimkakati Leo ccm ingekuwa haipo madarakani,,nakupa Mambo kumi yanayoiua chadema Kila mwaka,. (1) Hawaandai vijana watakaokuwa nguzo ya chama baadae...
  16. Mawakili wa Chadema wajitoe tu kwenye kesi ya Mbowe!

    Mimi kama raia wa kawaida nisiye na chama chochote hapa Tz, napenda kuwashauri mawakili wa chama cha Chadema ambao wanamtetea Freeman Mbowe kwenye kesi ya ugaidi wajitoe mapema tu. Nimefuatilia sana hii kesi ya mbowe mwanzo mwisho nimegundua vitu vingi sana ikiwemo ukiukwaji wa mambo mengi sana...
  17. K

    Polepole kuandaliwa kuwa mgombea urais CHADEMA?

    Kama kawaida muda unakwenda kasi sana imekua kama muujiza Humphrey Polepole kuanza kuparuana makucha na MICCM mienzake chanzo halisi kikiwa hakieleweki Naiona harufu ya CCM kumtumia huyu bwana kama mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA 2025
  18. B

    Kuelekea Mkutano wa Vyama vya Siasa Kitaeleweka tu

    Kuelekea ule mkutano wa vyama vya siasa: 1. Chadema hawa hapa: 2. NCCR nao hawa hapa: Hadi siku ya siku mbona kitaeleweka tu? ZZK na bwana Nondo namna gani pale?
  19. M

    CHADEMA inademka na kila mdundo unaopigwa

    Ili kuweza kukitoa chama tawala madarakani, ni wazi kuwa panahitaji chama ambacho kitakuwa mbadala wake, chenye nguvu kama au walau kukaribia nguvu chama tawala. Hali inapokuwa kinyume na hapo, ni wazi kwamba itakuwa vigumu sana kukitoa chama tawala madarakani kwa sababu hilo linawakatisha...
  20. CHADEMA mtandao huu sio wakati wa kupambana na Polepole

    Kinacho nishangaza Ni kuona wanaharakati kuungana na wanaoitwa wahuni kumshambulia Polepole! Wamesahau kwenye siasa au harakati hua hakuna adui wa kudumu. Hata adui Alie kupiga jiwe Jana akitoka Leo na hoja yenye manufaa kufikia malengo yako anamuunga mkono faster ilimradi unajua amekusaidia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…