chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. Bwana Yesu Asifiwe kaka Goege Boniface Taguluvala Simbachawene!

    Habari za muda mrefu wa ukimya brother. Heri ya mapumziko ya sikukuu ya Maulid kitaifa. Nimejiskia tu leo nikusabahi hadharani kaka. Nashukuru binafsi nasonga mbele vema. Nakutakia majukumu mema brother ya kuwatumikia wananchi na waTanzania wote.🐒 Mungu Ibariki Tanzania
  2. Kuna umuhimu wa CHADEMA kufukuza wachaga wote ndani ya chama chao, hawataweza kuendelea kuvumilia kudhalilishwa kwa Mbowe

    Wiki hii imeanza kwa wafuasia wa Lissu na Heche kumshambulia vikali mwasisi wa CHADEMA mheshimiwa Freeman Aikael Mbowe baada ya yeye kuhudhuria sherehe za uzinduzi wa bwawa la umeme la Nyerere. Kiukweli Mbowe kadhalilishwa sana kwa siku kadhaa. Ninampongeza kwa ukimya wake kuonyesha ukomavu wa...
  3. Chadema msidanganyike kumpokea Yuda, huyo ametumwa kuja kukivuruga chama.

    CCM ina mbinu nyingi sana kwenye kuharibu upinzani thabiti. Miongoni mwa mbinu hizo ni pamoja na kuvurugana ndani kwao, maboss kwa maboss, kisha mmoja anakimbilia kwenda kujiunga na chama chenye nguvu. Tushituke, tusiukubali huu mtego. Yuda kama anataka siasa nje ya CCM aende kwenye branch za...
  4. Unadhani ni kwanini mtuhumiwa anaonyesha kukata tamaa kuanzia mwanzoni tu mwa kujitetea kwake?

    Je, ameona public sympathy aliyoitegemea haipo tena na haina msaada au anatumia mbinu hiyo ya kinyonge kuiatract tension na public sympathy upya kitaifa na kimataifa? Kwasababu sote ni mashuhuda wa kuona na kuskia, anachokifanya muungwana ni kama vile kuaga ndugu, jamaa, marafiki wa kitaifa na...
  5. M

    Upi msimamo wa Mtume Muhammad katika kesi kubwa KAMA YA LISSU?

    Leo ni siku ya kuzaliwa mtume Muhammad S. A.W,kiongozi wa kiislamu. Tutaangazia kidogo kuhusu msimamo wa Mtume Muhammad ktk swala la kutoa haki ktk vyombo vya mahakama. Upi ulikuwa msimamo wake na vipi jamii ameiasa. Hapa siingilii mahakama maamuzi tunachambua jinsi ya mtume Muhammad...
  6. Kuanzia leo, iwe ni Marufuku kwa CHADEMA /Wanaharakati kumzungumzia Mbowe, kumzungumzia ni kumfanya aonekane ana umuhimu

    Mkimuona Mbowe popote pale, awe kwenye Mradi wa Serikali, awe añaupiga picha na Samia, Awe kwenye chombo chochote cha habari, MPUUZENI, MSIMUONGELEE KWA NAMNA YOYOTE ILE. Hana jipya, keshajifia kisiasa. Kauli ya Leo ya Mh Lissu , Mandela wetu, imemzika Rasimi Mbowe, Hana Tena msaada wowote...
  7. Kombo: Tundu Lissu anakwenda kunyongwa, CHADEMA kapigeni goti kwa Rais Samia

    Mwanaharakati Ahmed Kombo amesema “Tundu Lissu anakwenda kunyongwa,” akisema anazungumza ukweli na kuwataka wahusika kuacha siasa za kumuumiza mwenzako. Kombo amewataka kukaa chini na kutafakari, huku akiwasihi “wapigie goti” Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa ajili ya kutafuta suluhisho la jambo hilo...
  8. CHADEMA kuandamwa na mikosi ya kisiasa na kiuchumi isiyokoma ni ishara ya wazi kua huenda kuna laana ndani ya chama hicho cha siasa nchini

    Kwa mfano we cheki, mwenyekiti wake taifa kukutwa ana kesi ya kujibu tofauti na walivyotarajia kwa kujiiga kifua sana tu kwamba hakuna lolote n.k, na kwahivyo wameumbuka hadharani na hiyo maana yake mwenyekiti huyo ataendelea kusota korokoroni. Huenda mkosi huu unatokana na utamaduni wa kiburi...
  9. R

    Sidhani kama Mbowe atahamia CCM, labda akipewa Uwaziri. Ni AI lakini hakuna ajuaye kesho yetu!

    Sidhani kama Mbowe atahamia CCM, labda akipewa uwaziri. Ni AI lakini hakuna ajuaye kesho yetu! AI lakini kesho inawezekana ikawa AI ya kweli!
  10. CHADEMA ijifunze kutoka Mataifa yaliyoendelea. Hakuna chama cha siasa kinafanya harakati kwa sasa

    Kutumia mbinu za miaka ya 40 na 50 katika era ya Science na Technology ni kukosa ubunifu.
  11. Niwaombe radhi niliowabishia kwamba Chadema ni SACCOS ya Mbowe

    Niombe mpokee radhi yangu. Katika harakati zake kumbe kuna watu waliujua mchezo wa Mbowe kuwauza wanachama. Siwezi kubisha tena kwamba Mbowe alimuuzia ugombea urais Lowasa. Siwezi kubisha tena kwamba kuwapa vyeo vikubwa kina Dr.Mashinji na Katambi haikuwa bahati mbaya. Sote tunaona Mbowe...
  12. Kisiasa, influence ya Freeman Mbowe ndani ya chadema ni amazing sana.

    Hahusiki na chochote ndani ya chadema lakini viongozi na wana chama wa chadema wanaweweseka na ukimya wake, lakini zaidi sana kuonekana kwake kwenye hafla za nchi kitaifa kumewatia kiwewe zaidi. Huenda viongozi wa chadema na wanachadema wote kwa ujumla wamesaha kwamba, Freeman Mbowe wakati wa...
  13. K

    Viongozi wa kudumu ndani ya chama ni mambo ya CCM, ndio athari za kina JK. CHADEMA tujisahihishe, tubadili katiba yetu, tumnyopoe Mbowe Kamati Kuu.

    WE WANT A CLEAN BREAK WITH THE PAST Haya sasa, tumekwama naye maisha. Kwa aliyofanya jana huwezi kusema ignore the traitor. Huwezi kumu ignore. Ni kiongozi wa kudumu ndani ya chama kwa mujibu wa katiba. Na kwa sababu tumempa hadhi kubwa ya kiongozi wa maisha, kila atakalosema na kulifanya...
  14. Historia ya CHADEMA: Ilipotoka ilipo na iendako

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ndicho chama kikuu na chenye nguvu zaidi cha upinzani nchini Tanzania. Kikiwa kimeanza kama kikundi kidogo cha wasomi, kimekua na kuwa tishio kubwa zaidi la kitaasisi dhidi ya utawala wa miongo mingi wa chama tawala, Chama Cha Mapinduzi (CCM). Chama...
  15. Mwakibinga: Heche anatumiwa na CCM kudhoofisha upinzani na kuhakikisha kuwa Lissu anaendelea kusalia kizuizinini

    Mchambuzi wa masuala ya jamii na siasa, Filipo Mwakibinga, anatoa tahadhari kwa wanachama wa CHADEMA kuhusu mienendo ya viongozi wao mbele ya vyombo vya habari. Mzungumzaji anahoji kwanini John Heche yuko huru wakati Tundu Lissu anashikiliwa na polisi, licha ya kuwa wote wawili walitoa matamshi...
  16. Ndugu wanachama wa CDM msije kabisa kujaribu kuingia kwenye huu mtego

    Twende moja kwa moja kwenye hoja ya msingi maana muda mchache mambo ni mengi Ndugu wanachama wa CDM msije kabisa kujaribu kuingia kwenye huu mtego ambao mmewekea siku ya uzinduzi wa bwawa la Umeme kwa camera zote kummulika aliyekuwa mwenyekiti wenu MBOWE Hili jambo halijatokea kwa bahati mbaya...
  17. CHADEMA sogezeni Mbele Mkutano wa Baraza Kuu hadi pale itakapoamuriwa Upya!!

    Sogezeni Mbele Mkutano !!. Kuna Mapinduzi ya Uongozi chamani . Mbowe kumulikwa na Media Leo ,na kupewa mapicha mapicha, ni sehemu ya Mpango Ovu. SOGEZENI MBELE MKUTANO WA BARAZA KUU. Sababu mnazo za kutosha !!. Hamna ruzuku!!.
  18. R

    Chadema jipange kuwakabiri Mamluki hawa kuwakomesha kisheria. Msiwadharau, wana backing ya wahuni

    Makada watano wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wamefungua shauri katika Mahakama Kuu Kanda ya Dodoma wakilalamikia kitendo cha kuvuliwa nafasi zao za uongozi kiholela na bila kupewa fursa ya kusikilizwa, kinyume na katiba ya chama hicho. Akiashiria msingi wa shauri hilo mbele ya...
  19. Vijana wa Chadema kwa Matusi Haya Bila Kumchukulia Hatua Huyu Mnakosa Sifa ya Kujiita Makamanda. Shikisheni Adabu!

    Kweli huyu Yericko Nyerere anajitokeza hadharani na kumuita kiongozi wenu kwa matusi na nyie mko kimya? Tena ni mwenyekiti wenu Taifa anayeteseka kupambania sio Chadema pekee bali nchi kwa ujumla! Hatukatai watu kumpinga, hilo lawezekana kabisa ndio maana hata mwenyekiti wao anapingwa ingawa...
  20. M

    CHADEMA waanze kumobilize maandamano ya nchi nzima

    Hawa ccm wanatakiwa kupewa somo for once and for all. Watanzania wengi tupo tayari ku-sacrifice maisha yetu kwa ajili ya vizazi vyetu vijavyo. Huu upuuzi unatakiwa ukomeshwe for once and for all. Sasa wanachotakiwa Chadema waanze kumobilize waandamanaji taratibu kwenye mikutano yao ya hadhara...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…