chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. Hivi hakuna uwezekano CCM ikaungana na CHADEMA kuelekea uchaguzi 2025 ?

    Naona CCM inatumia nguvu nyingi sana kusajili wanasiasa wazuri kutoka CHADEMA . Ni wazi CHADEMA kuna vichwa , Nadhani ni vyema 2025 waangane tupate viongozi wazuri . Muwe na siku njema
  2. Freeman Mbowe: Kwenye mahoteli yetu wameajiriwa Wakenya

    "Mna tabia ya kufikiri Wakenya wana akili sana, Wakenya hawana akili yoyote ya maana kuliko Watanzania ila tofauti yao na sisi wale walifundishwa Kiingereza tangu chekechea kwahiyo ukienda kwenye mabenki yetu, mahoteli ya mbuga za wanyama huko wameajiri Wakenya kwa sababu waliandaliwa kushindana...
  3. Dar: Anayedaiwa kutekwa naye asakwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za utekaji

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam kwa kushirikiana na mamlaka zingine za kisheria tunaendelea kufuatilia kwa karibu matukio ya ubakaji na kulawiti kwa watoto wadogo ambapo tangu mwezi Machi mpaka Julai Jeshi la Polisi limepokea taarifa nne kutoka kwa wazazi wa Mbagala na Temeke...
  4. R

    PreGE2025 CHADEMA mnashindwa kuwa na Tv, radio kweli?

    Chadema mnakwama wapi? Naangalia Channel Ten, ni habari za CCM tu! Tunakumbushana tu! Jamani publicity ni muhimu sana katika propaganda za Siasa. Piga ua chadema mnahitaji TV na Radio. Erythrocyte , rafiki tunakwama wapi? Pia Soma - CHADEMA anzisheni kituo cha television kabla ya uchaguzi...
  5. PreGE2025 Sheikh Ally Kadogoo: CHADEMA siyo chama cha kikristo wala kiislaamu, CHADEMA ni chama cha kisiasa

    "Uadui wa Uislamu na Chadema unatokea wapi? na watu bila kuangalia na kufikiria chochote wanaipokea propaganda hii. Chadema siyo chama cha kikristo wala kiislaamu, Chadema ni chama cha kisiasa." Shekh Ally Kadogoo
  6. Kwani uimara wa CHADEMA upo wapi?

    watu wanatambua kuwa kuna vitu muhimu hua vinapimwa ili kuonesha uimara wa taasisi na vitu hivyo ni kama Katiba Structure ya uongozi Sera Imani na kiongozi bora Ili chama kiweze kuishi muda mrefu na kutimiza lengo kinahitaji mambo yote 5, hasahasa chama kikiwa ni kinajitafuta. CHADEMA naona...
  7. KWENU CHADEMA; Yule Mwenyekiti wa Wafanyabiashara pale SIMU2000 anafaa kuwa M/KITI badala ya Pambalu

    Wakuu kwema!??? Ndani ya week hii kumeibuka jambo moja la kupigiwa mfano na Watanzania wote wanaopenda mabadiliko. Kuna kijana Machachari sana anaitwa anaitwa Mussa Ndile(Kama sijakosea) nimepitia background yake jamaa ana profile kubwa kidogo sio kitoto ,yeye ndie master mind wa ule mgomo...
  8. PreGE2025 Kesi ya mwanachama wa CCM na CHADEMA ni vitu viwili tofauti, huyo mwingine lazima tuhangaike naye!

    Haya ni maneno yanayosemwa na mwana CCM, kwamba wao wakifanya kosa, watashughulikiwa tofauti na CHADEMA, hata ikiwa polisi ataonywa tu asirudie basi, ila kwa wengine kama CHADEMA ni tofauti, lazima ahenyeshwe sawa sawa! Na hili ni kweli kabisa, si tunaona yanayotokea? Mwenyekiti UVCCM Kagera...
  9. M

    PreGE2025 Mikutano ya CHADEMA yadoda Vunjo

    Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) katika operesheni ya siku 21 ya kukijenga chama hicho kanda ya Kaskazini inayoongozwa na Mwenyekiti wa chama hicho Ndugu Freeman Mbowe imekutana na mahudhurio hafifu sana Jimbo la Vunjo, Moshi DC mkoani Kilimanjaro. Hali hiyo imepelekea Mwenyekiti wa...
  10. PreGE2025 Wakati CHADEMA mmejikita twita CCM wapo kimkakati kwa maandalizi ya 2025 msije kusema mmeibiwa

    Vijana wa upinzani Tanzania hasa kupitia vyama vikubwa vya chadema na act wazalendo ,wamejikita twita! Wanadhani kwa mabishano na kelele za twita wanaweza kuleta mageuzi yoyote katika nchi hii !! Watu wenye akili na weledi na wapiga kura wa kweli hata twita hawapo na wengine hata hawaijui kabisa...
  11. PreGE2025 Nyamongo: CHADEMA yahitimisha Oparesheni yake kwa Kishindo

    Kama tulivyosema awali ni kwamba, leo ilikuwa siku ya kumaliza matanga Nyamongo, Baada ya Shughulili ya "Kuizika ccm" Tarime. Ushahidi huu hapa Mtu akithubutu kuwapora ushindi watu hawa anatafuta Matatizo.
  12. PreGE2025 Ni fursa na wakati sasa Wanawake kushika hatamu za juu ndani ya CHADEMA

    Kwa unavyoona mambo yalivyo pale BAWACHA au hata BAVICHA, nani unadhani anaweza kuwa Mwanamke wa nguvu wa kwanza kushika wadhifa wa juu wa chama hicho Kikuu cha upinzani ukiachilia mbali uongozi alionao sasa kulingana na kundi alilopo ndani ya chama hicho? Je, ni Catherine Ruge au Halima Mdee...
  13. Waziri Masauni aonya wanaodhihaki viongozi mtandaoni

    Ila CCM imejaa viongozi wengi wajinga, badala mtilie mkazo kwenye uadilifu, kukemea uchawa na wizi, rushwa na ufisadi, mnakuja kujitia aibu kwa ujinga kama huu! kwani nani hajui kukosolewa kwenu ni matusi? Kukosolewa kwenu ni uchochezi? Kukosolewa kwenu ni kuleta machafuko? Yaani kama hamtoshei...
  14. PreGE2025 Tathmini: Katika Majimbo 31 ya Kanda ya Nyasa, CHADEMA ina Uhakika wa kushinda Majimbo 20 Likiwemo Jimbo la Kyela

    Hii ndio Taarifa mpya kutoka kwenye kikosi kazi cha Uongozi mpya wa Kanda ya Nyasa, baada ya muendelezo wa Tathmini ya muda mrefu ya Chama hicho. Chadema imesambaza kikosi kazi cha kuchambua mambo haya kupitia Chadema Digital kwa muda mrefu, Hii ndio sababu ya Freeman Mbowe kutangaza Chadema...
  15. CHADEMA wanaweza omba magari wakapewa pia?

  16. Tumechanga kiasi gani kwaajili ya gari ya Tundu Lissu? Mbona kimya kingi?

    Wakuu, Mwananchi wa kawaida kutoka fyengelezya niliyejitolea kuchanga kiasi kidogo cha pesa ili kufanikisha kununuliwa gari jipya aina ya V8 la kutembelea mheshimiwa Tundu Lissu kwa gharama ya Tsh 300m nina haya ya kuuliza; ° Mpaka sasa imekusanywa kiasi gani? ° Kwanini hatupewi taarifa ya...
  17. L

    Chadema acheni ubaguzi, Lissu anachangisha hela apate gari hamhamasishani, dogo kafungwa kule Mbeya familia ya Mbowe inachangisha

    Mtoto wa Mbowe, James Mbowe amefanikiwa kupata michango ya m 5 kwenda kumnusuru yule mtoto fala aliyekuwa akidhani serikali ina mchezo mchezo, huyo huyo Mbowe ameshindwa kuhamasisha wenzake kumchangia Lissu apate gari jipya. Fuatilieni vzr hawa chadema, yaan watu wa kabila la Mbowe wako wamoja...
  18. Je, mfumo wa kuwachangia hela waliokosea sio njia mpya ya mapato ya CHADEMA?

    Wakuu kwema, Huu mtindo mpya wa CHADEMA kuchangia hela watu wenye kesi mbalimbali unaenda kuota mizizi Huyu kijana kwa mfano aliyechoma picha ya Raisi, , awali huyu dogo me nilikuwa nifatilia video zake za tictock akimtukana Rais na kuchoma picha zake, hio sio shida. Kilichonipa attention...
  19. Msigwa aingizwe kwenye kamati ya maridhiano aiwakilishe CCM kuridhiana na CHADEMA

    Mh Tundu Lissu amekuwa akinyooshea kidole kitendo cha Mwenyekiti wake kushiriki katika maridhiano na CCM. Amekuwa akisema kuwa CCM hawaaminiki. Kwakuwa Lissu anakiri kuwa anamwamini Mchungaji Msigwa na ndiye aliyeshika chupa ya damu toka Dodoma hadi Nairobi, basi CCM impe jukumu mchungaji...
  20. PreGE2025 Siri ya CHADEMA kukubalika Tanga yatajwa

    Inaelezwa kwamba kwa sasa Chadema ndio Chama ambacho kinazungumzwa Tanga nzima, Wakazi karibu wote wa Mkoa huo wameamua kuachana na vyama vingine vyote na kuunga mkono Chadema, Ajabu kabisa! Bali wachambuzi wa siasa wanadai kwamba sababu kuu ya jambo hili kutokea ghafla ni hoja zinazohubiriwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…