chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. Huwenda Chadema ndicho Chama kilichokataliwa na Baba wa Taifa kushika hatamu kama ilivyokuwa kwa Lowasa?

    Chadema ndicho chama Kikuu cha upinzani Tanzania licha ya misukosuko mingi inayopitia, hiki ndicho nafahamu na jambo hili liko wazi! Nimetafakari nikawaza na kuwazua mengi sana, na tafakari yangu ikanipa kuwaza hiki ninachouliza sasa Chadema kimepitia na kinaendelea kupitia kwenye wakati mgumu...
  2. LGE2024 CHADEMA watoa Elimu ya kupiga Kura ya Ndio na Hapana Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Kesho, tarehe 27 Novemba 2024, ni siku muhimu kwa Watanzania kushiriki katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Hii ni fursa ya kipekee kwa wananchi waliojiandikisha kutumia haki yao ya kidemokrasia kuchagua viongozi bora watakaosimamia maendeleo katika maeneo yao. CHADEMA wametumia fursa hiyo pia...
  3. LGE2024 Sisi CHADEMA hata kama wametuachia mitaa miwili tutakomaa nao na tarehe 27 hatuendi kinyonge

    Ubaya ubwela hakuna unyonge == Mwenyekiti wa kamati ya Uenezi CHADEMA kanda ya Nyasa, Bruce Nyamwangi akizungumza katika Muendelezo wa kampeni za kuwanadi wagombea wa Chama hicho kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa siku ya kesho 27 Novemba 2024. Soma pia: CHADEMA yakanusha kujitoa kushiriki...
  4. T

    LGE2024 CHADEMA wanashiriki uchaguzi wakitegemea nini? Hatutaki malalamiko

    Msije baadaye mkasema mmedhulumiwa kura au kura zimeibwa. Mnapoingia uwanjani ni kuwa mmekubaliana na sheria na taratibu za mchezo. Hakuna excuses za kipuuzi. Ni kupambana na kukubaliana na matokeo. Hakutakuwa na excuses ni mapambano. Mshindi apatikane. Maana hamchelewi kusema mlinyanyaswa...
  5. LGE2024 Godbless Lema: Viongozi wa CHADEMA Arusha wamenyimwa Viapo vya Mawakala siku moja kabla ya Uchaguzi

    Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Kaskazini, Godbless Lema, kupitia ukurasa wake wa X, ameeleza kuwa viongozi wa CHADEMA katika Jimbo la Arusha Mjini wamenyimwa viapo vya mawakala. Hali hii imeibua wasiwasi mkubwa, hasa ikizingatiwa kuwa kesho, Novemba 27, ni siku rasmi ya uchaguzi wa Serikali za...
  6. LGE2024 Kigamboni: Mawakala wa CHADEMA walalamika kutokuapishwa hadi sasa wakati Mawakala wa CCM wakiendelea na mchakato huo

    Wakuu, Wakati taifa likiwa linajiandaa kuingia kwenye Uchaguzi kesho, maalamiko ya uonevu kutoka CHADEMA na vyama vingine yameendelea kupamba moto Huko Mjimwema, Kigamboni Mawakala wa CHADEMA wameripotiwa kukumbana na changamoto ya kutokuapishwa. Siku ya jana mawakala hao walipoenda mapema...
  7. LGE2024 Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Kilimanjaro, Gervas Mgonja, akamatwa na Polisi

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro linamshikilia Mwenyekiti wa chama cha Demokrasia na maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Kilimanjaro, Gervas Mgonja, kwa madai ya kutoa kauli za kuhamasisha wananchi kuvamia makazi ya wasimamizi wa uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 wa Mkoa wa Kilimanjaro. Kwa mujibu...
  8. LGE2024 Wenje awapa mbinu Wagombea CHADEMA kupata kura, CCM yakomalia ulinzi

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Kanda ya Victoria, Ezekia Wenje amewataka wagombea wa chama hicho katika uchaguzi wa serikali za mitaa kuomba kura kwa unyenyekevu, mbinu aliyodai itawasaidia kuzioata za wafuasi wa CCM na vyama vingine vya upinzani. Wenje ametoa ushauri...
  9. G

    LGE2024 Sielewi lengo la CHADEMA kushiriki uchaguzi huu

    Inajulikana wazi kuwa CCM hawawawezi CHADEMA katika sanduku la kura, hivyo imeweka nguvu kubwa kwenye figisu na dhulma. CCM tayari wameonesha taa nyekundu ktk hatua za mwanzo kwa kuwaengua wagombea wa chadema 16,0000, na baada ya rufaa wagombea 5,000 tu ndiyo wamerejeshwa. Pia viongozi wa...
  10. J

    LGE2024 Makalla: CHADEMA acheni visingizio, migogoro ya ndani ya chama chenu na maandalizi mabovu ni kisiki kwenu kufanikiwa Uchaguzi Serikali za mitaa

    KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Itikadi, Uenezi na Mafunzo CPA Amoss Makalla ameitaka Chadema kuacha visingizio vya kulalamikia wagombea wake bali iseme ukweli kuwa haikufanya maandalizi kuingia katika Uchaguzi wa serikali za mitaa. Pia, amesema chama hicho...
  11. LGE2024 CHADEMA "yapata ushindi mkubwa" Serikali za mitaa

    CHADEMA iliingia kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa mwaka huu 2024 ikiwa na malengo mawili. Kwanza CHADEMA walikusudia kuonesha kwamba kwa kutumia mfumo huu wa uchaguzi unaopendelewa na CCM, uchaguzi hautakuwa huru wala wa haki. Jambo la pili ambalo CHADEMA walikusudia kuonesha ni kwamba...
  12. PreGE2025 LGE2024 Wazo Jipya: Sema Mambo 3 CHADEMA wafanye sasa kwa Uchaguzi Mkuu 2025

    Ukiniuliza mimi ntasema mambo yangu matatu; siyo mageni sana lakini naamini yanaweza kuisadia CHADEMA kujiandaa na uchaguzi mkuu mwakani. Na wewe kama unayakwako yaweke labda katika wastani yatapatikana mambo matatu makubwa. 1. Itangaze mapema kama msimamo wa chama kuwa wagombea wote wa ubunge...
  13. LGE2024 Katika kubalance mambo tuonekane tuna demokrasia vyama vidogo vidogo vya upinzani vitashinda baadhi ya maeneo ila sio CHADEMA!

    Kuna maeneo utaona sijui chauma, UDA ,ACT n.k Vinaweza kupewa baadhi ya vijiji au ubalozi.. Ili kufukia mashimo nchi ionekane ina demokrasia.. Ila once again CHADEMA poleni Hii itakuwa zaidi ya 2020..
  14. LGE2024 Mchungaji Msigwa: Kama nilivyoshambulia CCM, naishambulia CHADEMA kwa sababu ni waongo. Tumeandamanisha watu, wengine wamekufa!

    Wakuu, Mambo yanaendelea kuwa ya moto kwenye Kampeni za Uchaguzi wa Serikali. Mchungaji Msigwa ambaye alihamia CCM akitokea CHADEMA amezungumza hivi karibuni mkoani Songwe hivi karibuni. Soma pia: Mchungaji Peter Msigwa: CHADEMA ina wanachama laki nne tu Nchi nzima Msigwa amesema kuwa kama...
  15. B

    LGE2024 Utitiri wa Wafuasi na Wananchi kwenye Mikutano ya CHADEMA inatoa ujumbe gani kwa CCM?

    Kila mtu anajua kinachoendelea hapa nchini ikiwa ni jitihada za Serikali na CCM kuhakikisha Chadema hawafanikiwi. Jana ktk Mkutano wa Nyamongo Tarime Uwanja wa Umma umefungwa na kulindwa na askari wenye silaha kwa lengo la kuzuia Makamu Mwenyekiti Tundu Lissu asidanye mikutano. Hata hivyo...
  16. LGE2024 Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Katavi: MwanaCCM akigawa rushwa kwenye uchaguzi mshughulikieni kwelikweli

    Kauli za kishujaa zinazidi kutawala kutoka kwa viongozi wa CHADEMA. Hii ni kuwajengea kujiamini wananchi katika kipindi hiki cha uchaguzi wasibabaishwe na watu wenyenia ya kuharibu uchaguzi. ================== Mwenyekiti wa CHADEMA @chadematzofficial Mkoa wa Katavi, Rhoda Kunchela, amesisitiza...
  17. LGE2024 Mgombea Uenyekiti wa CHADEMA aliyeenguliwa licha ya kuwa na sifa bado ana dukuduku, akosoa waliosimamishwa kugombea

    Wakuu, Mambo bao moto, Mgombea Uenyekiti wa CHADEMA, Maulid Abdallah aliyeenguliwa licha ya kuwa na sifa bado ana dukuduku, akosoa waliosimamishwa kugombea. Kupata nyuzi za kimkoa Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara...
  18. LGE2024 Katavi: Mwenyekiti wa CHADEMA: Tunaamini katika haki, maendeleo na kutetea Watanzania kuliko matumbo kama wanavyofanya CCM

    Bado siku moja kutoka sasa kuelekea katika siku ya uchaguzi wa serikali za mitaa ambao utafanyika Novemba 27, 2024. Wagombea kutoka vyama mbalimbali wamendelea kunadi sera zao na Ilani ya chama ili wananchi wakafanye hukumu yupi anafaa kuwa kiongozi katika Kitongoji, Kijiji, au Mtaa wao...
  19. LGE2024 Video Kyela: Mgombea CHADEMA amtumia mtoto wake mdogo kuomba kura. Je, kaona maji ya shingo?

    Moja ya mgombea Kyela Mbeya kupitia chama cha Demokrasia na maendeleo CHEDEMA amemuomba mtoto wake amsaidie kuomba kura kwa wananchi wakati wa kampeni.
  20. LGE2024 Kigoma: CHADEMA na ACT Wazalendo waungana kusimamisha wagombea katika vijiji viwili kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa!

    Vyama vya siasa Chadema na ACT Wazalendo vimeungana katika Kata ya Bukuba, Jimbo la Buhigwe mkoani Kigoma, kwa kugawana nafasi za uongozi kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, 2024. Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana wa ACT Wazalendo Taifa, Abdul...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…