chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. Bila kumpigia magoti na kumtaka radhi huyu mwanamama, CHADEMA haitaweza kuwa sawa tena.

    Januari 5, 2011 haitakaa isahaulike kwa wapenda demokrasia wote duniani kwa kilichotokea Arusha. Maandamano ya CHADEMA yalizimwa kwa nguvu kubwa na jeshi la polisi hadi kutokea maafa ya watu kuumizwa na baadhi kupoteza maisha. Nakumbuka hiyo siku mimi nilikuwa natoka mizunguko yangu kufika posta...
  2. PreGE2025 Yericko Nyerere: Lissu anakiuka Katiba, Miongozo na Maadili ya CHADEMA

    Akizungumza kupitia Clouds TV, Yericko Nyerere amesema: "Kwa mujibu wa muongozo wa CHADEMA toleo la 2012 mgombea Lissu si hilo la rushwa ambalo linatafsirika amevunja muongozo, yako mengi zaidi bahati nzuri kipindi kipo tutajaribu kupitia moja baada ya nyingine." "Kwa mujibu wa miongozo yetu...
  3. M

    PreGE2025 Baadhi ya Wajumbe Mkutano Mkuu CHADEMA wamkataa Tundu Lissu

    Tundu Lissu mwanaharakati na mtetezi mkubwa wa haki za binadamu anapambana kukalia kiti cha Mwenyekiti Chadema Taifa Molemo Media imefanya utafiti maeneo mbalimbali nchini kwa wajumbe wa mkutano mkuu kutaka kufahamu mwelekeo na mtazamo wao kuelekea mkutano Mkuu wa uchaguzi Januari 21 Tundu...
  4. PreGE2025 Mwenyekiti CHADEMA Kibiti atangaza kumuunga mkono Mbowe

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wilaya ya Kibiti, mkoani Pwani Mohammedi Seif amejitokeza hadharani na kueleza msimamo wake kuwa anamuunga mkono Freeman Mbowe katika kinyang'anyiro cha kumtafuta Mwenyekiti wa chama hicho Taifa kwenye mchakato wa uchaguzi wa ndani...
  5. PreGE2025 Hofu ya Uchawi na Ushirikiana yatanda miongoni mwa Wagombea Uongozi na Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CHADEMA kuelekea Uchaguzi wa ngazi ya Taifa

    Tayari wagombea uongozi wa nafasi mbalimbali za chadema taifa na wajumbe wa mkutano mkuu wameanza kushikana, uchawi, kulaumiana na kutuhumiana kufanyiana ushirikiana kuelekea katika chaguzi za BAVICHA, BAWACHA, BAZECHA na ule uchuguzi wa kamati tendaji ya chadema taifa utakaonza mapema mwezi huu...
  6. Ipo siku CHADEMA itamkumbuka Mbowe but itakuwa very late

    Mimi sio mwana CHADEMA ila kwa watu naowajua wenye ukaribu na Lissu husema kwamba Lissu hua ni muongo zaidi in person pia katika kuskiliza baadhi ya interview za Mbowe za karibuni kuna namna pia amegusia Lissu ni Muongo, kwa wanaomfaham Lissu kwa ukaribu wanafiki pia kwamba jamaa sio mkweli sana...
  7. E

    Hivi Hilda Newton ni nani pale CHADEMA?

    Ni swali la ufahamu, nimehisi ana siri nyingi sana pale CHADEMA na aliwahi kutupa taarifa za Ben kuwa anaendelea na kazi
  8. M

    Uchaguzi CHADEMA na hatima ya kiti cha mwenyekiti

    Habarini wana jukwaa wa JF. Ni wiki chache sasa Zimebaki CHADEMA waingie katika UCHAGUZI wa viongozi wao wakuu wa chama.Hii ndio tafakuri yangu. 1)Lissu anaungwa mkono na idadi kubwa ya wanachama pamoja na wengine wasio wanachama,je hii inaweza kumfanya apate ushindi katika UCHAGUZI? 2)Mbowe...
  9. PreGE2025 Freeman Mbowe: Dkt. Slaa na wanaojiita Tanzania Diaspora wanapanga kufanya mapinduzi ndani ya CHADEMA

    Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA @chadematzofficial Freeman Mbowe amesema kuna makundi yanayoratibu kufanyika mapinduzi ndani ya chama hicho na makundi hayo ndiyo yanayomsukuma Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho Bara, Tundu Lissu kugombea nafasi ya Uenyekiti. “Kuna kundi...
  10. PreGE2025 Mwenyekiti CHADEMA, Siha: Chama ni kikubwa kuliko Mbowe na Lissu

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) , Wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro, Imma Saro, ametoa wito wa mshikamano na uzalendo kwa wanachama wa chama hicho, akisisitiza umuhimu wa kulinda taswira ya CHADEMA kama tumaini la Watanzania. Saro amehimiza wagombea wa nafasi...
  11. Kikwete na Magufuli walishindwa kuingusha CHADEMA lakini Rais Samia ndani ya miaka minne ameshamaliza anachofanya ni kuinyonyoa manyoya

    Hakuna anayeamini! Kikwete kwa Miaka kumi alishindwa kuizima CHADEMA na ilibaki kidogo Sana 2015 Akabidhi ofisi kwa upinzani. Akaingia Magufuli, yeye ndiye akatumia zaidi mabavu na alishakiri hadharani anaenda kufuta upinzani kabla ya 2020 lakini alipata upinzani Mkali Sana kuwahi kutokea...
  12. Kuna mgombea uongozi wa CHADEMA ngazi ya Taifa anaweza kuenguliwa kabla ya Uchaguzi asipojirekebisha

    Kwakua tayari inasemekana amejiandaa kwa hali hiyo endapo hilo litatokea, na kwamba anayo destination mpya ya uhakika ya kufanikisha malengo yake. Kwa makusudi, mgombea huyo anasema na kutenda kinyume na katiba ya chadema ili tu achukuliwe hatua, halafu kisha afanye mass defections aloipanga na...
  13. H

    SI KWELI PreGE2025 Mnyika: Nawaonya team Lissu kuacha mpango wa kutaka kufanya fujo siku ya uchaguzi

    Watakaoanzisha fujo uchaguzi wa chadema watashughulikiwa - Mnyika
  14. Kama uchaguzi unaoendelea CHADEMA sio drama huu ni mtazamo wangu kwenye Lissu vs Mbowe

    Kuna kila dalili na ishara kwamba minyukano inayoendelea ndani ya CHADEMA imeratibiwa na kupenyezwa kwa mbinu za siri ili kukivuruga chama hiki ambacho kimsingi ndicho chama kikuu cha upinzani. Baada ya hali ya chama tawala kuonekana tete kuelekea uchaguzi mkuu 2025 hususan baada ya dalili zote...
  15. J

    Mnyika: Wajumbe watakaopiga kura kwenye Mkutano Mkuu ni wale waliochaguliwa kipindi hiki cha Uchaguzi, wa 2019 siyo halali

    Katibu mkuu wa CHADEMA mh John Mnyika anesema Wajumbe halali watakaopiga Kura Kwenye uchaguzi wa mwenyekiti wa Taifa na makamu wake ni wale waliochaguliwa kipindi hiki cha Uchaguzi kabla ya huo mkutano mkuu wa 21 January Mfano mkoa wa Njombe haujafanya Uchaguzi wa mkoa hivyo Wajumbe wa 2019...
  16. Katibu Mkuu wa CHADEMA anaongea na wanahabari

    https://youtube.com/live/D0mJfxf3wXE?si=c7girWLBjKbOhiyH Katibu Mkuu wa Chadema John Mnyika yupo live akiongea na wanahabari kueleza mambo mbalimbali ya uchaguzi wa ndani wa Chadema na Uchaguzi Mkuu wa 2025. Baada ya wagombea kuchukua fomu inafuata hatua ya usaili na uteuzi wa wagombea...
  17. Ni Rahisi kuwaza MWISHO WA DUNIA ni Lini kuliko kuwaza Chadema bila Tundu Lissu nini hatima yake.

    with Due respect, Mbowe kubali kukaa pembeni ni kweli wewe ni mpambanaji hutakatai, muda wako umetosha,
  18. Lissu anavimbishwa mno Kichwa na Keybord Worrior

    Yule Maria Sarungi haijulilkani hata anaishi wapi na ni Gener wa Keybord Worrior. Humu sasa ndio kuna idadi isio hesabika ya Ma Keybord Worrior ambao front laini kamwe na daima huwezi waona na hutakaa uwaone. Lisu anavimbishwa kichwa sana na hawa Keybord worrior ambao Ujasiri wao uko kwenye...
  19. M

    Nje ya CHADEMA Lissu anawezana na Chama gani?

    1. Chauma: chama kichanga na mwenyekiti ni Alhaj. Jee lissu atakiweza? 2. NCCR mwenyekiti ni Selasini, anamjua vizuri Lissu kwamba friji , jee atafanya nae kazi? 3. CCM. CCM ni chama kikubwa chenye dola. Lissu akienda huko atapewa cheo apate kiyoyozi, mafauili ya chama wala hayakaribii 4. ACT...
  20. PreGE2025 CHADEMA: Huku Freeman Mbowe kule Tundu Lissu strength & weaknesses

    Kwenye Uchaguzi huu wa CHADEMA Kuna mambo kadhaa ya kuzingatia kuhusu Hawa wagombea wa uenyekiti. Freeman Mbowe STRENGTH 1. Hekima zake,mikakati,kujitoa kwake hata kiuchumi bado zinahitajika kwa CHADEMA na siasa za nchi hii 2. Uhakika wa kuto kununulika kwake kunafanya awe muhimu kuendelea...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…