chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. PreGE2025 Prof. Kitila Mkumbo: Lissu na Mbowe wametusaidia kupata hoja za kuipiga CHADEMA

    Wakuu Kumbe na wao wamenogewa na show za FAM vs TAL 😂 == Mbunge wa Ubungo na Waziri wa Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo amefichua kuwa mtifuano wa Tundu Lissu na Freeman Mbowe kwenye kinyang’anyiro cha Uchaguzi wa Uenyekiti CHADEMA umewasaidia kupata hoja za kuwapigia Soma: Kitila...
  2. M

    CCM na nyie mnalo la kujifunza kwa CHADEMA, muache ule utaratibu wenu wa kutoa fomu moja ya urais, CHADEMA katika hili nawapongeza!

    CHADEMA kwa sasa wapo kwenye kinyang'anyiro kikali cha kugombea nafasi ya uenyekiti wa chama kati ya Mbowe na Lisu hiyo ndio demokrasia sio kuwatishia watu wasichukue fomu kwenye baadhi ya nafasi iyo sio sawa kidemokrasia! Kama mgombea anajiamini aache apate challenge kutoka kwa washindani wake...
  3. M

    Lema awe katibu CHADEMA? Mnachekesha sana

    Imagine kipindi kama hichi cha CHADEMA LEMA ni katibu mkuu halafu anakutana na mshindo kama huu. Lema angalau angaliweza kusimamia uchaguzi? Siri zote za chama angalizipost katika social media kuwakomoa wapinzani wake. Eti Lissu akishinda Lema awe katibu mkuu..mumewaza Nini?
  4. Mwenyekiti CHADEMA, Katavi: Kauli ya James Mbowe dhidi ya Lema inaashiria ukabila, ipingwe na kila mmoja anayependa ustawi wa demokrasia

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoa wa Katavi Rhoda Kunchela ameeleza kusikitishwa na kauli iliyotolewa na Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CHADEMA kutoka jimbo la Hai, mkoani Kilimanjaro James Mbowe dhidi ya aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Kaskazini Godbless Lema...
  5. UCHAGUZI CHADEMA: Ni maajabu ya kampeni za CHADEMA mgombea Wenje anamshambulia Lemma asiyemgombe

    === Ni maajabu ya kampeni za CHADEMA mgombea Wenje anamshambulia Lemma asiyemgombe. Kwaakili hii Mbowe na Wenje wameshashindwa huu Uchaguzi Kwa lugha nyepesi Heche na Lissu hawajapewa tuhuma yoyote hivyo ni watu safi wachaguliwe.
  6. Enyi wajumbe wa mkutano mkuu wa CHADEMA sikilizeni sauti za wananchi. Nendeni mkaandike historia mpya ya demokrasia

    Msithubutu kabisa kumchagua Freeman Aikael Mbowe kwani mtakuwa mmetangaza hadharani ushirika wenu na ccm kwa njia moja au nyingine. Freeman Aikael Mbowe anapaswa kupingwa kila mahali na watu wote wenye mapenzi mema na uhai wa demokrasia ya kweli nchini. Freeman Mbowe hata lugha zake tu zina...
  7. Wanaotaka kuondoa Usultani, umalkia na umangimeza wapo na Lissu ili chama kiwe cha Wote. Je, CHADEMA ikifanikkwa tutarajie vuguvugu upande wa CCM?

    Mpo Salama bandugu! Moja ya mambo yanayofanya hii nchi ionekane ni ngumu ni pamoja na mtu kupewa sifa za Uongo. Mfano; nchi hii kuna watu utaambiwa wanaushawishi au wanapendwa lakini ukifuatilia uhalisia wa Jambo hilo sio kweli. Utagundua sio kwamba wanapendwa Bali wanatumia Rushwa na kuhonga...
  8. CCM ya Makala imepigwa pigo na CHADEMA

    Kusema ukweli, CCM ya Makala iko hoi. Haina kabisa ubunifu, Imenunua magali mengi na kutengeneza misafara mirefu na foleni zisizo namaana lakini mitandaoni ni CHADEMA tupu. Wana CCM wanahoji, kulikoni huko CCM iko kama hina uchaguzi?. Kwani Makala hawezi achia ngazi ili chama kipone?. Aingia...
  9. Rhoda Kunchela mwenyekiti wa Mkoa pekee mwanamke wa CHADEMA Tanzania anatoa tamko zito muda huu

    Rhoda Kunchela mwenyekiti wa Mkoa pekee mwanamke wa CHADEMA Tanzania anatoa tamko zito muda huu, Msikilize mpaka Mwisho https://www.youtube.com/live/A6NBwKj3O4g?si=pmrIb6j38qFb--3k
  10. Wakati CCM wanashangilia mabasi, CHADEMA wanatafakari nani anafaa kuwa kiongozi wao!!

    Utofauti wa fikra na jinsi ya matumizi sahihi ya akili kati ya Wana CCM na CHADEMA, unazidi kudhihirika kadri siku zinavyozidi kwenda. Wakati CHADEMA nchi nzima wako kwenye mijadala mizito ya nani anafaa kuwa kiongozi wao, CCM wamezama kwenye kushangilia mabasi yaliyobandikwa Stika za chama...
  11. CHADEMA inakuwa EXPOSED sana uchaguzi huu, Yajayo yanahuzunisha

    Ni rahisi sana KUIHUBIRI Demokrasia lakini ni ngumu sana kuiishi Kuna watu ndani ya CDM ni WAZURI sana wakiwa WANAONEWA kidemokrasia lakini ni wa HOVYO sana wanapotakiwa kui PRACTICE demokrasia Nahakika Malisa tunayemjua akikutana na Malisa aliyefanya press watashikana mashati Kibaya zaidi ni...
  12. M

    Vyama rafiki vinasemaje uchaguzi ndani ya CHADEMA? Msiwe kimya

    Wasalaam, Ee ni vyama rafiki ndiyo. ACT, Cuf, Chauma, Nccr mageuzi na vingine. Unaelewa kuwa huko chadema moto unawaka? Mbona hawajotokezi hata kutoa fursa za kuwapokea wanachama wapya watakao kumbwa na kadhia ya uchaguzi. Lipumba, Zitto, sipunda, Mbatia msiwe kimya toeni maoni yenu yanaweza...
  13. Wasifu wa Godbless Jonathan Lema

    Amani iwe kwenu Great thinkers Kwa kweli wote tumeona ushujaa uliooneshwa na Mbunge wa Chadema Arusha mjini katika kudai uchaguzi huru wa meya na naibu wake. Katika harakati hizo ilipelekea yeye kupigwa kionevu na polisi hadi kulazwa hospitali. Still hakukata tamaa, na akaanda maandamano...
  14. Uhasama wa kisiasa, kugawanyika na kusambaratika kwa CHADEMA kutaimarisha vyama vingine vya siasa nchini

    Ni wazi matokeo yoyote ya ushindani, minyukano na uhasama wa kisiasa baina ya viongozi wanao gombea nafasi ya uenyekiti wa Chadema Taifa, kutaidhoofisha chadema yenyewe na kuimarisha vyama vingine vya siasa nchini, ikiwa ni pamoja na chama tawala. Hakuna atakaeshinda uongozi wa chadema Taifa...
  15. K

    Kwanini CCM wanataka Mbowe aendelee kuwa Mwenyekiti CHADEMA?

    Wanataka Mbowe ambaye amekuwa siku hizi kama hangati aendelee kwasababu ameshaonekana kuchoka na kujisahau 1. Wanataka waendelee kuiba kura 2. Watataka Wenje aendelee kuhonga wanaharakati wote wa chini 3. Wanaogopa ushindani 4. Hawataki katiba mpya 5. Wanataka wabunge fake 19 waendelee kuwepo...
  16. Rhoda Kunchela Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Katavi kuongea na wanahabari katika Hoteli ya Safina Makumbusho Dar

    === Baada ya ukimya wa muda mrefu hatimaye Mhe Rhoda Kunchela Mbunge pekee mstaafu wa kike wa CHADEMA aliyechaguliwa kuongoza chama ngazi ya mkoa ataongea na wanahabari kesho katika Hoteli ya Safina. Waandishi wa habari wote mnakaribushwa
  17. Kulikoni vyombo vya habari kuwapa viongozi wa CHADEMA nafasi yani airtime kubwa hivi kipindi hiki?

    Imekuaje vyombo vya habari ambavyo vilikuwa havirushi habari za viongozi wakubwa wa CHADEMA sasa ghafla vimekuwa havikauki kuwahoji viongozi waandamazi wa CHADEMA na havikosekani katika press conferences za Lissu, Mbowe, Mnyika, Lema na viongozi wengine wengi wa CHADEMA?! Miezi kadhaa hapo...
  18. Team Lissu tukishanyakua Uwenyekiti wa CHADEMA

    Jamani tujiandae 😂😂😂😂😂 Tunajipumzisha kidogo kisha tunaanza kumpelekea moto mama
  19. Angalia fujo za CCM barabarani. CHADEMA mtakoma Mwaka huu

    Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025, CCM wanaendelea kuonesha Makali. Walianza na Baiskeli, wakaja Pikipiki sasa ni Magari. Matamanio yangu ni kuona Makali ya CHADEMA. Je, Mbowe akishindwa, atampa Chopa Lissu apepeee? Tunasubiri Makali ya UKAWA. SAMIA 3 -0 UKAWA
  20. Tofauti ya CCM na CHADEMA: CCM wanatumia Show Off ya Magari, mabango na Wasanii kutangaza Mkutano wao,Chadema wanatumia midahalo yenye hoja nzito!

    Mwenye macho haambiwi tazama. Kuna mikutano miwili. Wa CCM Dodoma na hii ya uchaguzi wa CHADEMA wakipanga safu yao ya uongozi. Kwa upande wa CCM tunaona hakuna hoja za msingi kuufanya mkutano wao uwe na mvuto zaidi ya show off ya mabasi, mabango kila sehemu huko Dodoma na matumizi ya wasanii...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…