chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. CHADEMA yatangaza maandamano kudai Umeme, Maji Dar

    Kufuatia kuwapo kwa mgawo wa maji na umeme katika Jimbo la Kibamba jijini Dar es Salaam, Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimeandaa maandamano ya amani kwenda ofisi hizo ili kujua kiini cha tatizo. Maandamano hayo yaliyopangwa kufanyika Jumatatu Novemba 28, 2022 na Jumanne...
  2. Sio kawaida ya Mbowe, CHADEMA tupeni Ukweli

    Huyu mwamba Yuko wapi? Ikulu haendi tena. Ndege imeanguka mwamba Yuko kimya, sio kawaida yake. Mama katoa kauli tata Arusha, mwamba katulia tu. Katiba inasusua mwamba katulia. Hamna maandamano. Hii sio kawaida ya mwamba kukaa underground muda mrefu kiasi hiki. Kama anaumwa tupeni taarifa ndg...
  3. Chaguzi za CCM inatajwa CHADEMA

    CHADEMA wapo bize na mambo yao, lakini kwenye chaguzi za CCM zinazoendelea hivi sasa, wagombea lukuki wa CCM wanapoomba kuchaguliwa, hoja yao kubwa ni kuonesha kwamba wao wana uwezo wa kupambana na CHADEMA kuliko wagombea wenzao. Nyie si huwa mnajifanya wazee wa sera. Kwa nini kwenye chaguzi...
  4. CHADEMA naombeni mulichukue hili suala la urasimu kwenye uhamiaji na Passport

    Wakati wa ukomunisti, nchi za kikomunisti zilibana sana mipaka yake ili watu wasitoke. Ndiyo moja ya sababu ya ukuta wa Berlin. Ndiyo sababu hadi leo kutoka Korea kaskazini ni ngumu mno na hatari. Tanzania nayo kupindi cha ujamaa wetu ilikuwa hivyo. Leo hii dunia ni kijiji, watu wanasambaa...
  5. Wakati CCM wanatengeneza safu ngumu ya uongozi, Wengine wanaendelea kufanya mikutano na Wanaharakati Twitter. 2025 watarudi kusema wameibiwa kura

    Mtaji wa chama chochote kinacho taka kushika dola ni Imani ya Wananchi juu ya chama hicho inayojengwa na uwepo wa viongozi bora na wenye utashi. Chama cha Mapinduzi kwa namna kinavyoendesha siasa zake kwa sasa bila shaka wana nia ya dhati kuendelea kushika dola na hili linathibitishwakwa na...
  6. Bashiru anafaa kuwa mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA. Ufipa changamkeni

    Hatimaye fursa imekuja mlangoni kabisa mwa makazi ya Ufipa. Huyu katibu mkuu wa zamani atawafaa sana Ufipa kuwa mgombea wao wa urais endapo atajitoa au kufukuzwa CCM kufuatia hili sakata lake linaloendelea. Mimi kama mtu ninayependa kuona upinzani unastawi basi ninawasihi ndugu zangu kwa kipindi...
  7. CHADEMA, Dkt. Bashiru anafanya kazi yenu lakini mlivyo mazuzu hata hamuoni!

    Moja, wakulima ni kundi kubwa sana. Yeyote anayeeleweka kwa wakulima anakuwa amejiweka kwenye nafasi nzuri sana kisiasa. Mbili, kazi ya kusemea kero za wananchi si ya wakati wa kampeni tu. Ni kazi endelevu ya siku zote. Lakini imekuwa uchaguzi unapoisha tu, CDM wanasahau kero za wananchi. Kwa...
  8. Taifa linapokuwa na chama cha upinzani kama CHADEMa ni wastage of money and resources. Wastage at full capacity.

    Wanahadaa umma kuwa wao ni strongest opposition party. Wanachangisha michango ya kila namna. Kidigital na ya kimanual. Wanakula mapato ya wananchi. Taifa lipo na matatizo lukuki. Wanaamua kulamba asali. Hawafai kabisa maana sio watetezi wa taifa letu. Haya lambeni asali sasa.
  9. Jaji Warioba ni sehemu ya kikundi cha chokochoko dhidi ya Rais Samia, wakati anavamiwa na Makonda, alikuwa na Polepole, rafiki ya Bashiru

    Polepole na Bashiru ni kundi la yule aliyekata moto, na halikumtaka SSH achukue uongozi. Polepole katika kumhami kaka yake, kamitumia Warioba aliyekuwa naye Tume ya Katiba ili atoe kauli ya kumlinda. Mzee naye akishaonyeshwa mpunga, huwa anaropoka haraka sana. Polepole alikuwa na Warioba...
  10. UTV wamehoji Rubani mmoja ametoa picha tofauti kabisa na kudai hakuna muongoza ndege zaidi ya kutegemea yule wa Mwanza.CCM hawana nia njema na raia

    Hii nchi kuna sehemu tulimkosea sana Mungu au Mungu anatuonyesha mwanga lakini watanzania tumelala? Ni njema kwa Mungu ni lazima tuelewe, CCM wamechoka JAMANI. Nitaeleza mambo mawili,moja hii la ndege na la mwisho wastaafu wa TZR na URAFIKI. Inawezekanaje tusimalize hili jambo na kujipanga kwa...
  11. L

    Uchaguzi Wa Viongozi Wa CCM Wateka Anga la Siasa za Tanzania, CHADEMA yashikwa Mateka

    Ndugu zangu CCM imeonesha umwamba wake wa siasa za hapa Tanzania,imeonesha kuwa ndio chama kikubwa na chenye ushawishi hapa Tanzania, imeonesha namna CCM ilivyo na nguvu hapa nchini, Imeonesha misuli yake ya kisiasa, imeonesha namna kinavyokubalika na kupendwa na watanzania,imeonesha namna...
  12. CHADEMA walimtukana sana Jakaya kikaja chuma kikawafunga midomo na miguu wakasema bora Jakaya. Siku zinakuja tena sio nyingi watamkumbuka Samia

    Hawa watu wakati wa JK. Tulisikia kila aina ya matusi bahati baba wawatu alikuwa mpole sana, hata wakitukana anawaita ikulu wanakunywa chai wanaondoka.w Wlikuwa wanaitisha maandamano wanavyotaka.bado wakasema Jakaya ni mbaya sana. Akawaletea chuma kikalala nao mbele hakuna kufurukuta, wala...
  13. Chama cha kisiasa kimebaki kimoja tu kwa sasa. Tuambiane ukweli bila woga

    Tufikie hatua tuseme ukweli. CCM ndo chama pekee kimebaki ambacho kina mfumo unaoeleweka. Hivi vingine ni vya wapiga deal tu na ndo maana hawaaminiani hata wenyewe kwa wenyewe. Angalia Chadema na Mbowe ni miaka mingapi wapo naye? Wanaamini bila yeye Chama kitakufa. Ndo maana wanakwambia hakuna...
  14. Kwanini kuwa na double standard? CHADEMA amkeni na acheni upoyoyo

    Video hapo juu ni mapokezi (maandamo) ya Zitto huko Tunduru na Polisi kabla ya hapo wali-fake kumzuia Zitto na baada ya simu moja ya maelekezo kusanyiko lile liliendelea na habari zake kama mnavyoona. Hoja hapa ni kwanini jambo fanani na hilo likifanywa na Chadema huzuiliwa tena kwa nguvu ya...
  15. Kuanzia 2023-2025 CHADEMA itampa wakati mgumu sana Rais Samia

    Nilipata kusema humu kwamba kwa namna Samia asivyo na nia ya dhati kwa aliyokuwa akikubaliana na Mbowe litakuwa ni suala la wakati tu wawili hao kutofautiana tena. Baadhi yetu kwa siku za hivi karibuni tumekiona CHADEMA kama kimefifishwa kwa maneno matamu ya Samia na CCM yake lakini ukweli...
  16. CHADEMA kuanza Mikutano ya Hadhara Desemba 2022

    Msimamo huo umetangazwa Wilayani Sengerema na Mjumbe wa Kamati Kuu, John Heche kwa maelezo kuwa suala hilo ni Haki yao Kikatiba. Heche amesema “Ndani ya mwezi mmoja ujao tutatangaza ratiba na kuanza mikutano ya hadhara, mwaka 2022 hautaisha bila CHADEMA kufanya mikutano ya hadhara ambayo ni...
  17. Mwanza: Heche achangisha Tsh. Milioni 2.3 kujenga ofisi ya CHADEMA

    Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, John Heche ameahidi kuchangia shilingi milioni 2.3 kusaidia ujenzi wa ofisi ya chama hicho Wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza. Heche ametoa ahadi hiyo mjini Sengerema leo Jumatatu Novemba 14, baada ya kupokea taarifa ya Katibu wa Chadema jimbo la Sengerema...
  18. CHADEMA kuna la kujifunza hapa. Hapi anapiga kilimo cha ukweli sio kilimo cha selfie. Vijana wa CCM wapo makini, wamefundwa

    Maana wanatambua kuwa uongozi ni dhamana na hiyo dhamana ikiondoka basi unatakiwa uwe makini Hiki sio kilimo cha selfie
  19. Vigogo wa Chadema waingia Tarime, Mikutano kadhaa kufanyika

    Novemba imeingia, sasa usije kusema hatukukuambia. Hii hapa ni Taarifa tunayoisambaza kwa Wapenda Demokrasia Duniani kote, kwamba Wazito wa Chadema waishaingia Kanda Maalum kwa lengo la kuwasha moto wa Demokrasia . Mwl Nyerere aliwahi kunukuliwa huko nyuma akitangaza kwamba CHAMA CHA SIASA NI...
  20. Kesi ya kina Mdee dhidi ya CHADEMA kuhusu kuvuliwa uanachama haina tija ni ubadhilifu mwingine

    Hili suala la mamlaka nchini kuonekana kutumia nguvu isiyokua ya kawaida kuidhibiti chadema isiweze kuwavua wanachama wake uanachama linastaajabisha wengi. Tumeona na kuzoea kuona chama cha mapinduzi kuweza kumng'oa kirahisi mbunge wake anayeenda kinyume na chama bungeni kwa kumfuta uanachama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…