chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. Kwahiyo John Heche ameitisha Press ili kumjibu Mzee Butiku, CHADEMA ina wahuni wengi sana

    Nani asiyejua kuwa chadema wanapokea Hela za mabeberu ili kuhujumu ustawi wa Tanzania na Bara la Africa? Heche kumjibu Mzee Butiku ni kumkosea heshima Mzee wetu. ni vema akakiri wazi kuwa wanapokea Hela kutoka kwa mabebeb na mm naweka USHAHIDI hapa wa chadema kupokea Hela kutoka kwa mabeberu
  2. CHADEMA chagueni mwenyekiti mwingine, Makosa ya uhaini yamemkosesha Lissu sifa ya kuwa kiongozi

    Ibara ya 132(5)(c) inasema misingi ya maadili ya viongozi wa umma/chama/kikundi/taasisi inapiga marufuku mienendo au tabia inayomfanya kiongozi aonekane hana uaminifu, anapendelea, si muadilifu, mhaini au anahusika na kuchochea rushwa au vurugu. Kwa maana hiyo Tundulisu hafai kuendelea kuwa...
  3. CHADEMA wanazungumza na waandishi wa habari kutoka makao makuu

    Maandalizi ya kikao maalum cha Kamati Kuu ya CHADEMA yamekamilika katika Edwin Mtei House, Makao Makuu ya Chama, Mikocheni, Dar es Salaam. Kikao hicho kinafanyika leo, Jumamosi, Agosti 29, 2026, na kitaongozwa na Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche. "Mzee Warioba kwa umri wake hana...
  4. CHADEMA Vs CCM Mitandaoni: Uchambuzi wa Kudorora kwa Ushawishi wa Chama Tawala mbele ya Nguvu ya Hoja Kidigitali

    Wakuu, Kufuatia mabadiliko makubwa ya kisiasa nchini, kuna mjadala mzito unaoendelea kuhusu "nani zaidi" kwenye makali ya hoja mitandaoni (X, JF, TikTok, na Instagram) kati ya CHADEMA na CCM. Ukweli uliopo ni kwamba CHADEMA inatawala mijadala kwa kasi na ushawishi mkubwa wa kisaikolojia, huku...
  5. Butiku: CHADEMA wanafadhiliwa wala sio siri

    Mkurugenzi Mtendaji na rais wa Taasisi ya Mwalimu Julius Nyerere, Mzee Joseph Waryoba Butiku, Hii nimeisikia kutoka kwenye moja ya podcasts zilizohusisha mahojiano kati ya waandaaji na aliyewahi kuwa katibu wa Rais Nyerere ndugu Butiku. una maoni gani?
  6. Ni lini mmewahi kuona CCM wako busy na mambo ya CHADEMA au chama cha upinzani?

    Mtakuwa wajinga mpaka lini? Ni lini mmewahi kuona CCM wako busy na mambo ya CHADEMA au chama cha upinzani? Nyie wapinzani mko kama fisi anayemnyemelea mtu anayetembea gizani akirusha mikono, mda wote fisi anamwaga mate akitarajia hatua mbili mbele mkono utadondoka auokote aule. The same kwa...
  7. Kesi ya Lissu: CHADEMA wana viongozi bora kuliko CCM

    Nimeangalia mahojiano ya Tundu Lissu na John Mnyika kwenye kesi ya Uhaini inayomkabili Lissu, nikajiuliza vipi hao wanaohojiana ndiyo wangekuwa ni viongozi waandamizi wa CCM? Hii kesi inaonesha ni kwa kiasi gani CHADEMA ina viongozi bora na weledi kuliko viongozi waliopo CCM.
  8. Hamza Johari: Kikatiba, nafasi ya Nchimbi ilikoma baada ya kuvuliwa uanachama CCM

    Mwanasheria Mkuu wa Serikali atoa ufafanuzi kuhusu nafasi ya Makamu wa Rais Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Hamza Johari, ametoa ufafanuzi wa kisheria kuhusu lini nafasi ya Makamu wa Rais inakuwa wazi, akisema tarehe rasmi ya kujiuzulu kwa aliyekuwa Makamu wa Rais ni Septemba 4, 2026, kwa mujibu...
  9. Kikao maalum cha Kamati Kuu ya CHADEMA kufanyika Agosti 29, 2026

    TAARIFA KWA UMMA KIKAO MAALUM CHA KAMATI KUU YA CHADEMA Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinawataarifu wanachama, viongozi na umma kwa ujumla kuwa Kamati Kuu ya Chama itafanya kikao maalum kesho, Jumamosi tarehe 29 Agosti 2026. Kikao hicho kitafanyika katika ukumbi wa Makao Makuu...
  10. Mzee Butiku : CHADEMA Wanafadhiliwa na "Mabeberu "

    My Take Wakiambiwa wao ni vibaraka wa Mabeberu wanabisha ila utaona tuu Mabeberu wanavyowapigania na kuwapa platform ya kuyumbisha Nchi Kwa jina la Demokrasia,Haki za binadamu kumbe wanataka watuuze https://www.instagram.com/reel/DcmCPisMwdO/?igsi=MWJrZXVlNzFqYmlodQ==
  11. Chadema na Sarungi walifurahi nchimbi kujihudhuru Leo wanaumia Nchi kupata makamu mpya

    Mlifurahia Mheshimiwa kujihuzuru sahzi mnaumia kumpata Mh. Makamu mpya sasa mnafikir mambo yatasimama? Hivi mnaakili kweli nyie nyumbu Ndo maana mnaitwa MANYUMBU.
  12. Karata pekee aliyo nayo Nchimbi ni kujiunga CHADEMA

    Nchimbi hana cha kupoteza tena wala fursa yoyote ndani ya CCM au serikali. Kilichobaki ni kwenda CHADEMA tu na anapaswa kupokelewa na ikiwezekana hata apewe fursa ya kugombea Urais ikiwa Lissu atahukumiwa adhabu ya kunyongwa mpaka kufa.
  13. Wafuasi wa chadema na wapinzani wengine nadhani mmeona wenyewe kuwa CCM si Mali ya mtu ni Mali ya watanzania

    Hakuna mtu yyte aliyekishikilia chama cha CCM kama unadhani una nguvu ndani ya CCM unajidanganya BURE. Inshort siasa za CCM ni za kiwango cha ulimwengu mwingine ni siasa zilizojengwa kwenye mwamba mgumu ambao hakuna mtu yyte wa kuutikisa na haitakuja kutokea. Hakuna mtu mkubwa kuliko CCM, CCM...
  14. Alipowaambia wananchi a.k.a CHADEMA pambaneni mpate katiba mpya nilijua tu kazi imemshinda na siku zake zinahesabika

    Uongozi ni kipaji kinachokuongoza uongee nini , Kwa akina nani na Kwa wakati gani Lakini kama wewe ni kiongozi alafu lile linalokujia kichwani ndio unalolisema wewe huna sifa ya kuwa kiongozi tena kiongozi no 2 wa nchi Kama alitaka kuzungumzia katiba mpya ilitakiwa awambie wananchi wao kama...
  15. CHADEMA itisheni kikao cha dharura haraka sana tembeeni na upepo huu huu wa CCM kumalizana na Mbowe

    Mi ushauri wa bure tu, Ccm inapofanya uhuni wowote msajili anakaa kimya, wote tunajuwa Dr Nchimbi wanamfuta uanachama bila kupewa natural justice ya kusikilizwa na kujitetea. Sasa hoja yangu kwakuwa Mbowe si Chadema tena tangu alipoangushwa Uenyekiti na Tundu Lisu sina haja ya kueleza mengi...
  16. Swala la Nchimbi limeongeza moto kwenye mageuzi. Sasa sio CHADEMA tu wanaogombana na Samia

    Kung'atuka kwa Nchimbi ni taswira ya mashindano na mapambano ya mageuzi ndani ya CCM, ambapo ni dhahiri wananchi na CHADEMA wanaungwa mkono na kundi la vigogo ndani ya CCM wenye kiu ya mabadiliko ya kweli. Sisi wananchi madai yetu ni pamoja na:- Katiba itokanayo na maoni na utashi wa...
  17. CHADEMA Jifunzeni toka CCM how to take quick actions. Lembrose Mchome, Said Issa Mohamed na Freeman Mbowe wanasubiri nini ndani ya chama?

    Siungi mkono na sijawahi kuipenda CCM.. Lakini yapo machache ya kujifunza toka kwao... Wanailinda taasisi yao kwa nguvu sana bila kujali kwa kufanya hivyo wanakuwa sahihi au la... Wamekula kichwa cha Dr Emmanuel Nchimbi. Hawajaangalia alikuwa ni nani au ni maarufu kwa kiwango gani.. Kwao ni...
  18. Mchome akalia kuti kavu CHADEMA

    26 Agosti 2026 Kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Lembrus Mchome, anadaiwa kukabiliwa na hatua zaidi za kinidhamu ndani ya chama hicho, baada ya viongozi kujadili uwezekano wa kumvua uanachama. Kwa mujibu wa taarifa kutoka ndani ya chama, Amani Golugwa, Naibu Katibu Mkuu wa...
  19. 4

    Chadema msije fanya kosa la kiufundi kama kwa Lowasa , kumkaribisha Nchimbi.

    Kwema wana Chadema , amani ya Mungu ikawe juu yenu, mnakumbuka Mh lowasa na Mbowe walivyo waangusha Leo chama chenu kimejaa wabobevu wa kila aina kwenye siasa n.k Ccm ni wahuni sana , huu mtego wa nchimbi msije mkajichanganya. Chama chenu kwa sasa kiko imara kuliko tangu kimeanzishwa, ujio...
  20. Tuweni makini kuna CCM team Samia watajifanya Chadema damu ili kusudi kumpaka matope Nchimbi asikubalike na wananchi

    Kuna maccm team Samia yanapata tabu sana kipindi hiki. Wengi wanakuja na gia eti Nchimbi asipokelewe na wananchi na pia kama atataka kujiunga na chadema pia asipokelewe. Binafsi mtu anayemzungumzia kwa mabaya Nchimbi kipindi hiki namuona punguani. Nchimbi ameamua ku sacrifice maisha yake ...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…