chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. PreGE2025 Lissu: Nikishindwa nafasi ya Uenyekiti CHADEMA nitabaki kuwa mwanachama wa kawaida, siendi popote

    Wakuu, Lissu amesema ikitokea ameshindwa nafasi ya uenyekiti CHADEMA hapo Januari, atabaki kuwa mwanachama wa kawaida CHADEMA, hatoenda kokote, watabanana humo humo. Pia soma: Pre GE2025 - Wilbroad Slaa amuunga mkono Lissu kugombea Uenyekiti CHADEMA, asema taifa linamhitaji Lissu kwa sasa...
  2. PreGE2025 Wilbroad Slaa amuunga mkono Lissu kugombea Uenyekiti CHADEMA, asema taifa linamhitaji Lissu kwa sasa

    Wakuu, Wilbroad Slaa amuunga mkono Lissu kugombea nafasi ya Uenyekiti CHADEMA. Pia soma: Tundu Lissu achukua rasmi Fomu ya kugombea Uenyekiti CHADEMA Asema CHADEMA na Watanzania wanamhitaji Lissu katika kipindi hiki, akiwa ni kiongozi bora na mwenye msimamo. Mambo yanazidi kuwa moto.
  3. Lissu akana tuhuma za Mbowe kuwa alishirikiana na Peter Msigwa kuvujisha nyaraka muhimu za CHADEMA

    Wakuu, CHADEMA mambo yamezidi kupamba moto. Lissu akiwa anajibu swali aliloulizwa kuhusu tuhuma za Mbowe kwamba nyaraka za chama zilikuwa zinqvujishwa na Msigwa ambaye ni rafiki yake mkubwa. Lissu akiwa anajibu swali hilo amesema kuwa hajawi kuvujisha nyaraka za chama na kuongeza kuwa...
  4. PreGE2025 Hakuna mbunge hata mmoja wa CHADEMA atashinda uhaguzi ujao

    Mda unavyoenda CHADEMA inazidi kuwa mahututi,ingawa Mbowe atashinda kwa kura za kutosha kutoka kwa wajumbe lakini wanachama ambao ndo wengi hawana imani tena na CHADEMA chini ya Mbowe. CCM wameshajua madhaifu ya Mbowe ndo maana wanapambana ili ashinde kwenye uchaguzi ndani ya chama. Chadema...
  5. L

    Tazama picha hii ya Lissu upate kujua anachukuliwaje ndani ya CHADEMA

    Ndugu zangu Watanzania, Katika picha hii unaweza kujua na kupata Picha Namna gani Lissu anachukuliwa na kiwango cha thamani na heshima yake ndani ya CHADEMA. Hapa unaweza kuona na kutambua wazi kuwa Lissu Tangia Awali na zamani alikuwa haheshimiki wala kuthaminiwa wala kukubalika wala kwa...
  6. Wajumbe MMK Chadema kuwa Mabilionea kuelekea January 21

    Napenda niwaoenyezee tu... Mbughi ya Uenyekiti CDM sio siasa ya kawaida, ni kama kudai uhuru mwaka 1961. Ni vita kubwa ya siasa niliyowahi kuiona toka siasa za vyama vingi nchini Mwaka 1995. Mikakati ya kumchomoa Mbowe sio ya kitoto huko Clubhouse na whatsap groups, Bahati nzuri sana ni...
  7. S

    SI KWELI PreGE2025 Mbowe amesema hagombei Uenyekiti ila Lissu ataua chama

    Mbowe alisema kuwa Lissu ataua Chama?
  8. N

    VIDEO: CHADEMA wote msikilizeni Mwl Nyerere

    Mwalimu Nyerere alishakataa mambo ya mtu kuongoza miaka kama ya baba Mkwe wake, R.IP BABA WA TAIFA LETU
  9. N

    Afisa Makao Makuu CHADEMA: Mbowe anaendekeza Ukabila. Kati ya wafanyakazi 19 wanaolipwa Mishahara na CHADEMA 9 wanatoka Killimanjaro

    XxxxxX Twende Pamoja, kwa muda mrefu wapinzani wetu kisiasa wamekuwa wanasema udini na ukabila zaidi kwa swala la Ukabila wanalengwa watu kutoka mkoa wa Kilimanjaro anakotokea Mwenyekiti wetu wa Taifa. Naomba nikushirikishe na wewe upime Je kuna ukweli wowote? Secretariat ambacho ni chombo cha...
  10. PreGE2025 CCM na CHADEMA wote wanagombana, tofauti yao kubwa ni uzingatiaji wa wakati wa kugombana na wakati wa kuwa pamoja

    Hali ya migogoro ndani ya vyama vya siasa Tanzania, hususan CHADEMA na CCM, inaonyesha mifumo tofauti ya usimamizi wa migogoro na mshikamano wa ndani ya vyama hivi viwili: CCM: Licha ya migogoro na malumbano ndani ya chama, hasa kati ya wanachama au makundi yenye maslahi tofauti, wanapofika...
  11. Dkt. Slaa punguza kisebusebu wewe ulinunuliwa na CCM kuhujumu CHADEMA

    Huyu amekuwa akijiona ni mkamillifu sna na mjuaji kinoma yeye ameusika moja kwa moja kuhujumu chadema na hata saulika Leo amekuja naanza kuleta chuki zake na ukatoliki wake kwenye siasa za chadema huku akiwa ni msaliti namba moja Akumbuke alihongwa pesa ili kuivuruga chadem Leo ameibuka amenza...
  12. PreGE2025 Atakayeshidwa CHADEMA avunje makundi

    MIJADALA inayotawala sasa hivi kwenye mitandao ya kijamii ni kuhusu uchaguzi wa Chadema ngazi ya taifa, huku mchuano ukiwa kati ya mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe na makamu wake, Tundu Lissu kutangaza nia ya kuwania uongozi wa juu. Tunashuhudia minyukano ya makada na hoja zenye...
  13. SI KWELI PreGE2025 CHADEMA imeondolewa Democrat Union of Africa DUA

    Salaam wanajukwaa Nimekutana na hii taarifa kutoka mtandao wa X kwamba CHADEMA imeondolewa kwenye huu umoja wa DUA, Democrat Union Africa, na inaonekana taarifa pia imechapishwa na JamiiForums lakini kwenye account zake sijakutana nayo, naomba kufahamu uhalisia wa hii wakuu.
  14. N

    PHOTO: First Class CHADEMA members

    Sema neno moja kwa hawa wanachama daraja la kwanza toka Chama Cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA
  15. Tetesi: CHADEMA kufutiwa usajili upoteaji wa Wanachama wao

    Za ndani kuna mkakati unaandaliwa chadema kubebeshwa tuhuma za utekwaji na mauaji ya Mzee Wetu Ally Mohammed Kibao na viongozi wa CHADEMA watakamatwa na CHADEMA itafutiwa Usajili sababu kuna wana Chadema wameshaatengenezwa kutoa ushahidi wengine ni waliotekwa na kufichwa soon wataachiwa na...
  16. Barua : kutokana na vurugu za chadema yafukuzwa umoja wa vyama vya kidemokrasia duniani tawi la Afrika (UDA Afrika)

    Barua hii hapa chadema wafungiwa umoja wa vyama vya kidemokrasia duniani tawi la Afrika USSR
  17. Hizi tetesi za Lissu kujiondoa kugombea uenyekiti chadema zina ukweli?

    Kumekuwa na tetesi viungani kwamba Lissu kaamua "kurusha taulo" na anaomba refa amalize pambano, kulikoni? Kwamba anataka Wenje ajiondoe kugombea umakamu, na yeye ajiondoe kwenye uenyekiti arudi kwenye umakamu
  18. M

    KISAIKOLOJIA, VITA VYA UENYEKITI CHADEMA NI UTHIBITISHO KUWA HAWANA TUMAINI LA KUSHINDA NAFASI YA URAIS KTK UCHAGUZI MKUU 2025. KINYUME CHAKE WANGEACH

    Siasa ni mchezo mchafu. Vita vya kiti cha Uenyekiti chadema kati ya chawa wa pande mbili ni vita vilivyotengezwa na Tiss. Wakiwatumia vijana wao kuna yeriko. Ni vita vya kupigania pesa za rushwa kutoka kwa chama mtaala. Wakati mbowe akiwatumia vijana wake akina wenje, yericko kupoza nguvu ya...
  19. A

    Kupitia kinachoendelea ndani ya CHADEMA ni dhahiri CCM itaendelea kuwa chama dola kwa muda wa miaka mingi ijayo

    Ndugu wana JF, Ni ukweli usiofichika mpaka sasa CHADEMA imeshaingia kwenye mtego wa CCM na kazi nzuri iliyofanywa na watu ambao ni very smart na kwa uangalifu mkubwa ni kama imeshamalizika ikiwa na athari hasi kwa miaka mingi sana ijayo kwa CHADEMA na athari chanya kwa CCM. Kete muhimu za...
  20. Je, wajumbe wa kamati kuu CHADEMA wataweza kuchomoka kwenye huu mtego?

    Mnara umenipa signal kuwa mchezo unakwenda kuisha kwa dau la milioni 10 kwa kila mjumbe wa kamati kuu CHADEMA ili kwa sharti la kupiga kura kwa kipenzi cha Maza. Je, vipi hali ya uchumi ya wajumbe wa kamati kuu CHADEMA ? Watwaweza kuchomoka kwenye huu mtego?. Ijulikane mtoa pesa sio mjinga...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…