chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. TANZIA Silvester Masinde, Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya CHADEMA afariki Dunia

    Taarifa iliyosambazwa na Chama hicho imeeleza kwamba Mzee Masinde ambaye pia alikuwa miongoni mwa Waasisi wa Chama hicho amefariki Dunia. Haikutajwa sababu ya kifo chake wala mahali alipofia. Silvester Masinde alikuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Chadema. Apumzike kwa Amani .
  2. CHADEMA na Godbless Lema jibuni kuhusu hili

    Lema Toa Elimu Badala ya kutukana! Ndugu Godbless Lema ambae ni Muishiwa Mbunge wa Arusha zamani. (sio mheshimiwa) maana hana huo ubunge kwa sasa. Anaendelea kuzunguka nchini akitukana makundi mbalimbali ya kijamii hususan Bodaboda kama kawaida yake. Na sasa ameirudia tena kauli yake safari hii...
  3. Joseph Selasini: CHADEMA ilipanga kuua vyama vingine kupitia UKAWA. Hatuwezi kurudia tena makosa ya kuungana nao

    "Muungano ule (UKAWA-2015) ulilenga kuviua vyama vingine na Chadema ndio ilikuwa namba moja kuvimaliza vyama vingine, NCCR Mageuzi haitarudia makosa yale" Joseph Selasini, Makamu M/kiti NCCR Mageuzi. Chanzo: Jambo TV
  4. Jedwali hili linaeleza kinachoitwa maridhiano yanayoimbwa na Mbowe na CHADEMA yake

  5. Ni nani analazimishwa kwenda kwenye mikutano ya CHADEMA?

    Naona kimeibuka kikundi cha watu wanaolalamika kuwa mikutano ya CHADEMA inawapotezea watu muda wa kufanya kazi. Wapo wengine wanasema hiyo mikutano haina tija na ni upotevu wa hela za wananchi. Lakini kuna mtu analazimishwa kwenda kwenye mikutano ya CHADEMA bila ya hiyari yake?
  6. Peter Msigwa awaasa watanzania kuenzi mazuri ya Hayati John Pombe Magufuli

    "Pamoja na mapungufu ya Hayati Magufuli lakini kuna mazuri pia tulipaswa kuyaendeleza mfano nidhamu kazini, uoga kwa mali ya umma na kuheshimu wananchi" Mchungaji Peter Msigwa Mwenyekiti wa Chadema kanda ya Nyasa Chanzo: Jambo TV
  7. J

    Selasini asema CHADEMA iliviua vyama vingine 2015, Zitto asema ACT Wazalendo haifanyi siasa za kuachiana Majimbo

    Baada ya Mwenyekiti wa CHADEMA Mbowe kusema chama chake hakihitaji ushirikiano au muungano na vyama vingine vya upinzani baadhi ya viongozi wa upinzani wamemshukia kama mwewe. Selasini wa NCCR mageuzi amesema 2015 CHADEMA kupitia UKAWA ulikuwa na mkakati wa kuviuwa vyama vingine vya upinzani na...
  8. Nyamagana: CHADEMA kufanya Mkutano wa Hadhara leo tarehe 13/03/202, Lema atakuwepo

    Taarifa Ikufikie popote ulipo kwamba, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), leo tarehe 13/03/2023 kitafanya Mkutano Mkubwa wa hadharara kwenye Jimbo la Nyamagana. Mkutano huo utafanyika kwenye Viwanja vya Ngongozi, Kata ya Milongo, kuanzia saa 6 kamili mchana , kwa saa za Tanzania. Wote...
  9. CHADEMA oneni aibu basi kwa huu uwanja wa makoa makuu ya chama

  10. Inasikitisha sana. Chadema tumekuwa watumwa wa CCM wanatugeuza wanavyotaka

    Hii ni aibu
  11. D

    Kama siyo kukihujumu chama kimaridhiano, nitakuwa wa mwisho kuamini Lema na CHADEMA wana ajenda ya kuifuta Bodaboda

    Sikutaka kuchambua hili, sikutaka kuchambua kwasababu namheshimu sana Godbless lema! Nikiongozi mzuri na amekuwa na maono mengi mazuri! Pamoja na yote hayo! Namna Lema alivyoanzisha kampeni ya kupinga bodaboda na vikoba kakengehuka kidogo! Anayo nia njema kabisa kiufupi ingekuwa ni wimbo basi...
  12. Kwanini kila aliyejaribu kuhujumu CHADEMA anakufa kimwili au kisiasa ?

    Kwanini kila aliyejaribu kuhujumu CHADEMA anakufa kimwili au kisiasa ? ------------------ Nimechunguza kidogo kuhusu jambo hili na kiukweli nimethibitisha . Wale wote waliojaribu kuhujumu Chadema Kwa sababu ya Madaraka , fitna , usaliti , uchawi au kwa lolote lile wengi wamekufa na kuzikwa ...
  13. Abdul Kambaya na wanachama kadhaa kutoka CUF wajiunga CHADEMA na kupokelewa na Freeman Mbowe

    Taarifa iliyosambazwa na Chama hicho , inaeleza kwamba leo Tarehe 11/3/2023 , Kutafanyika hafla fupi ya kupokea wanachama wapya . Shughuli hiyo ya dharula itafanyika kwenye Ukumbi wa Garden , Makumbusho , DSM na baadaye Wanachama hao wapya watapokelewa na Mwenyekiti wa Chama hicho kwenye Makao...
  14. Faida gani Taifa lilipata kwa kuwakandamiza CHADEMA?

    Kuna watu wanaonesha kama vile maridhiano kati ya CHADEMA na CCM yaliyoasisiwa na Freeman Mbowe, na Samia Suluhu Hassan, ni upendeleo kwa CHADEMA na CHADEMA ni lazima washukuru kwa kuonewa huruma na Samia. Hivi Taifa la Tanzania lilipata faida gani pale CHADEMA ilipokuwa inakandamizwa isifanye...
  15. Huyu Mbunge wa CHADEMA niliyemuingiza Bungeni mwisho akajiona Mjanja Fahamu 2025 sio mbali

    It was 2015 katika uchaguzi Mkuu by that time nilikuwa chuo nilirudi nyumbani kwetu mkoa wa kagera Jimbo X Niliweka Nia ya kugombea ubunge Sasa Katika ya safari Viongozi wa CHADEMA waliniomba nimwachie Jimbo ili Mimi nigombee 2020 na kweli nilimuachia. Mimi Kama master planner wa siasa...
  16. Kwa jinsi wanawake wa CHADEMA walivyokuwa wakimshangilia Samia, naamini chuki ni za kupandikizwa, na hazijafanikiwa

    Kwa shangwe kubwa la wanawake wa Chadema, ni wazi kwamba wananchi wengi Wana Imani na SSH na CCM. Chuki nyingi za viongozi wa upinzani, hazijafanikiwa kukubalika na wananchi. Wananchi wakimuona kiongozi wao roho zao zinajaa furaha. Sisi kama nchi, tuko sawa, ni kuweka mkakati wa kushughulikia...
  17. Uchaguzi 2025 rais Samia hana mpinzani. Je, Chadema hii inafaa kuww na wabunge hata wa huruma?

    Chadema inahitaji huruma kutoka kwa wananchi. Je, inastahili kuhurumiwa? Kuhurumiwa na wanachi ili ipate wabunge na wao wapate pesa za kula na kujikimu. Ila sio kutatua kero za wananchi. Chadema wamekubali kuwa rais Samia anastahili na anafaa kuwa rais. Sasa wanataka nini zaidi ya huruma ya...
  18. J

    Waliodai vyama vya upinzani kushirikiana na Magufuli ni uzalendo, wakati wa Magufuli, sasa wanalalamika Chadema haikosoi Serikali

    Wale wafuasi wa Magufuli leo hii wanalalamika kwamba Chadema haikosoi tena Serikali, imenunuliwa Lakini watu hawa hawa ndio waliokuwa wakisoma vyama vya upinzani havina umuhimu, inabidi viuawe kwa nguvu kwa kutumia mbinu za kuteka kufunga na kuua viongozi wake Hawa watu wana matatizo ya akili?
  19. K

    Daniel Chongolo: Hotuba za viongozi wa CHADEMA hazina tija kwa wananchi

    Katibu mkuu wa CCM bwana Chongolo amesema anateswa na hotuba za viongozi wa Chadema kwenye majukwaa kwani hazina tija yoyote kwa wananchi. Bwana Chongolo amesema ukiwasikiliza viongozi wa Chadema kwenye hotuba zao kuanzia mwanzo mpaka mwisho hawataji mahitaji muhimu kwa wananchi kama hospital...
  20. J

    Mbowe: CHADEMA tutaishi bila uchawa tutasema kweli Daima, tutanyoosha hatutaki Unafiki!

    Kauli nzito sana hii Mwenyekiti wa CHADEMA Mh Mbowe amesema Katika kumsaidia Rais Samia wao hawatakuwa Chawa Mbowe amesema wao Watasema kweli Daima, Watanyoosha na hawatakuwa Wanafiki Source: Jambo TV Siasa Bila Unafiki, Ngoja tuone!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…