chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. LGE2024 Matokeo ya Uchaguzi Mwanza yaanza kutangazwa, CCM yaongoza maeneo mengi ikifuatiwa na CHADEMA

    Matokeo ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa katika baadhi ya mitaa Jijini Mwanza yameanza kutangazwa, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kikionesha kuongoza kwenye vituo vingi Wilayani Nyamagana. Aidha, licha ya baadhi ya Mitaa Wilayani Nyamagana na kushuhudiwa Wagombea wa CCM wakitangazwa kuongozwa Kwa...
  2. LGE2024 Kilimanjaro: CHADEMA kimepata ushindi Kata ya Mbokomu, Ikishinda Vitongoji Vitano

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimepata ushindi mkubwa katika Kata ya Mbokomu, baada ya kushinda vitongoji vitano kati ya saba. Ushindi huu unathibitisha umaarufu wa CHADEMA katika kata hiyo, huku wananchi wakionyesha imani kubwa kwa chama hicho katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa.
  3. LGE2024 Afisa Uchaguzi Jimbo la Iringa Mjini: Hatuna Taarifa rasmi ya CHADEMA kususia Uchaguzi

    Afisa uchaguzi jimbo la Iringa mjini, Bernard Mwaituka, akitolea ufafanuzi kwa njia ya simu kupitia kipindi cha Kiyoyozi cha Nuru FM juu ya madai yaliyotolewa na CHADEMA kuhusu hujuma zilizojitokeza katika suala zima la upigaji kura uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika jana 27 Novemba 2024...
  4. LGE2024 CHADEMA Songwe: Green Guard walienda na mapanga kwenye Vituo vya Kupigia Kura kutisha Wanachama wetu

    Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Songwe, Issakwisa Thobiasi Lupembe amedai wakati wa mchakato wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika jana Novemba 27, 2024 kulikuwa na matukio ya vitisho kwa Wanachama na viongozi wa Chama hicho kutoka kwa baadhi ya Watu. ===================== Taarifa ya...
  5. LGE2024 Rungwe: CHADEMA yashinda Uchaguzi Serikali za Mitaa katika Kata ya Ndato, Kijiji cha Goye

    Katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika tarehe 27 Novemba 2024, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimepata ushindi mkubwa katika Kata ya Ndato, Wilaya ya Rungwe, hasa katika Kijiji cha Goye. Ushindi huu umeonyesha umaarufu na ushawishi mkubwa wa CHADEMA katika eneo hilo.
  6. LGE2024 Mbarali: CHADEMA yashinda vitongoji 4 kati ya 7 na CCM vitongoji 2

    Katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika tarehe 27 Novemba 2024, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimepata ushindi katika kijiji cha Itamba, wilayani Mbarali, kwa kushinda vitongoji vinne kati ya saba. Chama cha Mapinduzi (CCM) kimepata ushindi katika vitongoji viwili, huku...
  7. PreGE2025 CHADEMA, ACT Wazalendo na CUF tengenezeni Alliance kupelekea uchaguzi 2025

    Nilichokiona kwenye uchaguzi huu wa serikali za mitaa ni kwamba wananchi Wana muamko wa kupigia kura upinzani shida upinzani umegawanyika. Nina shauri ya kwamba upinzani wafikirie kutengeneza alliance ambapo wataungana 2025 na kuwa na mgombea mmoja wa urais, ubunge na udiwani kwa kuangalia...
  8. LGE2024 Tabora: Tuhuma za wakala CHADEMA kutolewa kituoni zakanushwa

    Wakuu, Msimamizi mkuu wa uchaguzi wa jimbo la Nzega Vijijini na Bukhene, Mhandisi Modest Apolinary amekanusha kuhusu tuhuma zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii zikidai kuwa wakala wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) katika kituo cha kupigia kura kwenye Chuo cha Ualimu Ndala...
  9. LGE2024 Songea: Mke (CCM) amkaanga Mumewe (CHADEMA) Kwamba Hawezi Uongozi Asichaguliwe

    Haya ndio Yale Yale ya Mr.Tumbili na Mke wake. My Take: Mambo ya ndege wasiofanana hawawezi kuruka pamoja. https://x.com/swahilidigital_/status/1862009393295810976?t=gJsJpp2KrYc1oxlsYO2xBg&s=19
  10. R

    CHADEMA, kuanzia leo wekeni mkakati wa kuwa na ofisi ya chama kila kata ifikapo 2030

    Hi ni muhimu kuweza kuwafikia watu wengi hasa vijijini. Nasema hivyo kwa sababu Kata yangu hapakuwepo na mgombea wa CHADEMA na it seems watu hawana mwamko na CHADEMA kwasababu hakuna mhamasishaji. Erythrocyte
  11. LGE2024 Arusha: CHADEMA wapinga matokeo uchaguzi serikali za mitaa

    Wakuu, Hii ni Arusha wananchi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) waandamana kupinga matokeo wakidai haki yao jana usiku baada ya matokeo kutangazwa. Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya...
  12. LGE2024 Tabora: Mawakala wa CHADEMA na CCM wakimbia na mabox ya kura Nzega

    Wakuu, Mawakala wawili wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Jimbo la Bukene na Wakala wa Chama Cha mapinduzi (CCM) Jimbo la Nzega vijijini, wamekimbia na maboksi ya kupigia kura baada ya wagombea wao kuzidiwa kura kwenye uchaguzi waliokuwa wanausimamia. Akizungumza na Mwananchi leo...
  13. LGE2024 Dar es Salaam: Mgombea wa CHADEMA aliyeuliwa kwa risasi, Kamanda Muliro asema amefariki kutokana na shinikizo la damu!

    Wakuu, Mbona mambo yanazidi kukorogwa! Aliyeelewa hapa aniaeleweshe! ==== Wakati Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe akidai mgombea ujumbe wa chama chake Mtaa wa Ulongoni A, Modestus Timbisimilwa kuwa ameuawa kwa kupigwa risasi na Polisi, Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es...
  14. LGE2024 Singida: Polisi wanamsaka Katibu Mwenezi CCM kwa kumjeruhi Katibu wa CHADEMA kwa kisu

    Wakuu, Huu uchaguzi ni balaa! ====== TAARIFA KWA UMMA Jeshi la Polisi Mkoa wa Singida linamtafuta Joseph Shila, Katibu Mwenezi wa CCM Kata ya Mitunduruni, Wilaya ya Singida kwa tuhuma za kumjeruhi kwa kisu kwenye bega la kushoto Hamisi Nkua, (52) Katibu wa CHADEMA Wilaya ya Singida. Kupata...
  15. LGE2024 Kahama: Wakazi wa Bukondamoyo kata ya Mhungula washinikiza mgombea wao kupitia CHADEMA atangazwe

    Mambo yamezidi kuwa moto huko Bukondamoyo kata ya Mhungula wilaya ya Kahama wakishinikiza mgombea kupitia CHADEMA atangazwe Sijui itakuaje. Asubuhi walikamata kura feki.
  16. LGE2024 Mwanza: Makada wa CHADEMA wadaiwa kukimbia na boksi la kura

    Watu wanne wanashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoa wa Mwanza kwa matukio matatu tofauti likiwemo la vijana wawili ambao ni makada wa CHADEMA kukamatwa wakiwa na karatasi 181 za kupigia kura. Kamanda wa Polisi Kamishina Msaidizi wa polisi DCP Wilbroad Mutafungwa, amesema majira ya saa moja na nusu...
  17. LGE2024 Meru: CHADEMA Wadai kupata ushindi katika kijiji cha Nshupu

    Kata ya Nkoaranga Kijiji cha Nshupu tumeshinda kitongoji kimoja tayari na wakala wa ccm amekimbia na kura zilizopigwa tayari tumeamishia nguvu na jeshi la Polisi wamekuja na tayari matokeo yamebandikwa.
  18. P

    LGE2024 Dar: CHADEMA wasusia uchaguzi Temeke, wawaondoa mawakala wao vituoni

    Wakuu, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wilaya ya Temeke, Dar es Salaam kimetangaza kususia uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 unaoendelea sasa, kutokana na kile walichodai kuwa fomu za mawakala wao zimebadilishwa vituo hatua iliyopelekea mawakala hao kushindwa kuingia kwenye vyumba...
  19. LGE2024 Polisi wathibitisha kumkamata Mtuhumiwa wa Mauaji ya Kada wa CHADEMA, Stephen Chalamila

    SONGWE: Jeshi la Polisi Wilaya ya Momba, limesema linamshikilia Mwanaume mmoja ambaye ni Dereva wa Bodaboda anayetuhumiwa kuhusika na Kifo cha Stephano Chalamila (23) ambaye awali aliripotiwa kuwa Mwanachama wa CHADEMA. Taarifa ya Polisi imesema tukio la mauaji ya Chalamila lilitokea Novemba...
  20. P

    LGE2024 TANZIA Mgombea CHADEMA nafasi ya Ujumbe Kata ya Gongo la Mboto afariki kwa kipigo cha polisi

    Wakuu, Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 Kata ya Gongolamboto, Mtaa wa Ulongoni A, Mgombea nafasi ya ujumbe Modestus...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…